BINTI SONIA - MAPENZI NA MAISHA YALIVYOMTESA MREMBO SONIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ม.ค. 2024
  • Baada ya mwaka mmoja alimuondoa dada wa kazi kwakusema Hana sababu ya kuajili mtu wakati Mimi nipo,😓
    Kumbuka hata shule hajanipeleka.
    hivyo nikawa mtu was kazi tu nakumbuka wakati nakuja pale hawakuwa wamelima mboga mboga Ila baada ya dada kuondoka aliniambia natakiwa kulima mboga mboga na kila. Nywele zikikuwa kidogo tu napigwa kipala ........😭😭
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 125

  • @nellylewa4457
    @nellylewa4457 6 หลายเดือนก่อน +6

    Asante sana lucas lumbasi ❤❤❤ kwa story tamu

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 6 หลายเดือนก่อน +15

    Wakwanzaaaa nipeni likes zangu😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @user-jk8qn4zi5t
    @user-jk8qn4zi5t 6 หลายเดือนก่อน +6

    😂😂😂nimekuwa wa kwanza leo nipeni🎉🎉🎉yangu

  • @agnesbasistian9248
    @agnesbasistian9248 6 หลายเดือนก่อน +5

    Tamu hadi tamu tena jamani uwiiiii thanks more

  • @user-cl9dz6kk7u
    @user-cl9dz6kk7u 6 หลายเดือนก่อน +3

    Wamwishooo❤❤❤ 🇴🇲🇴🇲Daah minaona agebaki TU hapohapo sasauko anapokwenda itakuwaje

  • @saumunyadzua
    @saumunyadzua 6 หลายเดือนก่อน +4

    Iko moto mnoo

  • @mwanakombofujo1710
    @mwanakombofujo1710 6 หลายเดือนก่อน +2

    Jmn asant xna nmechelew ila chelewa ufike much ♥ simulz n pambe jmn shukran xna

  • @aminakhamis5078
    @aminakhamis5078 6 หลายเดือนก่อน +3

    Kaka Luca hapa ume upiga mwigi yani leyo tam tam tumeaza na my hero now binti sonia na zote ni 🔥

  • @user-lf2ze2xr7s
    @user-lf2ze2xr7s 5 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani niliiitafta hiistli asantee kipenzi ❤❤❤

  • @linahjoshua1398
    @linahjoshua1398 13 วันที่ผ่านมา

    Lukas Asante Sana kwa Hadith nzuri endelea kutuletea Kama hizo

  • @wertqwe8326
    @wertqwe8326 6 หลายเดือนก่อน +4

    Hii simulizi nitamu natamani iwe inaenda mpaka part 5❤❤❤❤❤

  • @user-pu9mp9ry4n
    @user-pu9mp9ry4n 5 หลายเดือนก่อน +1

    I love it from kenya 🇰🇪 😍

  • @qaltumsaid3095
    @qaltumsaid3095 หลายเดือนก่อน

    Lucas Lumbas Asante Kwa simulizi nzuri upewe maua yako🎉🎉🎉

  • @user-ky3oc7bi8k
    @user-ky3oc7bi8k 6 หลายเดือนก่อน +2

    Uko vizurii sanaa

  • @FarajaEdson-ud2lx
    @FarajaEdson-ud2lx 6 หลายเดือนก่อน +2

    Weusi kama kwapa la nyani 😂😂😂😂😂🎉🎉🎉❤❤❤

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 6 หลายเดือนก่อน +3

    So nice story tamu kweli kweli hadi raha tumeinjoy sana congratulations 👏👏👏 my wetu kipenzi ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @nahimanahawa
    @nahimanahawa 6 หลายเดือนก่อน +3

    Duuh iyi simulizi naipenda sana kila mara huwa naisikiliza kila mara

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mie kwangu natamani abakie hapo ili tuendelee na drama zao wawili ❤❤❤🎉🎉

  • @mwanamisiabdalla5551
    @mwanamisiabdalla5551 6 หลายเดือนก่อน +3

    Tamu hii 😊😊

  • @racheluwda6552
    @racheluwda6552 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mambo ni moto san 😂😂😂

