HOUSE GIRL EP 28 || love story💞💕

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • #bongomovie #housegirl

ความคิดเห็น • 907

  • @busatitv
    @busatitv  3 หลายเดือนก่อน +112

    WhatsApp group 28👇👇
    chat.whatsapp.com/CssprKjGJcP3Xcwj3Jlusl

  • @JacksonNgari-fs2qt
    @JacksonNgari-fs2qt 3 หลายเดือนก่อน +358

    nimeanza kuwa na huruma kwa zuuu jamani wanao muhurumia zuu like zenu nipeni. like 10 tu

    • @damesabundiko4066
      @damesabundiko4066 3 หลายเดือนก่อน +4

      Namuhurumia Sana pia maskini akustaili ili jamani 😢😢

    • @saumodzumbo9671
      @saumodzumbo9671 3 หลายเดือนก่อน +2

      Tupo hapa ndugu yetu 😢😢😢

    • @JelemayaMwakiyule
      @JelemayaMwakiyule 3 หลายเดือนก่อน +2

      😢😢😢ni huzuni

    • @Christineedelase-vl8bi
      @Christineedelase-vl8bi 3 หลายเดือนก่อน +1

      Aki niuruma sana 😢😢

    • @ChescoMwenda
      @ChescoMwenda 3 หลายเดือนก่อน +1

      Ila candy ni mwenye robo mbaya sana ,namchukia kishenzi

  • @HillarySendeu-ht3lj
    @HillarySendeu-ht3lj 3 หลายเดือนก่อน +54

    Nyie kuna watu wana kesha online jamani wanaomkubali zuu na kai like hta 10

    • @EfkiMichael
      @EfkiMichael 3 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤❤❤❤❤

  • @LaylaSaheeb
    @LaylaSaheeb 3 หลายเดือนก่อน +140

    Mwenye bahat mbaya ata like sijawahi pata 😢😢

    • @MariamMusa-jz6us
      @MariamMusa-jz6us 3 หลายเดือนก่อน

      Kwan hzo like mnazipeleka wp maan sielew kilam2 anaztk😅😅😅😅

    • @LaylaSaheeb
      @LaylaSaheeb 3 หลายเดือนก่อน +3

      @@MariamMusa-jz6us tunapata hela wenzio wewe zubaa tu😂😂😂ukifikisha mia unatumiwa elf 10

    • @rizikisam6481
      @rizikisam6481 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@LaylaSaheebKweli

    • @emmanuelsamila1477
      @emmanuelsamila1477 3 หลายเดือนก่อน

      Zinakusaidia nn hizo like?? Upuuzi

    • @LaylaSaheeb
      @LaylaSaheeb 3 หลายเดือนก่อน

      @@emmanuelsamila1477 😀😀wako wivu kojoa ulale 😀😀🛌

  • @TausineMapeyo
    @TausineMapeyo 3 หลายเดือนก่อน +122

    Kila mtu anaomba like bas tuwage tunawpongez kwa kaz nzur wanayoifanya❤❤

    • @FloridaAndrew330
      @FloridaAndrew330 3 หลายเดือนก่อน +1

      Yan me mwenyw wananiboa kwel

    • @mareiaMerry
      @mareiaMerry 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @hlimaa5182
      @hlimaa5182 3 หลายเดือนก่อน

