Ikiwa Young Dee, alishindwa kumaliza Dakika 10, na Dogo Dee kamaliza na kauwa, inamaana Huyu kijana Hatari. Ningependa Battle kati yao. Am sure Huyu dogo atawacha watu kimya. Salute Dogo Dee. Heshima sana mdogo wangu.
Huyu dogo Nilimjua Tangu akiwa darasa la 5 Nilivyosikia anakuja nikajua kuwa huko studio kumevamiwa na Ninja Muulize Manengo alikalishwa na Dogo huyu Nyoko Nyoko Noko sana
Dah...Dangerous! Kweli. Hivi nauliza, huyu ni mtoto au mtuzima? Hivi nauliza anaishi kwao au kwake? Hivi nauliza kamaliza chuo au bado anasoma? Dah.... Mswali mingi. Huyu kijana ana future. Mkali ajabu
Katika wasanii waote waliopiga free style huyu kijana amejaribu Tena sanaa.Dogo Dee uko sawa kuflow uko na punch poa ila usingilie wasani wenzako kwa ubaya sifu mtu sio mtukane mtu na hivyo ndivyo utapata kuwa femas
huyu dogo sumu sana wakubwa kibao kawaacha akipunguza baadhi tu ya vitu anaweza sanaa.....kuenda tu na biti ma pumzi aliyonayo vinatosha kuonyesha kua anajuaa
Huyu dogo ni kichwa ,mara ya kwanza namsikiliza ngoma ya kwanza madui,na zngne nilimuelewa ila niligundua kitu hana usimamiaji mzuri ,huyu dogo ni hela ,mfano ata km dogo janja na yeye angepotezewa nan leo angemtambua ila kilichomsaidia ni usimamiaji mzur wa kazi yako... Nb:naomba anayemsimamia huyu amini kuwa ni biashara zuri tu ila inahitaji usimamiaji mzur,kwann leo turuhusu apotee wakati dogo ni mkali
Boshoo na Huyu mdogo wetu, utakuwa umefanya uonevu Labda unambie Young Dee × Dogo Dee hapo sawa, ukisemea Boshoo × Nchama the Best, Sele Mentally, Wakiafrica, Au mtoto wa Kibaha Maarifa, Hidaly scoda na Wenguneo hapo sawa
dogo dee umetisha sana mdogo anguu #sas inatakiwa ukamfundishe dogo @janjaroo haezii kabisaa ...kama umenielwa gonga @like hapo
Dogo amewakalisha wengi wanao jiona in mabigwa wa hip hop. Safi sana Dee salute.
Yaaaap
Ikiwa Young Dee, alishindwa kumaliza Dakika 10, na Dogo Dee kamaliza na kauwa, inamaana Huyu kijana Hatari. Ningependa Battle kati yao. Am sure Huyu dogo atawacha watu kimya. Salute Dogo Dee. Heshima sana mdogo wangu.
Nate ngoja asira ziishe uone kama atamaliza
Hasira za Young Dee au?
