Gone too soon, hakika hakuna akiba Kama wimbo maana hata sisi ttakufa lakini wimbo utabaki kumbukumbu,naam hivo ndio maisha,tulipenda lakini mungu kakupenda zaidi🙏
I remember I was skipping after lunch lessons pale class 3 😂😂 just to listen to club1 pale KBC at a certain kinyozi. Now am a barber and this song slaps still❤❤
Rip Sam wa Kweli,... listened to this song way back in 2012 while in class six....came back here in 2020 when done with highschool to revive my old memories only to find comments full of rest in peace...May your soul rest in peace Sam💖
Huu wimbo unanikumbusha 2011 siku naripoti kidato Cha Tano,wakati nafanyiwa usaili mwalimu wangu alikuwa akiusikiliza Kila mda kwenye simu yake.I really inspired RIP SAM WA UKWELI.
This reminds me my days at isebania, kehanja, I fell in love with a guy but we had to separate bcz his father didn't approve coz of my tribe, Keep resting in peace Sam wa ukweli, I miss u
😭😭😭😭HATA KWETU WAPO R.I.P SAM WA UKWELI Brother umeongea maneno mazur sana kwenye huu wimbo saiv nimekuwa mkubwa nimegundua umuhimu wa haya maneno ulio ongea humu daaaah😭😭😭😭😭🔥🔥🔥🔥💯
Rest in Peace Sam.. this is my favourite of your songs.. Deep message and very true. Forever in our minds. Am glad you left this world after teaching and inspiring many. Love and condolences from Kenya.
Ukinichukia siwezi shang'aa ...😱 Kwani mimi najua ndivyo sisi binadamu tulivyo ✍️🇰🇪🌍Wachache ndio watakuwa wakikutakia mema na kuzidi kukuombea dua njema 🙏✌️🤞🕕
Mwaka wa 2024 kama bado unaskiza hii masterpiece gonga like🎉
❤❤❤❤❤
Mia kwanz
❤
Tupo
kama tutakuwa hapa 2027 inshallah, piga like!
Ati 2027?
My brother tuko hapa 2050😂😂
Inshallah
My stress reliever
Inshallah
I'll leave this comment here so that when someone likes it I'll come back and watch this song again!
njoo tena uchek hii
Mzee 😢 njoo ucheki hapa.
Kam tena uskizie ...
kuja
Come
iman inaponza watu wengine si wazur 😢rest in peace bro.🙏 Who still with me 2024 ☺️🙌🏿
Waat you mean he's no more
@@susansue9775alikufa 😢💔he is no more💔
Love❤❤❤❤❤
Wanaomkumbuka bado sama twende pamoja like
Nilikua namkubari sana jamani❤
Namjua
Typo jamani
2024 and this song is still ❤❤❤ RIP BRO
Rip Sam 😢😢
🎉🎉
Kak Sam wa ukweli hii ngoma Ina ujumbe mkubwa sana kama ulikuwa unamkubal brother Sam gong like
2023 and this song is still 🔥. RIP Comrade
????? 4:13
He died???
Yes, he died.
Najua miaka za wanao sikia wimbo huu 25 and above gonga like kama unakubaliana nami .rest in peace Sam wa ukweli
17
20 here and still vibing to a legend... Rip bro...
22
Kabisa tuko ndani
26 here and it's still hitting
Rip bro😭😭 let's gather here to remember our legend.Thumbs up for those watching in 2020
K wani alikufa!?
2020
@@edwinsagalesore4045 ndio
Continue resting in peace
@@edwinsagalesore4045 tena ghafla
Still watching this song in 2021, may his soul rest in eternal peace.
