GAFLA! SAMIA AMBADILIKIA RPC ALIYESEMA BINTI ALIYEBAKWAGA ALIKUWA ANAJIUZA!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • GAFLA! SAMIA AMBADILIKIA RPC ALIYESEMA BINTI ALIYEBAKWAGA ALIKUWA ANAJIUZA!

ความคิดเห็น • 348

  • @Sharifa-e7y
    @Sharifa-e7y 23 วันที่ผ่านมา +36

    Hongera Rais Wetu I LOVE YOu❤❤

    • @NewNew-ep5dq
      @NewNew-ep5dq 23 วันที่ผ่านมา +2

      Por pia tufanane naaje tuuze maembe uku

    • @rashidsalim7078
      @rashidsalim7078 23 วันที่ผ่านมา +3

      Kazi mzuri

    • @LusekeloMwaselela
      @LusekeloMwaselela 21 วันที่ผ่านมา

      😊😊😊😂😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😂😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😂😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊​

  • @salamasalum6956
    @salamasalum6956 23 วันที่ผ่านมา +26

    Hongera saba nama tunaona kazi yako mungu akulinde kiongozi wetu

  • @AgnesShuma
    @AgnesShuma 23 วันที่ผ่านมา +14

    Haleluya atukuzwe Mungu.mama samia sasa umeanza kazi ondoa utopolo humu tz na uka utupe huko baharini tumechoka kuona uozo ndani ya nchi yetu

  • @TedyEmanuel
    @TedyEmanuel 23 วันที่ผ่านมา +19

    Tunakupenda mama yetu samia, mungu akuzidishe umri zaidv❤❤❤❤❤❤u

  • @MaryamKhawar-h3j
    @MaryamKhawar-h3j 23 วันที่ผ่านมา +11

    Mwenyezi mungu akujalie mama samia umetenda haki na hawa makatili wapate adhabu inayostahiki mungu akujalie kipenzi mama samia

  • @AthumanShaban-r9e
    @AthumanShaban-r9e 23 วันที่ผ่านมา +9

    Asante mama kwakumfuta kazi huyo ariesema eti arikua anajiuza binti

  • @user-wg2gd2nl6c
    @user-wg2gd2nl6c 23 วันที่ผ่านมา +11

    Nimeipenda mamaaaa hyo. Kwahiyo Kama nikahaba. Anapaswa kufanyiwa hivyo.samia nimeipenda hyoooo

  • @joyceraphael2586
    @joyceraphael2586 23 วันที่ผ่านมา +15

    Asante sana Mama yetu kipenzi, Raisi wetu mpenda haki Mungu akutunze vema

  • @monicasimpilu6257
    @monicasimpilu6257 23 วันที่ผ่านมา +7

    Hongera my dear president congratulations i love you so much❤❤❤

  • @NakimoMahanyo
    @NakimoMahanyo 23 วันที่ผ่านมา +12

    Mm bado nasema mungu mkubwa na choz la mnyonge malipo kwa mungu

  • @user-py4yx5es8j
    @user-py4yx5es8j 23 วันที่ผ่านมา +5

    Kufukuzwa na kuhamishwa ni vitu 2 tofauti mwandishi jitafakari kama hujui uliza uelekezwe

  • @FilbertKomba-fi2nl
    @FilbertKomba-fi2nl 21 วันที่ผ่านมา +2

    Hongera mheshimiwa raisi kwa kumfuta kazi ila umekosea kidogo ilibidi huyo RPC afungwe ili iwe fundisho

