MWANAFUNZI (12) AJITEKA NA MDOGO WAKE, ADAI FEDHA KWA MAMA YAKE ILI KUACHIWA, WAENDA KUPANGA CHUMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ค. 2024

ความคิดเห็น • 150

  • @HekyHeky-c8n
    @HekyHeky-c8n 25 วันที่ผ่านมา +15

    Movie na catoon zinaharibu watoto wetu. Wanajifunza kupitia vituhivyo.

    • @kyannickk2be
      @kyannickk2be 24 วันที่ผ่านมา

      Cartoon tena!?

  • @ZalkhaRawahi
    @ZalkhaRawahi 26 วันที่ผ่านมา +21

    SUBHANALLAH yarabbi tujaalie kizazi chetu uwahidi wtt wetu

  • @HussainMaula-tz8dh
    @HussainMaula-tz8dh 25 วันที่ผ่านมา +8

    Mtoto jambazi huyo anayataka maisha kabla ya wakati wake.

  • @majebelemathis9991
    @majebelemathis9991 26 วันที่ผ่านมา +10

    Hawa nabinti wanapenda sana wanaume wakikoswa pesa wanatafuta namna yakupata pesa

  • @DavalsonMarlony
    @DavalsonMarlony 25 วันที่ผ่านมา +6

    hahahaha 😂😂😂 awa watoto duu pasuwa kichwa

  • @SalomeHaonga
    @SalomeHaonga 25 วันที่ผ่านมา +4

    Ongeeni na mtoto kirafiki Zaid ana mengi zaidi moyon mwake

  • @deadcrush
    @deadcrush 26 วันที่ผ่านมา +6

    Mwanajeshi mtarajiwa. Ana ujasiri sana.

  • @FestoAbiud
    @FestoAbiud 24 วันที่ผ่านมา +2

    😢😢fatilieni uwezi jua wanaishi maisha gani

  • @joycemkeka3769
    @joycemkeka3769 25 วันที่ผ่านมา +3

    Lipo jambo chunguzeni tu mtagundua kitu ilo jambo linausisha familia kunakitu kimefanya watoto kufanya ivo tutasingizia katuni lakini hata baadhi ya familia maisha yao nizaidi yaizo katuni utu akuna unyama uanfanyika mbeleya watoto tu ategemea nini mbona sisi tuliangalia katuni lakini atukufanyaivi ayonimaisha alisi wanayo yashuhudia watoto kwa machoyao tutalaumu. Watoto bure

  • @magejuliani5293
    @magejuliani5293 26 วันที่ผ่านมา +5

    Athari za movie kwa watoto wasiojielewa

  • @nth3512
    @nth3512 25 วันที่ผ่านมา +3

    Tatizo mnawadekeza amuwachapi mnalea viburi, au watoto kuna kitu wanateseka sasa mtoto anatafuta namna ya kujikomboa yeye na mdogo wake

  • @DaheerK
    @DaheerK 26 วันที่ผ่านมา +9

    Mama akiwa bahili ndio inatakiwa ivyo😂😂

    • @user13375
      @user13375 26 วันที่ผ่านมา +1

      😮

    • @user-nb6yh2bn9y
      @user-nb6yh2bn9y 26 วันที่ผ่านมา

      Hilo nalo neno 😢

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 26 วันที่ผ่านมา

      Dah yaan wewe😅😅

    • @taifaonlinetv.3670
      @taifaonlinetv.3670 25 วันที่ผ่านมา

      Kweli mama ukizijua pesa sana na kuwanyima wanao , ujue haya lazima yatokeee

  • @sophsoph4740
    @sophsoph4740 25 วันที่ผ่านมา +6

    Kanunua mwiko na sufuria kikombe 😂😂😂😂jmn wanetu mtatuua

    • @uhurujan2244
      @uhurujan2244 25 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂anajua vitu muhimu vya kuanzia maisha😂

  • @joycemkeka3769
    @joycemkeka3769 25 วันที่ผ่านมา +1

    Hapo mwishoni kamanda umeongea vizuri sana wazazi tumekuwa chanzo kwa namna moja ama nyingine

