Kanumba alikuwa mzuri,giant mwenye sauti yenye mamlaka je kama angeendelea kuwa hai mpaka leo tungefaidi zaidi ya hii movie😭😭😭30.03.2024🎉❤❤give your likes
Steven Charles Kanumba was completely ahead of time. Throughout the movie, you just check smooth sound, smooth locations, smooth characterisation, smooth light and smooth graphics that altogether bring about an immortal content for numerous generations to come. #Kanumba is and will always be incomparable here in Tanzania#
Yote Kwa Yesu namtolea ,ndie mfalme wa pekee sasa Kwa furaha nitamwimbia ,wa kalvar... Oooh hallelujah...rehema bure na neema ...samaha nalo nilipewa ndipo aliponifungua wa kalvar 🙏🙏🙏🙏
Eeee Mwenyezi Mungu naomba raha ya milele umpe na mwanga wa milele umwangazie astarehe na KUPUMZIKA KWA AMANI Damu ya YESU KRISTO isikuache usogezwe na kitu chochote Cha muovu AMINA.
😢😢😢😭😭Naweza sema maisha ya duniani ni mafupi sana ka kanumba umetuachia majonzi mazito mimi ciyo ndugu yako lkn bado nakukumbuka😭😭😭mzazi wako anapata maumivu makali yaani umemuachia gonjwa la milele
Pumnzika kwa Amani. Kila ninapoangalia move zako kanumba sichoki. Pia mtanga upo wapi na huyu mwingine mmehusika vyema katika uhusika wenu hasa mnapo sema mna kapepo.
Hii inatukumbusha tuyakabidhi maisha yetu kwa Mungu kwani hakuna ajuaye ni wakati gani atatangulia mbele za haki,,, yote kwa yote tutakukumbuka daima R.I.P KANUMBA.
Maskini wa Mungu ndo ninaanza kupenda movies zake bila kujua alikufa. Mie ni mwanauganda lakini nipo naangalia sana movi zenu za Tz. Rip kaka.....ulikuwa mwigizaji bora kweli natamani ningeweza kukujulisha hivi kabla yako kufa lakini popote ulipo najua in kwema zaidi. Amiina
Watu walisema kanumba ako freemason bona apa alikuwa mchaa mungu kabisa kulitokea nini mbeleeni jamani rip jamaa alikuwa anajulikana mpaka Kenya. Vinjinjini ndani kabisa best Actor ata kama Ulifariki. Move zako bado twazipenda 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😍😍😍😍😍😍👍👍👍👍👍
😭😭😭😭❤️❤️❤️Yani Nime mu miss hatarhiii marehemu Kanumba maneno yake ya Hekima 😭😭😭😭🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮Mariam from Burundi 🇧🇮 tuna wapenda San 🥰 🥰 😭😭😭Allah akufanyie wepesi kunako uzito kaburini 😭 brother
lakini bona wanasema eti kanumba fremason na venye alikuwa anamtumikia mungu duuuu R.I.P👉enyewe watu utoka mbali aunty alikuwa mdogo mwembamba sai ako smart cute beuty heee aise mungu ni mungu siku zote.
Mimi ni DEEJAY JAMES kutoka Kenya, Aki kunasiku mimi hukaa hivi,! Nadodokwa na Machozi ni kimkumkubuka, Bro Kanuba, Mungu ailaze Roho yake mahari Pema Peponi
kanumba alikuwa anacheza move nasio mchezo yani akiwa kijijini ana vaa kabisa matabara kuonyesha ako kijijini 😂saunti good kabisa sio kama sai move azina muvuto saunti inapotea mpaka sangapi nabaki nikiangalia hindi move
Tuliyo hai tujifunze kuwa duniani tuwapitaji. Tuache kuipenda dunia na anasa zake au tukajiona Bora kuliko wengine sote tutapita tu. Acha Mungu aitwe Mungu.
