Mtazamo Wangu: Mariam Migomba: Wanaume ni waongo/Niko Kwenye ndoa Miaka 30/Maadili hakuna

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 62

  • @rehemamakuburi8254
    @rehemamakuburi8254 4 ปีที่แล้ว +1

    Mariam wa migomba mwanamke shoka yuko vizuri Mashallah! Dah interview nzuri sana huchoki kuisikiliza hongera Zamarad TV

  • @nataliekamaka1298
    @nataliekamaka1298 4 ปีที่แล้ว +3

    Uyu mama hazeeki toka vidudu namsikia mpk saiz yupo vle vle love you

  • @zennakailo8106
    @zennakailo8106 4 ปีที่แล้ว +4

    NAMPENDA SANA MARIAM JAMANI HUYU MAMA I LOVE HER🥰🥰🔥

  • @rebeccjackson1520
    @rebeccjackson1520 4 ปีที่แล้ว +3

    Nakupenda bure

  • @moshielfesty7992
    @moshielfesty7992 ปีที่แล้ว

    Nakupenda mariam

  • @mwajumaabdallah8600
    @mwajumaabdallah8600 4 ปีที่แล้ว

    Huu mtazamo konk Yuko bright Sana Mariam yapo yakujifnza na kuzngatia pia

  • @aminahobidike1071
    @aminahobidike1071 4 ปีที่แล้ว

    Mariam ur my role model

  • @mwan2mwaziry455
    @mwan2mwaziry455 4 ปีที่แล้ว

    Nakupenda mama

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 4 ปีที่แล้ว

    Nyimbo za zamani ni nzuri zote.... kusema ukweli.... Nyimbo za TAARAB.

  • @beatricetenywa4367
    @beatricetenywa4367 4 ปีที่แล้ว +5

    Mwanamke na nusu🥰

  • @priscamlyuka5531
    @priscamlyuka5531 4 ปีที่แล้ว

    Nampemda huyu mama mm jamani since nko darasa la 3 wish nikuone liveeee jmn dah ❤❤❤❤

  • @teeanna2060
    @teeanna2060 4 ปีที่แล้ว +3

    Khaaa mama yuko vizur uyu Atari na Nusu😋😋😋

  • @glorymushi3025
    @glorymushi3025 4 ปีที่แล้ว +2

    Nimekuelewa sana mama lao

  • @zennakailo8106
    @zennakailo8106 4 ปีที่แล้ว +3

    Kiukweli nmemwelewa sana mama mariam 🤏MMAKONDE MMMH WE MAM KHAAAAAAA 😀😀😃😃

  • @ashurabakiri8427
    @ashurabakiri8427 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda mno Mariam wa Migomba,unajitambua mno!yaani hii segment ya mtazamo wangu imetulia kisawasawa,maswali yako vyema mno👏👏ahsante kwa kutujuza Bi Mariam,mwanamke hakuna kuishi na mazoea kwa mumeo nimeipenda sana hiyo👌mwanaume hawezi kukaa hata wiki moja🙄wanawake tusijisahau,shukran kwa kutukumbusha🤝👏

    • @gracefernard9765
      @gracefernard9765 4 ปีที่แล้ว +1

      kweli hawezi kukaa wiki moja bila...........

    • @neemachayoa685
      @neemachayoa685 4 ปีที่แล้ว

      Nakupenda sn da mum...hongera miaka 30 ya ndoa sio jambo dogo

  • @khadeejaabdullah7083
    @khadeejaabdullah7083 4 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante mam

  • @faridasabu8946
    @faridasabu8946 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakuelewa sana dadaake mamy orijinali!

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 4 ปีที่แล้ว +1

    Kweli Dada Mamu, wanaume ni waongo sana.

  • @rahmaramadhan9773
    @rahmaramadhan9773 4 ปีที่แล้ว

    Lakini mamy kuuramba mkono sisunna au kivipiii 😔 ila maneno kunntu nimeipenda mashallah

  • @azzaalmaamry76
    @azzaalmaamry76 4 ปีที่แล้ว

    MaashaaAllah

  • @reginaclemence1200
    @reginaclemence1200 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda buree

  • @salhaissa2619
    @salhaissa2619 4 ปีที่แล้ว +1

    Mm nakupenda san da mamu!

