Tumia YouTube iwe kama AJIRA yako au BIASHARA yako kupata KIPATO 2021

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 17

  • @Bivany96
    @Bivany96 ปีที่แล้ว +1

    Bwana mkubwa unanipa moyo nizidi kupambana God bless you

  • @Bivany96
    @Bivany96 ปีที่แล้ว +1

    Mungu asimame naww Father 🙏🙏

  • @novatusyohana9349
    @novatusyohana9349 2 ปีที่แล้ว

    Naji ckia fahari Sana kuelimishwa na muha mwenzang

  • @kayfatvonline9654
    @kayfatvonline9654 ปีที่แล้ว

    Kaka wewe uko vizuri

  • @talentdzonetv
    @talentdzonetv ปีที่แล้ว

    Asante kk nime elimika na hayo

  • @connectiononlinetv_tz
    @connectiononlinetv_tz 2 ปีที่แล้ว

    Usisahau pia watu weusi hususani Afrika hasa Tanzania Hawapo Tayali kujifunza mambo, ni watu wanaopenda udaku na funny videos, ndomaana hata hii video haina views wengi brother na sio kuwa hawaioni, pita hata kwa millard Ayo utakuta video inayofundisha ina views wachache lakini video ya kajala utakuta ina views wa kutosha. Mfano mimi Mwanzo nimefanya video za ujasiliamali na sikuwa napata views, ila saizi napost udaku na siasa napata watu angalau.. kiufupi waafrika hasa Tanzania ni watu wa ajabu na tumetawaliwa na fikra za kimasikini tunataka kufanikiwa na hatupendi kujifunza

  • @FREE_NEWS-c1g
    @FREE_NEWS-c1g 2 ปีที่แล้ว

    Nimefata ushauri wako na nimefungua hii channel yangu naomba Nisaidie kupata SUBSCRIBERS

  • @Topson7
    @Topson7 3 ปีที่แล้ว

    Kaka Asante sana.. God bless you

  • @murundikazitvlyditiffahruk8954
    @murundikazitvlyditiffahruk8954 3 ปีที่แล้ว

    Nipo nawewe mwanzo mwisho

  • @salimbafaqih5587
    @salimbafaqih5587 2 ปีที่แล้ว

    MIMI NINAYO CHANEL TANGU 2014 SIJAINGIZA HATA SUMNI!!
    SWALI.
    WAPI NIWEKE BANK ACCOUNT YANGU AU NI WAPI NITAONA INCOME ZANGU PINDI NITAKAPOANZA KUWEKA VIDEO ZANGU?
    HEBU NIHAFAMISHE NIINGIE WAPI ZAIDI KUWEZA KUWEKA MAZINGIRA YA KUPATA MPUNGA?

  • @enyanzuzempa5295
    @enyanzuzempa5295 3 ปีที่แล้ว

    Kwa Tanzania kuanzisha TH-cam channel kidogo inakuwa na mchakato mrefu,itabidi serikali ilitazame hili maana you tube channel ni njia ya kujiajiri.

  • @sumayyamushule6789
    @sumayyamushule6789 3 ปีที่แล้ว

    Asante Kaka, mi nauliza hizi background zinaitwaje kwa kingereza, ni wallpaper au nini

  • @murundikazitvlyditiffahruk8954
    @murundikazitvlyditiffahruk8954 3 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @murundikazitvlyditiffahruk8954
    @murundikazitvlyditiffahruk8954 3 ปีที่แล้ว

    Unachose nikwel kabisa mim sijasom san lakn nish fany kz nying xn at nikisema nasafir kz il yoyote t nafany at km sijuw nitaangalia mukubwa anavy fany nahap ndo namim nafahm wakat mwingin najikuta nimewazid nilio wakuta namushukul sn mwenyez mung

  • @officialgakankara
    @officialgakankara 3 ปีที่แล้ว

    nataman ungekua ndugu yangu ningekuomba ukanisaidia camera mic na laptop , Nimefikisha SUBSCRIBE 1.2K kutoka kwenye magroup ya whatsapp tangu mwaka juzi lakin sijawa serious ku upload videos kwasababu sina vitendea kazi

  • @murundikazitvlyditiffahruk8954
    @murundikazitvlyditiffahruk8954 3 ปีที่แล้ว

    Unachose nikwel kabisa mim sijasom san lakn nish fany kz nying xn at nikisema nasafir kz il yoyote t nafany at km sijuw nitaangalia mukubwa anavy fany nahap ndo namim nafahm wakat mwingin najikuta nimewazid nilio wakuta namushukul sn mwenyez mung