Charles enock acha ukabila huo ndugu. Aliyekuambia msukuma ndiyo anaakili pekee kakudanganya aise ht mimi nina PCB sio wa kabila la ukanda wa ziwa na sipendi kuwa mkabila. Tupendane tuu. Tuache dhana potofu kbs
Nadhani watu wangeacha kupinga ujio wa ndege, Sasa hawa marubani, air hostess wangepata wapi ajira. Naona kuna watu wamemaliza vyuo na degree ya mass communication Sasa ni air hostess.
Mtangazaji hivi unamuelewa huyo rubani anachoongea kweli?? Maana anatumia lugha za kindegendege🤣 na unatakiwa utufafanulie na sisi wapenzi watazamaji tuelewapo hvo vitu anavovitaja😂 mi nikiwa kama mpenzi mtazamaji sijaelewa 🏃🏻♀️🏃🏻♀️
Yaani maswali anayouliza huyu mtangazaji wenu ni yq ajabu sana, eti wazazi wapo, unafamilia? Daaa....jifunzeni maswali yakuuliza, hii ni aibu kwa tasnia ya habari labda kama huyu Dada hana professional ya habari
Mwandishi ukienda kwenye professional za watu waulize maswali yakuleta tija kwa vijana waweze kupata muamuko wakuongeza bidii katika masomo yao sio unauliza maswali ya una demu ulidhani uyo bongo movie au moziki acha bangi binti.
me ntafrah nkisikia shirika limaweza kujiendesha lenyewe na ifikie hatua pawepo na uthubutu kama huu ikiwa shirika nalo litanunua na serikal ikinunua kwa kasi hii tunayoiona bac tutakuwa mbali sana
@@uledimtumwa2406 hahahahaha ukweli ni huooo ngosha kaanza kusoma hivi karibuni but mambo yao ni makubwa sana, lakini yapo makabila yalitangulia kusoma but now days wanafuataaaa
Hongereni malubani wa kitanzania alafu vijana hodari tunamshukuru MUNGUBABA
Asante Rubani. Wewe ni mzalendo kwelikweli.Mtoto wangu baada ya kuona hili tukio anasema anataka kusomea urubani.Wish ungekuwa mkwe wangu
Captain Budodi from Old moshi sec school OMSS kama Head Prefect Class ya 2008 Nakukubali sana Mkuu Hongera Zako Mzee.
Collins Cosmas....nakuomba kaka unitafute tafadhal
Hatari...ndugu zangu .....na inapendeza Sana lengo la ndugu huyo naona limetimia 🙌🙌👏👏👏
hongera sana Mungu Aibaliki kazi yamikono yako💪🏿
Doh, my god, This is new and great news that our Air Bus brought by our fellow Tanzania. Tho wonder.
Tanzania has new speed forward!!
Safi Sana ruban wetu mungu akutie nguvu bila kumsahau Rais magufuli hapa kazi 2
safi sana mzee ngosha kumbe watanzania tunaweza😅😅😅😅
Hongera sana Brother Budodi Kazi nzuri watanzania tunaweza.
duu inapendeza sana kijana mwenzetu kufanya kazi ya kurusha ndege so adorable
Karubani kanajibu vizuri sana kama nilivyokafundisha ,😀😀😀😀
Kama unamkubari ngosha ruban wetu toka mwanza gonga like
honger kaka Kwa kaz yako nzur
Eti mwanzaaaaaa
Hongera sana home boy budodi Nakumbuka Enzi ya utoto ulivokua kibonge
Good interview,,, uko vzr Budodi big up..huna majivuno kiviiile,,
Mtangazaji sasa
Charles enock acha ukabila huo ndugu. Aliyekuambia msukuma ndiyo anaakili pekee kakudanganya aise ht mimi nina PCB sio wa kabila la ukanda wa ziwa na sipendi kuwa mkabila. Tupendane tuu. Tuache dhana potofu kbs
jinga ilo halijielewi
Ngosha big up saaaana...Mungu akutangulie zaidi..et
Bro Toka PCB mpka urubani!! I never saw that coming.Hongera sana mzee
Jamaa alikua capt safari ang ya KIA to DAR what a brother
Tunamshukuru MUNGU kwa kutupatia yote tunayoyaona leo Mungu aendelee kutupigania
Msukum mjanja huyu hongera bro mungu akupe uwezo san
hacha ujinga, eti msukuma..sema mtanzania bichwa maji weh
Masha Allah msukuma wee mungu akupe afya na maisha marefu
Safe sana...hukawowa...yes....msomi lakini mucuvi ashawowa tayari watoro 5...duuu
Asee salam toka kwenu mwanza busweru zikufikie broo hongera kwa kutuwakilisha wasukuma mi npo huku kwenu mwanza busweru
Abduiy
Hufurahia Kama watu wangu wako sawa kikazi Kama mimi big up bro
Hongera Mzee Baba Big Up Cna Kaka
Jaman wee Msukuma tuaze wote family😂😂😂
Uko vizur kaka hongera kwa kazi yako. Wawenjaa sana
waw mtuwajabu nawee soma upatemchumba
Unataka mteremko
Hongera marubani woteAtcl
Hongera kaka kwa kazi nzuri sana
Nimefurai sana rubani anavyojibu na pia taifa linasonga mbeke kweli.
