Naona watu wana diss ila jamaa kachana kwa uwezo wake na kumdiss mnakosea. Binafsi ametisha. Young Dee kama unaona text hii naomba uamini kwamba hawa watu wana diss kwasbabu walipoona ulivyopotea na mambo mabaya walidhani hutaweza kurudi kwenye pick tena wamesahau ni Mungu tu ambae anamaamuzi ya mwisho. TALENT unayo na punchlines, metaphors nimeziona na kama swala la kujudge kuhusu kuchana bro umechana na u killed bruh. amaini wewe ni msanii mkubwa na umestaarabika sasa na watu hawakuamini kama utakuja kustaarabika hivi thats why they hate. Ng'ombe hazeeki maini na ndo ulichothibitisha hapo, kwamba hata ufanye mambo mabaya kiasi gani, TALENT YAKO haitaweza kupotea, hicho ndicho MUNGU alikupatia na hakuna mwanadam atakae kupokonya. Well i took my time kuandika yote haya kwasababu nakuamni unaweza ukaifanyia kitu Tanzania na Dunia kwa ujumla. Asante.
Tuleteeni ma underground maana mastaa wanazingua...my top 5 MCs katika kumi za maangamizi ni Nchama, Scoda, Selementary, Bibo na Maarifa...maMC wenye majina wanajikuta mastaa mwisho wa siku wanachana upuuzii...big up kwa ma underground wote full support kwenu.
Msituleteee tena huyo boya Hana anachofanya anazidi kuangamizwa na dkk 10 Ila maisha bhna kwl rizki anagawa Mungu yan mtu kama maarifa yuko mtaan afahamik alaf uyo young Dee ndo anaoneka noma
kumbe kurudiaga zipogo kama vip Songa aje tena....nataman nimskie tena ili nijiridhishe mwanzo alipuyanga bahat mbaya ILA KUNA MA MC's underground wapo pouwa zaid✌✌✌naomba mzid kuwapa nafas na wao ....iv vipi sterio jmn? young d umejitahid
Ada urudishwe mara mia young dee bado sana! Huwezi maangamizi! Kwa kifupi umeangamizwa na dk. Af kumrudisha young dee wakati kuna ma mc wengine wakali ni kutupotezea mda mashabiki sio poa kabisa.
nilivyosikia tuh young dee yupo kwenye dakika 10 za maangamiz nilizima radio nikalala nikajua tuh!! hatazingua msenge huyu mlete clamix bibo na baghadad tuone balaa ilo
Hakuna kitu hpo,,,, dakik 10 mumezihalbu bule tu hpa,,, Miracle njoooooooooooooooo
Naona watu wana diss ila jamaa kachana kwa uwezo wake na kumdiss mnakosea. Binafsi ametisha. Young Dee kama unaona text hii naomba uamini kwamba hawa watu wana diss kwasbabu walipoona ulivyopotea na mambo mabaya walidhani hutaweza kurudi kwenye pick tena wamesahau ni Mungu tu ambae anamaamuzi ya mwisho. TALENT unayo na punchlines, metaphors nimeziona na kama swala la kujudge kuhusu kuchana bro umechana na u killed bruh. amaini wewe ni msanii mkubwa na umestaarabika sasa na watu hawakuamini kama utakuja kustaarabika hivi thats why they hate. Ng'ombe hazeeki maini na ndo ulichothibitisha hapo, kwamba hata ufanye mambo mabaya kiasi gani, TALENT YAKO haitaweza kupotea, hicho ndicho MUNGU alikupatia na hakuna mwanadam atakae kupokonya. Well i took my time kuandika yote haya kwasababu nakuamni unaweza ukaifanyia kitu Tanzania na Dunia kwa ujumla. Asante.
