SH.MSELEM AJIBIWA HOJA YAKE KUFUNGA MIKONO KIFUANI AU KUACHIA MIKONO KWA DALILI NA HADITH

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @LinconLopez
    @LinconLopez 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Hii nguvu mnayo itumia hapa kama mngeitumia kuupinga ushoga katika jamii ya wanzanziber Allah angemilipa malipo makubwa zaidi masheikh wangu mm sio mzanziber lakini wallah nimeshangaa sifa ya Zanzibar tunayoichukulia pindi tunapokua hatujafika na tunayoyaona tunapofika ni aibu Sanaa naweza sema ushoga umehalalishwa Zanzibar sababu jamii ya wanzanziber wallah wamewakumbatia hawa watu na kuwaona kama ni watu wa kawaida wanawapangisha mpaka kwenye nyumba zao na wanakuja na watu wao wanafanya usodoma Hali ya kua ni kama jambo lakawaida nilionyeshwa jango'mbe nyumba ambayo mama wakiislam ameweka danguro la mashoga na wasagaji lakini hakuna mamlaka yoyote ambayo inafuatilia hlo jambo vijana wakizanziber jambo la usodoma wanaona kawaida mtu kuwa na mahusiano na msenge kama mzinifu wake ni jambo la kawaida sasa cjui masheikh zangu mtakwenda kumwambia nn Allah naomba pazeni sauti zenu kwenye hili jambo na maagent wakubwa wa haya mambo ni mama zetu na dada zeta maana wao ndio wanawapa nguvu Sana hawa watu Kwa kuwa nao karibu sherehe bila MC shoga haijafana au bila mashoga kuhudhuria haijafana jamani muogopeni Allah Zanzibar inateketea kwahlo hamuwezi cngizia wageni maana asilimia ya mashoga wengi ni wanzanziber wenyewe na hata wageni wanakwambia ukiwazanziber unafanya ushoga wako Kwa uhuru hakuna wakukubughudhi wala kukushangaa Allah mihifadhi ndugu zangu wanzanziber jaribuni kuipambania hii aibu iondoke na jamii waone c jambo la kawaida kama walivyo zoea

  • @SheikhYussuf-iv6lo
    @SheikhYussuf-iv6lo วันที่ผ่านมา +1

    Allaah amrehem shekh wangu Yussuf Hamza

    • @NassoroHaji-i8k
      @NassoroHaji-i8k 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Aammiin yaarabby...Sh Yusuf Hamza wa Kengeja au

    • @zahormohammed4476
      @zahormohammed4476 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Pia atamlipa kwa kueneza fitna na kuleta farqa baina ya waislamu ambao walikua kitu kimoja ila yeye ndio kasababisha vijana kuwadharau masheikh wao ambao ndio waliowaanzisha alifu

    • @zahormohammed4476
      @zahormohammed4476 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@SheikhYussuf-iv6lo ndie huyo huyo

  • @MohammedBwanga
    @MohammedBwanga 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    SHEIKH MSELLEM BIN ALLY USHAUMALIZA MWENDO KW DAKIKA CHACHE TU UMEELEWEKA

  • @salumhamed5074
    @salumhamed5074 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mashallah mashallah

  • @allyally5969
    @allyally5969 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Na kama huna jibu juu ya Hilo sheikh Mselem kakosea wapi?

  • @allynassoro8448
    @allynassoro8448 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hao wanaomjibu sh mselem hawajitambui Wala hawajielewi Wala na Bado elimu zao Ni ndogo wanahitaji wakasome wapate ufahamu

  • @IddiKhamis-cp2ge
    @IddiKhamis-cp2ge 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwani sheh mselem kakosea wp wacheni kutaka kuonekana km mumesoma sana hio ni ria

  • @allyally5969
    @allyally5969 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Fundesheni jamii mikosoano kwa KUEKA mikono sio msingi wa dini wakati mnasema hiyo ni Sunna na haibatilishi sana. Alezeni jamii mambo muhimu sio masheikh kazi yenu kukosoana kwa vitu vidogo vidogo.

