VIDEO: Kilichomkuta WEMA SEPETU atasimulia/ AMEPAGAWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 56

  • @wennceslausmushi2356
    @wennceslausmushi2356 5 ปีที่แล้ว +6

    Happybirthday wema unapendwa na lovers wako wengine wanakidis ni chuki zao tu

  • @hidayaking3383
    @hidayaking3383 5 ปีที่แล้ว +2

    Jamani mimi ni team wema damu ila wema mwili kila kukicha anapungua anahitaji msanda nani alishauri wema dah inauma nisiwe mnafiki kama kweli alikata utumbo naongopa sana

  • @dinimanabii833
    @dinimanabii833 5 ปีที่แล้ว +3

    Daah mungu anavyo muumba mwanadamu huwa akosei kwenda kujibadirisha ni kufuru ona muonekano wake wema kama mzimu yaani daah utajuta mpaka siku ya mwisho haukumuona Michael Jackson alivyojutia

    • @aishaha3538
      @aishaha3538 5 ปีที่แล้ว

      Yuwasikitisha kikweli

    • @halimatanzani8587
      @halimatanzani8587 5 ปีที่แล้ว

      Kweli yani anatisha daaaa mtihani

    • @annalubango9899
      @annalubango9899 5 ปีที่แล้ว

      Mbona wateseka na maamuzi ya mtu binafisi

  • @jamalkimbililo9127
    @jamalkimbililo9127 5 ปีที่แล้ว +5

    Umri ushaenda taswira inapotea yaan umekuwa libayaa na hlo domo na hyo mikucha

  • @barkeabdulrahman2146
    @barkeabdulrahman2146 5 ปีที่แล้ว +6

    Wema ametumia dawa za kukondesha sasa zimemletea mathara maskini uzuri umemwisha amefuja kabisaaa

  • @sadasaidi7499
    @sadasaidi7499 5 ปีที่แล้ว +2

    Wema sepetu tunakupenda saana

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 5 ปีที่แล้ว +1

    Subhna Allah

  • @aishaha3538
    @aishaha3538 5 ปีที่แล้ว +2

    Yani sijuwi kama wema yuwajiona vile yuko tuwasikitisha

  • @barkeabdulrahman2146
    @barkeabdulrahman2146 5 ปีที่แล้ว +3

    Mbona munatuchanganya niulize ile gari na hizo vitu ipi yenye thamani mbona alipo pewa gari hakuzimia amezimia kwa mkufu na saa

  • @hamadalesry3587
    @hamadalesry3587 5 ปีที่แล้ว +2

    kweli wema ume katwa utumbo sasa chakula kina ikaa vipi?

  • @samwelibokoyi.2352
    @samwelibokoyi.2352 5 ปีที่แล้ว +2

    Ok

  • @wennceslausmushi2356
    @wennceslausmushi2356 5 ปีที่แล้ว +1

    Watu na njaa zenu unatoa wapi muda wa kumchukia na kumtukana mtu bila sababu mwaya wema tunakupenda.

  • @mutwalesylvie7443
    @mutwalesylvie7443 5 ปีที่แล้ว

    Wema apana kabisa ulivo kua

  • @humphreymwamasage9805
    @humphreymwamasage9805 5 ปีที่แล้ว

    Kichwani fikra ya kuoza chini ya Ardhi iwepo ...hakuna sound wala pound

  • @ebbymbao1736
    @ebbymbao1736 5 ปีที่แล้ว

    Wema nini mbaya?

  • @asmaally8353
    @asmaally8353 5 ปีที่แล้ว +1

    KWA MATATIZO YA NGOZI, KAMA MICHIRIZI SUGU, MAKOVU,NYAMA UZEMBE, KUONGEZA SHEPU, N.K,DAWA ZIPO,NJOO UANZE NUSU DOZI LEO KWA TIBA YA UHAKIKA, SMS/WHATSAP 0693_330284

  • @georgettetiemele8220
    @georgettetiemele8220 5 ปีที่แล้ว

    Why wema has lost weight like that, help her before it's too late

    • @rachellebahati7512
      @rachellebahati7512 5 ปีที่แล้ว

      jealous

    • @georgettetiemele8220
      @georgettetiemele8220 5 ปีที่แล้ว

      @@rachellebahati7512 i am jalous, you are blind to not see her thinness, you're stupid.😪

  • @jumajay8496
    @jumajay8496 5 ปีที่แล้ว +1

    Wema sepetu ameishiwa na fikra she is confused

  • @wennceslausmushi2356
    @wennceslausmushi2356 5 ปีที่แล้ว +3

    Hivi nyie watu mnakazania mwilimwili wema 2006 alikuwa mnene?unene si ulikuja tu sasa iweje muone kama unene ndio alizaliwa nao vitu vingine ni unafiki tu nani alikuwa anamjua mustafa hassanali alivyokuwa mnene mbona alivyopungua hatukuona watu mnakashifu au kumsema vibaya?kwa vile mmezoea kila la wema ndio mahali pa kumnanga.kuna watu wakubwa sana kwa wema hawana watoto na waliolewa hamuwasemi na washazeeka kwa mtoto wa sepetu nongwa mmezidi.

