Ile ambayo Dolo alipopewa mimba na boyfriend wake wakamshawishi aitoe kwa Mganga, baada ya hapo Doro anakufa then wanaamua kumzika kimya kimya bila familia yake kujua matoke yake Dolo anageuka kuwa mzimu nakuanza kuwatesa wale wote waliomshawishi atoe mimba, aisee hii movie kitambo sana
@@athumanimtajih hakika movie za zamani zilikua na ubora na hapo vifaa vilikua shida pamoja na wasanii walikua hawapati hela ya maana. Ila sikuhizi hela ipo na vifaa vipo ila movie zenyewe sasa. Ndo ule msemo kwenye miti hakuna wajenzi.😂😂😂
Jmn kuna movie fulani hivi jina sikumbuki ila kuna Mwanamke nyoka akisujudu anakuwa nyoka mara mtu na mpenzi wake wamekaa mahali ghafla mmoja wapo anavutwa mkono ardhini mwenye kuijua pls😅😅😮
Hii moov nilitoka kuangalia Banda la video sasa mda wa kulud nyumbani sitosaau pale shulen tulikimbizan kila mtu anataka awe kati asee 😢 Waliniweza hii moov
Hii muvu nakumbuka kijijini tulikua tunaangalia kwa jirani usiku wa saa 4 ile kurudi nyumbani tu woga ulinijaa nilipofika nikakuta wote washalala mi nikamuamsha babu nilale ukutani ile kupitiwatu na usingizi akaniijia usiku mzima sikulala niliomba pakuche upesi yani siisahau
Kuna interview aliwahi kufanya doreen yule wa kwenye nsyuka akasema zamani walikua wanatumia vifaa duni sana kurekodia muvi na hiyo ndo sababau ya wao kushindwa kufanya kazi nzuri na pia huwenda ilichangia wao kutokurekodi part ya muvi zao nyingi
Naomba movie moja hivi ya mama mmoja aliedugwa kisu mbele ya mwanae lakini mzimu wake unaanza kuwandama waliomuua lakini sijui jina la movie niliwatch 2013
Hii Chite Ukae Nazani hawakutoa muendelezo kama kuna waliowahi kuiona part 2 waje watoe ushuhuda tuitafute 😂
Mi ndo ninavyojua ipo moja t iyo
Ni kwl movie nyngi tna nzuri lkn hazikufanyka n muendelezo, nafkr ata mtemi haina part 2
Vipi akuna maendeleo ya saladine pia mtemi
tunataka cleopatra @zuuh ally
@@Sterling05 mtemi part 2 ipo. Yule mtoto alimzika mama yake akaanza kumuwinda mtemi alitengeneza silaha kama mishale na mitego.
Ivi musa banz alishindwaje kutoa sehem ya pili hii movie
Muigizaji bora wa kike kipindi hicho lakini hakupata bahati ya kupata tuzo mbele ya kina johari , Wema , hii haiko sawa
😂😂Nyie bwana Mbona hvyo 😂😂
Mama ang anakula nyama za watu ya Doro...
Kama unayo utuleteee💫
Ni balaa😂
Bwawa la shetani my ilete pia ❤
Aisee yani uwa naitafuta kinoma na Ile one by one 😂😂😂
Kul kutantanta matata kuntentele mbk kwa snake boy alikuwa akiisema hii kumbe ya muda mrefu kwa chili anajua sana huyu uganga
😅
Ila huyu dada lorita si ndo alikuwa doreen kwenye insyuka 😂😂😂 Daah alijua kunyooshwaa kipindi hicho
Ndio huyo
dada Zuuu tuletee na hii inaitwa kibogoyo bonge moja la bongo movie
Mussa Banz alikua fundi sana wa izi kazi...