      Saa hihi kabisaa wana stahili pongezi tena ya hali ya juu kabisa

    • @ShAMIMURASHIDI
      @ShAMIMURASHIDI 3 หลายเดือนก่อน

      Sw

    • @PaulinaThomas-et1ou
      @PaulinaThomas-et1ou 3 หลายเดือนก่อน

      @@FloridaAndrew330 b

  • @EdithaMkombola
    @EdithaMkombola 3 หลายเดือนก่อน +22

    Jaman naumia kwaajili ya dada zuu😢😢😢 naomben like zenu bc

  • @mariammohamedi7761
    @mariammohamedi7761 3 หลายเดือนก่อน +54

    Jmn like zenu wapendwa tangunimeanza kuanglia leonimewai zaidi

  • @mwanatumu7012
    @mwanatumu7012 3 หลายเดือนก่อน +27

    Bila shaka kai anaanza kupata fahamu Allhamdhulillah 🎉🎉❤❤❤❤

    • @user-Ambani
      @user-Ambani 3 หลายเดือนก่อน +1

      ❤❤❤❤❤🎉🎉

  • @BeatriceRobi-j5q
    @BeatriceRobi-j5q 3 หลายเดือนก่อน +23

    jameni zuu pole San ,muwe na furaha siku zote mulio msaidia bab kai❤

  • @Jenniffer-m9k
    @Jenniffer-m9k 3 หลายเดือนก่อน +32

    mbona zuu anahurumisha jamani .munipee like

  • @ShAMIMURASHIDI
    @ShAMIMURASHIDI 3 หลายเดือนก่อน +36

    Leo Masha'Allah me wa kwnz like 😢plz

  • @DamarisDammie
    @DamarisDammie 3 หลายเดือนก่อน +25

    Wale wa kukimbilia kucomment 😂😂😂 watching from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 zuuu jamani weeeh😢😢

  • @MauaSaid-t4b
    @MauaSaid-t4b 3 หลายเดือนก่อน +38

    Jamani mie wakwanza naombeni like

  • @HalimaBakari-rc8vc
    @HalimaBakari-rc8vc 3 หลายเดือนก่อน +9

    Kazi ya kuomba like tu kuwapongezaa aaaaaaaaa 😂 busati tv mpewee maua yenu🌹🌹🌹🌹

  • @BabyeSaumu
    @BabyeSaumu 3 หลายเดือนก่อน +12

    Teem ZUU tumuombe Mungu yote yatapita,ila Candy wewe siku zako zinahesabika😢

  • @IshakaMachanoMakame-sb2xx
    @IshakaMachanoMakame-sb2xx 3 หลายเดือนก่อน +22

    Jamanieee hiii muvi jaribuni kuekti katik uhalisia kiukweli Kuna baazi ya wasaniii humu wanaekti mpaka wanaboa kama kendi hamna uhalisia wowote anaouenesha kwali ni ektaz ila uhalisia unahitajika mnabowa,

    • @sophiamgina7429
      @sophiamgina7429 3 หลายเดือนก่อน

      Yupo kama shetwan kwenye hii movie yan anaboa sana

    • @MariamuEvarist
      @MariamuEvarist 3 หลายเดือนก่อน

      Sasa SI ndo kacheza uhalisia wake kuwa ana roho mbaya😂 au unatakaje jaman😂😂

    • @EsterVuriva-bl6mb
      @EsterVuriva-bl6mb 3 หลายเดือนก่อน

      @@MariamuEvarist sindo hapo sasa

  • @KamselaOg
    @KamselaOg 3 หลายเดือนก่อน +36

    Mnao taka like piteni hivi sitoi like zangu natoa kwenye media tu husika

  • @SaumuJumwa-u4v
    @SaumuJumwa-u4v 3 หลายเดือนก่อน +14

    Nafutahi baba amekuwa Sawa bado zuu tuzidi kuzidisha maombi ken arudi Sawa😭😭🙏🙏🙏

  • @JoyceSanca
    @JoyceSanca 3 หลายเดือนก่อน +28

    Yaan nyie kila cku kuomba like 2 mnaboa kama nn

  • @StellaKimaro-no6mv
    @StellaKimaro-no6mv 3 หลายเดือนก่อน +25

    Mnaupig mwingi hamnaga ubabaifu one love to all funs of HOUSE GIRL....✊✊✊

    • @coolboymicky3651
      @coolboymicky3651 3 หลายเดือนก่อน

      Nakubali mate share to all

  • @jamilahussein1071
    @jamilahussein1071 3 หลายเดือนก่อน +22

    Khaa mmezidi loh 1min ago view kaa wote comment 60 mmenishinda Tania team strong 😂😂