  • @ZabibuHassan-ci5vz
    @ZabibuHassan-ci5vz 6 หลายเดือนก่อน +5

    Beter late than never😊❤

  • @saudamwakunemwa3856
    @saudamwakunemwa3856 5 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤ tamu

  • @ytyg7261
    @ytyg7261 6 หลายเดือนก่อน +2

    Duuuh nice simulizi part2

  • @AliceKihanga-tm8zx
    @AliceKihanga-tm8zx 6 หลายเดือนก่อน +3

    Kaka luca part 2 tunaomba sonia please

  • @mariamrashid6880
    @mariamrashid6880 6 หลายเดือนก่อน +2

    Shukran sana kaka Lucas In Shaa ALLah kesho tunaisubiri kwa hamu

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mm namtetea sonia asiondoke

  • @user-tr3xb4od4j
    @user-tr3xb4od4j 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kitu kipo poa🔥🔥

  • @JastineVicent
    @JastineVicent 19 วันที่ผ่านมา

    Waoooo str zuri sana. apewe mauayake🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @user-zp3fs9qt7k
    @user-zp3fs9qt7k 6 หลายเดือนก่อน +2

    Heloo I need part 2 ya mwisho Binti Sonia

  • @omerrashed9080
    @omerrashed9080 6 หลายเดือนก่อน +2

    Wawoo Lucas lumbasi pamoja sana broo ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @user-zj7hd6sg3y
    @user-zj7hd6sg3y 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mambo ni moto kabisa kaka Lucas Lumbas asante

  • @mariamkibindo1741
    @mariamkibindo1741 6 หลายเดือนก่อน +4

    Mambo ni Moto 😍

  • @Mohammedaa-xp3tq
    @Mohammedaa-xp3tq 6 หลายเดือนก่อน +3

    Nimewahi Leo 😂😂😂

  • @reachelchemtai2604
    @reachelchemtai2604 6 หลายเดือนก่อน +2

    Haa jamani kuliko na mazuri shatani hakozi kwenye mwema asente Sana Lucas lumbasi pendo la mungu pamoja nawe

  • @user-fc3tx9fx6k
    @user-fc3tx9fx6k 5 หลายเดือนก่อน +1

    Simulizi tamu kweli

  • @Reemysidimaojo
    @Reemysidimaojo 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mm ntka sonia asiondoke 😢

  • @user-uh2xx1ss5o
    @user-uh2xx1ss5o 6 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤🎉🎉🎉 ipo good sn bro

  • @user-vf9hg6sl2y
    @user-vf9hg6sl2y 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ki2 kilo pw😊😊

  • @user-cw4mv3kw7y
    @user-cw4mv3kw7y 6 หลายเดือนก่อน +2

    Asante sana kaka Lucas Lumbas

  • @RoseMbuya-cn5dg
    @RoseMbuya-cn5dg 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wakwanza leo lucas kusikia simulizi zako pia ni nzuri

    • @Pretty22750
      @Pretty22750 6 หลายเดือนก่อน

      Acha nikupongeze mbele ya Lucas ❤❤ let's enjoy usiwe km wengine kutwa kuchamba utafikiri wakipewa 🎤wataweza Lucas yupo vizuri Sana Mungu amtangulie mkaka wa watu move on ❤️🎉🎉

  • @user-fj5qn7nl7h
    @user-fj5qn7nl7h 5 หลายเดือนก่อน +1

    Good ❤❤❤

  • @AGRIPINAKABIRIKO
    @AGRIPINAKABIRIKO 6 หลายเดือนก่อน +1

    Tamuuu sanaa❤❤❤❤

  • @user-iq8ns3zg9m
    @user-iq8ns3zg9m 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mm sitaki aend abakitu❤❤🎉🎉

  • @naomiakiru5653
    @naomiakiru5653 6 หลายเดือนก่อน

    ❤️❤️❤️❤️ wow amazing napenda xn hiii story yko Lucas

  • @user-qx8gn2zq2s
    @user-qx8gn2zq2s 6 หลายเดือนก่อน +1

    Zuri ❤

  • @mariam-yw3nn
    @mariam-yw3nn 6 หลายเดือนก่อน +1

    Waoooooh kaka samahani mwambie anko jay simulizi Lisa part 12

    • @aminakhamis5078
      @aminakhamis5078 6 หลายเดือนก่อน

      Hahahaha watu mume vurugwa na Lisa na kivuruge wake 😂

    • @Evelynmoreen3655
      @Evelynmoreen3655 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@aminakhamis5078 sana we acha tuu😂😂😂😂😂😂