  • @SalumSaid-w8i
    @SalumSaid-w8i 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Huu ndio uwislamu ulio baki ushoga nafitna hazijadiliwi nazina ongezeka kwa kasi nakama hamuta zinduka basi mbeleni zanziba itangukia pabaya

  • @HafidhKhamis-ph8qg
    @HafidhKhamis-ph8qg 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwani hiki kikundi Gani Tena kinachotoka povu Kwa jambo lishatolewa ufafanuzi WA wazi, jamani tuweni makini na hivi vikundi jazba

  • @salumkarim69
    @salumkarim69 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    yaani kazi kueneza upuuzi tu muogopeni allah na wwe ulieposti

  • @athumanikhamisi3377
    @athumanikhamisi3377 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kosa la msellem ni lipi hapo?,,kwani maneno alioongea c kanukuu Hadith ya wail ibn hujri?au hujamskia?.

  • @SheikhYussuf-iv6lo
    @SheikhYussuf-iv6lo วันที่ผ่านมา +1

    Shekh Mselem ungejua huo mdahalo asili yke ilkua nn wala usenge sema ungekaa kmya t

    • @Abuu-lr5bz
      @Abuu-lr5bz 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwani yeye mselemu alikusudia mdahalo huu unaushahidi kua anakusudia huu ni huyo alieposti

    • @isaliisu3408
      @isaliisu3408 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Umeambiwa kufunga na kufunguwa si nguzo za swala wacha ujinga mselem hajakoseya chchote na mselem tunamuelewa vyema wala wewe hatukujuwi

    • @SaidSeif-d4y
      @SaidSeif-d4y 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      upuuzi tu.... bila shaka Mtume Muhammad hajafundisha chochote.. ila watu walimuona tu..

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Huyo mkosoaji anaruka ruka tu, kama cherahan
    Hakuna anamukhalif Mtume Bali mapokezi yamekuja tofauti na kila mmoja anafuata alivyo elewa ktk mapokezi

  • @abuumuhammad7133
    @abuumuhammad7133 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa ukisema hata wenye kuwaachia mikono sasa naile Khadithi Salini kama Mlivyoniona Mimi nikisali inamaana gani? Na wakati Mtume Sala na.Salaam zimfikie alifunga Sali

  • @RamadhaniShembilu-l1e
    @RamadhaniShembilu-l1e 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwani shekhe msenlem jakosea wapi hapo? Yani mambomengine hayana hata msingi,

    • @abrahmanhmd2557
      @abrahmanhmd2557 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Channel za kisasa hizi za vijana wa ovyo zipo Kwa kukosoa na kuchochea ugomvi tu

  • @hamilsaleh-zo3hp
    @hamilsaleh-zo3hp 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    watu kuna mambo mengi ya kufanya wanakwenda kubishana mikono!

  • @hasnuufaki5623
    @hasnuufaki5623 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Na mimi ninauliza hiki ni kikundi gani?kina radi jambo gani?kwa maslahi ya nani ?au ni wimbi la baleghe za kielimu tu,kwani kuna mambo mengi ya kujadiliana kwa ajili ya maendeleo ya uislamu na waislamu, tusipoteze muda kwa mambo kama hayo na wala tusitukanane,tutafute yenye tija katika umma,

  • @allyally5969
    @allyally5969 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sheikh unakwepa suali. Kama Mtume kasema Swalini kama mnavyoniona Mimi ninasali. Sasa je ukisali tofauti na alivyosali yeye kweli sala Yako ndiyo? Jibu suali usibabaishe ukasema hujataja kubatilika hapo

  • @salumhamed5074
    @salumhamed5074 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kutoka kengeja pemba

  • @JumaMakame-l6u
    @JumaMakame-l6u 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwani mwabishania nini

