EPISODE; 71 QIBLA ILIPO HAMISHWA KUTOKA BAITUL MAQDIS KWENDA MAKKA NI SWALA GANI YA KWANZA KUSWALIWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 34

  • @swah555suhayl8
    @swah555suhayl8 ปีที่แล้ว +9

    Kiukwel Hilo swal n gumu c Kama tuloyazowea hata mm naona ningekosa shukran sana kwa elimu

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 ปีที่แล้ว +1

    Waalaikumussalam Warahmatu llahi wabarakatuhu ❤❤❤❤❤

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 ปีที่แล้ว +4

    Swali gumu sana leo.

  • @zulfahussein6784
    @zulfahussein6784 ปีที่แล้ว +3

    Waykumussalaam warahmatullahi wabarakatuh
    Shukran wa JazakaAllaahu khayran

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 ปีที่แล้ว +5

    Waalykum salaam warhamatullah wabarakatuh MashaAllah🥰ALHAMDULILAH🙏wiki nyingn tena🌹🌹

  • @sabrinayounisaden7238
    @sabrinayounisaden7238 ปีที่แล้ว +4

    Walaikum salaam, tanga is really beautiful .

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 ปีที่แล้ว +2

    Waaleykum salaam warahmatullah wabarakatuh

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 ปีที่แล้ว +2

    Subhanallah ninavyojuwa watu wa tanga sana wajuwa dini hawa watu labda wageni siamini tanga mashallah kwa dini

    • @madawamchuwa8253
      @madawamchuwa8253 ปีที่แล้ว +1

      Kujua dini sio kuhifadhi kila kitu jamani

  • @aminamohammed7946
    @aminamohammed7946 ปีที่แล้ว +2

    walaykum salaam waramathulahi wabarakatu, leo nimechelewa kutazama lakini tuko pamoja lnshaaAllAH

  • @a.856
    @a.856 ปีที่แล้ว +1

    Jazakallah khayran

  • @sarahmohammed1696
    @sarahmohammed1696 ปีที่แล้ว

    MashaAllah MashaAllah MashaAllah Tanga ni neema sana. Nime miss sana Tanga yetu.

  • @semwaimunassoro
    @semwaimunassoro ปีที่แล้ว

    twa waomba mombasa kenya ust kishki

  • @aishakinia4957
    @aishakinia4957 ปีที่แล้ว +1

    Waleykum Salam warahmathullah wabarakathu. Shukran kwa kutue wengi tulikua hatujui

  • @madawamchuwa8253
    @madawamchuwa8253 ปีที่แล้ว +1

    Mimi mwenyewe ndio najua leo

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 ปีที่แล้ว +1

    Walyem mssalam warramathuallah wabarrakathu sheikh Ismail

  • @swah555suhayl8
    @swah555suhayl8 ปีที่แล้ว +1

    Karibu I tanga karibuni nyumbani natamani niwaone

  • @MwanaidBakar
    @MwanaidBakar 6 หลายเดือนก่อน

    Home sweat home

  • @dottohami
    @dottohami ปีที่แล้ว

    Tanga mmetuangusha jaman Insha Allha kheri tu jitahidi kusoma dini yetu tukufu

  • @fatmakassim8604
    @fatmakassim8604 ปีที่แล้ว

    Waalykum salam warahmatullah wabarakatuh ustadh Ismail nalikumbuka hili swali ulituuliza kuleee

  • @samirasalim4203
    @samirasalim4203 ปีที่แล้ว +1

    Hili swali gumu.

  • @bybytata7456
    @bybytata7456 ปีที่แล้ว +1

    Waalykum musalaam warahmatullah wabarakatuh

  • @nadrahassan5241
    @nadrahassan5241 ปีที่แล้ว

    Hapo nami ninge chemka nilikuwa siyijui

  • @ashaibrahim1369
    @ashaibrahim1369 ปีที่แล้ว

    Assalam alaikum waleykm bado morogor

  • @zulekhaa6817
    @zulekhaa6817 11 หลายเดือนก่อน

    Suali kama hilo sio lakuuliza mitaani, kwa sababu unakutana na watu ambao mambi ya kimsingi hawayajui watajua hilo.
    Ushauri wangu waulizwe maswali kuhusuana na tawheed na ya kumjua mola wao na mtume wao , na yanayohusiana na ibada

  • @nadrahassan5241
    @nadrahassan5241 ปีที่แล้ว

    Kumbe tanga kama kwetu!

  • @ياسمينياسمين-غ2ص
    @ياسمينياسمين-غ2ص ปีที่แล้ว

    😁😁duuh uchawi ndiyo sifa ya Tanga

  • @ruwaidaal-ismaily9099
    @ruwaidaal-ismaily9099 ปีที่แล้ว

    Karibu Tanga

    • @alit8897
      @alit8897 ปีที่แล้ว

      Tanga nzuri

    • @issamuemede8420
      @issamuemede8420 ปีที่แล้ว

      Waalaykum salaam warahmatullahi wabarakaatuh.nimefurahi sana kwa swali hili.
      Lakini nisaidieni niwe na uhakika kwa nitakae muuliza na kumpa majibu