  • @hlimaa5182
    @hlimaa5182 3 หลายเดือนก่อน +28

    Jamani mbn kila ninapo fatilia hii movie 🎥 mbn najikuta natokwa na 😢😢😢😢 Zuu wamemuua 😢😢😢furaha 😊😊😊kwa babaangu kipenzi 🥰 kapona na yuko kwa mikono salama Allihamdulilah 🤲🏼 hebu tuifatilie kwa hisia tuji funze kitu sio kuomba like kila mara wana familia busati TV much love 💕 so much ❤❤❤❤❤❤❤

  • @asyawaamidu2968
    @asyawaamidu2968 3 หลายเดือนก่อน +18

    Kibendu kanenepa fanya mazoez

  • @SalmaMohamedy-o2g
    @SalmaMohamedy-o2g 3 หลายเดือนก่อน +14

    Leo nimewahi jamani nimeshinda huku you tube nasubili team strong kujeni basi tupunguze stress

  • @SuzzyMatei
    @SuzzyMatei 3 หลายเดือนก่อน +14

    jmn anaemkubali zuu likes apo 🎉

  • @افااقع
    @افااقع 3 หลายเดือนก่อน +19

    Waah kwani watu mna rauka vipi jamani yani dakika kidogo like zishaanza kuombwa haya nipeni na mimi basi mbili tu

  • @riziki8406
    @riziki8406 3 หลายเดือนก่อน +3

    Alhdulillah baba kai kapona na hata bado anamkumbuka zuu bado masikini mungu msaidie zuu nae apone candy kimurambe inshallah

  • @ElizabethOsimba-x6u
    @ElizabethOsimba-x6u 3 หลายเดือนก่อน +11

    Baba Kai😭😭😭😭😭😭jamani unatia huruma

  • @NellyAshley-s5w
    @NellyAshley-s5w 3 หลายเดือนก่อน +39

    Wa kwanza leo jameni tunaoamini kwamba Kai atagundua karogwa 🤣team zuuh likes zenu naziitaji 😊

    • @angelmichael1703
      @angelmichael1703 3 หลายเดือนก่อน

      Nmeliona hiloooo😊😊

  • @IslamIslam-jc2th
    @IslamIslam-jc2th 3 หลายเดือนก่อน +56

    Wakwanz leo naomben like

    • @RovisaElias
      @RovisaElias 3 หลายเดือนก่อน

      Upeleke wp

  • @mumfaraji5034
    @mumfaraji5034 3 หลายเดือนก่อน +22

    Team hammam nipeni pita hpa na likes katambe, Jeddah city

  • @NapendaelLeonard
    @NapendaelLeonard 3 หลายเดือนก่อน +8

    Kazi nzr mnafany but mjitahid kutoa hat vipande vinne kwa sk mv n nzr san

  • @PRISLASUMARI-ks7lj
    @PRISLASUMARI-ks7lj 3 หลายเดือนก่อน +13

    tup fasta jmn ad nimeacha kula hii kaz nzur sana kai big up with yuor team

  • @RichardMuteke
    @RichardMuteke 3 หลายเดือนก่อน +47

    Nyie kila Siku munalalamika hoo jamani nimekuwa wa kwanza minipe like zangu lakini sijawai sikiya mukilala Mika kusapoti BUSAT TV nyi mko jee😢

    • @busatitv
      @busatitv  3 หลายเดือนก่อน +3

      🙏🙏

    • @farhiyaathman
      @farhiyaathman 3 หลายเดือนก่อน +1

      Wanachekesha sana na kuboesha 😢kila mtu like kwn nyi ndio mumeact au😏😏

    • @RichardMuteke
      @RichardMuteke 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@farhiyaathmannashangaa sana😂😂

    • @farhiyaathman
      @farhiyaathman 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@RichardMuteke kutoa maoni ama pongezi kwa wao ni like tuh zisizo na msingi khaaa 🤣🤣

    • @RichardMuteke
      @RichardMuteke 3 หลายเดือนก่อน

      @@farhiyaathman 😂😂😂😂 kama kweli like inalipwa wangejinyonga sasa

  • @PhanyKemunto
    @PhanyKemunto 3 หลายเดือนก่อน +11

    Nimefika mapema , kazi safi Kai na team yako

  • @NancyNjoki-y3f
    @NancyNjoki-y3f 3 หลายเดือนก่อน +10

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 much love kaka kai.wakwanza Leo jamani nimewai🎉🎉🎉🎉