Hapotezi uhalisia kabisa
Wallah tena
Naomba ile movie ya intu nyama zama zile tukumbuke vizur sana kutukumbusha Iv vitu ongera sana
Dah hizi ndio filamu bwana, ulikuwa ukiangalia lzma ukae nyuma ya mwenzio, kikinuka tu ,unajificha kwenye mgongo😂😂😂
@@halimahaji3856 😂😂😂
Hongera sana dada zuuh kwa kutupa burudani tunajikumbusha vya kale 😂😂hii nilikuwa naogopa kutimiza jaman
Nilikuwa nikangalia nikitumwa dukani siendi😂😂😂
Lete movie izo izo za zaman apo Kuna jinamizi afu roho mbili na pete
Roho mbili mm ilinitesa kipindi icho jaman utoto 😂😂😂😂
Tunaomba movie ya Miwani meusi
Tunaomba movie ya Miwani meusi
Tunaomba movie ya Miwani meusi
@@mussajuma5612 duh ndo naona comment yako unaiomba hii movie. watu itakua wameisahau sijaona alioiomba wakati movie nzuri 😂
@@Sangaproduction Fanya utuwekee movie Kali sana hiyo kama na mwenyewe unavyosema yani
Tunaomba na hot friday ya hemed phd,halmashaur ya kichwa
Nilikua siendi chooni pekeangu
Kuna movie inaitwa jinamizi tutafutie iyo jamaa
Dah kipindi mdog nilikuw naogopa paka naotaga😅😅
Usisahau bwawa la shetanii nangojeaa sanaa
Jmn hiyo bwawa la shetani daaaah naimis htr
@@MubarakaCloud Iko vzr mnoo movie hiyoo
Na uwanja wa dhambi
Sister lete muvi ya Kingwendu na mwanawe inaitwa Pakacha
Kuna movie siikumbuki jina lake lakini kuna jini anaitwa dolo sijui nani ashawai kuiona anikumbushe jina
Mama ang anakula nyama za watu💫💫💫
Ile ambayo Dolo alipopewa mimba na boyfriend wake wakamshawishi aitoe kwa Mganga, baada ya hapo Doro anakufa then wanaamua kumzika kimya kimya bila familia yake kujua matoke yake Dolo anageuka kuwa mzimu nakuanza kuwatesa wale wote waliomshawishi atoe mimba, aisee hii movie kitambo sana
Naipenda mnooo ivi inaitwaje@@selemanimsangi7805
@@JosephMsofe-fo4mbndo iyooo
Usisahau swala la movie ya one by one ya DR cheniii
Da zuu naomba movie moja inaitwa tamaa mbaya yule lukei alieact heaven sent ya wema yuko humo ndani pia wameact kama matapeli naomba da zuu tafadhali
haogopi khee😂😂😂😂
Hongera kwa kazi nzuri 🎉🎉
White chair pia
@@teddysananga ipo TH-cam
@@Sangaproduction sawa
Dada zuuh tunaomba kisiwa cha wachawi for my child Jeneza
Na bwawa la shetani❤
Jamani kujeni kwa zuuh kumekucha asante sana zuuh❤❤
Msemo u chili kauza sk nyng kumbe.. mie nimeujulia kwa clam
Nimeitafuta Miaka mingi kweli aisee
🙈🙈 ad nmeogop
Eh uneitoa wap mzee nimeitafuta sana rudi nyumbani ukafe.
