Wapenda jiko?!nani mwingine anaona tajiri alivyo na details kuhusu vyombo vya jikoni?dada una sufuria nzuri jiko zuri vitu vzr vzr tu...chakula lazma kiwe kitamu😋
I would like to say thanks lot of coz u have take your time to teaching us. I am amazed at how good recipes and good methods you use to teach peoples . But i have be learn your lesson and watching for be careful. I have a question need to asking you sister.. Can you telling me the (mean) Dania/parsley/ herb for Swahili name.?
I see another something for your recipe, when sauté vegetables (carrot, potatoes, green pepper) and garlic for 3 mins after you have mix with rice and take 3 min to boiling. And fold your dish another time to cooked.. I have a question.. Why don't you boil the vegetables first even 5 mins for example carrot it will be grows hard to ripen once, and you have decide to saute for few minutes and finally mix it with your rice..?🤔🙄
I'm salivating, what an easy and amazing recipe😋👌 thanks for sharing.
Amaizing 😋😋
Masha Allah 👌 shukrani kwamapishi
Karibu sana dear
Wapenda jiko?!nani mwingine anaona tajiri alivyo na details kuhusu vyombo vya jikoni?dada una sufuria nzuri jiko zuri vitu vzr vzr tu...chakula lazma kiwe kitamu😋
Asana sana, yeah mm napenda sana jiko sababu ndio sehemu nnayo chukua mda wangu wote🙈
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 sister sister never fails
@@leonardgichia6393 Thank you 😘
Mwanamke jiko😂😂
Mashaallah maelezo yako ajjab na chakula chavutia
Shukran sana
Mashallah nice.
Nitajaribu soon inshallah
Shukran
Asante sana kwa kufundisha jamani Allaha atakulipa thanks for the tips too your lovely keep it up madam
Most welcome dear, and thanks for your support 😘
Mashaallah mi uwa na penda sna ukiongea cwachi kucheka may allah bless you and your family amen
🙈Nami napenda sana ukicheka dadangu. Ameen shukran😘
Hyo combo hatari bakia ndizi na firifiri 😋😋😋😋👌
🤣🤣🤣 Firifiri zipo ndani, bakia ndizi tu😋
Mpishi mwenzio pia yuko vzr sana Rukia
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 kwani dada wew ni mbongo au mkenya
@@veeJesus Kote ni nyumbani
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 oky dr
Nimeipenda chakula kizuri jmn🤤🤤
Asante sana
Hapo umenimaliza sis Masha Allah
🤣🤣🤣 Shukran
Nzuri Sana dada nimependa 🥰🥰🥰
Shukran sana dear
Sufiria zako ni nzuri mashaallah
Shukran
Hongera kwenye picha inaonyesha kuwa ni very delicious
Asante sana
Uwiiii so yummy hongera na ahsante dear
Karibu sana dear
Waa Aleikum salam siz us usual delicious
Waaleikum musalam siz. Shukran sana 🥰
Hapa umeniacha mbalii Dada...
Japo daa unapika vizuri sana
Shukran sana
Mashaallah mambo yetu hayo
Kabisa 😊
Ndo watoto wa mombasani hawa 🔥🔥🔥
🤣🤣🤣Umepata
Mashallah nzr sana bila shaka
Tena sana😋
Yani unamasaptasapta hatari insta pia nishakufollow diaa
@@salmafaraj6544 Thank you dear
Nimejaribu mashallah it was ajjab
I'm glad to hear that 🥰
Mashaallah tabaraka Allah,mlo unaita yani mate yanitoka swaiba
🤣🤣🤣 Karibu sana😋
Nimependa mno mapishi yako so delicious Mashallah😋😋
Shukran sana
Masha Allah.... Honger mpz
Shukran sana
MashaAllah nitipika inshaAllah ,Ila sufjria tu mie jicho lote li hapo
🤣🤣🤣 InshaAllah shukran
Mambo Tajiri. Naomba tutorial ya kutengeneza Chai
Felix Leon. Poa sana ipo siku nyingi tu ndio hii👉 th-cam.com/video/YOUdly6wgyA/w-d-xo.html
Nimeipenda xanaah tenaa xanaah tw 😋👌
Thank you so much dear
Mashallah mashallah alhamdulillah
Shukran
Asante sana Dada nitapija hivyo,
Karibu sana
I would like to say thanks lot of coz u have take your time to teaching us.
I am amazed at how good recipes and good methods you use to teach peoples .
But i have be learn your lesson and watching for be careful.
I have a question need to asking you sister.. Can you telling me the (mean) Dania/parsley/ herb for Swahili name.?
In Kenya, we call parsley Dania. That's the name I know since I was born.
Dania is Cilantro, parsley is referred to as the Italian cilantro
@@carolamanda6167 Is the same family and works the same.
patamu hapa,kujiramba tu ,nice recipe sweery
Thank you dear🥰
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 welcm sweery
My hubby's favourite meal
😋😋 tunashukuru
Karibu sana
MashaAllah chakula chako ni kitaamu sana 😋
Umu Maryam. Shukran sana😘
Mie Sijapenda kwa kweli unavyonitoa mate mtoto wa mwenzio 😭😭😭😭
🤣🤣🤣Pole
I have tried thise recipe several is one of the best 💖
Thank you so much dear
MashAllah
Wowooo😍
🤤🤤🤤🤤🤤🤤😋❤️🙏🏿God bless you mama for making these dishes, African food always hits the spot 😍
Ameen.Thank you so much, dear.
Am'nt gonna lai.. am watching this late bt am proud to say that i cn now cook vegetable rice..