  • @millicentwairimumuriuki8638
    @millicentwairimumuriuki8638 3 หลายเดือนก่อน +20

    ❤leo mnipe like jameni

  • @JacintaMaloba-io3qf
    @JacintaMaloba-io3qf 3 หลายเดือนก่อน +10

    Hayah mimi wa mwisho naombeni like hata 5

  • @GloriaNahimana-x8p
    @GloriaNahimana-x8p 3 หลายเดือนก่อน +32

    Leo62 naomba like mwenye atakuja nyuma ❤🎉❤🎉

  • @officialijang
    @officialijang 3 หลายเดือนก่อน +13

    Leo nimekuwa wa 100😂😂😂 like zangu

  • @AlylenShitamu-tc2ng
    @AlylenShitamu-tc2ng 3 หลายเดือนก่อน +5

    Woooiii baba karudi Hali yke ya kawaida nmefurahi😂😂sasa zuu na yeye jamani si mumubonye jamani candy ajione vle kinamramba naonea zuu huruma😭😭😭

  • @AnithaMwijonge
    @AnithaMwijonge 3 หลายเดือนก่อน +15

    Khaaa watu mnawahi hatar mmmh bhc name mnipee like ahhaaha

  • @MapenziJohn-n5d
    @MapenziJohn-n5d 3 หลายเดือนก่อน +5

    Wow mpaka nmeadza kupata matumaini kwa kai vile amemhurumia zuu😢😢😢😢congratulations kwa kazi dzuri sihaba hiki kipande kimekua kiref kias🎉🎉🎉🎉

  • @BettyKawira-g6i
    @BettyKawira-g6i 3 หลายเดือนก่อน +12

    Wash kwanza jameni naomba like

  • @cecilianyundo
    @cecilianyundo 3 หลายเดือนก่อน +8

    Wakwanza from Philippines 🇵🇭

  • @salmanassor8732
    @salmanassor8732 3 หลายเดือนก่อน +11

    Jamani mbona kila mtu anaomba like kwani anopata like nyingi huwa anapata nn niambien na mm nijuwe ili niwe naomba😂

  • @samiraabdallah-ez4lt
    @samiraabdallah-ez4lt 3 หลายเดือนก่อน +3

    Haya na mimi mnipe like maana humu kila mtu aomba like makubwa😂😂

  • @AnnaAmanda-v4q
    @AnnaAmanda-v4q 3 หลายเดือนก่อน +10

    Jamani na mim naomba like hata kumi kwa wanaopenda house girl ❤❤❤❤❤

  • @LatifaMohammed-p4k
    @LatifaMohammed-p4k 3 หลายเดือนก่อน +11

    Heeh yani kila mtu wa kwanza umu kwenye coment... Sipendi... Sijuw wa kwanza nani... Kazi yenu kuomba like 😏😏😏😏

    • @MalkaNinik
      @MalkaNinik 3 หลายเดือนก่อน

      Mimi pia wananikera

  • @FaridahFemy
    @FaridahFemy 3 หลายเดือนก่อน +4

    Naomba Mungu iwe Zuu hajafa

    • @RAJABUMKUMBWA-m7f
      @RAJABUMKUMBWA-m7f 3 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤❤hap saw bado yup

  • @jackilinekaini8744
    @jackilinekaini8744 3 หลายเดือนก่อน +8

    Kaz nzuli tunawapenda Sana❤❤

  • @DeboraJems-zs7fr
    @DeboraJems-zs7fr 3 หลายเดือนก่อน +19

    Jamanii Kwan simuonglee kaz ya Sanaa Kuna nin kuomba like had inakuwa Kama kero vilee