  • @hedarufines7763
    @hedarufines7763 26 วันที่ผ่านมา +11

    😂😂watoto wa 2000

    • @bintalmasi2393
      @bintalmasi2393 25 วันที่ผ่านมา

      Huwezi amini tena huyu ni wa 2012

  • @thehollybookstudio2826
    @thehollybookstudio2826 26 วันที่ผ่านมา +5

    Utoto una mengi. Mungu awasaidie warejee kwenye akili zao. Ni utoto tu haina haja ya kushangaa sana. Maombi Mungu Afanye upya kumbu zao

    • @claudiangowi9628
      @claudiangowi9628 26 วันที่ผ่านมา

      Utoto wa miaka hii umekuwa tofauti maana Sisi wengine hatukuwahi kufanya hivyo

    • @user-hd5bg8qw1b
      @user-hd5bg8qw1b 25 วันที่ผ่านมา

      HIYO AKILI WANAIPATA WAPI.NA UMRI MDOGO JAMANI WAZAZI WAPI TUNAKOSEA.HUO SASA C UTT BALI NI UJAMBAZI

    • @bintalmasi2393
      @bintalmasi2393 25 วันที่ผ่านมา

      ​@@user-hd5bg8qw1bMovies

  • @salmaalimusa6809
    @salmaalimusa6809 26 วันที่ผ่านมา +2

    😂nacheka kama mazuri looh

  • @SharifaA-y4t
    @SharifaA-y4t 22 วันที่ผ่านมา

    😭😭😭 mwenyezi mungu awalinde watoto wetu

  • @user-il5pk2dr5n
    @user-il5pk2dr5n 23 วันที่ผ่านมา

    Daah dogo kashajipanga na vyombo kashanunua mzazi nae ajitathimini..

  • @RobertMachenga-tz3re
    @RobertMachenga-tz3re 23 วันที่ผ่านมา

    Huyo mama aliyekataa kuwapa chumba cha kupanga yeye binafsi anajitambua angekuwa mwehu angechukua tu hela na huyo mtoto mwehu akaanza maisha. Hiyo akili ya kupanga nyumba si yake ni ya mwanaume ambaye ni hawala yake na huyo mtoto. polisi wachunguze vizuri habari hiyo inaukakasi kidogo hakuna kitu kama hicho hiyo ni stori tu.

  • @mohammedalishamis9405
    @mohammedalishamis9405 26 วันที่ผ่านมา +11

    Subhanallah mtihani mkubwa huu maadili yameporomoka sana
    Mola atuongeze sisi na vizazi vyetu

  • @user-dk6lw9co5n
    @user-dk6lw9co5n 25 วันที่ผ่านมา +5

    Huyo dada anampenda sana mdogo wake aliamua kuondokane😂😂😂 Dada zetu mungu awalinde

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 26 วันที่ผ่านมา +2

    Hahaha tena ni wapare 🤣🤣

  • @user-pk7yg1cq1g
    @user-pk7yg1cq1g 26 วันที่ผ่านมา +6

    Mungu awalinde watoto wetu na vizazi vyao

  • @upendohalisi80
    @upendohalisi80 21 วันที่ผ่านมา

    HAPO WALA HAWAHITAJI KUPIGWA AU KUFUNGWA HUYO MTOTO MKAE NAYE CHINI KWA UTULIVU NA UPENDO ATAWAAMBIA KWANINI KAFANYA HIVYO, UNAWEZA KUTA FAMILIA MAMA BABA NI WATATA WANAWANYANYASA WATOTO HAO NDO MAANA KAAMUA KUKIMBIA NA MDOGO WAKE KATUMIA AKILI SANA KULIKO KIJIDHURU.

