Moyo wangu tulia tulia tuli tulia kwa Yesu kwenye pendo lisilo kwisha oooooh jesus ni zaidi ya maombi tulia usije juta moyo wangu anaekupenda n yesu tu 🙏🙏🤲🧎♀️
Asante sana mtumishi kwa ujumbe mzuri, yani nimepitia mengi mno na huu wimbo ulikuwa na mpaka sasa bado ni faraja kwangu. Wimbo ulinivusha kwenye matatizo. Barikiwa sana 🙏
Hii nyimbo nyuma yake kumbe imebeba ujumbe wa kweli😢😢😢
Nani anaskiza huu wimbo 2024
moyo wangu tulia
Hongera Kwa k uh jaliwa sauti nzuri na kuitumia kumtukuza mungu.
Moyo wangu tulia kwa Yesu kwenye pendo lisilokwisha tafadhali. What a song! Kenyans mko wapi? 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hapa pap
@@violinekavaya6081 tukooooo
Mathar light
Tukooo Amen
Tuko 👍
What a great song,,,I'm motivated by your songs 😢😢
Moyo wangu tulia yeye ndo anayejua thaman yangu
Ahsante kwa wimbo wenye faraja
hakika mungu ndie mwenye majibu penye shida
Barikiwa sana
Badilisha producer wa muziki na mtunzi wa nyimbo.melody na beats za nyimbo zako zinafanana
Nice songs
Amina na iwe hivyo.. Nitajikumbusha na huu wimbo kila cku hadi Moyo utatulia kwa Yesu
Moyo wangu tulia tulia tuli tulia kwa Yesu kwenye pendo lisilo kwisha oooooh jesus ni zaidi ya maombi tulia usije juta moyo wangu anaekupenda n yesu tu 🙏🙏🤲🧎♀️
Every time I listen to this song... I feel blessed and reminded that it's my duty to worry over anything but to let God take care of all.
Am blessed
Moyo wangu Tulia kwa Pendo LA Milele.
Nipitiayo ni mengi lakini naamin moyo wangu utatulia kwa Bwana. Eeh Mungu nipe ujasiri wa kushinda yalipo mbele yangu.Amina🙏
Moyo wangu tulia umegusa maisha yangu my mungu akutie nguvu katika huduma hii yakubariki mioyo yawatu
Amen🙏🏾😭
Amen 🙏🙏😭😭😭
This song give me hope ,in the morning😢😢😢😢😢😢😢❤❤❤❤❤❤❤May God hear my daily prayer ooooh lord😢😢😢😢😢❤❤❤❤
Aminaaa
Wouw huu wimbo wanipa matumaini thanks Beatrice shida n ya muda pekee moyo wangu tulia kwa yesu 💕💗
Mungu akuze kipaji chako dada🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Moy wanh tulia
Moyo wangu tulia kwa Yesu🤲🤲 aya mateso ni yamdaa.
Oh Halelluuuuya.. Amen Amen. Moyo wangu tuliya, tuliya kwenye pendo lisilo kwisha.. Oh Baba uko mwemaaaa.
Haleluyaaaa moyo tulia kwa Yesu alilipa garama tulia moyo wangu tulia kwenye pendo lisillokwisha barikiwa sana dada
Narudia tena kusikiliza maana moyo wangu unahitaji kutulia kwa yesu
Tena tulia sana MOYO WANGU kwa YESU KRISTO mwana wa Mungu aliye hai
God bless you my sister 🙏🙏🙏🙏🙏 endeleya kwakumwabundo Mungu🇺🇸🇺🇸 Mungu ni Sababu Ya Moyo Wako iwe na imani siku zote za maisha yako Tukuza Mungu tu?
Kenya namba one fun 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Pap nipo
Moyo wangu tulia mungu aendeleze kipaji chako
Moyo wangu tulia, kwani alitufia msalabani ili2pate pumziko. Na hakika pendo lake linadumu milele Amina thanx frm Kenya
Hakika moyo wangu tulia kwa Yesu hakuna mashaka kamwe,ubarikiwe Sanaa Dada Beatrice kwa wimbo mzuri na wenye ujumbee mzuri
Moyo wangu tulia tulia kwa Yesu kwenye pendo lisilokwisha moyo wangu tulia
Mungu utupe uwezo ya kutulia kwako ,hata majaribu yakizidi
Moyo wangu tulia,,, tuli tuli,,,, Tulia kwa Yesu,,,,Usije ukaikosa mbingu,,, maana ya Duniani Niya muda2,,, TULIA KWA YESU
Moyo wangu tulia kwa yesu.barikiwa sana.
Nani mwingine amekuja huko from tiktok❤❤❤
Nakukbali we dd Hakika moyo wangu tulia kwa Yesu Mungu azd kukuinua
Unanibairiki sana Beatrice..tangu mara ya kwanza kukuona Maneromango miaka mingi iliyopita
Yeah...moyo wngu Yulia kwa Bwana... Shida ni za mda tuu
Hongera sana Beatrice. Kweli moyo tulia kwa Yesu kwani ndio aliyetufia msalabani
Moyo wangu tulia aijalishi napitia mangapi humu dunian lakini tulia kwa yesu dada ubarikiwe sana kwa wimbo nzuri unatufariji sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Niulizee nani anakupenda moyo....ooh you are blessed siz Beatrice...