Very true
Rip sam
2023
Gone too soon, hakika hakuna akiba Kama wimbo maana hata sisi ttakufa lakini wimbo utabaki kumbukumbu,naam hivo ndio maisha,tulipenda lakini mungu kakupenda zaidi🙏
Watoto wazenji song
Uhakika
Mauti jamani yana ujinga sana...jamani Sam u left a mark for us in our hearts...leteni hizo likes za moral lesson from Sam's songs😘😘😘
Mauti ni mpango wa Mungu...ukisema mauti ni ujinga jamani unakosea Mola
@@hunchotv8434 ndio hapo sasa kila nafsi itaonja mauti
Aliaga lini huyu bazenga?
Listening from Kenya if you love Sam like me nipee like
Vane Kemunto vi
Raivan
Ralvan
Good sam
@@blondonsele9028 .
Anyone here at 2021? So sad that he left but memories still remain.
Anytime I open my barber shop this song comes to my head. Singing along from mwanzo to mwisho. RIP BROTHER.
I remember I was skipping after lunch lessons pale class 3 😂😂 just to listen to club1 pale KBC at a certain kinyozi. Now am a barber and this song slaps still❤❤
😭😭😭 rip brother w miss u a lot
Sio Kenya tuu, hata Bahrain wapo. R. I. P Sam
Can't get tired ov listerning to your song ....may continue resting in peace...... team kenya mark register🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
I was shocked by the sudden death of our brother Sam May his soul rest in peace.
Wale waliompenda Sam WA Ukweli nipeni Likes Na rip messages za Huyu legend
Lala salama
2020 kama bado unaikubali hii nyimbo gonga like tujuane R I P wajii
daaah uyu jamaa yani daah
Rip
Rip
RIP
Rip
R.I.P naona kama ni ndoto nampenda sana haswa pia song zake ni za matukio ya maisha ya kwli
No matter how many years have passed, i still feel like listening to these song.
2022 and am still listening to this song continue resting in peace
Who is listening 2019 this song, gonga like,,,,,, issa from Zanzibar hata huku Zanzibar wapo
Rip the song artist
Niko hapa i like this song RIP sam
RIP nipo kahama Shinyanga "na huku wapo"
MITAA GANI HIYO?
Issah Daless ✋
Rip samw wa ukweli upumzike mahala pema pepon mashabiki tutakumis umeacha pengo kwa taifa na wadau wako woooote
so sad Sam bt y
R.I P....Sam wa ukweli....kumbe nyimbo yako ilikuwa na maana fiche....Allah ailaze roho yako mahali pema peponi....
Hata KWETU wapo
Pole sana mungu akurehemu
😢😢
what,,Sam alikufa???? haki sina habari jamani
Takes me back to the year 2009 while working in Mombasa Kenya used to think the guy is a Kenyan since his songs used to be popular there.
Lala salama superstar. Wimbo huu bado naikubali 2020 December 🔥🔥
Rip Sam wa Kweli,... listened to this song way back in 2012 while in class six....came back here in 2020 when done with highschool to revive my old memories only to find comments full of rest in peace...May your soul rest in peace Sam💖
let him RIP
Kingereza mwenzio kingumu babu
2012 when doing my masters and 2020 still hitting
😭😭😭😭
@@jarejare7198 2012 class six,, he's a totoo😂😂😂
I feel this song!!!so sad to loose you sam,,,binadam ni wengi na wachache ndo wema😭😭,,, listening from Kenya🇰🇪
Indeed the song is on top🔥, continue to R.I.P Sam🙏. Kenya🇰🇪🇰🇪 misses ur hits.
2022 na bado ngoma iko juu wapi likes za Sam wa kweli
Zote zipo hapa dope shyyt
2023
Siyo 22 mpaka sasa 2023 bafo❤
who is here 2024
Mungu ni mwema still bado tupo tupambana 💪🙏 always ❤️
Doha Qatar 2020 June 6:09 wenye wanatoka shift kutuliza moyo na huu wimbo, piga like
If there is one artist I sincerely miss in Tz is this man Sam... continue resting in peace.He was just a humble one
vontinue resting in peace Sam Wa Kweli,his songs never fade😭😭😭
2021 from Kenya will always miss you, Rest in peace Sam piga like to show love
September 2019
Still listening..