  • @mwanas2
    @mwanas2 26 วันที่ผ่านมา

    Mmmhhh aise hii ni hatari sana😮

  • @amosmachibya1800
    @amosmachibya1800 25 วันที่ผ่านมา

    Chunguzen vizuri kuna shida kwny familia

  • @bintalmasi2393
    @bintalmasi2393 25 วันที่ผ่านมา +1

    Ila mwanza, mwaka jana tena mwanachuo alijiteka

  • @samiramawby1257
    @samiramawby1257 19 วันที่ผ่านมา

    Jamani nyie Mwanza duu,,,mtoto wa miaka 12 hawezi kufanya haya mabo,,hizi ni foundatiom za ushoga za wahindi wenu mnaowazungusha kila sehemu waharibu nchi,,waharibu elimu na wabake na kurawiti watoto,,i swear watoto wanaharibiwa na serikali inahusika

  • @mugishamajeba9628
    @mugishamajeba9628 26 วันที่ผ่านมา

    uyo mutoto mungu asimame2 ata ungekaa nae akuna namuna sasa upo utafanyaje

  • @user-tk4es1uw7e
    @user-tk4es1uw7e 23 วันที่ผ่านมา

    Mzazi usi cheleweshe huyu Binti boarding haraka

  • @Revelation1412.
    @Revelation1412. 22 วันที่ผ่านมา

    HAYO WAMEYAPATA KWENYE MOVIE

  • @ginazngo4317
    @ginazngo4317 20 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂Ok powa

  • @brightnessrutebeka4206
    @brightnessrutebeka4206 22 วันที่ผ่านมา

    Huyo mtoa nguo kwenye Mfuko ana KIHEREHERE kama mbwa

  • @user-il5pk2dr5n
    @user-il5pk2dr5n 23 วันที่ผ่านมา

    Ni makuzi tu ndio yanamsumbua,umri waheka heka..

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 23 วันที่ผ่านมา

    Watoto wa kizazi hiki jamani mtatutoa roho Wazazi wenu

  • @Boniphaceshayo5
    @Boniphaceshayo5 25 วันที่ผ่านมา

    Katuni ndo tatizo watoto wanacheki vitu vibaya sana 😂😂

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 24 วันที่ผ่านมา

    Ameenda kupanga
    Ameshanunua cm
    Ameshanunua vyombo na gadoro huyu mtoto lengo lake ni kuanza maisha yakujitegemea ama ni nini jaman sijampatia jibu angejua maisha yalivyo magumu kuna cm atajutia 😭😭

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 25 วันที่ผ่านมา +1

    Ana nyota ya utajili

  • @HermaniDaudi-yp8pf
    @HermaniDaudi-yp8pf 26 วันที่ผ่านมา

    Dah niatari

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 26 วันที่ผ่านมา +2

    Kuna wasenge wangesema ni serekali au watu wasojulikana bora imejulikana mapema

  • @MsAisha-w4o
    @MsAisha-w4o 24 วันที่ผ่านมา

    Miaka 12.waenda kupanga chumba duh...Atari sana

  • @fredrickmbaruku5094
    @fredrickmbaruku5094 26 วันที่ผ่านมา +1

    Sisi wapare tunashida gani uwiiiiii.

  • @Boniphaceshayo5
    @Boniphaceshayo5 25 วันที่ผ่านมา

    Akili kubwa sana uyo mtoto

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 25 วันที่ผ่านมา

    Kizazi hiki kitatutoa roho hamani.khaaa!!! Hao watakuwa wanaangali movie za kivita saana haki!!

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 26 วันที่ผ่านมา +1

    Mi Naisi Wazazi Wamepitiliza Ubaili Mpaka Watoto Wanaisi Awana Wazazi Kosa Apo Ubaili2

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 25 วันที่ผ่านมา

    Duh waguduzi wanaongezeka huku tuendako tutakuwa na jeshi la Siri linaloishu uraiani hao ni wasichana wangekuwa wanaume Tanzania imeisha

  • @user-ky5wu4gc9g
    @user-ky5wu4gc9g 22 วันที่ผ่านมา

    Watoto wa siku hizi wanaakili sana kweli miaka 12 anawaza kujitegemea!? wakati huku kwetu kuna mtoto ana miaka 30 amepata kazi lkn muoga kwenda kuanza maisha ya peke yake!

