Mungu atashughulika & hao mashetani walomuuwa mtoto,kuna dada alixaa mtoto mtoto wake mxuri sn wa kiume,baadae wapangaji wenxake yakamuonea wivu yakamuwekea sumu yule mtoto.Mtoto alifariki,Hivyo mashetwani yanayouwa watoto wa watu,Mungu atayapa mateso hapa2 duniani,mitoto yao itakufa.
Waturuki na ngozi nyeusi sijui hata wakoje wale siyo viumbe wa kawaida wana roho za unyama sana pia wana misimamo balaa😢 pole sana mke mwenzangu kwa mitihani unayopitia 😢
Sasa mtoto kawakosea nini jamani mpka wakakatili uhai wake???😢 Au rangi yake ndo kosa kubwa alilokuwa nalo??Wivu mbaya sana jamani. Pumzika kwa amani mtoto mzuri.💔🕊️ Wote walioshiriki kukatili uhai wako wasiwe na amani na Mungu awahukumu kadri ya matendo yao.
KM WEWE ULIYEMPA DONASI HUYO MTOTO ULAANIWE SANA WEWE NA UZAO WAKE. NA FAMILIA YAKO YOTE. WEWE NI SHETANI SANA SASA ROHO HAIKUUMI?HATA UKIFA HUYO MTOTO AKAKUFUKUZE HUKO AHERA
YANI NINAHISI KITU KINGINE KABISAA MAANA HIZI RANGI KUZAA NAZO TENA UTURUKI NA CHINA NI SHIDA BORA MAREKAN .UARABUNI SIJUI WAPI NI MAFIA KAMA HATAKI MTOTO KUOGOPA.MKE ANAWEZA TUMA MTU AFANYE UBAYA TU
Mungu atakulipia bint kila alieweka mkono wake mungu atamuhukumu
The way she is cute. God have mercy coz of the innocent child, Oh God I ended up crying for the lose of the baby boy
Inauma sana aky 😢pole dadaangu mungu akutie nguvu
This is really heartbreak, pole sana dada Mungu akutie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu kwako. Mtoto mzuri ukapumzike kwa amani. 13.09.24.
Pole dadaang mungu anajua zid yaunavo fikilia japo huto sahau ila naamini naninakuombea mungu akufariji naakushushie neema endelea kuomba mung
Pole sana dadangu Mungu akupe ujasiri wakati uumgumu
Pole sana dada Mungu ampumzishe kwa amani
Husda ni kitu kibaya sana daaa wamemuua kwa husda 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Pole sana
Pole sana ilesiku ya mwisho kila mtu atatoa hesabu yake
Pole Sana dada yangu. Allah akupe subra katika kipindi hiki kigumu
Pole sana mdogo wangu M/atakuponya Ameen 🙏🙏
Pole sana Mungu akutie nguvu
Innalillah wainna lillah raajuun pole kipenzi maumivu yake hayapoi 😭 ata ufanye nn tupo wengi wahanga tunalia Kila iitwayo Leo 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Mungu yuko nawe❤
It's true😢😢😢😢😢subhanallah
Kaza moyo ushinde mtihani
Mungu atashughulika & hao mashetani walomuuwa mtoto,kuna dada alixaa mtoto mtoto wake mxuri sn wa kiume,baadae wapangaji wenxake yakamuonea wivu yakamuwekea sumu yule mtoto.Mtoto alifariki,Hivyo mashetwani yanayouwa watoto wa watu,Mungu atayapa mateso hapa2 duniani,mitoto yao itakufa.
Dduhh aiseee
Subhanallah lnalillahi wainailahi rajuun
pole sana jaman inauma sana.pengine babake alituma mtu kujz kumuua
Duuu inaumiza sana Mungu akutie nguvu
Sina Jin's ila malipo nihapahapa mungu akutie nguvu Kwan ungekua nawazazi wako mtt angeishi na bibiake yote heli omba mungu dada pole mamy
Pole sana dada mungu akupe nguvu na akupe mtoto mwingine
Pole Sana dada
Nimeumia sana😭😭😭😭
Inna lillah wainna ilàih rajiuna
Jamaniii watu wamekua wanyama .Mungu akupe faraja dada
Waturuki na ngozi nyeusi sijui hata wakoje wale siyo viumbe wa kawaida wana roho za unyama sana pia wana misimamo balaa😢 pole sana mke mwenzangu kwa mitihani unayopitia 😢
pole sana😢😢
Mungu akuripie
😭😭😭 pia Mimi wangu aliuwawa Tu mungu akupe nguvu sana
Pole sana MUNGU akutie nguvu na kukufariji
Pole sana mdada mzurii
ALLAH Kareem
Mashaaalah na hicho kituruk,
Yaani 😢😢😢binadamu husda husda husdaaaa tu mnamiua katoto hakana hatia 😢😢😢😢😢daaha mungu shughulika na Hawa watu jamani 😢😢😢😢😢
Pole sana😢😢😢
😢😢😢 inauma sana
Mtt mzur jaman 😢 mungu atamlaani huyu mtu
Nimeumia sana
Jamaniiiiiii. Pole
Daaa nimeumia maskini
Pole sana
Be patient my young sister take a heart
mungu akutie nguvu dadaangu
😢😢😢😢😢😢god rest you i peace. Pole sana mama
Daah 😢😢😢apumzike kwa amani 🙏🙏😥😥
Innalilah Wainna ilayh Rajighun 😢
Mungu akupe subra
What a sad story 🤷 😭 why kill why a child for that matter ,an Angel innocent child 😭😭😭💔💔💔.. God is watching 👁️👁️
Mtoto mzuri 😭😭😭innalilah wa innalilah rajiun
Pole sn kwa kumpoteza mtoto
Uwiii Jaman
Duuuh jmni wangekaacha tu nikazuri mno jmni huyo baba alaaniwe😢
Jamani d
Pole sana jamani
Pole Sana mdogo wangu huyo mfanyakazi atakuwa alimpa sumu kwenye hiyo donati 😢😢😢. Roho ya wivu kaamua kumuua
Pole sana dadaangu 😢😢😢😢😢😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Sasa mtoto kawakosea nini jamani mpka wakakatili uhai wake???😢
Au rangi yake ndo kosa kubwa alilokuwa nalo??Wivu mbaya sana jamani.