Yound dee yuko vizuru
King don Niko tanga dogo anajua.....sana big up
Sawa bhna
Naungana nawewe binafsi namuelewa toka DADA uyoooo noma sana
Tuleteeni ma underground maana mastaa wanazingua...my top 5 MCs katika kumi za maangamizi ni Nchama, Scoda, Selementary, Bibo na Maarifa...maMC wenye majina wanajikuta mastaa mwisho wa siku wanachana upuuzii...big up kwa ma underground wote full support kwenu.
Na dizasta vina mzee wangu
Dizasta Vina ndo no. 1
dah youngdee hawezi maangamizi anashindwa hadi na janjaroo na youngkiler
Daah mzee baba we noma kwakwel wala huna mpinzan
Acheni majungu ya kiboya boya young dee Fundi sana🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👊
Msituleteee tena huyo boya Hana anachofanya anazidi kuangamizwa na dkk 10 Ila maisha bhna kwl rizki anagawa Mungu yan mtu kama maarifa yuko mtaan afahamik alaf uyo young Dee ndo anaoneka noma
Safi Sana dee
wanafiki hawaishi
ovyo sana,mb zangu mtarudisha,hapo kajipanga duh Nouma aisee
hii mbov kwanza ifutwe tuu... inatujazia Chanel... rap mbovu flow mbovu punch Hakuna kifup hana radha....
Mimi kwa wasaani 100 kutoka TZ huyu jamaa hayuko kwenye list yangu.
kumbe kurudiaga zipogo kama vip Songa aje tena....nataman nimskie tena ili nijiridhishe mwanzo alipuyanga bahat mbaya
ILA KUNA MA MC's underground wapo pouwa zaid✌✌✌naomba mzid kuwapa nafas na wao
....iv vipi sterio jmn?
young d umejitahid
young dee huna lolote killer ndy nomaaaa
Dullah huu mziki tunaupenda...najua umenielewa
kichupa kipo powaaaa usiyejua kuchambua piga kimya Tsha paka rapa
Young D ana uwezo mdogo sana hata arudie mara kumi hawez fit kwenye hzo dk kumi ni mmoja kati ya Maemcee wabovu niliowahi kuwasikia.
Dk 10 kaona nyingi kafika dk ya 5 tayari kashakata ringi jingaa saaana
da noma sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Nakubali kazi
brother umetisha ndio mana wengi wana maind
Tangia kumi za maangamizi ayanzi #Chidbenz ndio amekuwa bora zaidi
Becka Jurniour hiyo n kwel kbs bob #chidbenz hana mpinzan,,,watu wanarudia ngoma zao afu bdo wanapuyanga tu
Mmi mkenya lakini tangu hizi dakika kumi zianze,chidiBenz kaongeza alafu MSODOKI
Kweli chuma kabisaa +254
Chid Benz fundii
Aaah jamaa kajitaidi kufloo axa ivi ila akaze xaanhaa
📀📼🎧🎤🎵🎶🎼🎻🎹🎷🎺🎸🎹🎤🎼🎵 noma kwel
Ada urudishwe mara mia young dee bado sana! Huwezi maangamizi! Kwa kifupi umeangamizwa na dk.
Af kumrudisha young dee wakati kuna ma mc wengine wakali ni kutupotezea mda mashabiki sio poa kabisa.
Ni kweli kbs huu ni upumbavu
Hahahhaaaaaa,mzee wa KUPONDA LEO nakubaliana na wewe 😅😅
musa sadiki hahaha sawa mkuu
yaani hakuna kitu kwa jina lako hututendei haki face zako umeboa kinoma noma Young D
Duh kumbe dakika 10 ni nyingi sana kwa mamc wachovu
nilivyosikia tuh young dee yupo kwenye dakika 10 za maangamiz nilizima radio nikalala nikajua tuh!! hatazingua msenge huyu mlete clamix bibo na baghadad tuone balaa ilo
Kazaaaaaaaaa ila bado sanana
Nakubariiiiiiiiiii @Youngdaresalam unatishaaaaaaaaa
Scoda, selementaly, bibo nao warudi. Nimewamiss.
