Lkn pia ukilima msimu wa mvua kubwa hasara unaweza kukutana nayo hivyo kuwa makini sana na kuangalia soko na hali ya hewa. Kama sasa unaweza kulima utatengeneza pesa kubwa sana.
Mbegu inatabia ya kupanda na kushuka kutokana na bei ya kitunguu sokoni.kwa Sasa tunauza kilo Moja Tsh 100,000 mbegu Bora kabisa ya redbombey toka hapa Singida.
Ubarikiwe
@@farajahmfwango5144 ameen
Wewe kaka sema kweli faida hiyo. Amen
Lkn pia ukilima msimu wa mvua kubwa hasara unaweza kukutana nayo hivyo kuwa makini sana na kuangalia soko na hali ya hewa. Kama sasa unaweza kulima utatengeneza pesa kubwa sana.
@@saulichannel5053naomba namba yko boss
Oky
Ukweli mchungu 😂😂😂😂
Duuu kumbee gharama kulima😄😄😄😄
Ukijipanga inawezekana tu
Sitwell kg.5 kupanda hekamoja
Inategemeana na gemination ya mbegu , unasiaje na aina ya udongo wako ndio maana inasiwa nusu debe kg5 Hadi debe kg10
Kwaiyo hadi kumaliza gharama inakuwa shingapi??
Naomba namba yako sauli
0759273784
Naomba nipate kilo tano za mbegu, nisaidie na number za simu nikupigie niko kenya
+255759273784
@@saulichannel5053 naomba yawaspaniko uganda
+255713947065 WhatsApp
@@saulichannel5053ckupat
Pump laki tatu kukodi au kununua
Naomba kuuliza ,msimu wa mvua huwezi kulima vitunguu?
Inawezekana vzr tu na ndio mda mzuri kupunguza gharama za kumwagia ila tu maji yasituame
Nataka kulima na mimi
Nachukua namba yako kakaa angu
😅 lack of capital ,was such a strong point.
Je kilo moja ya mbegu Ni sh ngapi? Na mbegu inapatikana wapi?
Mbegu inatabia ya kupanda na kushuka kutokana na bei ya kitunguu sokoni.kwa Sasa tunauza kilo Moja Tsh 100,000 mbegu Bora kabisa ya redbombey toka hapa Singida.
Ya wasapu
+255713947065
Mmbo
Poa
mbegu napataje nipo iringa
oi ata mm nipo iringa unalima sehem gani ww
Naomba no yako tafadhari
0759273784
Gharama ya mbolea hujataja
Karibu ktk darasa la Whatsapp linaloendelea Kwa 20000 tu hizi zote nimetaja na mambo mengi sana yakuyajua hadi masoko
Kaka unagroup la wasp tujufunze kupitia wewe plz
Mafunzo zaidi ni kutembelea shambani kwangu au kupiga simu ndugu
Namba yako ni ipiii
Kaka naomba nayako
0759273784
9