2. HUU NDIO UKWELI KUHUSU USHIA||SHAIKH QASSIM MAFUTA حفظه الله

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • #habarimubashara #tanzanianyoutuber #habarizauhakika #livestream #livestreaming #juhany #habarimubashara #tanzanianyoutuber #livestream #salafimanhaj

ความคิดเห็น • 51

  • @burhan_dumalo
    @burhan_dumalo 4 หลายเดือนก่อน +6

    maa shaa Allah shaikh qassim
    yani hii dini bila allah kuweka watu kama shaikh qassim mafuta basi wazushi wangekua wanaleta uvumi tuuu
    lkn skuiz wana adabu kwa sababu wanaraddiwa

  • @salumhamed5074
    @salumhamed5074 4 หลายเดือนก่อน +2

    Allah akupe umri mwema

  • @salumhamed5074
    @salumhamed5074 4 หลายเดือนก่อน +1

    May Allah bless you

  • @AbbasMwakichui-db9tn
    @AbbasMwakichui-db9tn 4 หลายเดือนก่อน +2

    ALLAH TABAARAKA WA TAALLAH. akulipe kila la kher sheikh wetu kwa kuunasihi UMMA na makundi ya upotovu kama hayo ya mashia na wazushi wengine

  • @YusuphMustapha-w4x
    @YusuphMustapha-w4x 4 หลายเดือนก่อน +2

    Shekh Abdul Fadhili Kasim Mafuta,Allah muhifadhi ampe umri mrefu.Tunafaidika sana kupitia ww sheikh.Yeyote mwenye akili timamu akimsikiliza sheikh bila ushabiki atamuelewa mara zote sheikh hulingania tauhidi hii ndio da'awa ya mitume wote.Shekh nakupenda kwaajili ya allah shekh

    • @abubakarilugina-zw4gt
      @abubakarilugina-zw4gt 4 หลายเดือนก่อน

      Allah awaongoze mashia warudi katika Uislamu sahihi....
      Mashia ni makafiri , laa shakka fiiyhi

  • @AwadMdoe
    @AwadMdoe 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah shekh qassim

    • @AwadMdoe
      @AwadMdoe 4 หลายเดือนก่อน +1

    • @salumhamed5074
      @salumhamed5074 4 หลายเดือนก่อน

      ما شاء الله

  • @hassanmsangi4149
    @hassanmsangi4149 4 หลายเดือนก่อน +2

    ELIMU YAKO BDO NDOGO SANA MZEE MAFUTA

    • @rightskillstv
      @rightskillstv 4 หลายเดือนก่อน

      We yako kubwa ?

  • @SadamMwalim
    @SadamMwalim 4 หลายเดือนก่อน

    Maashaalah Allah baarik fiika

  • @AdamJuma-ov9eb
    @AdamJuma-ov9eb 4 หลายเดือนก่อน +1

    Unakomenent sheikhe shaf ana mkosa gan ach taghassub zako

    • @ummu_uthaymeen
      @ummu_uthaymeen 4 หลายเดือนก่อน

      kakaangu huyo shafi ww humjuii? m yan huyo ndo mtukanaji mkubwa wa mashekhe na tabia hii ni ya mashia wote kiwatukana maswahaba na wanachuoni

  • @وزيرهالوزير-ذ8س
    @وزيرهالوزير-ذ8س 2 หลายเดือนก่อน

    Mashia siwaislam nimakafiri kwasababu anaewatukana maswahaba nawakeze mtume

  • @salumhamed5074
    @salumhamed5074 4 หลายเดือนก่อน +2

    Simba wa sunna katika nchi ya Tanzania

    • @salumhamed5074
      @salumhamed5074 3 หลายเดือนก่อน

      Allah atasamahe mazambi yetu na aizihirishe sunna katika mitaa yetu

    • @salumhamed5074
      @salumhamed5074 3 หลายเดือนก่อน

      Mitaa imeoza kwa mazambi

    • @salumhamed5074
      @salumhamed5074 3 หลายเดือนก่อน

      Kwa zinaa na shirki

  • @وزيرهالوزير-ذ8س
    @وزيرهالوزير-ذ8س 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwahapo ukizungumzia ushia hakuna atakae kupinga nakwenye imani yauislam hakuna chaushabik huomusemowako mbovu huna hatamaarifa yakuzungumza ndo ubaawako

