ILE MIDUNDO YA MASEBENE, naona taratibu ninyi mnaiacha. NAPENDA NYIMBO ZENU NYINGI kwasababu ya namna vinanda vinavyopigwa SAWASAWA NA MWONGOZO WA KANISA LA SDA. nitakuwa balozi mkubwa wa KUSHEA nyimbo zenu zote zenye VINANDA TULIVU, bila sebene 😂 @CLEOPA 😂 mpiga kinanda napenda upigaji wenu wa vinanda Pr. CLEOPA, nakukumbusha ulikuwa CLASS PASTOR. nami pia pale NYANSINCHA. Shikilia kwenye upigaji sahihi wa kinanda
mbarikiwe ndugu muendelee kueneza injili
Mungu awabariki sana mnapomtumikia Bwana❤
Barikiwa pia ndugu
MUNGU awabariki sana watumishi wa Bwana
Waoooohh,,,BADILI NJIA,,kwa herufiiii kubwaaa,,,emphasizement within verse
Asante kwa nyimbo senu msuli mungu awabariki amen and amen.
Huu wimbo niliusubiri kwa hamu sana, hongereni sana marafiki zangu Mungu awatangulie katika kazi yake
Amen barikiwa
Sana kamanda wa Yesu Kaka Maduhu
Jamani huyo mwalimu wa hio kwaya bigup sana
Sana
Amen 🙏🏾 and Jesus is the way and the light of the universe Amen 🙏🏾
May our lord bless you great choir
Mungu awabarik kwa wimbo huu mzuri hakika tunapaswa kubadili njia .msalimie mr Herri Na mke wake
🙏
can't get enough of these beautiful voices
You are welcome
Thanks for portrying adventism God bless you abundantly.
Aminaaa.mbarikiwe beroya mission
AMEN!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Glory be to the Most High God. He paid it all for us. Let us turn to Him.
Heavenly singing.
Keep the fire burning Beroya.
🙏
Amen.sote tubadili njia twende kwa Yesu.
Hallelujah 👏
Uhuuu magic voice from beloya choir
Hongera sana kwaya yangu pendwa,Mumeimba vizuriiiii Bwana azidi kuwainua
From Washington, love your songs, blessed
Amen
God bless you songs are a blessing to me
Amen
Amaizing amaizing and sweetest adventist sound🔊🔊🙏🙏🙏
Thank you 🙌
Barikiweni sana Wanaberoya
Mungu awape FEDHA nyingi sana
Amen
Amina sana nabarkiwa sana na huduma yenu Mungu awabarki mno 🎉🎉
God bless you my favorite choir
Amen
Amina, nimebarikiwa mno, Mungu awababariki kwa injili hii tamu ya ukombozi.
Amen
Aminaaaa sana mbarikiwe sana watumish wa humu ❤❤❤❤
Tubarikiwe sote mpendwa
Barikiwa Kaka Maduhu
Mungu awabariki sana nyimbo makini❤
Amen barikiwa pia
From Italy this is so hot 🔥🔥
Be blessed
May God of heaven bless you for nice songs
Amen 🙏
@@BEROYAMISSIONADVENTISTCH-nw8sy more blessings to you
Na barikiwa nisiwe muongo
Glory to God always be blessed guys 🙏🙏
Be blessed too
Amina. Wimbo unaouisha. Can we get the script if this song?(Score of the song).
Nyimbo tamu sanaa mfanane na ujumbe mnaotoa
🙏
Jmn Nice ila yule kaka mweupe Alie kua anasololsti Bunda kwenye makambi ni thebst
Barikiwa ndugu
Jina la bwana litukuzwe🙏
My favourite choir🎉
Be blessed 🙏
Asanteni sana,jmn hii kwaya ipomkoa gani au nchi ipi
Katoro mkoan Geita nchini Tanzania
Mbarikiwe sana🎉
AMEN.
Can i please have lyrics in English..from South Africa
Meimba vzuri sana❤❤
Barikiwa
Ameen
Sweet message 🥰
Welcome
God bless you
Njia ni moja tu,badili njia
🙏
Amen
Jamani mnanibatiki sana,mfike mbali hadi mbinguni
Amen
Hakika na barikiwa na huu wimbo
🙏🙏
Ipo Katoro Mkoani Geita.
Good song
Amen 🙏 🙏
mbarikiwe san
ILE MIDUNDO YA MASEBENE, naona taratibu ninyi mnaiacha. NAPENDA NYIMBO ZENU NYINGI kwasababu ya namna vinanda vinavyopigwa SAWASAWA NA MWONGOZO WA KANISA LA SDA. nitakuwa balozi mkubwa wa KUSHEA nyimbo zenu zote zenye VINANDA TULIVU, bila sebene 😂
@CLEOPA 😂 mpiga kinanda napenda upigaji wenu wa vinanda
Pr. CLEOPA, nakukumbusha ulikuwa CLASS PASTOR. nami pia pale NYANSINCHA.
Shikilia kwenye upigaji sahihi wa kinanda
Barikiwa ndugu
❤❤❤❤aminaaa
Mbarikiwe sana
Barikiwa pia
Amina!!
Amen.
Tunangoja kwa hamu
Amoss be blessed
Amen ❤❤❤🎉🎉🎉
🙏
Amen
❤❤❤
Amina
Geita
❤❤
🙏
safi Mungu awabariki sana
Lyric please
Thanks
Aminaaa
❤❤❤
Geita
AMEN, MUNGU atukuzwe
Amen
Hiv hii choir ipp mkoa gan plz
Geita
Geita katoro kanisa la beroya mission
Katoro Heita
Mkoani Geita,Katoro
Geita
Good song
Nabarikiwa
𝓗𝓲𝓿𝓲 𝓾𝓵𝓮 𝔀𝓲𝓶𝓫𝓸 𝔀𝓪 "𝓽𝓾𝓪𝓶𝓫𝓲𝓮 𝓷𝓪𝓷𝓲 𝓪𝓵𝓲𝓴𝔀𝓮𝓷𝓭𝓪 " 𝓷𝓭𝓸 𝓾𝓷𝓪𝓲𝓽𝔀𝓪𝓳𝓮.?
Warumi
𝓦𝓪𝓻𝓾𝓶𝓲 𝓼𝓲𝔂𝓸
Mbarikiwe Sana
🙏
Amen