JIFUNZE KUCHUKUA HATUA YA KWANZA JOEL NANAUKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

ความคิดเห็น • 33

  • @JamesAtilio
    @JamesAtilio หลายเดือนก่อน +7

    Hata wakoma walichukua hatua ya kuondoka MUNGU akaongeza vishindo vyao. Nilichogundua ni kwamba Hata MUNGU Hua anasubiri uanze yeye anaingilia kati. Barikiwa mentor

  • @brackskinyozi3280
    @brackskinyozi3280 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akulinde sana...sana Joel mafundisho yko haki yanatufungua...macho....kizid... kuona mbele barikiwa sana 🙏🙏🙏🙏

  • @giserahenerico5185
    @giserahenerico5185 หลายเดือนก่อน +4

    Shukurani sana kwa ujumbe mzuri
    Ee Mungu nisaidie kuchukua niwe na amasa ndani yangu

  • @neemalaurent9836
    @neemalaurent9836 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kweli 💪 ukianza tu hata ktk mugumu baraka zinafuata kabisaaaaa,barikiwa sana Joel 😊

  • @Joyly-it2cp
    @Joyly-it2cp หลายเดือนก่อน +2

    Asante sana kwa mafunzo

  • @user-fr1ed6es3f
    @user-fr1ed6es3f หลายเดือนก่อน +2

    Asante sana Joel,umekua msaada kwa wengi wetu. God bless you.

  • @NickGamba-ft8tl
    @NickGamba-ft8tl หลายเดือนก่อน +1

    ASANTEEE SANA MENTOR MASTER ARTHUR NANAUKA JOEL 🙏🙏

  • @JOVINKAVISHE
    @JOVINKAVISHE หลายเดือนก่อน +3

    Ni kweli kabisa kaka

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa zaidi kaka yangu

  • @alexlucas1571
    @alexlucas1571 หลายเดือนก่อน +1

    Daaah somo zuri sana

  • @AbisaiBilla
    @AbisaiBilla หลายเดือนก่อน +1

    Ni kweli kabisa upo umuhimu wa kuchukia hatua ya Kwanza Kwa yale tunayo taka kufanya, hongera kaka Kwa kutunoa🙏🙏

  • @EmanuelKandonga
    @EmanuelKandonga หลายเดือนก่อน +2

    Mkuu Mungu akulinde duu tunahamasisha sana endelea mbele

  • @evamgina843
    @evamgina843 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka nashukulu umenibadilisha maisha yangu

  • @FarajaMkumbo-pc3ft
    @FarajaMkumbo-pc3ft หลายเดือนก่อน +1

    Asante kaka hakika nimejifunza

  • @speciozakaloli
    @speciozakaloli หลายเดือนก่อน

    Amina amina

  • @HildaMassao
    @HildaMassao หลายเดือนก่อน

    Hakika leoo nachukua hatua ya kwanza,barikiwa sana kaka Joel hii ni siri kubwa ya uthubutu.

  • @AmaniRashidi-i9b
    @AmaniRashidi-i9b หลายเดือนก่อน +1

    From south Africa Durban wanafunzi tume poteza Hamasa tujilazimishe jamani ❤

  • @njoroboihastla
    @njoroboihastla หลายเดือนก่อน

    Okayyyyyyyyy!!! Nimekuja kugundua kutokuanza mi mental masterbration its my time to start📍👊👊👊

  • @YustoErasto
    @YustoErasto หลายเดือนก่อน

    Asante hata kwahili ambalo lilikuwa likinitatiza sanaa

  • @YassinLilongo
    @YassinLilongo หลายเดือนก่อน

    God bless you Mr.

  • @peterjames1538
    @peterjames1538 หลายเดือนก่อน +2

    Lazima nishuhudie.naanza sasa

  • @eliasludamila4600
    @eliasludamila4600 หลายเดือนก่อน

    Uishi milele ndugu 🙏

  • @HalimaAmadi
    @HalimaAmadi หลายเดือนก่อน

    ❤❤asante sana

  • @josephtesha872
    @josephtesha872 หลายเดือนก่อน

    Nimejifunzaa

  • @OmanOman-c9d
    @OmanOman-c9d หลายเดือนก่อน

    Shukraan joel ❤❤❤

  • @ElonNambafu
    @ElonNambafu หลายเดือนก่อน

    Am isaac listening from Uganda I want to quit my job en start my own but I keep on procrastinating now am in year but still planing to quit

  • @mahambagislain9618
    @mahambagislain9618 หลายเดือนก่อน +1

    🙏✍️🇨🇩

  • @HenryMwamasage
    @HenryMwamasage หลายเดือนก่อน

    isee 👏👏👏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @emanuelavaleriani8646
    @emanuelavaleriani8646 หลายเดือนก่อน

    Kaka joel nashukuru kwa elimu.

  • @EnocEdiga
    @EnocEdiga หลายเดือนก่อน

    Mbona sauti haisikiki sijui shida ni ni ni asee😮😮

  • @RashiBoy-di1zd
    @RashiBoy-di1zd หลายเดือนก่อน

    Somo zuri mno, matokeo 98% zilizobaki ni zetu kuchukua hatua ya kwanza🎉

  • @PriscaJozee
    @PriscaJozee หลายเดือนก่อน

    Hakika naanza Sasa kuchukuwa hatua ya kwanza