Pika like wacha ubinafsi
Duniani watu wana pita Kweli ..R.i.p sam
Daaaaah
Juma jux star
Tutakukumbuka milele daima boy,,, r. I. P
?
RIP DEAR
Ngoma nzur itasikilizwatu nimelud Tena 2024
Nakumbuka nikiskiza huu wimbo qa Sam ukweli 2011 I had gone through alot. Nilikua nalia kila siku😢😢😢nikiskiza huu wimbo. Rip Sam.
R.I.P still here2019 August kwa ajili yako. Ukichukia si shangai😭😭
Who still watching this 2019 still my FAVORITE R.I.P sam
Me bado naangalia
Mimi bado.....pia kwetu wako
TZ will forever be in my heart with these songs ❤️
Sam wa ukwel nyimbo zako zita ishi sana,,,,pumuzika kwa amani huko uliko
R.I.P Sam wa ukweli...wimbo una touch saana...still listening 2018√ like
Hata huku qatar wako..R.I.P sam...2019 september watching frm qatar
ekisi
ekisi
Very true
Rest In Power bro, wimbo huu hunipa matumaini kila siku. Legend 🎧
Huu wimbo unanikumbusha 2011 siku naripoti kidato Cha Tano,wakati nafanyiwa usaili mwalimu wangu alikuwa akiusikiliza Kila mda kwenye simu yake.I really inspired RIP SAM WA UKWELI.
Kiuwezo sifanani nao Ingawa wamenizidi Age wanaDici wanadai najifanya niringe na iki KIPAJI " ... " wanasahau aliyejuu Jehovah ndie mpaj Mgawa Riziki
Limefikaaa
Pumzika kwa amani kiukweli asubuhi ya Leo nilikua naimba mwenyewe wimbo wako bila kupata taarifa kuwa umetutoka duniani
😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Masikin tutamkubuka daima mim hapa nipo kuangalia
Love from Congo DRC.2024❤
Brings back so many memories. Used to endlessly jam to this on my flap phone
Hatakama haupo we still listening ur music we love.......R.I.P bro
Sam Alisema Bora Walinyama Kuliko Walimwengu Pumzika Bro Mungu Akupunguzie Adhabu Kali Ya Kaburini 😭😭 2020 Bado Nakuskiza
He was my favorite musician before I started loving Simba may he rest in peace 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
This reminds me my days at isebania, kehanja, I fell in love with a guy but we had to separate bcz his father didn't approve coz of my tribe, Keep resting in peace Sam wa ukweli, I miss u
Welcome once again to migori county.
Siku hizi tuna roho nzuri .
Hi beautiful
@@edwinwenyi5772 hello dear
@@GoEunbeol_049 I will inshallah
@@mercynduta4614 hello tew
2020 May?quarantine makes one listen to these golden tbts.
He was my favorite, RIP SAMA
♥️
If you like guy although he is no more piga like yako kwende
Kwa kweli akili ni nywele na kila mtu anazozake. Ukisikiliza Sina Raha kisha uje kusikia huu wimbo utautambua utamu wa mziki😍
Mziki mzuri hausikii miaka...bado tunausikiliza huu wimbo May 2024
Rip Sam its unbelievable😢😟😟😟😢😢can't hold my tears
Rip pumzikakwaamani Sam waukwli
RIP kaka. Maeleze ya ukweli kutoka kwa Ukweli
Mungu akulinde popote ulipo Sam ❤️🔥🇰🇪
Daaah Hii Ngoma Still 2024 Inanipa Imani ya Kupambana Rest Easy Champion We Miss You 😢
2019 RIP
Gonga like twende sawa
Rip bro
Rip Broh akik kil nafs itaony umaut
Rest In Peace Sam.
Though gone, this song stays with us here forever.