Uyu dogo aje chuga anatufaaa uyu aje kaskazini au vipi wachugaaaaaaaaa?? Kama unakubali gonga like
Good job ya U.S.A we love it real hip hop 💪
UK too
Nimependa haisee ongera ongera sana kwakutuwakiliwa wan mwanza mambo ni fire🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Huyu dogo Nilimjua Tangu akiwa darasa la 5 Nilivyosikia anakuja nikajua kuwa huko studio kumevamiwa na Ninja Muulize Manengo alikalishwa na Dogo huyu Nyoko Nyoko Noko sana
Nickson Herman nishida chalii wa mwanza
Ahahahha noko sana ahaha
Dogo Dee mistari Kali...Kenya yakubali talanta ipo ndani yako....kijana ni danger
Dah...Dangerous! Kweli. Hivi nauliza, huyu ni mtoto au mtuzima? Hivi nauliza anaishi kwao au kwake? Hivi nauliza kamaliza chuo au bado anasoma? Dah.... Mswali mingi. Huyu kijana ana future. Mkali ajabu
Dady Chaps yaah dogo dee koma tuliza kichwa utafika kweny safar yako
Dady Chaps dogonoma
Dogo noma sana anamistari mikali pia anajiamini sana hongera kwake dogo dee
Daaaah dogo umeonyesha namna ya kuzitumia dakika 10
Babu tale anafunga pesa,madee ana fuga ndevu 😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥👊👊👊💯
Battle iwe bosho na dogo dee km unakubaliana na mm like iwepo battle
acha kumcompare bosho na mpuzzZ uyu Rhymes Nyepes Sana'a uyu Charlie
Dogo Dee Noma sana
kwa boshoo bado sana
hyo itakuw noma sanaaaaa
+Madaha Khamis kweli kabisa
nlitaka kupita bila kuandik lkn acha tyuu niseme dogoo dee we n hatar......hapo paka rapa wote umewauwwa keep it up boy
Katika wasanii waote waliopiga free style huyu kijana amejaribu Tena sanaa.Dogo Dee uko sawa kuflow uko na punch poa ila usingilie wasani wenzako kwa ubaya sifu mtu sio mtukane mtu na hivyo ndivyo utapata kuwa femas
una pumzi kama kibaka bhana mdogo, njoo uchukue buku hii hapa umetisha sana
nilikuwaga sijaionaga mc wangu...hongera sana dogo
I seeh huyu dogo ni umeme saana ati baraka Wee ongeza tu magari Na kofia za dope
Wakati kwenu kajumba ka tope
Bongo muvi amzai kwa kuwa.mmetoa sana mimb.........dogo kaua
Ntamtag J mo na young dee huyu ndo mkubwa wao w kaz
Kalinye kalinye
Nisipo comment ndakuwa munfkii ..aisee dogo unajuwa
unajua sana aiseeh dogo dee unajua aiseeh ila badilisha mashahili utatoka maana hii ngoma nzito sana
Natoka Mwanza mwanza ndo maana vesi ni mawe, kwa hii safari lazima mtu auwawe
dogo yuko fiti sana but mistari yake yakiki san muda wote kuwa sema watu mziki hauko hvyo Dee
Dogo Dee killed it.
Nakuja kuja kuwakalisha wambie wajipange mungu ilinde Tanzania
Wana rock city tujivunie sanaaa vichwa vya kazii vinatuwakilishaa
Sijawah kukoment ngoja niseme dg dee keep it up
rock city dogo ume tishaaaaaaaaa sana
Dogo mkali sanaaaa anajuwa,, sema dj beats zake zijazielewa Kama kabana hivi
dogo kafanya hip hop. saaf saaana!!!
kwa huu msimu kaanza vzur tuendelee anaweza ish kwenye top 3
Umetisha sana dogo
Utisha kinomanoma Dogo dee nakubari
The best so far hapa. Deee
Dah cjawah kucoment ila uyu dogo kanifurahisha sanaaaaaa
Duuh kweli dogo d mkongwe jama ana tema mistari utadhani kameza flash dish 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤😲😲😲😲😲😲😲😲😲😲
Daah atali we dogo noma atali sana wakomeshe
Daaah dogo kajipnga ajaja kuchezaa cheza apoo... mi nampa 100%
yeaaaah..!! umeua dogo dee, nmekuelewa knyamaa
Nilichooenda huyu dogo na ndio kilichompa nguvu ana "Confidence" afu ana mazoezi so, amefanya poa sana! hongera young.
Noma snaaaa dg d ametisha
Dogo umetisha sana izo dakika umeangamiza ki noma
Nimemuelewa sna dogo uko vizuri
Dogo dee !!Ndoalo uwa dkk 10 Watu wote #likes APA
*Dogo Dee umetisha Sana kwa freestyle 🔥*
Wahuniiii ganjaaaaa mabatiniiiii swazigireeer
Daaaah! Huyu ndo yule dogo alieimba na young killer "maadui"?? Ni atari aisee dogo kauwa kinoma kafunika wakongwe yan ni atari mazee
Denis Ngowi ndo yeye. huyu dogo ni balaa
Denis Ngowi yaaah
Ndohuyo mwanza 1
Shish ukija kwangu uje umenyoa na mavuzi😂😂😂😂😂dogo hili shetani
Daaa D ni motoooo....🔥🔥🔥🔥
Daaaa kwel dogo unachana we nkokiii
dogo dee yupoo vizuriii Sana'a aseee na anawezaaa kurap
From Kenya with love
Noma Sana say mwanza mwanza....