Paka laster umetisha alafu swaga unazo safi
Hajui kuchana uyo bora akaimbe midundiko
Bonge hit jomba respect
uyo msenge kazingua sana
young dee bado ww mkali broo............
D. Unaweza dg wanao kudisi achana nao...
wa nne kuview...wa kwanz kucomment..Young D u killed it#Kiutaniutani
huyu rapa sio my😎😎😎
bora 10 za awal
free style hawezi akubali tuu
Mamake sela nakuelele sana bande za gastan gachu
Dee bado huwez kufany maangamizi
Young.. D..
Nakusoma
MC mwny flow tamu apa bongo... Ukichana dakika 2 naridhikaaa
Dee unachana fresh ILA maji yamezd unga
bado sana Young D wakat mwanzo alisema anataka kama dk20 sasa anauliziaulizia dak zanin?
Fund n maarifa the big thinker
Bado sanaaaa just got school akasome Hip Hop
Love 10 1 zahoro
P THE MC
The best MC...
Young dee boya tu
*Young killer msodoki ni zaidi ya Young Dee*
Yehhh young dingiliiiiii
deee nmemuelewa sana
daaha tuna muhitaji moh rhymes
Beast Mc nakubali sana Young dee
bado umezingua D,,, leten tena majembe kama scoda, chid Benz, selementary, nchama, zilla & young killer
Kweli bhana
Anashindwa kuimba anaanza ujinga tu heti hahaaaa kupoteza dakika ti
Young dee nimekuelewa
D @100!!!!!!
nataka kuja apa mimi dec natokea kenya
Njooo
Unadhani hii ni music ya Kenya ya matusi
@@frankchamba8894Mimi ni Mtanzania ila umemjibu vibaya kwani kakuambia anakuja kupresent matusi hapa? Kuwa na akili
young d wewe huwezi maangamizi unazidiwa hats na ya Dogo d boya kabisa
Nomaa
sijui mmemrudisha hapo ili iweje
umeniboa kinoma yaani unapewa nafasi ya pili unapuyanga hivo acha tu nikutukane pumbafu
ipingwi wala atupingani kazza but BG up sana man
Big up young dee
D kaanza poa ila amerudia mwishoni.. Kajitahidi tofauti ya kwanza
Dee uko poa nimekubali kinyama
Hatariiiiii
D bado sana mwanang
jamaa anajua sana
mwana katisha bhana majungu yann wana
Sanaaa
Yang deee noma xana
daah young Dee fundi lakin kw young killer ndo maxter wenu
Youg dee nomaaa
Awa awa nyiiiiingiiiii imba wew
😀😀 kaishiwa punch line
noma nomaaaaa
huyu ata msaga sumu ana mwangamiza aki battle nae
Ibana bla kufcha aaa nmekubal kjana unatshaaaaaaa
Still young
Yong d bado sana kwa young killer
Kweliiiiii boyiiiiiiiiii
Nice bro
pakar rapper katisha aisee
Hajui kuchana huyu
Young D we bado sana hata Mie nakuzid
Young Dee 🔥👊👊👊
Hizo ndo tunaitaga #KUPUYANGA #MPUYANGO OG
Dogo anajitadi sana ila sio king kivile big up kaza boiiiii
#chidbenz ndio fundi wa freestyle dogo bado kidogo ila unakarbia kweny ramani
bado sana we mtt
dah hadi anataman mda uishe tu..
Maskini mb zangu jaman
tatizo ako ka simu kanampa mistari...
Huyu panya hajui michano ban
noma sana D
show kali
Naona T_touch nakuona
uko poa sana ACHANA na WASENGE HAO WANAOSEMA UMEZINGUA
Kali
Atare mwana kaza msuli wasoelewa hawajui nini wanakihitaji y d upo hivo gachu tunazisoma hizo nyakati za free style
Ajui muziki iyo niunga wa ugali
Amna kitu hapo........
tunamaliziana MB tu young dee mgonjwa style gan iyo aliyo tumia kuchana
Still bado nakukubali D no matter what