I'm sure you can 100%
Sisi kwetu tunamla kuku kwa sima 😂😂😂😋😋
Ni Njegere si Njegera.
Hummm my sister iyi Recept naipenda butamu kabisa Aksante napima na mimi iko 👍👍👍👍👍👍👍❤
Asante sana mpenzi
Nimependa nitajaribu sasa ukitumia foilpaoer, huwa waeka moto tu mdogo chini ya sufuria, juu huweki?
Maa Shaa Allaah
Mchele lazima uloweke?and huo wali unaweza enda na nyama instead of kuku?
Mashallah👌👌❤️
Mashallah halima mungu akuzidishie
Ameen sister
Mashaa Allah cakura kizuri dada 😋😋😍
Masha Allah penda mamy leo ni wakwanza kuangalia pishi lako tam mpenz
Shukran sana ❤
Napenda mapishi yako sana my dada hongera
@@judithlimo2336 Asante sana dear
Yumy. I love the pots where did u buy them pls advise thanks
Thanks, dear. I bought them in Saudi Arabia
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723
Thnx dear. I will inquire
Where did you buy your kitchenware? Your pots are absolutely beautiful. I love your cooking
Thank you so much. I bought some in Saudi Arabia and some in the USA .
You saw too
Umetumia mchele wa aina gani?
Waoh❤
Huwa mnanisidia sana
Can I cook without the star thing
Yes you can
Wow mate yanitoka masha ALLAH looks yummy
Shukran habibty
This is awesome Tajiri. How did u remove the bones from the chicken?
Wow nzuri sn 👌
Shukran
Tamu ajabu wali moja moja
Shukran
Waooi penda xana
nimependa uo wali
Asante sana
Kwa nn mnapenda kutumia oven na ss ambao hatuna
Nimejipikia leo😋😋
Umeonaje?
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 tamu sana 😋😋👌👌
Is green beans the same as green peas please?? Here in Uganda, we call them green peas
Yes dear, but mine are frozen.
It's not the same dear peas is peas green beans is the long one
Woo nikuone wapi unipikie iyo tam tam yam yam mmmmwax
Indianapolis 🇺🇲
Saf sanaa nitajaribu kupiks
@@magrethkapinga1811 Karibu sana
Yummy yummy
Thank you
Yummy Masha Allah
Shukran habibty
Tamu sana
Asante sana
nimependa mno ntampikia mumewangu
Asante na karibu sana
Hivi wapo kuku wasio na mifupa au umeamua kukata sehemu ya Steki tu?
Inauzwa nyama ya kuku isio na mifupa, Chicken breast
Nice 👍
Thank you
Kwa KWELI hii ni tajiris kitchens 😂 yani hapo kuna vyombovingi sina😅
🤣🤣🤣
Thank you
Your welcome 🥰
Wow my favorite meal 😋
Wow nimependa mapishi
👌✅
Mashallah
Shukran
that gd
Wali hauna haha ya kuliwa na mboga
👌❤😍
mmmmmmmh ni tamu
Asante sana
Hizo grops kwa nn unavaa wakati wa kupika ,zinasaidia nn 😁
Sababu siwezi kuwaridhisha nyote, Kuna watu hawaangalii mapishi huwangalia mapambo ya Kucha.
Mashaalah utamu nao
Kama wote
❤❤❤
Jin's ya kupika mtor
Yani napenda vile unavopika my
Shukran dear
Although to hear from u madamurs most honestly H
🚣♀️ sisubiri kuitwa mana we c kwa utamu huo
🤣🤣🤣
We dada hvi unajua kama unanimaliziaga bando saana fanya unikaribishe hata cku moja nije kula
🤣🤣🤣 shukran sana
Leo nitajaribu kupika tam
Insha'Allah
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 Yaaan unazidi kunifurahisha na hayo mapishi napata uelewa zaidi ya nikivyokuwa mwanzo barikiwa sana my Dada
Naona vitu vinazidi kutaradadi tu hapa
@@judithlimo2336 Karibu sana dadaangu 😘
I see another something for your recipe, when sauté vegetables (carrot, potatoes, green pepper) and garlic for 3 mins after you have mix with rice and take 3 min to boiling.
And fold your dish another time to cooked..
I have a question.. Why don't you boil the vegetables first even 5 mins for example carrot it will be grows hard to ripen once, and you have decide to saute for few minutes and finally mix it with your rice..?🤔🙄
That's your style. Anyway thanks for watching.
NI MTAMU
@@hawakhamis4469 Sana tu
Foil ni sumu hiyo dada usifunikie au kufungia vitu vya moto.
🤣🤣🤣Here in America we're using that. .
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 okey sorry madam.but the food is 😘😘😘😘
Mate yanidondoka
Yummy 😋 thank you
ningependa kujua unatumia mchele gani?
Sorry, Basmati rice long grains
Unaweza kufunika kwa mkaa
@@maryamngare9787 Ndio unaweza
Nimejaribu kutafuta coconut milk yenye wewe unatumia sijapata.
zenye mimi upata ni tofauti kabisaaa
But zote ni nzuri dear
Alafu pia iinategemea na sehemu unaishi, mm niko USA
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 nipo California. do you have any links kindly?
Sory hyo star ni nn
Inaitwa hivyo dear, Star anise
That title tho!🤣🤣🤣🤣🤣 seriously "mamboga" like wasukuma Accent kwahio wingi wa mboga ni Mamboga?
🤣🤣🤣 You made my night
Niunge group 0715730684
Sina group
Ingia Facebook utaona group la Mapishi Tajiri's Kitchen Tufundishane Mapishi ni bure
Tamu sana