Haihitaji akili kubwa kwenye hili swala. Mtu anazimwagia hela timu 8 za ligi kuu anaweza kweli kushindwa kumlipa mchezaj mmoja? Tena mchezaj mwenyewe ni pakome????. Hizi ni porojo ili waonekane wanatumia nguvu kubwa kubakiza wachezaj wao. Akitoka hapo hawez kupata washamba wengine wanaoweza kumpa pesa nyingi. Huko kwingine watamchukua kama mchezaj wa kawaida tu atulie hapo kwa wapanga matokeo.
Wacha aende tu Yanga wahuni kwenye malipo ya WA hezaji na hata mikataba Yao ni yakihuni cmba Wana uwezo ws kulipa mishahara VIZURI na mikataba Iko vizuri.wapi mmesikia Simba inaambiwa na FIFA kuwa wamefungiwa na Yanga mpaka Sasa wapo kwenye habari za kufungiwa usajiri WA wachezaji, Tatizo utopolo wanasajiri kwa mihemuko
Wee mwanamke w efm mbona unakiherehere kushadadia umbea wa Oruma kama kwamba anatoa habari za ukweli ? Oruma Snape da sana mambo ya umbea kamavile mwali.
Ni wakati wenu wa kutaka kupata pesa kupitia nyinyi waandishi! Msiipangie YANGA kuhusu usajili wake! Na msimpangie mchezaji kuhusu kuanza mazungumzo na YANGA! YANGA hawana wasi wasi wana viongozi wanaojielewa! Lakini pia mnataka kuwachanganya Yanga ambao wapo bize na ligi na michuano ya kimataifa!
HUO NI UONGO TUU KWANI HAMUKUMBUKI JINSI WALIVYOSEMA KUHUSU AZIZI KI?WA WANASEMA HVHV KUMBE NI UONGO TUU HAPO ATAKUWA AMESHASAINI WANAONGEA HVY ILI IONEKANE KUWA WAMEFA YA KAZI NZITO KUMRUDISHA HUO NI UONGO TUU
@jeffreymalingula.Simba iliwapigisha shoti yanga iliwamlipe Aziz K pesa nyingi kuliko uwezo wake.Na Yanga nao wakaingia kwenye mfumo😂wakapata hasara Sasa wanafanya kwa pacome pia Akili mtuwangu!!!!😅😂😂
Mchezaji wa bongo ili aonekane mkubwa lazima ahusishwe na SIMBA Hizi ni propaganda zinazoanzishwa na NYUMA MWIKO ili kumpa thamani mchezaji wao Usipomhusisha mchezaji wako na timu na 6 kwa ubora Afrika ambayo ipo kwenye nchi yako utamhusisha na timu gani nyingine? PELEKENI UTOPWAX WENU UKO
Yaani ktk wachambuzi ambao cmuamini ni huyu yaani ni muongo na malizia nahisi anagongwa kitu hizo habari ajue yy acha ujinga wewe katafute habari usingoje habari
Yanga sio timu ya kumbembeleza mchezaji ilishapita huko, aondoke tulete chuma kipya mimi naona hata yeye kachoka kwa sababu matokeo yameshuka sana Tunaitaji wachezaji wapya na wakalo zaidi yake
Hao hawajaja kuja tz kuwafurahisha nyinyi na usimba na yanga wenu hao wamekuja tz kutafuta pesa tu na si kingine timu na mapenzi mnazo nyie hao wageni wanakuja kutafuta maisha hiyo heshima kaa nayo wewe wao wanataka hela
Simba Iko juu sana wachezaji vijana pacome mzee hafai Simba atacheza wapi pale acheni kumpaisha Hana kiwango
Kabisaaa"abaki hukohuko supu fc
😂😂😂nimegundua kuwa utopolo wengu povu linawatoka 😂😂😂😂 kumbe mkuki kwa nguruwe kwabinadamu niuchungu cyo kumbe inawauma eeh😂😂😂😂😂
Mmeingia tena kwenye mfumo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Eng. Hersi hatari sana kawaweka tena kwenye mfumo na wameingia🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Haya ngoja tuone km wameingia kwenye mfumo😂😂😂😂😂😂😂
Hata aziz k yaliongelewa mambo mengi kama hayo ya kwapacome,ila tuendelee kula mtori nyama tutazikuta chini😂😂
Bora Pakome kuliko Aziz Ki
Pacoma Mzee atumtak pacoma 😂😂😂kwenye Tim yetu sis mfumo wetu kama Barcelona atutak wazeee
Pakome awezi kwenda simba, umri unamuangusha
Paokome ni mchezaji mzuri
Mkaraboko acha kubeza
Mkalaboko anaipenda sana Yanga wachambuzi karibu asilimia 99 hadi wengine tunawajua wa Utopolo wanasema hajasaini😂😂😂😂😂😂😂
Wachambuz maandaz ndio haooo 😂😂😂😂
Huyo mnamwita Mzee wa Jambia ni chizi mambo mengi ya ovyo anazungumza juu ya Yanga.