  • @Shaa2213
    @Shaa2213 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa uyo shekhe wako kaongea jipya lipi?
    Yaani mnasoma kwa ajili ya kupinga nasio kufanya mema ni mtihani. Au wenzetu mnalipwa

  • @RashidSaid-l9m
    @RashidSaid-l9m 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lengo la mijadala kama hii ya kislamu ni kutafuta usawa bas na si malumbamo wala ugomvi. Na mijadala ni kitu kizuri sana. Na ni jambo linaloleta usawa ktk uislamu. Waswahili wa maneno yao wanasema kheri mvua inyeshe
    Ili pajulikane wapi penye tumdu

  • @RamadhanMgeni-gt1tu
    @RamadhanMgeni-gt1tu 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbona mi sielew apa kwan shida iko wapi kwa mselem mbna jasho ilo waislam wakwel nishia uko wanapamban na israel uku mnapambna wenyew kwa wenyew

  • @Musikonn-x6f
    @Musikonn-x6f 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hiyo rikodi ya huyo kijana ni yazamani

  • @qarimohdmakamemossi4676
    @qarimohdmakamemossi4676 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hii channel inataka kueneza ujinga

    • @abrahmanhmd2557
      @abrahmanhmd2557 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      CHANNEL YA KIJINGA SANA NA SJUI KUWA SIO CHANNEL YA KIKAFIRI MANA WENGINE WANAPITIA NJIA YA DINI KUUCHAFUA UISLAM

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 วันที่ผ่านมา +4

    Mselem ali hakuna alichokosea kaeleza mapokezi na sijambo la kugombana hebu waislam tushughulike na kazi ya dawa nini marumbano yasiyo na msingi jamaa

    • @samxx411
      @samxx411 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hawa wenye hizi online tv wanachangia kutia fitna ktk dini mana hii naona majibu ni ya zamani Wala hajibiwi mtu

    • @MohammedMohammed-y8c
      @MohammedMohammed-y8c 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@samxx411Ni kweli kabisa ndugu yangu

    • @allymbarouk5362
      @allymbarouk5362 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hawana kmkaz hao machipukiz

    • @abrahmanhmd2557
      @abrahmanhmd2557 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Naam umeongea ukweli kabisa hawa jamaa wa channel ni mashetani sana wanafutinisha WAISLAM Kwa WAISLAM ​@@samxx411

  • @husseinmbarouk
    @husseinmbarouk 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    sas ndio nn kugonganisha kauli za msheikh Wala wao hawajui hivyo mnavyo wafanyia

  • @alihabib7640
    @alihabib7640 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hakika kwa mchezo huu sote tuwakosefu hakuna wa peponi dini mchafuko hii sasa

    • @DawdyMzingula
      @DawdyMzingula 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      sio dini Bali ni watu BINAFSI na mihemko yao dini ipo safi haina shida yyte

  • @AliMpenda
    @AliMpenda 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Acheni ujinga matabu kibao kwa jambo dogo haa uyu mtu anaongea amewa ushabiki sana anaongea kama shida

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mselem future kauli yako
    Unawapa nguvu maibadhi
    Na maibadhi wana mikhalafa mingi sana katika uislamu

    • @tashone7884
      @tashone7884 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Fanya nao mijadala tupate faida

    • @MohammedMohammed-y8c
      @MohammedMohammed-y8c 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Pia madhehebu ya Malik hawafungi mikono ndugu yangu. Fanya utafiti kwanza kisha ndio useme.

    • @allymbarouk5362
      @allymbarouk5362 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Futa ww usie na hoja na kuficha ukweli

    • @isaliisu3408
      @isaliisu3408 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Weka hiyo kauli yako halafu ndiyo yeye afute yake mkurugezi wa wapumbavu

    • @mudathirbaalawy813
      @mudathirbaalawy813 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwani maibadhi peke yao ndio wanaachia mikono ,,, kausome vzuri uibadhi kwanza halafu ndo ulete hoja zako