Hongera Sanaa Mzee baba ngosha gete kwa ku flight Air bus
Jackson Maou
Hongera mzazi wa rubani
Hongera kaka MUNGU akuongoze 👏👏👏
Nakutakia kazi njema milele
my head boy moshi secondary huyo, 2008, brother budodi hahahaaa daaaah maisha haya. saafii,
Hongera sana broo uko makini pia nilichokiona nidhamu ipo ma shaa allah safi
MashaAllah Allah akuzidishie kila KHERI katika maish yako in shaa Allah 🙏🏻 🙏🏻
Hongera HP old moshi SS, @budodi Nicholaus.
Safi sana Rubani Budodi uzalendo kwanza
Hongera sana Budodi pairot
Pilot mhumble sana handsome guy
Hongera sana Budodi
Hongera sana Pilot.
Hongera rubani
Hongera sana kaka
Huyu rubani anaongea kiswahili cha kizungu.
Dah one day yes na mm 👌
Nimependa sana hii enterview. Lovely Tanzania
Nadhani watu wangeacha kupinga ujio wa ndege, Sasa hawa marubani, air hostess wangepata wapi ajira. Naona kuna watu wamemaliza vyuo na degree ya mass communication Sasa ni air hostess.
HONGERA MR. BUDODI NICHOLAUS
jamaa upo sipo sana haunamajivuno.safi sana
yaani shikamooni akina ngosha mnajua kujiongeza kuna makabira mengine wao wanaona sifa kupaa na ungo yaani uchawi out out nje nje nje
Papaya Tnzania 😁😁😁😁
Tuombe radhi kabla hatujakuchukulia hatua.
Papaya Tnzania aaah Hii kweli Kali mpaka nimecheka jamani watu mnamawazo mbadala
Ayaaa.......!
@Silvia naomba tuwasiliane mdada
Hongera ngosha!!
Kumbe tulishakuwa na marubani kibao. Shida ilikuwa hatuna ndege
Hongera brother
dah WE rubani njo uniowe hapa Belgium, maco mazuri kwel kwel 😂😂😂
Nikos Budodi 👏👍👌💪
Iko siku nitaipanda hii ndege in shaa Allah
Omar Hassan
Taznaina 🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍
Daaah! Vizuri sana my tz
Wasukuma oyeeee captn msukuma
Amewakomboa wasukuma jmn,,,,,,wasukuma oyeeee
Magufuli njoo Kenya,,uelimishe hawa viongozi wetu
huyo dada hana maswali ya kiuandishi wa habari hapo ndio shida ya kuokota wafanya kazi ambao sio proffesional
Hongera sana rubani wetu
Safi sana Capt.Budodi.