🤣😂 jaman kama kuna m2 anamuona kanumba akiwa anachizika peke ake akisoma barua, bas ndo mim apa nikiwa naangalia hili pichaa, (17.12.2021) NOMAA SANAA R.I.P STEVEN 💕💗♥💖
Hii film inafundisha sana ktk maisha na ktka hili la akina dd duh ndo funzo kbsa yan utoniacha ndio kweli sara ndio sikuachi issaya lkni kilichotokea mungu mwenyewe anajua wadada
Movier ndo hzi sio kama muvier za sasa hvi wanapitia tyu unaweza ukaangalia na usiierewe ila hii movier ni hatal sana i love you kanumba, kama unaiangalia hii 2021 naomba Like tumukumbuke marehemu kanumba,💚
Kanumba alikuwa mzuri,giant mwenye sauti yenye mamlaka je kama angeendelea kuwa hai mpaka leo tungefaidi zaidi ya hii movie😭😭😭30.03.2024🎉❤❤give your likes
Niko hapa kumuenzi marehem Steven kanumba 2024
22/2/2024 I still remember you kanumba 😢😢😢😢😢
Leo : 24/12/2023. Bado namkubali bwana Kanumba❤
Kanumba u left a legacy...may your soul still rest easy.,.. legends never die😪
Steven Charles Kanumba was completely ahead of time. Throughout the movie, you just check smooth sound, smooth locations, smooth characterisation, smooth light and smooth graphics that altogether bring about an immortal content for numerous generations to come. #Kanumba is and will always be incomparable here in Tanzania#
Anyone in 2024😢
😊😊
Tupo
Here
Musani wa kweri
Tuko hapa 2024
7.4.2021 leo umetimiza miaka 9 R.I.P L Legend 😍😍😍😍
Yote Kwa Yesu namtolea ,ndie mfalme wa pekee sasa
Kwa furaha nitamwimbia ,wa kalvar...
Oooh hallelujah...rehema bure na neema ...samaha nalo nilipewa ndipo aliponifungua wa kalvar 🙏🙏🙏🙏
MUNGU AMPE REHEMA BURE AISEE MAANA AMEMSIFU YESU KWERI KWERI
RIP kanumba
Yan kanumba alikuwa na uhalisia kabisa wa mazingira anayofanyia movie mpk raha kijijin kabisaaa mpk unaona reality guud
2021 Wenye tumeangalia hiyi movie tujuane 😍miss you Kanumba 😢😢
,tupoooo
By mykpccyni.m....kom.S
Tupo
Tuko sana
Kwa mpigo
Eeee Mwenyezi Mungu naomba raha ya milele umpe na mwanga wa milele umwangazie astarehe na KUPUMZIKA KWA AMANI Damu ya YESU KRISTO isikuache usogezwe na kitu chochote Cha muovu AMINA.
Kanumba tutakukumbuka daima mungu ailaze roho yako maala pema peponi Amen
😢😢😢😭😭Naweza sema maisha ya duniani ni mafupi sana ka kanumba umetuachia majonzi mazito mimi ciyo ndugu yako lkn bado nakukumbuka😭😭😭mzazi wako anapata maumivu makali yaani umemuachia gonjwa la milele
Kila atua duah
Inauma sana ila kazi ya Mungu haina makosa RIP Steve
2024 still watching this fantastic movie all the way from Kenya
Kanumba was the best movie actor in Tanzania. It's undortunate that he's gone when we still needed him.
The great kanumba film❤ duuu mwamba ungekuwepo sjui tungekuwa wapi kiflm
Mbogi ya 2022 Kwa hii tent hapa 😥😥 RIP kanumba miss you may your soul rest in peace
Pumnzika kwa Amani. Kila ninapoangalia move zako kanumba sichoki. Pia mtanga upo wapi na huyu mwingine mmehusika vyema katika uhusika wenu hasa mnapo sema mna kapepo.
Dunia tunapita kila mtu na njia yake MUNGU ajua mwanzo na mwisho wetu 🤲🤲
Kanumba paix à ton âme tu étais un vraie comedien.c film c 'est une leçon pour nous qui sommes sur terre
WE LOVE YOU STEVEN THE GREAT... FROM SOUTH AFRICA.... RIP MY PASTOR PSALM 121 ..... WE LOVE YOU TANZANIA .ASANTE SANA!
Mwanga wa bwana ukuangazie daima milele AMEN...RIP KANUMBA
Hii inatukumbusha tuyakabidhi maisha yetu kwa Mungu kwani hakuna ajuaye ni wakati gani atatangulia mbele za haki,,, yote kwa yote tutakukumbuka daima R.I.P KANUMBA.
Bado nakukumbuka sana Steven Kanumba ulikuwa muigizaji mzuri sana.....2021 naendelea kuitazama filamu zako.
