Kitunguu kinanipa zaidi ya milioni 15 kwa Ekari kwaiyo ni ajira nzuri nmejiajiri. 🔥🔥🔥

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ย. 2024
  • Kilimo cha KITUNGUU kinakupa zaidi ya milioni 20-30 kwa Ekari kama ukikutana na Bei nzuri sokoni. Kinavumilia shambani pia kinatunzika.
    Kinakubali kwenye maeneo yenye ubaridi, maeneo yasiyo na joto jingi yenye udongo tifutifu
    kwa ushauri namna ya kulima wasiliana nasi
    #+255 767 406 211

ความคิดเห็น • 4

  • @marychuwa8159
    @marychuwa8159 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana ushauri wangu kwako ifike mahali pakuzalisha mbegu mwenyewe itasaidia kupunguza gharama case study Mang'ola

  • @mrteacher1407
    @mrteacher1407 2 หลายเดือนก่อน

    Namba ya simu plz

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona unashindwa kufafanua vizuri unavuna gunia 90-100 kwa ukubwa gani wa shamba