  • @osmannassor1845
    @osmannassor1845 23 วันที่ผ่านมา +11

    Huyo sio askari ni changudoa

  • @user-xj7ek3bo4w
    @user-xj7ek3bo4w 23 วันที่ผ่านมา +4

    Asante Sana Rais wetu kwauwamuzi mzuri Sana,🙌🇹🇿💯✅

  • @hawamafuru6791
    @hawamafuru6791 23 วันที่ผ่านมา +15

    Ahsante Sana rais kweli wewe ni mama uvaa kiatu husika cha mama kwa mwane ❤❤❤❤❤❤

    • @HasnaSawaid
      @HasnaSawaid 23 วันที่ผ่านมา

      Asante sanaa❤❤❤

  • @ReyGeorge-wu2ji
    @ReyGeorge-wu2ji 21 วันที่ผ่านมา +2

    Ahsante sana mama etu mungu akutunze sana unatenda haki sana mama etu ❤❤❤❤❤

  • @consomatogaudence136
    @consomatogaudence136 23 วันที่ผ่านมา +4

    RPC achinjwe mwez wa 12 hana utu ingekuwa ji bint yake angeongea hvyo kweli bila hata hofu ya Mungu

    • @Ayuminchasi
      @Ayuminchasi 22 วันที่ผ่านมา

      Aiatupw kwenye kisiwa cha mamba

  • @user-xm6je1jw9v
    @user-xm6je1jw9v 23 วันที่ผ่านมา +6

    Jeshi la polisi wamegangamala na waliotoa picha hizo baada ya kuwachukua hatua kwa wabakaji.AMIRI JESHI MKUU AMETENDA HAKI KUMTIMUA HUYO KAMANDA WA JESHI LA POLISI.

  • @fanitofaustino4108
    @fanitofaustino4108 23 วันที่ผ่านมา +4

    Ongera Raisi wa Tz, duu pole sana awa jamaa wauni mana anaeda kulaitiwa nae na kudungwa nkunduni na wanaume wenzao kuliko wawaoo walienfanyia binti maana binti anae sehemu yake sahi wakivotia manihi zahooo

  • @ZsbAlbarwani
    @ZsbAlbarwani 21 วันที่ผ่านมา +2

    Hongera mama samira tunakupenda ❤

  • @user-om2rc3gd3s
    @user-om2rc3gd3s 23 วันที่ผ่านมา +6

    Afande acha kuwajibu watu mitandaoni , nadhani we si hakimu yote achia mahakama k

  • @FadhiliMwaitete-ls2li
    @FadhiliMwaitete-ls2li 24 วันที่ผ่านมา +6

    Kama kweli kafutwa kazi basi mama. Rais umetenda haki kabisa polisi wengi wanabebana Sasa uje mpaka mbarali

  • @hildagabriel1003
    @hildagabriel1003 23 วันที่ผ่านมา +2

    Acha ukatili ww rpc video umeiona au hujaiona jmn tendeni haki bhn

  • @WaldaShabani
    @WaldaShabani 23 วันที่ผ่านมา +4

    Asante mama

  • @ZwainhOman
    @ZwainhOman 22 วันที่ผ่านมา +2

    Hongera sana raisi kwa ujasili tunakukubali❤

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 17 วันที่ผ่านมา +1

    Rais samia sasa unafanya kazi
    Mzuri NAWACHUKIA SANA POLICE
    TANZANIA HAWAFANYI KAZI
    KABISA WANAISHI KWA KUBEBANA
    NA WANAKULA HELLA YA BULE TU!
    Mimi nauliza je ANGELIFIRWA MTOTO
    WA POLISI FURANI JE! Mpaka Leo
    Uyo mbakaji angelikuwa wapi!? Nawaulizeni nyinyi police Leo

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 23 วันที่ผ่านมา +6

    Unaharibu kazi kwa mambo ovyio dhambi zako za nyuma

    • @agnessangawe3844
      @agnessangawe3844 23 วันที่ผ่านมา

      HIZO DHAMBI ZA NYUMA MLIFANYA WOTE SIO?? TUELEZE NI DHAMBI GANI MAANA YAELEKEA UNAZIJUA

  • @kadogojoseph-s9u
    @kadogojoseph-s9u 23 วันที่ผ่านมา +15

    Mama umejua kunifurahisha

  • @DianaSteven-g2s
    @DianaSteven-g2s 14 วันที่ผ่านมา

    Asante mama samia Mungu akubariki sana tunaomba watuhumiwa wapewe adhabu kali sana ili iwefundisho kwa wanajeshi wanaotumia vyeo vyao kuwanyanyasa wanawake

  • @richardmasonga9041
    @richardmasonga9041 23 วันที่ผ่านมา +9

    Safi sana

    • @ArafaChiponde
      @ArafaChiponde 22 วันที่ผ่านมา

      Asante kwa utekelezaji ushauri apime na magonjwa ya kuambukizwa jamani yuko hatarini.