    • @miriamdavis3893
      @miriamdavis3893 13 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂mtoto au mke wa mtu

  • @ZenaChuo
    @ZenaChuo 22 วันที่ผ่านมา

    Mmmh inamana hiyo laki ndoinunue godoro vyombo na ilipe kodi na chakula mmmh

  • @sarahweston2708
    @sarahweston2708 24 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂😂kashaparamia mabwana mapemaaaaa

  • @user-rl3yh6ls7b
    @user-rl3yh6ls7b 24 วันที่ผ่านมา

    Huyu ni kuchapa vibooko

  • @youngyayoo2805
    @youngyayoo2805 25 วันที่ผ่านมา

    Huyo ana D mbili moja ya kibabe

  • @prince.eric_msemwa9732
    @prince.eric_msemwa9732 26 วันที่ผ่านมา

    😁 ila, kwa nn (io ni mission impossible)

  • @jayjay4313
    @jayjay4313 25 วันที่ผ่านมา

    Du, huyo kapangwa tu, na Boda boda. Mana si kwa bajeti hiyo ya laki na nusu. Godoro,simu, vyombo. Hapo ningewalipia Kodi tu wajiachie kwa Amani, si kwa kina hicho cha utapeli. 😂

  • @winnerlucas5924
    @winnerlucas5924 26 วันที่ผ่านมา +1

    Kuna tatizo mahali sio bure kabisaaa tatizo hili limeanzia mbali huyu mtoto angekua mtukutu asingeondoka na mdogo wake angeondoka mwenyewe tu

    • @kanankirannko6174
      @kanankirannko6174 25 วันที่ผ่านมา

      Na Mimi nimewaza kama wewe kuna tatizo Kwa mzazi wakihojiwa wataeleza tatizo kuna kitu wanakwepa tusiwaone wajinga hata kidogo

    • @joycemkeka3769
      @joycemkeka3769 25 วันที่ผ่านมา

      Kweli kabisa lipo jambo tena kubwa

  • @florianhashimu1370
    @florianhashimu1370 26 วันที่ผ่านมา +5

    Malezi yapoje huenda mama kuna vitu anavyo vifanya na kuona afadhali amchukue mdogo wake wakaishi mbali

  • @iddykwangaya2794
    @iddykwangaya2794 25 วันที่ผ่านมา

    Maji yanafata mkondo,atakua karisi iyo tabia either kwa mama,

  • @tanzaniamycountry9308
    @tanzaniamycountry9308 26 วันที่ผ่านมา

    Maadil yamekwisha jmn dah

  • @zxcvbnmmkh
    @zxcvbnmmkh 26 วันที่ผ่านมา

    🤸

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 25 วันที่ผ่านมา

    Itakua mama huyo mbahili sana😢

  • @user-zu8ou2oe4c
    @user-zu8ou2oe4c 26 วันที่ผ่านมา

    Hongereni ila mbona waliomteka sativa na wengne wengi waliotoa tarifa kipindi cha ziara ya makonda akiwa muenez wa ccm wakasema ndugu zao wametekwa mbona hao watekwaji hawakuoatkani?

  • @SuleAmber-lw2tx
    @SuleAmber-lw2tx 25 วันที่ผ่านมา

    Watoto wa Mwanza ni matapeli sana nmewahi kupigwa laki 150,000 hvhv aseeh pale Igoma sitasahau mtu na Dada yake wakaniliza

  • @EmanuelAllan
    @EmanuelAllan 25 วันที่ผ่านมา

    Ila movie😂😂😂😂

  • @alfoncejohn2104
    @alfoncejohn2104 26 วันที่ผ่านมา

    Hiyo mtoto ni malaya

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 25 วันที่ผ่านมา

    😢😢😮

  • @jeremiahevodius925
    @jeremiahevodius925 24 วันที่ผ่านมา

    Apo kuna jambo akuna laki moja inayoweza kupanga chumba kununua godolo kununua sim na kununua vyombo afu mbona awatutajii iyo pesa aliyo kuwa amenwomba mama yake afu mbona awatuoneshi awo watoto siniwatuhumiwa tunafaa tuwafahamu

  • @jastinonline8996
    @jastinonline8996 25 วันที่ผ่านมา

    Uongo huu, acheni Uongo.. upuuzi mtupu....