Aende tu. Kiwango chake kimeshuka. Yanga watafute wachezaji wapya, wakitaka wamchukue na Aziz Ki
Aliondoka Feisal Salum akaondoka Mayele Juma Shaban Kisinda Bangala jee Yanga imezorootaa
Haihitaji akili kubwa kwenye hili swala. Mtu anazimwagia hela timu 8 za ligi kuu anaweza kweli kushindwa kumlipa mchezaj mmoja? Tena mchezaj mwenyewe ni pakome????. Hizi ni porojo ili waonekane wanatumia nguvu kubwa kubakiza wachezaj wao. Akitoka hapo hawez kupata washamba wengine wanaoweza kumpa pesa nyingi. Huko kwingine watamchukua kama mchezaj wa kawaida tu atulie hapo kwa wapanga matokeo.
Man city Psg waarabu wanajuwa kutumia helaa
Utajua ujui
Simba hawawezimchukua umri umeenda sana
Shida yanga ni pesa wachezaji wanajua kuchezea ila masilahi ndo shida
Atutaki wazee sisi aende singida.
Matajiri katika mchezo wa mpira ni waarabu mulisikia wapii Tajiri wa timu muhindii
Wamchukue na Aucho Simba nguvu moja tumechoka na vijana
pacome ni mzee viongoz wa simba acheni kabxa
Achani ujinga pacome hawezi kwenye kwenye matope
😂😂😂
Sio?....sio?.....sio? Mzee wa jambia
Awa walisema chama Aziz awezi kucheza sehemu 1yanga wanataka mafanikio awawezi kumuacha
Simba hatuhitaji wachezaji wazee
Binafsi pacome hapana,angekuwa zengeli sawa
@@KisinzaNewton wew hujui ball pacome ndo mchezaji mnyumbulifu sana
@@kelvinwilfred-p2eyule achan na umri ila ni mashine uhakika
Hapo kwenye funguo kunasa kitasa😂😂😂
Wacha aende tu Yanga wahuni kwenye malipo ya WA hezaji na hata mikataba Yao ni yakihuni cmba Wana uwezo ws kulipa mishahara VIZURI na mikataba Iko vizuri.wapi mmesikia Simba inaambiwa na FIFA kuwa wamefungiwa na Yanga mpaka Sasa wapo kwenye habari za kufungiwa usajiri WA wachezaji, Tatizo utopolo wanasajiri kwa mihemuko
hahaaaaa
Kbsaaaa
Hii Yanga brother sio ya zamani wait and see
Wahezaji hata kuandika ujui
Pole asee
Endeleeeni kudanganyana makolo yanga ipo salama kabisa Hakuna mchezaji yoyote atakayeondoka😂😂
Huyo jamaa si mchambuzi bali ni shabiki wa yanga
Achana na uchambuzi nenda ukafuge nguruwe weww
Chukueni kaondoka Mayele mkasemabinakufa ohhh ninijumbea tu mnashindwa familiazenu kilasiku younger atapatikana kibokoyake,haturudinyuma imekulakwenu vi ng"ang"a
Kuandika kwenyewe hujui utopolo ww
Pacome akienda simba ataleta changa moto kwa wachezaji wazembe pale simba
Mchezaji mkubwa kuliko wote kwa yanga yetu ni GSM na Heris
Basiiiiiiiiii
Bila kumsahau kayoko
Na kayoko
Kwahiyo kama makubaliano bado ndo mseme aende simba huyo atakuwa kapata timu nje
Tatizo ni ujinga wa wachangiaji wa mada! Subirini muone mchezaji mwenye kiwango cha Paccome akicheza simba!!!.mnatumiwa tu kama wanasesere.