  • @LissaBosh
    @LissaBosh 23 วันที่ผ่านมา +4

    tena akome huyu mama kujiza alipenda Maisha2 mungu

  • @DoreenOmmy-gw3op
    @DoreenOmmy-gw3op 16 วันที่ผ่านมา

    Safi sanaa kenge hyo au yeye ndio aliewatuma

  • @JoseEmanuel-ug3lo
    @JoseEmanuel-ug3lo 23 วันที่ผ่านมา +4

    Ongera mama ❤

  • @avelinekimaro3901
    @avelinekimaro3901 23 วันที่ผ่านมา +4

    Hiyo RPC afungwe kabisa,au kwa sababu si mwanae?malipo ni hapahapa duniani Mungu halali usingizi

  • @LissaBosh
    @LissaBosh 23 วันที่ผ่านมา +4

    Kujiza ndio abakwe we ni mzazi kweli au huna hata huruma really mushenzi

  • @Asmahjutto
    @Asmahjutto 21 วันที่ผ่านมา +1

    Hongera mama Bola ulivyomfukuza kazi

  • @GraceKazi-z8d
    @GraceKazi-z8d 22 วันที่ผ่านมา +2

    Mbona hakuna alipisema kafukuzwa jmn

  • @sadikidaudi460
    @sadikidaudi460 14 วันที่ผ่านมา

    Mamaa 🙏🙏🙏
    Hakika mhe Rais umejua kunifurahisha😭😭

  • @salumchowela8496
    @salumchowela8496 14 วันที่ผ่านมา

    Napenda, kumpongeza Mama kwa uwanuzi wake, wa kumfuta kazi, Kwa maana huyu afande ajui kazi yake, kusimamia Nini?

  • @eddytheophil7626
    @eddytheophil7626 23 วันที่ผ่านมา +3

    Asante Mamaaa

  • @LissaBosh
    @LissaBosh 23 วันที่ผ่านมา +7

    Safi sana rehisi wetu

  • @edisonsanga5288
    @edisonsanga5288 23 วันที่ผ่านมา +3

    Tunamtaka na huyo afande kitu hatalie mkamateni nae

  • @SarahNambela-m1v
    @SarahNambela-m1v 23 วันที่ผ่านมา +4

    Asante 🙏💛💚

  • @user-hp2ix5wp6i
    @user-hp2ix5wp6i 24 วันที่ผ่านมา +4

    Umemtetea afande mwenzio umepoteza kazi yako

  • @SakinaHassan-eh2pr
    @SakinaHassan-eh2pr 23 วันที่ผ่านมา +2

    Mashaallah mama yetu allah akulinde

  • @user-ky5wu4gc9g
    @user-ky5wu4gc9g 23 วันที่ผ่านมา +1

    Kuongea ni kipaji ndio maana wengine wakitafutwa na waandishi wa habar wanaema mimi si msemaji mtafute fulan wanaogopa kutimbanga mambo!! Ona sasa kakosa kaz hivhiv ridhiki yako ndio imeishia hapo waombe msamaha watanzania

  • @user-ff4sh6lq7t
    @user-ff4sh6lq7t 23 วันที่ผ่านมา +2

    Ndio sababu hawa askari hupindisha sheria

  • @MwanaharusiAlly-o1d
    @MwanaharusiAlly-o1d 23 วันที่ผ่านมา +2

    Ukute huyu askari ndo mwenye mume alieibiwa km sio yeye bac labda atakuwa ni shoga yake