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 26 วันที่ผ่านมา +2

    KUMBE SIO KILA ANAE TEKWA N POLIS WAMEHUSIKA INATAKIWA TUPUNGUZE KUWALAUM POLIS😢😢😢

    • @michaelthobias9967
      @michaelthobias9967 26 วันที่ผ่านมา

      Unazani kwanini walaumiwe polisi

    • @user13375
      @user13375 26 วันที่ผ่านมา

      ​@@michaelthobias9967 ukilaum polisi we utakuwa ni Gen Zoro😮😮😮

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 26 วันที่ผ่านมา

      Upo sawa kabisa kila siku lawama kwa polisi kumbe watu wanajiteka wenyewe

  • @user-rf9vn7lz1n
    @user-rf9vn7lz1n 26 วันที่ผ่านมา +1

    Na aliyewapangish pia washikiliw maan watot wadog wanapewaj chumb na kula walikuw wanakul wap hii dunia sijuw

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 26 วันที่ผ่านมา

    MAKE HAPO ISINGEJULIKANA MUHUSIKA MNGESEMA N POLIS

  • @nth3512
    @nth3512 25 วันที่ผ่านมา

    Ukiona una mtoto ana tabia mfano wa hiyo basi jua huwenda umewakosa watoto wenye akili

  • @user-mw5xs2wx8n
    @user-mw5xs2wx8n 26 วันที่ผ่านมา

    Dunia simama nishuke kah

  • @salmamlokela1987
    @salmamlokela1987 24 วันที่ผ่านมา

    Binti mtukutu😅😅😅😅

  • @eggysulle7988
    @eggysulle7988 25 วันที่ผ่านมา

    😳😳

  • @lucymtui8680
    @lucymtui8680 26 วันที่ผ่านมา

    Mpare😂

  • @eligiusedmund3187
    @eligiusedmund3187 26 วันที่ผ่านมา

    Huyu ni zaidi ya jasusi

  • @glorybrayankessi7002
    @glorybrayankessi7002 20 วันที่ผ่านมา

    Naaliyewapangishia hiyo nyumba je?

  • @user-yn6om2lz9e
    @user-yn6om2lz9e 26 วันที่ผ่านมา

    Sasa huyo sianataka kuolewa ndiomana anataka kuish kivyake

  • @annamitumba3981
    @annamitumba3981 26 วันที่ผ่านมา

    😢😢😢😢😢

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 25 วันที่ผ่านมา

    Watoto hawa 😢

  • @emmanueltillya2017
    @emmanueltillya2017 26 วันที่ผ่านมา +1

    Huyo mtoto aingie jeshini.awe Askari au mwanajeshi.tena ni bint.mtoto nux huyo.

    • @user-nb6yh2bn9y
      @user-nb6yh2bn9y 26 วันที่ผ่านมา

      hapana asije akapindua selikali bulee kwani dalili ya mvua nimawingu ubaya tumeuona mapema ☹️☹️☹️

    • @user-wr7wp9sl2p
      @user-wr7wp9sl2p 25 วันที่ผ่านมา

      😂😂kabisa kabisa ​@@user-nb6yh2bn9y

  • @bushbabytz
    @bushbabytz 26 วันที่ผ่านมา

    mwachieni mtoto wa watu huyo bado mtoto

  • @Juli-ep9dn
    @Juli-ep9dn 26 วันที่ผ่านมา

    Duuuh

  • @Legends_Interviews
    @Legends_Interviews 26 วันที่ผ่านมา

    Makubwa dah hatari

  • @user-kz8di5th6e
    @user-kz8di5th6e 26 วันที่ผ่านมา

    Ivi ni komed au ni ni ni

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 26 วันที่ผ่านมา

    Hawa ni Generation Z ndo wale wa miaka ya 2000 kwenda mbele, Generation Y ndo ile nyuma ya miaka ya 2000 mpaka miaka 1990. Nyuma zaidi ya 1990 mpaka 1980 Walikuwa ni Generation X. Hawa Generation Z mambo ni mengi sana. Ndo wale kule kenya wanajiita Gen Z. Hatari sana 😂😂😂😂