Kama Aziz Ki alivoenda Simbwa 😂😂😂😂
Simba tafuteni wacheji wa maana pakome hamna kitu hata miaka yake imeenda
Pacome hafai kucheza Simba ni size ya yanga
Wewe Mkaraboko huna lolote achana na uchambuzi tena hufai kuchambua
Aliindoka Mayele akafata Feisal na wengineo lkn Yanga inazdi kuimarika th
Kiki tu hizi mwisho wa siku atabaki young africans
Wee mwanamke w efm mbona unakiherehere kushadadia umbea wa Oruma kama kwamba anatoa habari za ukweli ? Oruma Snape da sana mambo ya umbea kamavile mwali.
😂😂😂😂😂😂😂
Kwa hiyo kila mchezaji ambaye hajakubaliana anakuwa anakwenda Simba, au ndiyo njia ya kutumalizia bando?
Dogo Acha dogo unaongea ujinga
Walikwepo sio mkubwa kuliko yanga
Mimi naona ni mzee kwani ana miaaka mingapi
Mkalaboko imemugusa!
Imemuuma hatari na anajaribu kuwakatisha watu tamaa lakini wapi
Uyo uruma ni chizi ana anachokijua
Ninyi mnaharibu mpira hasa huyo unaemhoji hajui chochote ni mropokaji si aiongeree hata namungo kwa nini yanga tu
Hela anayo mwaga niza kutafuta ubingwa na si za kusajili
Wakina Oruma ataanza kumsifia Pacome kisa fununu za kwenda Simba. Yanga hawajaweza kumshindwa mchezaji ikiwa watamuhitaji
Yanga wajanja janga kuusu mishahara simba huyo pacom karibu kwenye timu bora
Ajibu,morson,gadiel,feisal,mayele,etc
Acha ujinga wewe. Simba alimchukuwa morryson huku yanga wanamuhitaji au umesau. Simba ana pesa kuliko yanga. Kama tunamuhitaji tunamchomoa tu.
Ni wakati wenu wa kutaka kupata pesa kupitia nyinyi waandishi! Msiipangie YANGA kuhusu usajili wake! Na msimpangie mchezaji kuhusu kuanza mazungumzo na YANGA! YANGA hawana wasi wasi wana viongozi wanaojielewa! Lakini pia mnataka kuwachanganya Yanga ambao wapo bize na ligi na michuano ya kimataifa!
Bonge la povu
Pakome aje songea ajiunge na bombambili sity
Aende tu tena atanguzane na azizi ki
Mmesajili Kijiji badomnataka wengine
Labda aje kuwa kocha wa Simba Veterans!
atumtaki kwanza anacheza namba yanani pale simba kwa umri wake abaki ukouko na wazee wenzie sisi mfumo wetu ni wavijana
😂😂😂😂😂😂aende kwer hatumtaki 😮
Wilson huna akili wewe
aache CL akacheze SHIRIKISHO,?.
