Nyisake Chaula_Sadaka kama kipimo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Somo: Uhusiano wa Madhabu hekalu na waabuduo

ความคิดเห็น • 27

  • @ChikondiMadaliso
    @ChikondiMadaliso 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki sana nimekupata vizuri Niko Niko marawi

  • @GraceOtieno-vo3sj
    @GraceOtieno-vo3sj 3 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏 nimejifunza from Saudi

  • @lyn254
    @lyn254 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupenda mama unafundisha ukweli kabisa.

  • @daughterofzion276
    @daughterofzion276 ปีที่แล้ว +2

    Nimebarikiwa mtumishi wa Mungu. Napenda jinsi unavyomtumikia Mungu. God bless you in Jesus' Name.

  • @CostansiaIsdory
    @CostansiaIsdory หลายเดือนก่อน

    Nakuelewa sana mama

  • @EZRA-b1c
    @EZRA-b1c 28 วันที่ผ่านมา

    Hallelujah

  • @ceciliakatumo3787
    @ceciliakatumo3787 9 หลายเดือนก่อน +2

    Watching from Kenya - This message has greatly blessed my heart! Asante Mtumishi wa Mungu!

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 ปีที่แล้ว +1

    Tunajivunia kuwa na watu kama ninyi ktk hii Inchi yetu ya Tanzania Mungu akubaliki sana Mtumishi uje na Kigoma nako tumekumis

  • @zelda9450
    @zelda9450 10 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa

  • @elizabethchiwamba8372
    @elizabethchiwamba8372 8 หลายเดือนก่อน +3

    Mbona mimi mtumishi wa Mungu nimeokoka ni mwaka sasa ,naabudu kanisa la kipentecoste, lakini unajitahidi kumtolea Mungu SADAKA, anasinama mtumishi madhabahuni wakati wa KUOMBA anaanza kusema wengine wanajidai kutoa sadaka, fedha nyingi kuwarubuni watumishi wa Mungu, maneno hayo huwa yananiumiza sana, unashindwa kumuelewa huyu mtu ana maana gani?

    • @nyisakechaula9433
      @nyisakechaula9433  8 หลายเดือนก่อน +3

      Shetsni anaweza kumtumia.yeyote kukukatisha tamaa lakini wewe angalia kuwa je umetoa kwaajili ya kitu gani?

  • @happneswiliam1499
    @happneswiliam1499 ปีที่แล้ว +1

    Amen mtumishi wa mungu nimekuelewa kwa upana zaid. Barikiwa sana

  • @giselemwenge6225
    @giselemwenge6225 ปีที่แล้ว +1

    Amen sasa mimi ninapo pata hela napenda nitoe moja, ya kumi ndani ya moyo wangu kunakuwa vita kali nashindwa kutoa sadaka ya moja ya kumi, Mungu aniwezeshe kabisa.

  • @borasimukindje9633
    @borasimukindje9633 ปีที่แล้ว

    Amen kubwa mama Asante mungu kwa somo nzuri hinayo tufundisha mtumishiwakò tumepatakuju mungu azidi kukuweka mahisha marefu mama

  • @zinatyben
    @zinatyben ปีที่แล้ว +1

    Amina barikiwe mama

  • @christineadongo1833
    @christineadongo1833 ปีที่แล้ว

    Asante nmebarikiwa sana kwa hili neno

  • @godfreycheyo3396
    @godfreycheyo3396 ปีที่แล้ว +1

    Nabarikiwa sana na mafundisho Yako. Mungu azidi kukutumia tuzidi kujifunza. Ubarikiwe sana.

    • @nyisakechaula9433
      @nyisakechaula9433  ปีที่แล้ว +1

      Ameni ameni

    • @DannyChiza-zj8hl
      @DannyChiza-zj8hl ปีที่แล้ว +1

      @@nyisakechaula9433 ubarikiwe sana mtumishi
      Kalibu uku kigoma wilaya ya kakonko, wakusikie wasio na simu kubwa.Amina.

  • @glorydenis5111
    @glorydenis5111 ปีที่แล้ว +1

    Mimi ni mch
    Nimekuelewa mama

  • @jumakanuda-mg4lc
    @jumakanuda-mg4lc ปีที่แล้ว

    Amen mama

  • @mussatete2618
    @mussatete2618 ปีที่แล้ว +1

    Nilikuwa naangalia Matendo Makuu aliyowatendea Mungu wakati wa kwenda na kurudi Congo, sasa wakati nataka kurudia niangalie tena nikiwa nimetulia nakuta siioni tena, nimeenda kwenye History nimekuta HAIPO. Nikajua pengine mmeiondoa...!

  • @glorydenis5111
    @glorydenis5111 ปีที่แล้ว +1

    Konk