  • @user-nm5ff3ri8k
    @user-nm5ff3ri8k 25 วันที่ผ่านมา

    Akuna mtoto hapo ni hasala tu

  • @user13375
    @user13375 26 วันที่ผ่านมา +1

    Hii ndo Gen ZORo ya🇹🇿

    • @J_Jeromy
      @J_Jeromy 26 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂

    • @salmaalimusa6809
      @salmaalimusa6809 26 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂

  • @gracewilliam4102
    @gracewilliam4102 26 วันที่ผ่านมา

    Mama atakuwa ma shida

    • @sophsoph4740
      @sophsoph4740 25 วันที่ผ่านมา

      Kbs shida ivyo😢😢

  • @foibennjeje7730
    @foibennjeje7730 26 วันที่ผ่านมา

    Maisha ya Tanzania hayo

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 26 วันที่ผ่านมา

      Maisha kwani maisha magumu yameanza leo mbona lawama za kijinga sana

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 26 วันที่ผ่านมา

    Duh watoto wamepata wapi ujasiri wa kufanya yote haya??

    • @johnmwandu2116
      @johnmwandu2116 26 วันที่ผ่านมา

      Ni hayahaya masizon au tamthilia, lkn point kubwa sana ameiongea kamanda kuanzia dk 5:09

  • @user-cv7vm1mx9d
    @user-cv7vm1mx9d 26 วันที่ผ่านมา +1

    Huyo mtoto ana akili sana yani amepangisha chumba amenunua vyombo na mdogo wake uenda mama anawatesa

  • @happykiwelu1451
    @happykiwelu1451 26 วันที่ผ่านมา

    Huyu dogo aende Kenya

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 26 วันที่ผ่านมา

      We matako umeona ya Kenya jambo zuri sana basi nenda wewe msenge sana

  • @DanielMelami-o3t
    @DanielMelami-o3t 24 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂

  • @tanzaniamycountry9308
    @tanzaniamycountry9308 26 วันที่ผ่านมา

    Tumefka mbal

  • @user-yv7xg4em4s
    @user-yv7xg4em4s 26 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂

  • @farukiddi5967
    @farukiddi5967 26 วันที่ผ่านมา +2

    Vp mtoto miaka 12 anapangishwa chumba jamani ?

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 26 วันที่ผ่านมา +1

      Hata AWE miaka 8,mimi anapanga tu,kikubwa maokoto tu mimi,mengine sina mpango nayo😂😂😂

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 26 วันที่ผ่านมา +1

      Yani nimtihani sana

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 26 วันที่ผ่านมา

      ​@@israelkisaila8401😂😂😂😂acha utani badi😅

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 26 วันที่ผ่านมา

      @@zebedayokatamaduni9676 🤣🤣🤣🤣MJINI maokoto kwanza, habari za kuanza kuulizia mbona wewe ni mtoto,inahusiana Nini? Kwani kupanga kuna mahali kwenye KATIBA ya Tanzania pamesema ,mpangaji awe ma umri Fulani?!huko ni kuingilia Uhuru wa MTU.🤣🤣🤣🤣

    • @J_Jeromy
      @J_Jeromy 26 วันที่ผ่านมา

      ​@@israelkisaila8401sawa Gen Z

  • @user-rf9vn7lz1n
    @user-rf9vn7lz1n 26 วันที่ผ่านมา

    Mimi nikisem hich kizaz kuazia 2000 kam wamelaaniw uwa anielew haya sasa daah eti kajitek duuh

    • @user-nb6yh2bn9y
      @user-nb6yh2bn9y 26 วันที่ผ่านมา

      😡😡😡😡👎👎👎👎👎

    • @ZephaniahSekwa-fl2go
      @ZephaniahSekwa-fl2go 25 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@user-nb6yh2bn9yHahaha naona ume comment kama kijana wa 2000

  • @user-sw6ig5hh3j
    @user-sw6ig5hh3j 24 วันที่ผ่านมา

    ᴴⁱⁱ ᵈᵘⁿⁱᵃ ⁱᵐᵉⁱˢʰᵃ

  • @HekyHeky-c8n
    @HekyHeky-c8n 25 วันที่ผ่านมา

    Movie na catoon zinaharibu watoto wetu. Wanajifunza kupitia vituhivyo.