2023 dec wenye tunawatch wapi likes za kanumba🥰🥰
LEGEND NEVER DIE WE ARE ALL KNOW THEY WENT FOR VOCATION 🙏
Maskini wa Mungu ndo ninaanza kupenda movies zake bila kujua alikufa. Mie ni mwanauganda lakini nipo naangalia sana movi zenu za Tz. Rip kaka.....ulikuwa mwigizaji bora kweli natamani ningeweza kukujulisha hivi kabla yako kufa lakini popote ulipo najua in kwema zaidi. Amiina
Jitahid kufatilia ziponyingitu
Hapati Kani mwengine ka wewe kanumba... You're still the best even in the grave
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 nalia sana jamani kanumba ameenda na MV za TZ zimekufe zote.mi ni mcongomani lakn kila napomuona naliya sana kwakweli
Wanaocheki hii 2023 gonga like tujuane
I'M Cheking It IN 2024 November
Kazi Safi ariifanya kanumba
Good
Hizi movie funzo kubwa sana
Kanumba 🥺😭😭😭😭 Mungu wangu akupokeee kwa Iman 🙏🙏🙏tunakuomba uishi na malaika uimbee hallelujah 😭😭😭Neema iwe nawee,,, tutakutana 🙏🙏🙏😭😭rip
We are so many in 2024 I need my like plz
Kanumba lui était mon idole j'avais beaucoups aimé c'est films jusqu'à aujourd'hui j'aime toujours ça que son âme reposé en paix 😭😭😭😭
Kanumba na kipaji kisichoisha 2021 mwezi wa 4 nan tuko pamoja
nisiwe mnafiki kweli kanumba ulikuwa kipenzi changu kwenye kazi zako ulipoondoka tu na bongo move ikakifu jumla mungu akusamehe upumzk kwa amn
Kanumba. Uliondoka tukingali twakupenda. Ingerikuwa. Ukimuomba mungu. Kuwa. Ulrudi. Duniani🌎bhas. Ungelirudi
iyo maisha nimepitia 😃😃😃😃😃taa ya mkembe upepo ukija kanazima😂😂 alafu kanumba ako busy kusoma barua ata aoni😂😂😂 R.I.P
Kanumba ni fundi maarufu na bingwa wa kuigiza pale Tanzania
Mungu nimjuzi wa yote msamee kipezi chawengi
Watu walisema kanumba ako freemason bona apa alikuwa mchaa mungu kabisa kulitokea nini mbeleeni jamani rip jamaa alikuwa anajulikana mpaka Kenya. Vinjinjini ndani kabisa best Actor ata kama Ulifariki. Move zako bado twazipenda 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😍😍😍😍😍😍👍👍👍👍👍
Mwenyezi Mungu akulaze Mahal peponi na kuondolee adhabu ya moto Ameen
Hahah amen
Kanumba tutakukumbuka daima haswa kwenye kazi zako, ulijuwa kutufurahisha 2022 Lala salama my brother ❤😘😥
😭😭😭😭❤️❤️❤️Yani Nime mu miss hatarhiii marehemu Kanumba maneno yake ya Hekima 😭😭😭😭🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮Mariam from Burundi 🇧🇮 tuna wapenda San 🥰 🥰 😭😭😭Allah akufanyie wepesi kunako uzito kaburini 😭 brother
lakini bona wanasema eti kanumba fremason na venye alikuwa anamtumikia mungu duuuu R.I.P👉enyewe watu utoka mbali aunty alikuwa mdogo mwembamba sai ako smart cute beuty heee aise mungu ni mungu siku zote.
Mimi ni DEEJAY JAMES kutoka Kenya, Aki kunasiku mimi hukaa hivi,! Nadodokwa na Machozi ni kimkumkubuka, Bro Kanuba, Mungu ailaze Roho yake mahari Pema Peponi
Amina
Amen pole sana upaswi kudondokwa na machozi unapaswa kumuombea
Amen
Mi Fatima Ali
2021 mkono juu tusalimiane
Hi
@@sheilachepkorir2711 Hi too dear
@@bonifacemollel87 old is gold😂😂bdo tuko apa
🖐
@@thumnathumna5946 Thanks dr
It's just a stream of tears 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 missing you Kanumba you have moved with your bongo movies no one will ever fill your gap
Kanumba the best actor ever 😢😢😢
paix à ton âme my kanumba ❤❤😭😭😭😭😭🇨🇩
2024 tunaoangalia gonga like hapa
❤😊😊
02/01/2021 He was very Intelligent Quteint R.I.P the great KANUMBA.