dogo big up sana I c light at the end of the tunnel
huyu dogo sumu sana wakubwa kibao kawaacha akipunguza baadhi tu ya vitu anaweza sanaa.....kuenda tu na biti ma pumzi aliyonayo vinatosha kuonyesha kua anajuaa
Huyu dogo ni kichwa ,mara ya kwanza namsikiliza ngoma ya kwanza madui,na zngne nilimuelewa ila niligundua kitu hana usimamiaji mzuri ,huyu dogo ni hela ,mfano ata km dogo janja na yeye angepotezewa nan leo angemtambua ila kilichomsaidia ni usimamiaji mzur wa kazi yako...
Nb:naomba anayemsimamia huyu amini kuwa ni biashara zuri tu ila inahitaji usimamiaji mzur,kwann leo turuhusu apotee wakati dogo ni mkali
umetisha DOGO D
kama mambeeeeeeeeeeeleeeeeeeeeeeh!
Boshoo na Huyu mdogo wetu, utakuwa umefanya uonevu Labda unambie Young Dee × Dogo Dee hapo sawa, ukisemea Boshoo × Nchama the Best, Sele Mentally, Wakiafrica, Au mtoto wa Kibaha Maarifa, Hidaly scoda na Wenguneo hapo sawa
Kiki za kipuumzi hpo sjaona la maaan bora dogo silah saut yako haipp vzr
Mhhhhh salute kwake nmekubari
mdogo wangu umetisha
urikuwa wapi mzee baba ....yani .....safi....tu
Mwanza The Rap City Live 👊 puch kweli Dogo Unaspeak kwa Speaker na unasikika Daah Mwanzaa the Hip Hop Home Basement 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
yupo gud
Mwanza rap never die....big up Dogo dee
Aiseeeeeeee gooooooood napenda sana hip hop
Nakukubali ngosha wangu nakuaminia wa homie
Dogo dee anamoto atali nampata uyu
Dogo upo vizuri sana ....Ila usitukane
Dogo umetisha kinoma sana
Dj kamtendea haki afu dogo kaua🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
dogo kawafunika wengi aise. kachanika sanaa yan
Mwanza mwanza
Huyu dogo ni zaidi ya rapper 💪💪💪💪 tisha sana
Katisha sana Dogo D👏👏
Dogo motoo, daa nakufahamu tangu 2012 toka furahisha woyooooo waueee
Umetisha dee denja
Rock city kalisheniiiii, fid, nchama, young dee, dogo dee n shiiiidah
Yasin James young dee sio wetu
Yasin James dogo D
coyo
edu boy
Ayaaa! Dogo nakufatilia sana big up
Hatareeeeeee.... huyu anaweza
safi sana dogo dah umetisha
Nimeipendaaaaaaaaa niceeeee janjaaa
Ebwana ehhh waji pangee 😲😲😲💯
mpeni sapoti huyo dogo maan nihataree🔥🔥
Boshoo is the best so far
Dogo dee,,we ni fire
Umetish dogo dee
J.3 Naomba mtuletee STOSH Aje amfundishe kazi FIFI
Noma sanaaaaaa...
Dogo yuko poa xna ila dizast vina ni moto Wa fire kujaribu kuzm kwa maji ya woter
Nice one. Keep up young
❤❤❤❤❤❤
Dogo umeuwa sema unajiamini sana
mmmmh dogo anachana sana
kumamake dogo unajua akuna kama ww
uyo dogo balaaa sana keep it up
Nice one, umetisha hom boy
Dogo anaweza sana
Daaah kali sana
dogo ww ni nomaaaaaaaaa
aseeeeee!!!!! uyu dogoooo moto Wa kuotea mbali
Dee kiwango rapper from mwanza good
Big up sanaaaa tu