WIMBO | A ONE MBELE KWA MBELE HAKUNA KURUDI NYUMA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 3 ม.ค. 2025
- WIMBO | A ONE MBELE KWA MBELE HAKUNA KURUDI NYUMA
A ONE maana yake ni Akili ya MUNGU BABA
Isaya : 40 : 28 - Je! Wewe hukujua? Hukusikia? Yeye MUNGU wa milele, BWANA, Muumba miisho ya dunia, hazimii, wala hachoki; akili zake hazichunguziki.
UkiZitegemea akili zako utaishianjiani. Mpishe MUNGU BABA akuongoze ufike kwenye Destination. Kumbuka yeye ndie alie umba mbingu na nchi na vyote vijazavyo. Hakuna asiloliweza
Videos:- kwa hisani ya MUNGU BABA TV on TH-cam channel angalia vipindi vya kila siku upate Ufahamu
Wimbo:- waimbaji:- Sauti Halisi ya MUNGU BABA
Jipatie album hii wasiliana na idara ya mawasiliano Kanisa Halisi simu namba +255-715-211-428
Fwatilia Ukombozi wa Nafsi jifunze | Nafsi yako ndio On my way! Eva thamani yako usipitwe th-cam.com/video/AGK8s86dKMs/w-d-xo.html
mzao wa baba hongera sauti nzuri inabariki. big up
Judith Njunwa Utukufu kwa MUNGU BABA
Baba wa uzao mubarikiwe mno
Imekua kubwa SASA ANAITWA BABA HALISI MAANA AMEENDA ZAIDI YA KUA BABA WA UZAO
Imekuwa A one mbele kwa mbele
UTUKUFU KWA CHANZO HALISI
SAFI SANA KUONA MBELE NDO MPANGO MZIMA, ASANTE mungu baba
Judith Njunwa Utukufu kwa MUNGU BABA
Imekuwa kubwa
Sifa kwa MUNGU BABA
MUNGU BABA NDANI YENU AMEPATA SIFA
Love Elisha Utukufu kwa MUNGU BABA
❤Imekuwa Tumevuka Salama❤.
SIFA NA UTUKUFU KWA CHANZO HALISI
Daahh!!!!! sifa zenye uhai wa MUNGU BABA.
DAMASCO NGONGI Imekua Kubwa Utukufu kwa MUNGU BABA
MUNGU BABA MWENYEWE
Moses Mkopi Imekua Kubwa
Ni salama kabisa ..MUNGU BABA anapata heshima.
Gladis Haule Imekua Kubwa
Heri uzao wa chanzo halisi
HERI KUHANI
Heri uzao wa chanzo halisi mungu baba anatubariki
Imekwishakuwa!
Vaileth Byanjweli Utukufu kwa MUNGU BABA
Imekuwaaa
imekuwa kubwa
Asia Oman Imekua Kubwa
imekua ya nguvu
Anastazia Athanas Imekua Kubwa
@@MajiraMojaHalisi heri naweza nikaupata huu wimbo
Uweza Hakikazi ndio
@@MajiraMojaHalisi naupataje kuh wa MUNGU BABA
Uweza Hakikazi hebu jaribu hii namba ulizia ukupata nijulishe +255715211428
SIFA , HESHIMA NA UTUKUFU NIKWA MUNGU BABA
AMASHA Amasha Imekua Kubwa
MUNGU BABA ANAPENDEZWA NA SIFA ZENYE UHAI WAKE
IMEKUWA KUBWA YA MUNGU BABA
John Mihyo Imekua kubwa Kuhani
Winfridah Zungufya Imekua Kubwa
John Mihyo imekuwaaa
imekuwa kwa MUNGU BABA SUPER
Kwa nyimbo zote unazozisikia hapa tafadhali wasiliana na Idara ya mawasiliano KANISA Halisi la MUNGU BABA namba 255715211428, 255756423598 au 255752394318.
Imekua nipo salam kwa MUNGU BABA
Heri uzao wa chanzo halisi
HERI HONGERA MNO