Kanumba😭😭😭 Najikuta naliaa tu sijui kwann nimeangalia hii movie
Merci ndugu Steven kanumba ulikua simba sana r.i.p
Dah,kizuri akidumu bora angeenda mond uko freemason,mmmh,rest in peace kanumba we2
Sole mzungu kama kuna mtu kaisikia hiyo gonga like
Ety aujawai Fanya kangono 😂😂😂..... continue rip Kanumba 😢😢😭
Kanumba najiulizaga ungelikuwa hivi Tanzania ingekuwaje 😢
I love that its teaching us people for what we pass through it
Movie za Kanumba Hadi Leo Bado nzuri kuliko zilizopo bongo movie wanakitu Cha kujifunza 🙌
Ulikua na kipaji kutoka moyoni mwako tutakukumbuka daima kanumba
I loved this guy hope tutafufuka tuishi ulimwengu mwingine
Tukutane Kwa mungu
kanumba alikuwa anacheza move nasio mchezo yani akiwa kijijini ana vaa kabisa matabara kuonyesha ako kijijini 😂saunti good kabisa sio kama sai move azina muvuto saunti inapotea mpaka sangapi nabaki nikiangalia hindi move
Ni pengo kubwa kwa wa tz miss u co much shujaaa
Dah 2023 bado naichek village pastor ya kanumba yaan watumish wangekuwa wanaanza hivo tungefurahi injili mpaka kitaa kwa wahuni
Elfu mbili nyingi Sana aisee ni Bora uchukue tu kambuzi😄😄😄 Masai wameua Sana kipande hicho
Anyone Here December 2024?😁
Our pastor isaya we always remember you 🙏🏽🙏🏽
Dumapenzi aya
Never die the king kanumba
Tuliyo hai tujifunze kuwa duniani tuwapitaji. Tuache kuipenda dunia na anasa zake au tukajiona Bora kuliko wengine sote tutapita tu. Acha Mungu aitwe Mungu.
2020 27th October bado tunakucheki late Steven Kanumba Rest In Paradise king of bongomovie
Kanumba daah
The giant of bongo movie.
Sichoki kucheki movie zako Kanumba 19-6-2021
🤣😂 jaman kama kuna m2 anamuona kanumba akiwa anachizika peke ake akisoma barua, bas ndo mim apa nikiwa naangalia hili pichaa,
(17.12.2021) NOMAA SANAA
R.I.P STEVEN 💕💗♥💖
Great movie
Great Kanumba
Rest in peace
Legends they never die,we all know they went for vacation.
pp]
⁰00⁰
*Legends never die*, pronoun stands for noun, there fore noun(legends) & pronoun( they) can't be used together.
My real mode forever and ever is rip kanumba ❤😂
Hii film inafundisha sana ktk maisha na ktka hili la akina dd duh ndo funzo kbsa yan utoniacha ndio kweli sara ndio sikuachi issaya lkni kilichotokea mungu mwenyewe anajua wadada
kanumba jamani kama upo hakika ulikuwa shujaa ulale mahala pema peponi amina sitokusau kamwe the great
Rip king
8 years without kanumba,, RIP😭😭
We loved you so much kanumba bt God loves u more,Rest in peace🙏😭😭😭😭😭😭
Shikamoo shikamoo shikamoo kanumba uko uliko RIP Brazaaa🙏🙏🙏
Mwamba alikuwa anajua sanaa pumzika kwa amani steve kanumba
Mungu mlaze mahala pemapeponi❤❤❤❤❤
Tunakukumbuka sana mpendwa kanumba
Angekuwa mbali Sana huyu kijana Daaaa
Movier ndo hzi sio kama muvier za sasa hvi wanapitia tyu unaweza ukaangalia na usiierewe ila hii movier ni hatal sana i love you kanumba, kama unaiangalia hii 2021 naomba Like tumukumbuke marehemu kanumba,💚
Alkufa mwaka gani?
2023 kanumba hatuezi kuku sahau
No one like kanumba rest in peace brother 😭😭😭😭😭😭
1,000+1,000 it's 2000 a goat 🐐 😂😂😂😂 Kanumba haiya maasai nipeeni huyo mbuzi ,the word touch me 😂😂😂😂😂,RIP MY HERO
Huyu kaka Steven alikuwa ni muigizaji mbunifu sana ni hakuna mfano, endelea kupumzika kwa Amani mfalme
Dahhh mungu angekuwa naludisha kidogo watu walio kufa ukaona wanakulilia dahhh acha2
From kenya..this man was great
Still in ours am here to watch again on 7 / 04/2023,may God bless us all
Anyone 2024 😢
2022, nakumbuka V2 vya kanumba. Mungu ailaze pema roho ya marehem Steven Kanumba. 🙏🙏🙏😭😭
Sijawahi choka kuangalia movie za kanumba ayse hii ni 2020 nani yuko nami.....?
Safi sana
Congrats 💐 brother May GOD keep you rising every day for praising Him❤
Endeleya ku pumzika kwa Amani legend 😢 2025
Daaah!! Ktambo sanaa 😥 ,,,,,R.I.P kaka kanumba
Tena sanaaa 😭
Tuishi kwaupendo tukiwa duniani