  • @user-ts3so5nj3o
    @user-ts3so5nj3o 6 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani inauzunisha sana 😥😥

  • @naomiakiru5653
    @naomiakiru5653 6 หลายเดือนก่อน

    Xijapenda kabiza kweli daah❤❤

  • @wertqwe8326
    @wertqwe8326 6 หลายเดือนก่อน +1

    He tuachilie sehemu ya pili plzzz tunausuru ushallah ❤❤❤

  • @SHIJA_
    @SHIJA_ 6 หลายเดือนก่อน +1

    hii simulizi nitamu sana imenikumbusha kitu

  • @user-pn4kl3uz5w
    @user-pn4kl3uz5w 5 หลายเดือนก่อน

    Plz leten simulizi ya lovera pt 2 plz nimeims

  • @AGRIPINAKABIRIKO
    @AGRIPINAKABIRIKO 6 หลายเดือนก่อน

    Tamuuu sanaa

  • @user-it5ej8eq6m
    @user-it5ej8eq6m 6 หลายเดือนก่อน

    😊😊😊 kauzu kapenda 😊😊😊

  • @habibanasoro9024
    @habibanasoro9024 6 หลายเดือนก่อน

    Mambo ni 🔥🔥🔥

  • @aminanuranassor660
    @aminanuranassor660 6 หลายเดือนก่อน

    Very stor so much ❤❤

  • @medinahsamita3981
    @medinahsamita3981 6 หลายเดือนก่อน +1

    Afathali aondoke

  • @user-en9wd6gp5m
    @user-en9wd6gp5m 6 หลายเดือนก่อน

    Jamani so quiet 😘😘😘😘😘

  • @user-xy8jg3ry2d
    @user-xy8jg3ry2d 5 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤

  • @lulusenzia4807
    @lulusenzia4807 6 หลายเดือนก่อน

    Hii tamu tamuuuu

  • @marianzuki4951
    @marianzuki4951 5 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤

  • @user-ik4rk1dl8l
    @user-ik4rk1dl8l 6 หลายเดือนก่อน

    Mwendekezo

  • @AminaSlumu-sf1yq
    @AminaSlumu-sf1yq 6 หลายเดือนก่อน +1

    HENDSOME BOY je imekaaje

  • @user-qw7un1nf2f
    @user-qw7un1nf2f 6 หลายเดือนก่อน

    Mashallah wamwisho

  • @jenniferramadhani2018
    @jenniferramadhani2018 6 หลายเดือนก่อน

    Simulizi tamu aswaaa ,😝😝😝

  • @annakinyi218
    @annakinyi218 6 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥

  • @lulusenzia4807
    @lulusenzia4807 6 หลายเดือนก่อน

    Njoo tunaendelea

  • @WwEe-qc7tc
    @WwEe-qc7tc 6 หลายเดือนก่อน

    Uzuri na ubaya wa kuwa beki tatu nikwamba kila mvulana ama baba boss hujiona wapo sahihi ama wanauhalali kuwatumia beki tatu kama chombo chao cha starehe ila beki tatu akiwa kauzu na kujifanya chizi wakati unapo faa pia kujifanya asie jali mbona watakoma nakukuheshimu ila ukiwa mtu wakuwachekea hata mbwa na paka waboss mbona watakulala

  • @fatumamatano8216
    @fatumamatano8216 6 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥

  • @GraceBakari-wo8ly
    @GraceBakari-wo8ly 6 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤

  • @user-fq4wt5oy7n
    @user-fq4wt5oy7n 6 หลายเดือนก่อน +1

    Haina sehemu ya pili mbona sioni

  • @LetisiaWilliammanyama
    @LetisiaWilliammanyama 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nimewah😢😮😅😮😢

