Iwe kwenye radio, magazet,mitandao linatumika neno WENZA wa marais Sio Sahihi kabisa title yenye heshima ni WAKE za marais ukisema mwenza ni kama huna uhakika kuwa niI mke wa Rais,mwenza ni utambulisho mwepesi Sana hata mchepuko anaweza kuitwa mwenza tusi haribu Kiswahili.
Camera mbovu sijapata kuona
Iwe kwenye radio, magazet,mitandao linatumika neno WENZA wa marais Sio Sahihi kabisa title yenye heshima ni WAKE za marais ukisema mwenza ni kama huna uhakika kuwa niI mke wa Rais,mwenza ni utambulisho mwepesi
Sana hata mchepuko anaweza kuitwa mwenza tusi haribu Kiswahili.
Ukisema wake wa maraisi je wenye marais wanawake kama ss Tanzania itakuweje sasa
Yaani meza Kavu namna hiyo hata maua hamna kha! Aibu tupu aisee!!
Kamela chafu chafu chafu aibu
Camera ya kitochi