Kweli tunaweza
Huyu dogo namkumbuka Sana. Budodi hongera.
usimwite dogo ameshakuwa mtu mnzima hata kama umemzid umri na kumfaham,wivu tu
Hays mzee baba sayansi hiyo
Jaman nimempenda rubani mstaarabu
Elim, Elim, Elim
Hamukawiii😂😂😂
Mume wa mtu huyo
Nimempend jmn
Mtangazaji hivi unamuelewa huyo rubani anachoongea kweli?? Maana anatumia lugha za kindegendege🤣 na unatakiwa utufafanulie na sisi wapenzi watazamaji tuelewapo hvo vitu anavovitaja😂 mi nikiwa kama mpenzi mtazamaji sijaelewa 🏃🏻♀️🏃🏻♀️
Yaani maswali anayouliza huyu mtangazaji wenu ni yq ajabu sana, eti wazazi wapo, unafamilia? Daaa....jifunzeni maswali yakuuliza, hii ni aibu kwa tasnia ya habari labda kama huyu Dada hana professional ya habari
saitoti saitoti ahahahahah mtangaz mwemyewe mandaz na chai ya rang
saitoti saitoti kwel
saitoti saitoti haahahah
Nywele kashindwa zichana, ataweza kuuliza maswali
congratulate brother
Congregation
inapendeza sana
Mwanahabari jifunze kuvaa
Wewe unaangalia nguo zawatu ama unasikia ujifunze Fala wewe
Fala ni wewe
Halaf mm cjamtuc hu yo mwanamkeo ucnituc pliz
@@langonikilusta6587 angalia habari sio nguo
Langoni Kilusta mh hahahhaahhaha
Marubani wote atcl hongera
Sasa na maswali ya wazazi wapo au hawapo yanaingiaje hapo?
Tanzania, Kenya Rwanda etc....they are going forward but Uganda is static what a shame!
Kumbe imetokea hapa hapa Montreal?Wow safi saaana
Mnawaumiza Zanzibar wao hawana hata ndege 1 zoote za Tanzania bara. Na sio Tanzinia Zanzibar.
msukuma huyu sio mshamba anavyoengea tuu unaona kabisa mjanja😂😂
sule lubwaza 😂
Mwandishi ukienda kwenye professional za watu waulize maswali yakuleta tija kwa vijana waweze kupata muamuko wakuongeza bidii katika masomo yao sio unauliza maswali ya una demu ulidhani uyo bongo movie au moziki acha bangi binti.
Watanzania kweli tunaweza
Wow!! So you are not married 😜😜😜 I'm coming for you 💃💃💃💃
tamaa tu kisa capt, mnabanduliwa kama big g ndo mana
me ntafrah nkisikia shirika limaweza kujiendesha lenyewe na ifikie hatua pawepo na uthubutu kama huu ikiwa shirika nalo litanunua na serikal ikinunua kwa kasi hii tunayoiona bac tutakuwa mbali sana
hongera baba magu kwa tunu yako
Hongeraaaaaa
Kwa hiyo huyu mtangazaji yeye hawezi kufunga hata hizo nywele kama kichaa
Nilijua nimemuona mm tu ,Hana hata rafiki wa kumwambia jaman
Allah ambarikie
Rubani ACHA KUONGEA KWA SWAGGA, ongea tu kiswahili cha kawaida
Nice one first comment give me likes lol
Ndio ngoshaaa
watangazaji Wa Tanzania mnafaa mrudi while ya utangazaji
Hongera msukuma
SINA LA KUSEMA MACHOZI YA FURAHA TU YAMENITOKA
Julian Peter kweliii kabsaaaa huuuu ukweliiiii
Km Mimi pia Yani naona upia tu inchi yetu mbona Hadi raha.
safi sana ngosha
Nakubari anko ngosha ikija✈ kubwa zaid utapewa kaz ya kuifwata
Simjui huyu mtu lakn i believe anastahili hii kitu
Wasukuma wanakimbiza mnoo Science PCM, PCB, PGM makabila fulani hapa ni ECA NA ACCOUNT tuu
charles enock Wee unautani wa kweli.
charles enock usilete ukabila hapa
@@uledimtumwa2406 hahahahaha ukweli ni huooo ngosha kaanza kusoma hivi karibuni but mambo yao ni makubwa sana, lakini yapo makabila yalitangulia kusoma but now days wanafuataaaa
Alafu we nawewe usukuma kwenye watanzania inakujajee
Wasukuma c watu wa mchezo bhana washapanda bei
Mwandishi wa habari jifunze kuuliza maswali ya kiweledi. Unaboa. Someni jamani!!
Kwaio anasomeshwa hadi maswali ya kuuliza?
king msukuma twaweza
Hongera
Wasukuma tuko vzr nimemuona na dada wa kisukuma anarusha bombadier hongera sana
pa1 sanaaaaaaa ila kakosea kusema ''mwenye ndege kafurai.