    • @ZainabuZaina-dk7mx
      @ZainabuZaina-dk7mx 3 หลายเดือนก่อน

      Waambie jamani like zishakuwa like

    • @Fatma12353
      @Fatma12353 3 หลายเดือนก่อน

      Sindio sjui zawasaidia na nn izo like

    • @KennethMAMBA
      @KennethMAMBA 3 หลายเดือนก่อน

      kero haswaaa

  • @cindy-uc5dp
    @cindy-uc5dp 3 หลายเดือนก่อน +7

    Wanatoa haraka episodes nawapenda sio kama bosi mchawi wrong house utangoja sana

  • @MwakwaoSume
    @MwakwaoSume 3 หลายเดือนก่อน +5

    Mm nime mshukulu mungu zuu kanisulika kubakwa

  • @NyotaWilondja-c4i
    @NyotaWilondja-c4i 3 หลายเดือนก่อน +20

    From USA wakwanza Leo Ni peni like nzangu napenda san zuuu❤❤❤❤

  • @saidamwavuo9926
    @saidamwavuo9926 3 หลายเดือนก่อน +9

    Hata mm naombeni like leo niko Iraq 😂😂😂😂😂😂😂

  • @aishalovesesibe
    @aishalovesesibe 3 หลายเดือนก่อน +7

    Wallah kweri pare wamufunguwe mikoni nikubishana2😳😳😳😡😡😡🇧🇮🇧🇮

  • @amosbarasa3516
    @amosbarasa3516 3 หลายเดือนก่อน +10

    The first one from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Wapi likes zetu

  • @mwanajumakomar3831
    @mwanajumakomar3831 3 หลายเดือนก่อน +7

    Watu mko faster yaan duuh nilidhani nmewai kumbe mshawai tyr😢😂😂

  • @MawazoJustin-fw2ws
    @MawazoJustin-fw2ws 3 หลายเดือนก่อน +6

    Sija chelewa jamani tupooooh!!!!!!!!!!!!!!!!

  • @FatumaAthuman-t9l
    @FatumaAthuman-t9l 3 หลายเดือนก่อน +6

    Nipewe likes na mm leo jamani

  • @miriamvihenda7408
    @miriamvihenda7408 3 หลายเดือนก่อน +6

    sinipewa like leo 😂😂niko tu hapa lraq kwa boom 😂

  • @joakimkasian1899
    @joakimkasian1899 3 หลายเดือนก่อน +6

    Leo wakwanza oyoooo!!

  • @dibogodibogo9358
    @dibogodibogo9358 3 หลายเดือนก่อน +12

    Yaani nyie zuu anakufa, halafu nyie mnakazana tu kuomba like.

    • @zabeniramba
      @zabeniramba 3 หลายเดือนก่อน +1

      😅😅😅😅

    • @francismutiso6961
      @francismutiso6961 3 หลายเดือนก่อน +1

      Nahurumia zuu sana jaman huyu kendi n mnyama sana

    • @SalmaMnalidi
      @SalmaMnalidi 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hhhhh xo watu hao ni viatu ndo mana 🎉

    • @SalmaMnalidi
      @SalmaMnalidi 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@francismutiso6961kbx ni mnyama

  • @Saumu254
    @Saumu254 3 หลายเดือนก่อน +15

    Nyie watu yaan MTU Anglia yey like tayar😂😂 ikiloady tu naomba likes😂😂😂❤❤❤❤

  • @leatimoth3611
    @leatimoth3611 3 หลายเดือนก่อน +5

    At least leo nimefika mapema ❤❤

  • @MarieMilly-oz1ky
    @MarieMilly-oz1ky 3 หลายเดือนก่อน +6

    Nyìe watu mnawahi sana😅😅😅

  • @PeninaQueen
    @PeninaQueen 3 หลายเดือนก่อน +6

    When nitakuw wa kwanza ku like this movie 😢😂

  • @HawaAdamu-u3u
    @HawaAdamu-u3u 3 หลายเดือนก่อน +9

    Wakwanza mm nipeni like

  • @HajraIddy
    @HajraIddy 3 หลายเดือนก่อน +9

    Hiv Kwan nyieee mwaangaliaa movie au mwatak like

  • @joleemvungi
    @joleemvungi 3 หลายเดือนก่อน +6

    Wanao muelewa mama kibendu waje hapa...ila tatizo linakuag ni nn mpaka watt wanakua hivi jmn wazazi wanaumia sana jmn😢😢😢😢😢