Namna zaman walivokuwa wanapenda kazi zao,mandhari yanaakisi kile kinachofanyika,sio siku hiz shuka mbili tu tayr et kwa mganga😂
@@athumanimtajih hakika movie za zamani zilikua na ubora na hapo vifaa vilikua shida pamoja na wasanii walikua hawapati hela ya maana. Ila sikuhizi hela ipo na vifaa vipo ila movie zenyewe sasa. Ndo ule msemo kwenye miti hakuna wajenzi.😂😂😂
@@SangaproductionYaNi walikua hata hawaogopi giza na usiku wa manane ni usiku kweli hakuna kudanganya
❤❤tunashukuru sana naomb utuwekee na muvi ya bwawa la shetani
Kuna movie inaitwa kaziula yatima boss, #zuuh ally tunakuomb ututaftieeeh hiii ni kali sanaa
Ok
Ubora ule ule hizi movie nimezitafuta balaa hongera sana
Zuu Ally ONE BY ONE tafadhali
Tutafutie uwanja wa dhambi,roho sita na one by one Boss 😊
Jinamizi ndio aipatikani kabisa jamaa tutafutie iyo
Zuuu 🔥Wee n balaaa sanaaaa..🙌🏾🙌🏾 tuletee na dude moja hatarii sanaa linaitwa SHAHIDI kitambo na kalii sanaa hiiii😊
😂😂iyo rangi kichwani mwa chill amekua kama ndanda kosovo
man yupo yye kweny movie naogopa mie😂😂😂😂😂😊
Enz hizo ukianglia hulali 😢hhhahaha
movie kali sana hii part 2 ilitakiwa iwepo
Asante kw kutupa ladha ya chite ukae ubarikiwe sana bd radi cobra😂😂😂
Jmn kuna movie fulani hivi jina sikumbuki ila kuna Mwanamke nyoka akisujudu anakuwa nyoka mara mtu na mpenzi wake wamekaa mahali ghafla mmoja wapo anavutwa mkono ardhini mwenye kuijua pls😅😅😮
Umenikumbusha hapo kuvutwa mkono ardhini hiyo ni radi cobra ya Saladin 😅
Hii movie nilifanya nikakojoa kitandani kwa uoga wakutoka inje😂😂😂😂kitambo kweli
I love you zuuuuuuuuuuh❤❤❤❤❤ mwaaaaaaaaah ❤❤❤❤❤❤ penda sana leta vitu kipenz
Kuna ile inaitwa basilisa yupo claud movie moja nzuri sana
😂chill mganga kitambo
Ila kibwana mwinyi mkuu daah 😂😂😂
Hii moov nilitoka kuangalia Banda la video sasa mda wa kulud nyumbani sitosaau pale shulen tulikimbizan kila mtu anataka awe kati asee 😢 Waliniweza hii moov
Nice tuletee muvi inaitwa chozi la urithi 🤝
Hii chozi ya urithi inatisha ile mbaya daaa
Ipo TH-cam, Itafuteni
Wangapi wameliona jina la Ramadhan Mbwaduke katika list ya waandaaji wa filam? kumbe watu wanatokea mbali bhn leo ni mchambuzi wa Azam tv😂
@@hasibetahumharoun3789 hadi kwenye my darling ya taff kipofu jina lake lipo. Nahisi na nyingine nyingi za zamani. nilizani majina tu yanafanana 😅
Hii muvu nakumbuka kijijini tulikua tunaangalia kwa jirani usiku wa saa 4 ile kurudi nyumbani tu woga ulinijaa nilipofika nikakuta wote washalala mi nikamuamsha babu nilale ukutani ile kupitiwatu na usingizi akaniijia usiku mzima sikulala niliomba pakuche upesi yani siisahau
Chili he was so talented kumbe anaweza kuigiza Kam mganga
Video zote zinazotrend tiktok ni kwa ajili yako zuuh wechu mungu akubariki kwakweli pokea mauwa yako
@@BintAli-h9y hakika 🙏🥰
@@Sangaproductiontafdhl jinamizi ya sultan tamba 🥰
Hna baya hyu mwenetu twampnda na tutampnda zaidi maan amefnya wengne tumesahau stress kwa hii kazi anayoifnya wallah mungu amjalie kwa kila ktu 🎉
Nimekunyoshea mikono wewe ni kiboko chite ukae umeitoa wapi aiseee Duh
Hii Chanel ya zuuh ni 🔥🔥🔥
Umefanya vizuri sana kuweka hii movie ya CHITE UKAE..... naomba sana tafadhal muweke na movie inayoitwa MNENGE. naomba sana tafadhal
Nakubal sana unatukumbusha mbal sana na full Hd sema tule tee pia Mzee wa busara Sehemu ya kwanza mzee toboa tobo na zinduna mali ya tabu
Tuleteye One by One ya Dr cheni
Waooh nilikuwa nachungulia mda wote kama ushaweka 😅😅❤
😂😂😂😂😂😂Naogopa kuangalia da zuuuuh 😂😂😂😂😂
Inatisa sana😢😢mbaka unaogopaa
Pete ya ajabu of Charles Magari an old movie please thank you ❤
duuuuuu aiseeee ewatoto wa 2000 xjh kam wanaelew
Ila zuuh una siri kumbe chite ukae imewekwa.