NYIE WACHAMBUZI ACHENI KIKI SIMBA ILIPRUNI WAZEE HAWAITAJI MZEE TENA
HUYO hamna MTU mruma amekula pessa zawatu
Maneno tu ayo viongozi wako makini.wachambuzi kazi yao kuhisi akuna anayejua makubaliano
Chenu kuwakuza Simba hatuna aja nao tafuteni Kiki nyie wachambuzi mikundu mmeandaliwa na gsm , wasenge mbwa
Huo ndio ubaya ubwela
Sawa
HUO NI UONGO TUU KWANI HAMUKUMBUKI JINSI WALIVYOSEMA KUHUSU AZIZI KI?WA WANASEMA HVHV KUMBE NI UONGO TUU HAPO ATAKUWA AMESHASAINI WANAONGEA HVY ILI IONEKANE KUWA WAMEFA YA KAZI NZITO KUMRUDISHA HUO NI UONGO TUU
Kama kabaki ki azizi iwe pakome nyie tafuten hbr zingine sio gsm ashindwe
Hakuna uwezo huo
Aende ashuke kiwango. Pale simba mwenye uwezo wa kucheza na Pacome ni Awesu tu
Hata bado , tulia iwangie, kila mchezaji pale atataka ongezww mzigo, ameanza Fei , saiv pacome atakuja mwengine,
Hako kamwanamke na oruma wale wte ni kolo unategemea wataongea nin wanashoboka shoboka hapo
Bado diara bado mudathir
Hatumtaki
Ata Aziz k walisema anaenda simba au tumeshasahau?
@jeffreymalingula.Simba iliwapigisha shoti yanga iliwamlipe Aziz K pesa nyingi kuliko uwezo wake.Na Yanga nao wakaingia kwenye mfumo😂wakapata hasara
Sasa wanafanya kwa pacome pia Akili mtuwangu!!!!😅😂😂
Tunawatikisa ili mmwage pesa alafu tunahamia kwa max na diara mpaka boss uchwara muuza magodoro aikimbie timu😂
Pacome Ni mashine ya magoli Simba chukua
Kizee chanini wakat Mzee mwiziwe chama yupo huko 😂😂
Ouma kama fala ally kamwe kawachezea akili kidogo tu hadi limevimba uso
Acha makasiriko ww ..haiondoi ukweli unadhani mambo sikuhz yanajificha
Mchezaji wa bongo ili aonekane mkubwa lazima ahusishwe na SIMBA
Hizi ni propaganda zinazoanzishwa na NYUMA MWIKO ili kumpa thamani mchezaji wao
Usipomhusisha mchezaji wako na timu na 6 kwa ubora Afrika ambayo ipo kwenye nchi yako utamhusisha na timu gani nyingine?
PELEKENI UTOPWAX WENU UKO
Wachezaji wa yanga si mlisema ni wazee sasa mnawataka wa nini nyie simbilisi
umeona ee
Hatuwahitaji wazee, Bali tunawaongezea dau ili tuwakomoe mvunje record ya kulipa wastaafu.
Hana athi ya kuja simba mbwa mzee
Izo ni propaganda za injinia hersi said ili yanga izungumzwe lakin mkataba alisaini mda 2
Yaani ktk wachambuzi ambao cmuamini ni huyu yaani ni muongo na malizia nahisi anagongwa kitu hizo habari ajue yy acha ujinga wewe katafute habari usingoje habari
Aede tyu. Apotee
Yanga sio timu ya kumbembeleza mchezaji ilishapita huko, aondoke tulete chuma kipya mimi naona hata yeye kachoka kwa sababu matokeo yameshuka sana
Tunaitaji wachezaji wapya na wakalo zaidi yake
😂😂😂😂😂😂😂😂
Simba hawana hela ya kumlipa pacome lbda aende nche ya inchi
Hujielewii sema unajina la rafik angu 😂
Yanga Analipwa Billion 10 Au
Usijipe Moyo Hawana Hela Moo Namba Moja Tanzania kwa utajir na africa wa 3 unaongea nin ww kaa utulize mshoni
Kakojoe ulalee unadhani Simba wanamadeni kama utopolo
Subir uone kama Simba Haina hela ya kumpa pacome
Nyie ni marofa tu.
Pacome usivunje heshima yako endelea kubaki yanga ni heshima kubwa hapo ndo panakufaa piga boli tu
Ana heshima gani na yanga Ina heshima y
Yanga utopolo
Hao hawajaja kuja tz kuwafurahisha nyinyi na usimba na yanga wenu hao wamekuja tz kutafuta pesa tu na si kingine timu na mapenzi mnazo nyie hao wageni wanakuja kutafuta maisha hiyo heshima kaa nayo wewe wao wanataka hela
@@FahadAbubakari-y3f😂😂😂😂yeye analeta mapenzi kwenye kaz
Achana na uchambuzi nenda ukafuge nguruwe weww