  • @sofiakinyia2734
    @sofiakinyia2734 3 หลายเดือนก่อน +7

    Ila mwarauka nyie Aya twendeni nalo🎉🎉

  • @zuleikhaissa684
    @zuleikhaissa684 3 หลายเดือนก่อน +6

    Mujitahidi bac angalau muda muongeze ni mfupi sana

  • @LesianJuma
    @LesianJuma 3 หลายเดือนก่อน +2

    Tulio na uchungu na kuehuka kwa zuu japo hatujazaa Wala kuzalisha gonga like 20 tu

  • @PeninaQueen
    @PeninaQueen 3 หลายเดือนก่อน +6

    When nitakuw wa kwanza ku comment this movie and like 🥱🥲🇨🇩🇨🇩🥰

  • @NeemaMushi-e8x
    @NeemaMushi-e8x 3 หลายเดือนก่อน +20

    Mim wa pili naombeni like

  • @SILVIANAWANJAYA
    @SILVIANAWANJAYA 3 หลายเดือนก่อน +12

    Wakwanza huku wapi likes zangu❤

  • @NafulaAnne-vf3ty
    @NafulaAnne-vf3ty 3 หลายเดือนก่อน +4

    Zuuu amekufa ety 😅😅😅

  • @nadzuwazidi
    @nadzuwazidi 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hongera sana wana BUSATI TV Kwa uponyaji wa baba kai ...ila namuhurumia daa zuu😢😢 naombea daa zuu apone 🙏🏻🙏🏻🙏🏻 nawapenda wote watazomao House girl🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ismaelselemane5798
    @ismaelselemane5798 3 หลายเดือนก่อน +8

    Like jaman kwa zuu 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @RuuOog
    @RuuOog 3 หลายเดือนก่อน +33

    Yan Kila mtu niwakwanza Kila mtu naomba like nyoko zenu

    • @VictoriaMazyai-ce4xq
      @VictoriaMazyai-ce4xq 3 หลายเดือนก่อน +2

      Ahahahahahah

    • @douglasomanga8649
      @douglasomanga8649 3 หลายเดือนก่อน +3

      😂😂😂umeongea venye nilikua nadai kuongea,,like like, like ya nyoko, zinasaidia nn xx cartoon nyny