Dada Zuuh naomba upload mzee wa busara
Sema bongo movie mtu anashuk kwenye gari anasema anasbr mvua iishe 😂😂😂
@@derickmabeyo951 unajua mvua ikiwa kubwa? Huwezi ona mbele vizuri 😅
Tulete na mama anakula nyama za watu
Sikulala nilivoicheki hii kwa mara ya kwanza nilivokuwa mdogo😀
Mbn naogopa😂
Kuna interview aliwahi kufanya doreen yule wa kwenye nsyuka akasema zamani walikua wanatumia vifaa duni sana kurekodia muvi na hiyo ndo sababau ya wao kushindwa kufanya kazi nzuri na pia huwenda ilichangia wao kutokurekodi part ya muvi zao nyingi
Tunaomba movie ya umeniita.nimekuja chakula changu ni nyama jina lake sina hakika sana kama itakuw inaitwa umeniita 🙏
Ipo ilishawekwaga
Au andika Uwanja wa dhambi ipo utaiona
Chite Ukae mwenyewe mimi hapa jamani 😀😀😀😀
Asante sana kwa kazi nzuri mungu azidi kukubariki naomba tu kama utaipata chiku na kapili itakuwa poa sana
Good movie dazuu tuletee na ahumileta
@@blankoboy898 shumileta ipo TH-cam. Msiombe movie ambazo zipo tayari. Hapa Tunaweka Ambazo Hazijawekwa TH-cam
@@Sangaproduction okay dazuu
Yaan hiz ndo zilikua movie sas sio akina anko jj walikua miyeyusho tu dah
Kumbe bila wa snake boy mbaka uku yupo kumbe mwamba ni wakitambo
Dear Tuletee baa medi ya Irene uwoya, shishi na mtunisi
Tuletee betrayal daa zuu ile ya bongo movie
Ipo pat two tuletee bhna
Zuuh I really appreciate you wallahi...ila narequest JINAMIZI itakua umenkosha zaidi
Hyo ata mm naisubr tna sanaa 🎉
😂😂ila suti za zamani jmn kah
Mlikua mnaicheka suti ya taff sasa hii imekua kiboko😂
@@Sangaproduction 🤣🤣🤣atari sana ujue
Mm naiomba na ile ya mama yangu anakula nyama za watu usisahau na the picnic
Mambo zuuh, naomba usisahau movie za single mtambalike
Dada tuwekee na jinamizi ya Sultan Tamba na Zogo kisiwa cha mauti na Pete
Sawa kabisa jinamizi jmni
KISIWA cha mauti iko poaa
Maiti ya mwanangu .mtunzi ni sultan tamba
Noma sana hii movie 😂😂😂
Dah Kali sna🎉
Ino muvi naiyona leo nilikua naiskia tu ila kuiyona bado
Hii move nilikua naambiwa yatisha vibaya hapo zamani😂😂
Usisahau ile movie ya kichawi pia inaitwa umeniita
Kama ni umeniita nimekuja hiyo inaitwa uwanja wa dhambi
Ukifatilia vizuri zuu comment za mashabiki zako naamini ushajua wanapenda movie za aina gani😂😂😂 we weka vitu tu
😂😂😂
Tunapenda movie za kichawi
Tupia kitu Cha zogo nmwone bady boy kipindi iko
Anhaa ile kisiwa cha mauti dahh nilikua naipenda
Naomba movie moja hivi ya mama mmoja aliedugwa kisu mbele ya mwanae lakini mzimu wake unaanza kuwandama waliomuua lakini sijui jina la movie niliwatch 2013
naiomba roho 2
Yan zuhh nakupa vyeoo kam vyoote kuturudish ten zaman
My Asante naomb ty tutafutie usiku wa balaha
Hii nayo bonge Moja la moviee
Usiku wa balaa nimeitafuta kishenzi