    • @marymabubakar1646
      @marymabubakar1646 5 ปีที่แล้ว

      Manteno kuntu tube wskweli wandugu maisha Bila uwongo yanawezrkana wea alikuws mwembsmba sssa ca ajabu ni nini?

    • @marymabubakar1646
      @marymabubakar1646 5 ปีที่แล้ว

      Manteno kuntu tube wskweli wandugu maisha Bila uwongo yanawezrkana wea alikuws mwembsmba sssa ca ajabu ni nini?

  • @wennceslausmushi2356
    @wennceslausmushi2356 5 ปีที่แล้ว

    Star daraja la kwanza.

  • @rhinaamiry8535
    @rhinaamiry8535 5 ปีที่แล้ว

    Duh yani wema kabakia kichwa kazeeka😱

  • @rabianarsi3337
    @rabianarsi3337 5 ปีที่แล้ว

    💞💕💞💓💗💖💓💞💞💗

  • @baroamani4420
    @baroamani4420 5 ปีที่แล้ว +5

    hivi wema anatimiza miaka mingapi jamani naona kila mwaka birthday

    • @princess-uf5ux
      @princess-uf5ux 5 ปีที่แล้ว

      31

    • @shefaashefaa1930
      @shefaashefaa1930 5 ปีที่แล้ว

      31

    • @oopsm3574
      @oopsm3574 5 ปีที่แล้ว

      100

    • @princess-uf5ux
      @princess-uf5ux 5 ปีที่แล้ว

      @@oopsm3574 hmmm 🙄🙄🙄niyakwako

    • @oopsm3574
      @oopsm3574 5 ปีที่แล้ว

      @@princess-uf5ux miye 100 lakini mdude unafanya kazi, na nyiye mkitowa marangi na manywele makeup si mnafika miaka mia?...

  • @ratwifamajid3383
    @ratwifamajid3383 5 ปีที่แล้ว +1

    izo vitu ndo wanakuekeaga ndumba marashi mekap ndo mda mwingine unakuawaga kama chiz

  • @isakwisaamulike2569
    @isakwisaamulike2569 5 ปีที่แล้ว +1

    Nawapendaaa

  • @halimatanzani8587
    @halimatanzani8587 5 ปีที่แล้ว +1

    Daaaa wema yaani mwili wako tu urudishe kidogo unatisha jamani daaaa

    • @aishah3186
      @aishah3186 5 ปีที่แล้ว

      Hawenzi kurudi kwa vile amekata utumbo lakin akifanya mazowezi kias na kutulinza akili atakuwa na muonekao mzuri hapa nyumba wako watu watatu wamekata utumbo lakin bado ni watoto wa mama na baba kila kitu wafanyiwa wako na muonekano mzuri sana

    • @halimatanzani8587
      @halimatanzani8587 5 ปีที่แล้ว

      @@aishah3186 suhbuhana llah

  • @mashauzclassic7504
    @mashauzclassic7504 5 ปีที่แล้ว +3

    Doh wema amekaa kama kachawi flani astakafirullah anatisha na sio siri jamani hiyo mikucha vidole virefu kama wale wachawi wa simba wanga maskin punguza zinaaaaaaa jamani wema wenzio wanahangaika kukupenda lakini wewe mara wasagwa mara wafirwa hujylikani vile

    • @fatmafaki6163
      @fatmafaki6163 5 ปีที่แล้ว

      Vibaya hivyo usimchukie mtu mpaka Mungu akakuchukia wewe, ulimuona lini kusagwa na kufirwa

    • @agwalubifaridah7079
      @agwalubifaridah7079 5 ปีที่แล้ว

      Kumbe umashaiwaona wachawi...,,habari tumeipata

    • @hafidhrashid9215
      @hafidhrashid9215 5 ปีที่แล้ว

      Unatisha kama jini looh laana mbaya aise

    • @monicasasi2662
      @monicasasi2662 5 ปีที่แล้ว

      Amekuwa mbaya sana kazeeka du had anatisha