    • @NeillahMcute
      @NeillahMcute 3 หลายเดือนก่อน +3

      Wanakera sanaa😂😂😂😂 like za ushuzi

    • @RuuOog
      @RuuOog 3 หลายเดือนก่อน +2

      Baada ya kusem nini kimepungua yn kutoa maoni wao like like igizeni zakwenu

    • @VictoriaMazyai-ce4xq
      @VictoriaMazyai-ce4xq 3 หลายเดือนก่อน +2

      @@douglasomanga8649 yaan me ata siwaelew like kila m2 awa wa2 jomon wanakera 😂

  • @aishaqassim1777
    @aishaqassim1777 3 หลายเดือนก่อน +6

    Jamani Leo nimewahi wakwanza kazi nzuli sana 😊😊😊😊❤❤

  • @FaustinaPhilimoni-wc4mc
    @FaustinaPhilimoni-wc4mc 3 หลายเดือนก่อน +16

    😂😂jmn watu mnakesha mtandaoni duh mi wa 101 naomba ht like tano

  • @MariamMkalla
    @MariamMkalla 3 หลายเดือนก่อน +8

    Nimewahi leo nipeni like zangu hata tano basi

  • @KamselaOg
    @KamselaOg 3 หลายเดือนก่อน +4

    Kumbe wanaume tupo wachache sana Kai anafrahia ujinga si ujinga huo jamani

  • @AbigaelCosmas
    @AbigaelCosmas 3 หลายเดือนก่อน +7

    Yaani KAZI nzur san nawapend san

  • @gracemuusi3421
    @gracemuusi3421 3 หลายเดือนก่อน +8

    Wa pili naomba like😅

  • @RobinaRob-ln3ij
    @RobinaRob-ln3ij 3 หลายเดือนก่อน +15

    Jamani mh wa kanza nipee like

    • @busatitv
      @busatitv  3 หลายเดือนก่อน +1

      🙏🙏

  • @IreneOgalo-jz2nf
    @IreneOgalo-jz2nf 3 หลายเดือนก่อน +4

    Imefikia mahali naamza kuchukia hi movie

    • @DinahNish-bm9sr
      @DinahNish-bm9sr 3 หลายเดือนก่อน

      Kama mimi yani matatizo gani hayaishi 😢😢😢

    • @RechoMasele
      @RechoMasele 3 หลายเดือนก่อน

      Yani ata Mimi zuu namuonea huluma paka sitamani ata kuiagalia ten najikuta nalia tu zuu wetu jamn

    • @LuckyRokus
      @LuckyRokus 3 หลายเดือนก่อน

      Kma mimi

    • @KhairatSaateni
      @KhairatSaateni 3 หลายเดือนก่อน

      Mm pia nshachk matatz hayaishi 😮😮

  • @Marlenapilikitsao-gk9je
    @Marlenapilikitsao-gk9je 3 หลายเดือนก่อน +4

    Baba baba Ni ww baba Amen 🙏🙏🙏❤❤❤❤ Nipenda familia hii iliyo jukumika Kwa swala la baba kupona mungu awatiye nguvu pia Maisha marefu Amen 🙏🙏🙏❤❤❤❤ nimesikia Raha kuona baba yupo Na Kai ufahamu pia nimeona ufahamu unaanja kurudi kiainaaina

  • @EmanuelNgahatilwa-ew8qz
    @EmanuelNgahatilwa-ew8qz 3 หลายเดือนก่อน +6

    Nimekuwa wa kwanza like basi

  • @megahnasi8905
    @megahnasi8905 3 หลายเดือนก่อน +4

    Zuu haezi kufa juu n yeye kichwa cha movie long life zuuh n upone uje unyakue kendy bwana manake huyu kendy kazidi 😢 zuuh quick recovery baby gal we love you so much

    • @SalmaMnalidi
      @SalmaMnalidi 3 หลายเดือนก่อน +1

      Yes quick recovery we love u so much my dear 💕💞

  • @chundimuaminifo8951
    @chundimuaminifo8951 3 หลายเดือนก่อน +6

    Naomba like zangu

  • @SaidiJuma-gc1pp
    @SaidiJuma-gc1pp 3 หลายเดือนก่อน +5

    Jamani namuhurumia sana zuu ila mungu amuongoze

  • @HawaaChris
    @HawaaChris 3 หลายเดือนก่อน +3

    Jmn team strong nimeanza kuboeka,zuu amenishtua tokea jana,nkiwa na hopes leo atakuwa swa,hatimae leo nayo nalala ihali zuu ako taaban😢,refusheni kias vpnd n vifupi sana...mob ❤❤❤ to u team busati

  • @mamasalhat
    @mamasalhat 3 หลายเดือนก่อน +6

    Am here ❤ nilikua nahamu ya kukua zuu itakuajeeee haya sasa tutoe macho kujua kitakacho endelea🥰

    • @SalmaMnalidi
      @SalmaMnalidi 3 หลายเดือนก่อน

      Kwa kwel jmn

  • @MariamPaul-s2l
    @MariamPaul-s2l 3 หลายเดือนก่อน +3

    Tena kendi kawa msitarabu Kai kawa mbogo

  • @NeemaDaniel-i4n
    @NeemaDaniel-i4n 3 หลายเดือนก่อน +2

    Naombeni like na me jmn

  • @صالحهالحاتمي-ر4ع
    @صالحهالحاتمي-ر4ع 3 หลายเดือนก่อน +3

    Jaman refushen kidogo ni nzur sana lkn fupi ❤

  • @NasraKingazi
    @NasraKingazi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kitu nawapendea Cha kwanza mnatoa Kaz kwa wakat sio wengine mtu unakaa mpk unasahau uliishia wapi Kaz yenu pia ipo kwenye maadili mazur namafunzo yenye uwered wa Hali yajuu mwenye kuoona naakajifunze kit hapa