HII NGOMA NILIKUA NAISIKIAGA NAKUIKUBALI KINOMA SIJUI MIAKA GANI ILA NI ZAMANI NA NILIKUA SIJUI NI JUX KAIMBA ILA ILINIPA SANA MADEMU MAANA NILIKUA NATUMIA MISTARI HII KUTONGOZEA KINOMA
#ChopaNaJux huo mstari ni 'Unafanana na msichana ambae, usiku kucha nataka kuwa nae, isije siku nikaachana nae..!' Huu mstari unapatikana kwenye wimbo wa NAPATA RAHA na unasikika kuanzia sekunde ya 50 Hadi 59 kutokea mwanzo wa Nyimbo.
Wangapi wanasikiliza huu wimbo Aug 2024
Tunaoitazama hii video 2023/2024. Gonga like hapa 🔥🔥🔥
2024😊
2024
Kama huna bifu na Jux turn this blue👇👇
This song makes me think of how musicians can actually come from slow going to success I hope this will be me day one
Anyone 2024❤
This was MY FAVORATE kinoma yani ina ni kumbusha longi! KINOMA, HESHIMA KWAKO JUX CAUSE ILI KUWA YA KWANZA NA ILI FANYA VIZURI KINOMA.......@
Dah hii ngoma imenipa madem kinoma enzi za O-level watu hawamjui vizuri jux mi nimeikalili nikupita tu😀😀😀 Noma sana
😀😀😀
Ikakubidi uvae uhalisi wa jux aosio 😂😂😂😂
Ulichelewa kuweka huu wimbo Juma" kali sana..🔥🔥🔥
November 2024 still 🎧
Aah juma leo umenikosha. This was my favorite song and always the best song in my ears
aseee kweli mziki mzuri hauishi hii nyimbo for real ni kaliiiiii
Jux...hii ngoma dah...sema nini ebu nikae kimya maana imenipeleka mbali sana kifikra na kihisia dadeq 😂
Huu Ndo wimbo wake wa kwanza na aliweza mpka bciiiiiii😍😍😍love you jux
Kbsaaa yaniii
Hapana Wimbo Wakwanza Wa jux Unaitwa Nimedata Nawewe
Wangap wakiona hii video wanakumbuka "with you" ya Chris Brown
Hahahahaha kweli kabisa
Oyaa mm 😆😆
Exactly
true
kweliiii kabisaaa
HII NGOMA NILIKUA NAISIKIAGA NAKUIKUBALI KINOMA SIJUI MIAKA GANI ILA NI ZAMANI NA NILIKUA SIJUI NI JUX KAIMBA ILA ILINIPA SANA MADEMU MAANA NILIKUA NATUMIA MISTARI HII KUTONGOZEA KINOMA
2021
Tupo hapa tena
Wimbo mtamu kweli, just like old-school bongo!!🔥🔥🔥🔥
Acha tu balaaaaaa
Ngoma kali❤❤❤
I probably missed this Jux more, this is a comeback song 💚💙❤
Dooh ngoma nlkua naikubali knoma. One lov mzee
Tufufulie zote juma 💪💪🔥🔥
Vita Ni Kali naona 🤙😀 #TeamJux
There is just something about this song!
This man Jux can sing
Unafanana na msichana ambaye usiku mchana nataka kuwa nae isije siku nikaachana nae😜
2020like zangu kutoka Jordanie ngoma kwakweli kali
Hivi kumbe tangu zamani ulikuwaga bishooo enzi za Adam Juma visual Production
9.3.2024ndo nimemaliza kuangalia video hii nimekumbuka demuu wangu ndo kipindi nilikuwa nimeanzisha mausiano😂😂
#ChopaNaJux huo mstari ni 'Unafanana na msichana ambae, usiku kucha nataka kuwa nae, isije siku nikaachana nae..!' Huu mstari unapatikana kwenye wimbo wa NAPATA RAHA na unasikika kuanzia sekunde ya 50 Hadi 59 kutokea mwanzo wa Nyimbo.
Jack 💃👊
goma kali sana miaka yote boss
Jux hebu twambie huu wimbo umeutoa lini maana nina hakika hii ngoma nimeiskia 2007 kama sio 2008. Ila kuna mwana anasema ni 2011.
2011
Till now 😙2021
Naenjoy sana napo sikiriza song zako heshima sana
September 15 2023 , bado tunaenjoy music mzuri
Jux mnyamwezi kitambo sana
Haijikutokeaaaaaaa😇
2020 Bado ni heat, acha nidedicate to my favorite one
How it all started. Bless you
Jamn watanzania tuongeen ukwel jux anaupiga
Still watching in 2022 it's Soo hot inanikumbush soo long
My best song forever
Nakubali sana iyo song mzee baba juma JUX
Nakubaliiiiiii
September 2023 bado nipo hapa naenjoy..
Hii ngoma naikubali sana 🔥
Love u
Mwanamziki ulie discipline n dedicated sana....shoutouts. mbona hukuipiga ile ya katikati ya barabara ya chris brown?
Jux never disappoint🔥🔥🔥🔥🔥🔥+254 🇰🇪
😍🙏🔥🔥hatariiiii
Still got the taste
If you know you know, Who SAW A STAR with NAPATA RAHA years back?
My favorite song since 2011.. ilikua shida kinoma
🔥🔥🔥🔥🔥
Jux 💪💪💓💓😍
Miss my bro who introduced this song to me back then
🔥🔥🔥🔥😘😘😘
Memories 🤯
nice song
Moja kali
likes za juma jux
I like 🔥🔥🔥
jux veep tena broi
Wimbo pekeee wa jux ninaojua🤣🤣🤣🤣
Nyimbo Kali sana
Kazi safi
2022 watching and listening 💣❤💕
2021 naicheki fulu buludani
Napatarah by jux pend mno
❤❤❤❤
Uyu jamaa anajua tu
Ushauri bro, kama imeamua ku-upload videos za zamani, kwenye mabano weka mwaka uliotoka wimbo
Asant hat mm wameniboa sana
This so great
💃💃💃💃
Nakukubali san
Umenikumbusha Mbali
This song brand makes me confidence. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏❤️
2022 still listening dc music
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
kaka jux tupia mwingine unaitwa mwambie yeye
stiver aaah naikubali ile mbaya💯
2024
Kwa wale wanaona adi wa leo
Likes zikuje🇰🇪🇰🇪
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Jux apa uliwa unakaa chris brown mabreak dance vile haha
Vip
2021_tbt my favorite song
🔥
😘😘😘
2021
12 December 2019 like hapa
November 2024
Wimbo mkali sana ila teknolojia ya video iko chini kutokana na huo muda.
2021 like zetyu jmn
Again 2021
2011
💖💖😍💖💖
Duh
In here 2020
Kizazi Sanaa Kabisa, Aya Konga Like apa
2023
12 December 2019