Daaaah umejua kunibariki Dada yangu, Mungu akutunze sanaa
Kwa yesu mambo ni sawaaa
Nyimbo zako zanifariji xana dadangu mwenyezi mungu akubarik xana
Moyo wangu Tulia, tulia kwa yesu.haka najiskia kubarikiwa,wimbo unainua, ubarikiwe kwa kutubariki
Moyo wangu tulia kwa Yesu, unajua dada kuimba. Mungu akubariki
Moyo wangu tulia kwa Yesu anaupendo usiokwisha amina
Kweli kabisa moyo wAngu Tulia kwa Yesu watching through TH-cam in Qatar
Moyo wangu tulia kwa Yesu 😭😭
Tulia kwa Yesu nyimbo nzuli saaa a Ameeeeeeeen
Mpk mwili umesisimka 😥😥😥 umenibariki sana
Moyo wangu tulia kwa Yesu! AMEN
Nabarikiwa sana na nyimbo zako Dada yangu Mungu akubariki sana na kukuinua ktk huduma yako
Huduma ya Mungu ndani ya mtu ni yeye pekee anaihudumia barikiwa sana Betrice in Christ you never fail!
this song has been realesed right on time....MOYO WANGU TULIA UNAJUA NANI ANAKUJALII
Beatrice dada I like your songs you are a blessing to me
Great
Hongera Kwa kazi nzuri mtumishi,
Moyo wangu tulia tulia kwa yesu
Amina MUNGU akubariki sana dada wimbo mzuri na unafariji sana
Bite we mkali Sana
Mungu hakika anatenda kwa anaye mtendea
Ukisikia saut zinazokosha mioyo ya wengi mojawapo ii.moyo wangu tulia 😍😍
Hongera Sana mama Mungu anakutumia wewe kwaajili ya faraja yetu na kututia moyo be blessed na Mungu aendelee kukuinua viwango hadi viwango
Waoo moyo wangu tulia kwa Yesu
Hizi shida niza mda 💔💔💔💔😭😭😭🤲🤲🙏🙏
Moyo tulua kwa Yesu Ameeeeeen
Am totally blessed with song..moyo wangu tulia kwenye pendo lisilo kwishaaa.....
Hakika moyo wangu tulia kwenye pendo lisilo kwisha 🙏🙏
Moyo wangu tulia kwa Yesu😊tulia kwenye pendo lisilokwisha🙏🏽
Amen
This song makes me strong than before 🧎♀️💪much love from Uganda 🇺🇬
Nice nice song my sister i have blessed with this song wow God bless your voice
Amina,,moyo wangu tulia kwa yesu
kweli moyo wangu tulia kwa yesu kwenye pendo linalo isha
Moyo wangu Tulia! Nice song, Nice voice
🙏❤
Amén amen amen asante nikweli moyo utuliye pamoja na mungu
Huu wimbo umenipatia tumaini barikiwa Sana
My heart relax to Jesus your truth Protector 💗
Next episode, I have come severally only to find this episode
Moyo wng tulia kwenye pendo lisilokwisha. Amen
Ooohhhh hallelujah Moyo Wangu tulia kwa Yesu 🙏
Moyo wangu tuliya kwa yesu
Amen
Moyo wangu tulia tulia yesu moyo wangu tulia tulia kwa yesus🍇
Moyo wangu tulia..... Amen.... Wat a song..... Nyamaza wacha kulia.... Siz ur just a blessing...... Ntafika salama
Moyo wangu ushatulia ,,,AMEN
Amina sana Dada mungu ni mwema umenpa matumaini wimbo wako hakika mungu na wanadamu, mungu akutie nguvu kwa uimbaji wako. AMEN
Ameeen Dada balikiwa saana
AMEN moyo Wang tulia kwa yesu
❤️❤️Moyo wangu tulia kwa Yesu👏👏👏
Moyo wangu tulia tulituli,uache kusononeka na hautajuta
🙏🙏🙏🙏Moyo wangu tulia kwa yesu
th-cam.com/video/v3HMd8cOoHo/w-d-xo.html
I love this song encourages my heart to be strong and patient with my daddy ,God
Safi kazi kubwa Sana Dada Barikiwa na hongera
Asante sana mtumishi kwa ujumbe mzuri, yani nimepitia mengi mno na huu wimbo ulikuwa na mpaka sasa bado ni faraja kwangu. Wimbo ulinivusha kwenye matatizo. Barikiwa sana 🙏
Amen Moyo wangu tulia😍🙏🙌
Yeye anajua kupenda na sio msaliti. What a great message
When am overwhelmed with troubles and my heart is tired....I always listen to this song it's refreshing and soul uplifter
Kweli moyo wangu tulia tulia kwa yesu