  • @flackomasterbaddest4155
    @flackomasterbaddest4155 4 ปีที่แล้ว

    UBAYA NI WABONGO hasa Wanawake Hamuelewi maana ya DATING ...dating ni muda mnaotumia na mtu ambae mmependezana kuona kama mnaweza kuwa na mahusiano ....sasa mbongo mmeanza ku date wiki haijaisha anauliza kama utamuoa ndio maana mnaishia kudanganywa maana umeuliza wrong question at a wrong time ...mwanaume hapendi kuwa pushed kwenye maamuz makubwa kama hayo let it flow

  • @josefinafeliyaza188
    @josefinafeliyaza188 4 ปีที่แล้ว

    Nimependa

  • @gracefernard9765
    @gracefernard9765 4 ปีที่แล้ว +1

    nimekupenda buree

  • @khadijaomar7529
    @khadijaomar7529 4 ปีที่แล้ว +3

    Haki ya mungu tena hata mimi marafiki wameniumiza sana mpaka wengine wamezaa na mumewangu hakuna tena marafiki duniani 🤣

  • @sarahmwansile6007
    @sarahmwansile6007 3 ปีที่แล้ว

    Naomba namba jamani

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 4 ปีที่แล้ว +1

    Mtazamo wa leo oyee!!

  • @tricemollel939
    @tricemollel939 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante daa Mariam wasisahau zile sarakasi 😂😂😂😂

  • @aishafransic8749
    @aishafransic8749 4 ปีที่แล้ว +2

    Naomba namba yako somo wangu

  • @fozyafozya4060
    @fozyafozya4060 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah 😍😍

  • @halimamohamed6636
    @halimamohamed6636 4 ปีที่แล้ว

    Hapo kweli waume waongo

  • @melvinnakhungu2504
    @melvinnakhungu2504 3 ปีที่แล้ว

    Hiyo ni zinaa mwanaume kutembea na wake wengi sio sifa

  • @rahillhamidu2544
    @rahillhamidu2544 4 ปีที่แล้ว +1

    Mtazamo konki

  • @rqiyaabdallah840
    @rqiyaabdallah840 4 ปีที่แล้ว +3

    Nikwei kabisa
    Ustarabu nikitu
    Kzuri

  • @mwanahella9650
    @mwanahella9650 4 ปีที่แล้ว

    MAMUUUU💖

  • @khdigahk4246
    @khdigahk4246 3 ปีที่แล้ว

    Akina nyonzoooooooo muache uongo

  • @KhaletaniyaQueen
    @KhaletaniyaQueen 4 ปีที่แล้ว +2

    Hapana nndowa inajengwa na watu wawili siyo moja na mwanamke akizaa mume anaye kupendwa anakupikiya big nooo

  • @a.856
    @a.856 4 ปีที่แล้ว +1

    👍🏼🙏🏻

  • @ashurabakiri8427
    @ashurabakiri8427 4 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo style ya kutafuna kwa kufumbua mdomo kiboko🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @restutakivamba88
    @restutakivamba88 4 ปีที่แล้ว +1

    Maneno kuntu ukweli mtupu

  • @hildakazige1637
    @hildakazige1637 4 ปีที่แล้ว

    Haya mama tutaenda kwa ma doctor na manes hatutaenda kwa manesi wa mtaani😂😂

  • @joycekasakisya7755
    @joycekasakisya7755 4 ปีที่แล้ว +5

    🤣🤣🤣 uyo ndio Miriam wa Migomba buana!!

  • @azizakwileka1686
    @azizakwileka1686 4 ปีที่แล้ว +3

    ,😍😍

  • @elizabethkimari6224
    @elizabethkimari6224 4 ปีที่แล้ว +3

    Et kitovu chake kimetupwa baharini kikaenda kikarud hakijazikwa chin ya papai😀😀😀

    • @hadijalukasmdeg9987
      @hadijalukasmdeg9987 4 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @elizabethkimari6224
      @elizabethkimari6224 4 ปีที่แล้ว

      @@hadijalukasmdeg9987 yaan nimecheka mamy.. Kila mda naiskiza

    • @hadijalukasmdeg9987
      @hadijalukasmdeg9987 4 ปีที่แล้ว +1

      @@elizabethkimari6224 mimi mwenyewe nimecheka mpaka nimehisi kujamba maliamu kajuwa kutuchanganyia mafaili ya kitovu kwenda na kurudi chini ya mpapai

    • @elizabethkimari6224
      @elizabethkimari6224 4 ปีที่แล้ว

      @@hadijalukasmdeg9987 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣niache aisee.. Et chin ya mpapai

    • @hadijalukasmdeg9987
      @hadijalukasmdeg9987 4 ปีที่แล้ว

      @@elizabethkimari6224 😁😁😁😁pole mwaya

  • @asmaally8353
    @asmaally8353 4 ปีที่แล้ว

    Kwa matatizo ya ngozi, uzazi,nyama uzembe, kuongeza shape, hips,n.k
    Dawa zipo, Karibu ofisini, sms/whatsap 0693_330284

  • @gracecharles1244
    @gracecharles1244 4 ปีที่แล้ว

    😁😁

  • @mauahussein9833
    @mauahussein9833 4 ปีที่แล้ว

    Kwani mariam wa migomba si ameshakufa au sie

  • @hildakazige1637
    @hildakazige1637 4 ปีที่แล้ว

    Haya mama tutaenda kwa ma doctor na manes hatutaenda kwa manesi wa mtaani😂😂