Forever in our memories Sam
😭😭😭😭HATA KWETU WAPO R.I.P SAM WA UKWELI Brother umeongea maneno mazur sana kwenye huu wimbo saiv nimekuwa mkubwa nimegundua umuhimu wa haya maneno ulio ongea humu daaaah😭😭😭😭😭🔥🔥🔥🔥💯
I can't get tired of listening to his songs
Dance with angles our lovly brother it's not easy bt it's Allah's will no one to blem😢😢sleep sefly till we meet..love from kenya.
Anytime I listen to this song am always on tears can't believe you left this world rest in peace Sam wa ukweli who else 2019 +254
Continue Resting in Peace Sam. 2024 bado nazisikiliza tuh nyimbo zako.
Endelea Kupumzika Kwa Amani My Brother!! 🙏
Daaah yan mpka naliaaa rip Sam Allah akupunguzie adhabu ya kabur njia yetu ni moja ty hakuna wa kukwepa
Hakika duniani tunapita tu .......inama sana wale wanaokuvutia ndio mungu anawapenda zaidi MPE pumzko LA milele
RIP SAM..all time legend..You left a mark🙌
This guy must have been a prophet, it's 2023 the message can never be old, uchawi na ngono zimekua vitu za kawaida
Rest in Peace Sam.. this is my favourite of your songs.. Deep message and very true. Forever in our minds. Am glad you left this world after teaching and inspiring many. Love and condolences from Kenya.
We loved him Ssmu
We miss you Sam.. It's still unbelievable.. R. I. P
Listened for like twenty times today😭😭old memories rip sam
Kwani alikufa lini😭😭😭mm sina habari, waaaah kweli watu cc sote n wapita njia, you never know about tomorrow rest in peace brother
Umenileta huku Sam! RIP one of my favorite song of you, RIP
Rip
R l p my broo
from USA New York 2019 tuna kupata 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Nani yuko hapa baada ya kifo cha msanii wetu r.i.p kaka sam wa ukweli 😥🙏🙏🙏
My brother Mungu hakupe nuru kaburini,hakusamehe dhambi zako ,dah 😢
From kenya november 2019. Continue Resting in Peace bro. Tutaonana badae
Nakubukuka kijana mpigaji uyuu ewe mungu nakubuka balisa
This Guy was the, much Love From Kenya
We really miss you so much bruh
Till we meet again Legend
Give me like even it's one like 23/2/2021
Sun 21/2021
May the soul of Sam find solace in heaven. He touched our hearts deeply
Yea, its so hard to accept that he is no longer there
I love i love this song forever
waliyo kuja hapa kwahajili ya kumkumbuka samw tuko wapi?? r,i,p
Tuko wengi my lkn kifo jamani mtihan kweli da mungu amuondoshee adhabu za kabuli
@@salamamohammed5446 ameen
Whenever iam sad or thinking of my friends who left us i came here so today i lost another friend 😔R.I.P LENNY
Twakumbuka mengi sn, Mungu ampuzishe kwa amani
Primary school life, 2020 still listening!
Wangapi twaona wimbo mtamu huu wakati wa quarantine???gonga like tukisonga
2024 like hapa rip sam wa ukweli mwenyez Mungu akupunguzie adhabu ya kaburini
Ukinichukia siwezi shang'aa ...😱 Kwani mimi najua ndivyo sisi binadamu tulivyo ✍️🇰🇪🌍Wachache ndio watakuwa wakikutakia mema na kuzidi kukuombea dua njema 🙏✌️🤞🕕
Ardhi inameza watu R.l.p
Very nice one Sam hata Saudi wako kila mahali wapo.
Asante sna kwa wimbo mzuri pumzika kwa amani mungu alaze roho yko mahali pema peponi
on point brother I really like this song so much it really teach
hawakukosea wakikuita Sam wa ukweli maana huu ni ukweli
margaret wanjiku ametuacha
R.I.p sam