  • @mwanasiti83sete63
    @mwanasiti83sete63 6 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @aaq9812Bintksaim
    @aaq9812Bintksaim 6 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤🎉

  • @MamakeJanetuser-ds8sz1mw4r
    @MamakeJanetuser-ds8sz1mw4r 6 หลายเดือนก่อน

    Ukweli usemwe kuanzia kwa binti sia😂😂😂😂 ukweli nime enjoy sana🎉🎉🎉🎉

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 6 หลายเดือนก่อน

    Nice nimeyipenda. Jama anajifanya mbabe kama Alvin tajiri ila ni tajiri fake maana kwenye liste imetolewa yawatu ma tajiri zaidi Africa hatukuona jina la Alvin Kimaru😂😅

  • @asmaafamau8307
    @asmaafamau8307 6 หลายเดือนก่อน

    Shukran

  • @user-qn2md7qe2g
    @user-qn2md7qe2g 6 หลายเดือนก่อน

    Part2 jamn itolewe

  • @user-zp3fs9qt7k
    @user-zp3fs9qt7k 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka Lucas hio simulizi ni tamu sana Binti sonia

  • @user-yv9sz1jn5n
    @user-yv9sz1jn5n 6 หลายเดือนก่อน +1

    Sonia hatakiwi kuondoka mana dawà ya berati anayo sonia

  • @candidekaneza8587
    @candidekaneza8587 6 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 6 หลายเดือนก่อน

    Duuu hakika unateseka kweli lknnkana ni mm ningefanya kazi mwezi mmoja tuu nanikapangishe mana sio kwamateso hayoo

  • @user-so4gw1wz9b
    @user-so4gw1wz9b 21 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤🎉

  • @ashwaqhasni
    @ashwaqhasni 6 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉😂😂

  • @faizajumwa4696
    @faizajumwa4696 6 หลายเดือนก่อน

    ❤🎧

  • @user-rr9np2yi9n
    @user-rr9np2yi9n 6 หลายเดือนก่อน

    Inatoka lini jaman mbona ivo anko jay

  • @user-ge6qf5rk2u
    @user-ge6qf5rk2u 6 หลายเดือนก่อน

    Tunaomb pat 2

  • @RoseMbuya-cn5dg
    @RoseMbuya-cn5dg 6 หลายเดือนก่อน

    Hahaha kaka Lucas kumbe wewe pia simulizi zako ni poa sana❤❤❤❤❤❤❤🇰🇪👍

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 6 หลายเดือนก่อน

    Ni vyema kuondoka kuepusha sintofaham kwa wanafamilia wawili ambao wameanza kuonyesha dalili za kumpenda kimapenzi.😂😂😂😂

  • @user-io1hl6xo9y
    @user-io1hl6xo9y 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @TERESIAYOHANA
    @TERESIAYOHANA 6 หลายเดือนก่อน

    Hi❤🎉

  • @khadijaaliy7287
    @khadijaaliy7287 6 หลายเดือนก่อน

    ❤🎉❤🎉❤

  • @ftimaramadan4748
    @ftimaramadan4748 6 หลายเดือนก่อน

    😊😊😊

  • @aseaaaa5812
    @aseaaaa5812 6 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤🎉

  • @melissaivanyi
    @melissaivanyi 6 หลายเดือนก่อน

    Part 2 ipo wapi jamani

  • @MegaMind-ii9jj
    @MegaMind-ii9jj 5 หลายเดือนก่อน

    story nitamu hadi utaki kuziacha

  • @Holiness-to3wp
    @Holiness-to3wp 6 หลายเดือนก่อน

    Duu Sonia asiondoke haki

  • @kimzymamy6594
    @kimzymamy6594 6 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @AishaAisha-yz3ns
    @AishaAisha-yz3ns 6 หลายเดือนก่อน

    Muendelezo😂

  • @rizmwMwriz-mf2cu
    @rizmwMwriz-mf2cu 6 หลายเดือนก่อน

    Kma mm naungana na Lauri & Nicol asiondoke

  • @user-xv5ld1zy5q
    @user-xv5ld1zy5q 6 หลายเดือนก่อน

    Tamusana 😂😂😂