  • @user-ex9gt9np8i
    @user-ex9gt9np8i 21 วันที่ผ่านมา

    Mama tenda haki nayo itakuweka huru mungu akutie nguvu tunakupenda mama

  • @user-sp4jr4vw6t
    @user-sp4jr4vw6t 23 วันที่ผ่านมา +1

    Sawa mama umefanya la maana hapo nimekupenda lkn hilo limama la.Dodoma ni lishenzi pumbavu mkubwa aliwatuma yeye

  • @annamussa185
    @annamussa185 21 วันที่ผ่านมา

    Shukrani sana kwa kazi nzuri,Yani ni wavuta bangi wakati namba zao za vikosi ziko hapo eti hata mgambo ni askari kwahiyo hao nagereza na jeshi unataka kusema ni mgambo😢😢😢

  • @mudiskaina2342
    @mudiskaina2342 23 วันที่ผ่านมา +1

    tatizo askar wetu. Wamejengwa kulinda kazi na viongozi wakubwa kuliko raia hiyo ndio inakua shida

  • @GloryKafunde
    @GloryKafunde 23 วันที่ผ่านมา +1

    6:15 6:17 6:20
    Ushauri wangu, kwanza Teopista malya amewadhalilisha wanawake akiwemo yeye mwenyewe, na pia amelidhalilisha jeshi la polisi nchi nzima. Achukuliwe hatua za sheria.
    U

  • @user-br4hg9tb5c
    @user-br4hg9tb5c 23 วันที่ผ่านมา +1

    Katika kikundi cha kiserikali ambacho kinatakiwa kuchomwa moto kwanza mwisho wa dunia hapa duniani ni Mapolisi coz ni watu washenzi kwa jamii ya maisha ya sasa.... 👹👺👹👺😡😠😡😠😡

  • @user-fh5xt9pr3v
    @user-fh5xt9pr3v 23 วันที่ผ่านมา +4

    Hongera raisi wetu mtetezi wwtu

  • @HulumaKisakali
    @HulumaKisakali 23 วันที่ผ่านมา +1

    Mamaumetenda haki maasikali wanatunyanyasa sana

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika 23 วันที่ผ่านมา +1

    Kama aliku anajiuza ndiyo wambake? . Sitaki kusema sana.lakini watumishi wengi wa uma wamejisahau .

  • @ApsaraMob
    @ApsaraMob 20 วันที่ผ่านมา

    Mama tuhurumie zaid ya hapo tunaumia kama wazazi❤❤

  • @eddyderrickmail66
    @eddyderrickmail66 16 วันที่ผ่านมา

    Sante mama Samia kwa uwamuzi wko umewarisha wananchi

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh 23 วันที่ผ่านมา +2

    Aende na ye akajiuze aone kama vizuri asane igp wambura kwa kuliona hili

  • @matronchiku929
    @matronchiku929 22 วันที่ผ่านมา

    Mama Samia safi sana uje na uku gomx wapo Askari wapumbavu kama uyo wasio hata na elimu yakujitishereza wanapewa vyeo fukuza

  • @AshaJohn-g4x
    @AshaJohn-g4x 20 วันที่ผ่านมา

    amna uyo mama amepotezea Ili asifukuzwe kazi maskali niwauni pia nawanajeshi uyo mama kweli amekifanya kwasababu sisi wanawake tunawivu Sana Tena tunaenda kuwaisi wanaumme

  • @ShadiaMalungo
    @ShadiaMalungo 21 วันที่ผ่านมา +1

    Asante sana laisi wetu

  • @SuziMsemakweli
    @SuziMsemakweli 21 วันที่ผ่านมา +1

    Asante sana mama❤❤❤❤❤

  • @AngelineSaidi
    @AngelineSaidi 22 วันที่ผ่านมา +1

    Hongera mama samia

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 23 วันที่ผ่านมา

    Mama hongera,Tena hongera,Hyu afande wadodoma,alipswa afutwe kbsa kzi akapumzike nyumbani Htoshi kwenye kutenda hki.Hili jmbonikubwa linaumiza anajitokeza mkuu wapolice anasema bila kujali hki yamtoto,ambae hta yy nimzazi.Je unategemea utanda hki kwawengine.Mama ukiteuwa hwa watu wanachunguze sana,wapo kimaslai nasihki.Hafai kbsa kuwa kiongozi.