Pumzika kwa amani mtoto mzuri.💔🕊️
Wote walioshiriki kukatili uhai wako wasiwe na amani na Mungu awahukumu kadri ya matendo yao.
Mungu awalaan wote waliomuua hyo mtoto NASIKIA uchungu Hadi nalia
Eee Mungu inauma😭😭😭
Mwenye alimuuwa uyo mtoto tunamwachia mwenyezi mungu amusamee
Woyee aki pole sana dada mwenyezi mungu akutie nguvu na akupe mtoto mwegine kama uyo
Azae n mturuki ten
Jamani kuna watu wanaroho mbaya
😢😢😢😢😢jamani imeniuma sana
Wivu tuu hakuna chengne 😢au huyo aliemuua alitumwa
Jaman 😢😢
Eeeee binadam wanaroho mbaya wamemuulia mtoto wake
This is sad
Kuna watu wako na roho mbaya sana
Watu wanaroho mbaya mno wivu mtoto mzuri ana afya ana furaha sana alikuwa mtoto
Ona jeneza kubwa sio la mtt
Hata huruma jamani innallillah wa innallillah rajiuni
Daa inauma sana hata angepimwa sasa, ila uyo baba kama ataiyona hii ataumia na atajuta kwanini alimuacha itamkosesha amani ktk .aisha yake
Mlee mtoto mzuri sana huyo mpe maadili ya dini msaidie atakupa faida
Unaambiwa mtoto amekufa amelishwa sumu
😭😭😭😭😭🙏🙏🙏
😭😭
Duh😢😢
So sad 😭😭😭
😢😢😢😢
Asinge mnunulia nguo km hampend
Pole sana duh 11:53
Wakomeshwe kuja kuchinjs manyama yao ya sadakatanzania
😭😭😭😭😭😭😭
Da donate,watu mnaroho mbaya kama za sheitani, mtoto wa mwenzio ni wako .
Si Burundi huko aje Tanzania
Inawezekana mturuki ndio katuma watu waue ili kupunguza kuandamwa
Jaman nyiee watu wana roho zaifuu
Baba yake alifariki kabla ya mtoto
Yawezekana huyo mturuki amefariki binadam hamna kitu
Mbona watu wengi????nae alikua peke yake na mtoto???alafu jeneza ni jubwa mno nae mwanae mdogo mnadanganya watu😏😏😏
Kuna Nchi Co za kuztanulia mapaja 😢😢😢
Inawezekana baba alirudi kummaliza aki inaogopesha
Kabsaaa Jamani lkn cc wa African tunahadaika na AO mmbwa weupe wenye roho kuliko weuc wa ngoz ze2🙌😏😢
KM WEWE ULIYEMPA DONASI HUYO MTOTO ULAANIWE SANA WEWE NA UZAO WAKE. NA FAMILIA YAKO YOTE. WEWE NI SHETANI SANA SASA ROHO HAIKUUMI?HATA UKIFA HUYO MTOTO AKAKUFUKUZE HUKO AHERA
Bola angenip Mimi huy mtt
Hata nyinyi huwa hamsukii
Acha tuu msiba wa mtoto
YANI NINAHISI KITU KINGINE KABISAA MAANA HIZI RANGI KUZAA NAZO TENA UTURUKI NA CHINA NI SHIDA BORA MAREKAN .UARABUNI SIJUI WAPI NI MAFIA KAMA HATAKI MTOTO KUOGOPA.MKE ANAWEZA TUMA MTU AFANYE UBAYA TU
Washenzi hao hata mm demu wangu aliniacha Morogoro akaenda kuzaaa na mturuki
😂😂
shobo na watu wa nje apo alivokuaaaa wa nje unawazaaa maisha mazur achen tamaaaaaaa lool
Wachina na waturuki niwashenzi
Maskin
Lichomwe moto hilo mbwa.
Hio ni siku za Corona mbona alikua anaongea na mtangazaji bila musk???
Imeniuma jamani 😢😢
Duh
Huyo nae aulie aliye muua