  • @hassanmsangi4149
    @hassanmsangi4149 4 หลายเดือนก่อน +1

    MASUNI WANA ELIMU NDOGO KABISA KWENYE MASWALA YA HISTORIA

  • @Abdallahsufiaan
    @Abdallahsufiaan 4 หลายเดือนก่อน +3

    huyo shafii siku hizi kazidi kukufuru na yeye anatakiwa kutumiwa makombora yake ya ruduud

  • @hassanmsangi4149
    @hassanmsangi4149 4 หลายเดือนก่อน +1

    hoja za masuni hazina mashiko

  • @hassanmsangi4149
    @hassanmsangi4149 4 หลายเดือนก่อน +3

    USHIA NDIO UKWELI HATA MKIWA MNAONGEA HAMUWEZI KUWAWEZA , USHIA NDIO MADHHEB YA KWELI YA KWELI HAKUNA USUNI WENYE UKWELI

    • @ummu_uthaymeen
      @ummu_uthaymeen 4 หลายเดือนก่อน +1

      si kweliiii hebu semeni Abuubakar na omar ni nani kwa mashia?

    • @hassanmsangi4149
      @hassanmsangi4149 4 หลายเดือนก่อน

      @@ummu_uthaymeen nitumie namba zako nikufundishe dini

    • @HamadHamduni
      @HamadHamduni 3 หลายเดือนก่อน

      Ushia ni ukafiri haswaa

  • @salumhamed5074
    @salumhamed5074 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kuwawa Rais wa irani ni nusra kwa watu sunna irani

  • @hassanmsangi4149
    @hassanmsangi4149 4 หลายเดือนก่อน

    ukiwa unamsikiliza huyu mzee kuna vitu utaona havijui kwanza ni historia ya uisilam ipo ndogo sana , pili ni elimu ya kufahamu mambo tatu ni kutokuwa na uhakika na anchokitetea. VIZURI ARUDI DARASANI PALE KIGOGO POST AKAFUNDISHWE ELIMU YA DINI TENA.

  • @youssefsanje8743
    @youssefsanje8743 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sheikh huu si wakati wa kukosoana sisi kwa sisi Ndg zetu wapalestina wanauliwa kinyama huko badala ya kuungana kuwanusuru mnaweka mihadhara ya malumbano mayahudi wanazidi kufanya jinai za kutisha hivi huo ndio uislam mbona mashia wapo msitari wa mbele keitetea Al-aqsa na ninyi mupo bega kwa bega na mayahudi kuangamiza roho za ndg zenu waislam?

    • @AlfarouqIslamic
      @AlfarouqIslamic 4 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli ndugu,hawa mashehena ubwabwa kila siku ni kupiga porojo mitandaoni.
      Hawa wapo chini ya mtandao wa kijasuai wa mayahudi

    • @bennymochiwa4800
      @bennymochiwa4800 4 หลายเดือนก่อน

      Katika swala la Wapalestina Shia nmewakubali, Sunni wameonyesha unafki tu

    • @wanguzomaster7610
      @wanguzomaster7610 4 หลายเดือนก่อน

      Mbon hao wanaombewa duua

  • @makhanguwakhutu2408
    @makhanguwakhutu2408 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mimi ni sunni lakini mashia nimeanza kuona ukweli wao wakati Palestine imevamiwa serikali zote za kisuna zimesimama na Israel ni mashiaa tu pekee ndio wanapambana kuokoa Palestine hata mayahudi wenyewe wanajua adui wao ni mashiaa

    • @abubakarilugina-zw4gt
      @abubakarilugina-zw4gt 4 หลายเดือนก่อน

      Wewe sio sunni wewe ni Shia Kwa maneno yako haya

    • @MkindiJujan
      @MkindiJujan 3 หลายเดือนก่อน +1

      Wakati nchi za kisunn zikipambana na Israel kuanzia mwaka 1940 mpaka 1967 Iran( Mashia)walikua wapi au walikua bado hajawa ni nchi????????
      Unakurupuka tu mashia ndio wakweli kasomeeee