  • @MwanaidiAllyhatibu-or4gh
    @MwanaidiAllyhatibu-or4gh 18 วันที่ผ่านมา

    Mama umefanya vizuri sana

  • @AminaUjumbe
    @AminaUjumbe 22 วันที่ผ่านมา

    Wengi tumeguswa na Hilo tukio, wahalifu wote walio husika yaarabib tunakuomba tujaliye ulizi wako, maana watu hawana hata huruma na watoto wawezio subuhanaallaah,
    Tunaomba wahusika wote wadabishwe Ili jamii tujuwe kweli jeshi la tazania Lina wapenda wananchi wake,😢😢😢

  • @JoyceMwita-e3w
    @JoyceMwita-e3w 19 วันที่ผ่านมา

    Tunashukuru kwa kuguswa na hili mama samia maana wazazi tunaumia wengine wanakejeri

  • @jumamnumbwa9483
    @jumamnumbwa9483 23 วันที่ผ่านมา +1

    Wamemvika flana ya kiume na nguo za jela za wafungwa ,akawaomba maji wakamtisha kumpiga chupa ya bia ya paji la uso walinzi waliopaswa kumlinda wamemsaliti na kumbaka ,kamanda hajui obligation ya jeshi analoliongoza hajui wajibu wake kama askari wafukuzwe wakawahudimie waume zao ofisi za umma haziwafai

  • @RajabuLanda
    @RajabuLanda 23 วันที่ผ่านมา +1

    Ivi huyu afande anatuona watanzani ss vimburu ache. Zaarau

  • @TunuselemaniKiabi
    @TunuselemaniKiabi 7 วันที่ผ่านมา

    Uyo mama aliowatuma Vijana ana watoto kwaeli 😢😢

  • @ProbySilayo
    @ProbySilayo 21 วันที่ผ่านมา

    Mama apo ukosawaa hongera maana huyo rpc naona Kama alikuwa ajielewi maana manenoyakee sio kabisaa ety tuliskia badala asimame kwenyehakiii ety alikuwa anajiuzaa.kwanza uyoarapc Anajua Hilo tukio,

  • @allykasim-s1h
    @allykasim-s1h 13 วันที่ผ่านมา

    Hongera mama yetu samia🎉

  • @AliphonceMartina
    @AliphonceMartina 22 วันที่ผ่านมา +1

    Amefutwa kazi au amehamishwa😢

  • @user-sp4jr4vw6t
    @user-sp4jr4vw6t 23 วันที่ผ่านมา +1

    Lenyewe ndo linasema limama lipumbavu na lenyewe wakalifanyi e hayo sio anabadilishwa afukuzwe kabisa

  • @user-fs7xc2bb5d
    @user-fs7xc2bb5d 18 วันที่ผ่านมา

    Asante mama ww kweli ni mama

  • @danielkanso
    @danielkanso 23 วันที่ผ่านมา +1

    Police wazingatie maadili kazi zao ndiyo mambo yatakuwa sawa lasivyo aa

  • @marryfelician1426
    @marryfelician1426 21 วันที่ผ่านมา

    Safi sana hapa mama samia umetenda na thawabu yako ipo ahera na duniani blessed mama huwezi kumhamisha kituo chochote huyu mama hana huruma kabisa

  • @EliasLukuba
    @EliasLukuba 20 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana mama Samia kwa moyo wa huruma kwa wanaichi wako kitendo kilichofanyika ni Cha kinyama na hakikubaliki

