ULIVYO KWA ULACHO na Mama Terry: Kwanini Usile Chakula kingi sana au kwa papara

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • Kwenye episode hii ya 3 ya #UlivyokwaUlacho, Mama Terry anakueleza umuhimu wa kula chakula cha wastani na kuacha kuwa na pupa wakati wa mlo

ความคิดเห็น • 11

  • @mayrfrimi4759
    @mayrfrimi4759 ปีที่แล้ว

    Asante sana mama Terry, hakika nimefurah kukusikia tena na zaidi nikakuona, miaka ya 1990 na kuendelea nilikusikilizaga sana mara hukusikika tena, nafurahi umerudi tena kutupa mafunzo

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 ปีที่แล้ว

    Asante sana Mama Kwa kutupa elimu hii, watu tumeyapanua matumbo baada ya uzazi leo tunajuta.

  • @eyabdimaha3698
    @eyabdimaha3698 ปีที่แล้ว

    Masha Allah mama teri ndio mana unangara kumbe misosi unaijulia ya kula asante kwa somo zuri sana

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @aishaa2930
    @aishaa2930 ปีที่แล้ว

    Asante sana mama Kwa somo ila nimecheka🤣🤣🤣🤣🤣

  • @abdulrahmanhassan5998
    @abdulrahmanhassan5998 ปีที่แล้ว

    Ahsante mama kwa somo zuri

  • @ashooraashoora1180
    @ashooraashoora1180 ปีที่แล้ว

    Ahsantee mama ❤️

  • @khadijaabdala6876
    @khadijaabdala6876 ปีที่แล้ว

    Ahsante mamy

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 ปีที่แล้ว

    Santeee mum

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 ปีที่แล้ว

    Kula lumbesa ,,,piga pushapu mia ,,,Lala😂😂

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 ปีที่แล้ว

    Kula kujigaragaza😂😂