    • @MkindiJujan
      @MkindiJujan 3 หลายเดือนก่อน

      Vita ya Israel na Palestine imeanza tarehe 7 unaonekana hujui lolote unadandia tu basi hao Mashia ndio walikabidhi Palestine kwa Israel soma historia
      Mikurupuko itakufanya kutojua chochote
      Misri Jordan Syria Saudia zimekua zikipambana vitani na Israel Mashia walikua wapi kipindi hicho ww umeona leo
      Natambua Israel wanatimiza karne tangu walipoichukua Palestine muda wote walikua wapi hao mashia

    • @MohammedSaid-zk7yg
      @MohammedSaid-zk7yg 3 หลายเดือนก่อน

      ​@user-tw4nf6bv8b wewe ndugu yangu huoni inafiq wa waarab jinsi wabavyowaacha ndugu zao kiimani,maana Palestine ni masuni na Saud na waarab wengi ni masuni kwa nini hawawasaidii innama lmuuminiin ikhwah

    • @salumhamed5074
      @salumhamed5074 3 หลายเดือนก่อน

      @@makhanguwakhutu2408 hao wanatukana masahaba hao wanafiki

  • @FadhilaSalim-r9u
    @FadhilaSalim-r9u 3 หลายเดือนก่อน

    Astaghafirullah unadanganya watu

  • @makhanguwakhutu2408
    @makhanguwakhutu2408 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hata wanafiq walikuwa wanajulikana wakati inatangazwa jihad wao wanatafuta sababu zakutokuenda sasa hivi Palestine imevamiwa sasa ni jukum la kila muislam mkweli kutetea Palestine sasa wewe salaf na serikali yako ya saudi mbona hatuoni mkituma jesh kutetea Palestine sasa story mingi na huko mashia ndio wanapambana kunusuru Palestina sasa nyinyi ni mdomo tu lakini vitendo mnanusuru myahudi

  • @AwadMdoe
    @AwadMdoe 4 หลายเดือนก่อน +1

    Shia laanatullaah makafiri wakubwa

  • @youssefsanje8743
    @youssefsanje8743 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu sheikh amepandikizwa na mayahudi kuwavuruga wanamuqawama kwa hilo amechemka shia ni wazee wakutembeza kichapo hawana ujinga-ujinga katika dini wayahudi hawalali kwasabab ya mashia,wewe kama dhehebu lako ni sahihi mbona serikali zenu mpaka sasa zinasusua kutoa msimamo imara kuwalinda wapalestina badala yake mnampa msaada adui?Sasa huu ni wakati wa vitendo kuwanusuru wapalestina sio kutuletea ushoga ktk dini

    • @Nuru_ya_sunnah.official
      @Nuru_ya_sunnah.official  4 หลายเดือนก่อน

      allah akubarik

    • @ummu_uthaymeen
      @ummu_uthaymeen 4 หลายเดือนก่อน +1

      mche Allah, una uthibitisho wowote kua sheikh qassim mafuta ana mahusiano na mayahudi? au ndo umemezeshw uninga kakaangu?

    • @AlfarouqIslamic
      @AlfarouqIslamic 4 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@ummu_uthaymeenSalafi ni mtandao wa kiyahudi100%

    • @AhmedAli-gh1lm
      @AhmedAli-gh1lm 4 หลายเดือนก่อน +1

      Masalafi wanawaona Waislamu wote wasio fuata kundi la Salafi ni wapotofu. Wanawaona Wapalestina na hasa wapiganaji wakikundi cha HAMAS kuwa ni wapotofu na hawapaswi kupewa sapoti bali wapigwe vita hasa. Masalafi wanafurahi kuona wapiganaji wa HAMAS wakiuliwa.

    • @makhanguwakhutu2408
      @makhanguwakhutu2408 4 หลายเดือนก่อน +1

      Masalafi wa ukweli walikuwa mujahidina Wacha Hawa wakujisifu tu Kwa mitandao na ​@@ummu_uthaymeen