  • @maryammussa2835
    @maryammussa2835 23 วันที่ผ่านมา +3

    Itakuwa huyo rpc ndo aliwatuma

    • @NewNew-ep5dq
      @NewNew-ep5dq 23 วันที่ผ่านมา

      Itakuwa yy ndio alie mtuma

  • @danielkanso
    @danielkanso 23 วันที่ผ่านมา +1

    Na kuhusu watu kutekwa tusemeje

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 23 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤ Kabisa afute kazi sisi wa zazi WA kike twasikiya uchunqu Sana tunapo wazaa 🇰🇪 mama samiya oyeeh

  • @salamasalum6956
    @salamasalum6956 23 วันที่ผ่านมา +7

    Kabla hujafa hujaumbika nayy mwanamke yatamkuta japo sileo mungu atamlipia mtoto wa watu

  • @aishamohamed6929
    @aishamohamed6929 23 วันที่ผ่านมา

    HONGERA MAMA KWA UJASIRI ILA MUWEKEÑI WAZI HUYO MAMA MTUZIMA ALIYEKOSA HAYA MBELE YA MUNGU

  • @user-vn5mv6gn2b
    @user-vn5mv6gn2b 17 วันที่ผ่านมา

    Safi sana Rais wetu afukuzwe kabisa.. hatakiwi hapa nchini kabisa.. heti alikuwa anajiuza..

  • @FaridaFocus
    @FaridaFocus 22 วันที่ผ่านมา

    Yani kama msiba haupo mlangoni kwako utaona kama wafiwa wanapiga makelele hivi angekuwa ni binti yako ungesema hivyo? Mama Samia mama Yani fukuza wote na huyo Alie tuma binti abakwe wakamalzie uzee wao Kwa majuto😢

  • @user-td9ev7xc2h
    @user-td9ev7xc2h 20 วันที่ผ่านมา

    Mama naomb huy mama afukuzwe ht hap Tanzania akafie mbal hukoooo jmn jmn 😢😢😢

  • @precioussao7065
    @precioussao7065 23 วันที่ผ่านมา +1

    Kufutwa KAZI ni azabu inayo mfaa hiyo Askari ni mpumbavu sana

  • @user-rh9fw6vi6m
    @user-rh9fw6vi6m 23 วันที่ผ่านมา +2

    Hana sifa za kuwa rpc

  • @zulfajoachim6145
    @zulfajoachim6145 23 วันที่ผ่านมา +2

    safi sana mama

  • @msomaliwilliam
    @msomaliwilliam 22 วันที่ผ่านมา

    Tunapenda hii sheria ambayo inakataza wananchi kutoa taarifa kwa kutuma picha. Hiangaliwe tena. Maana inamsaada kwa jamii. Kwa sababu isingekuwepo hiyo picha watuhumiwa wasingepatikana. Hata wangepatikana ushaidi usinge kuwepo. Je hao raia wema walio tuma hizo picha watashitakiwa Kwa kuvunja sheria. Wakati ushaidi wa picha zao unaweza kutumika mahakamani. Serikari hiliangalie hili .

  • @agnessangawe3844
    @agnessangawe3844 23 วันที่ผ่านมา +2

    Watu wengi wanateleza. Hakuna alie mkamilifu. Pia angepewa muda wa kujitetea kwa sababu yeye ni mkubwa taarifa alizopewa na waliochini yake ndo hizo?? Labda hakupata muda wa kutafakari kwa sababu ya kazi nyingi uchovu na maswali ni mengi toka media zote. AKILI YAKE ILIKUWA EMECHOKA?? HATA RAIS WETU KUNA SEHEMU ALITELEZA HAKUNA MKAMILIFU

  • @user-mz2wx5dt9v
    @user-mz2wx5dt9v 23 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu yupo

  • @MariusFerekix
    @MariusFerekix 10 วันที่ผ่านมา

    Jamaniiiiiii pole sanaaaaaaaa 🎉

  • @HenryHabeli-iy5dv
    @HenryHabeli-iy5dv 23 วันที่ผ่านมา

    Inaskitisha sana je angekuwa mwanae ingekuwsje?

  • @user-xn4fy1df3f
    @user-xn4fy1df3f 19 วันที่ผ่านมา

    Ongera sana na asnte raisi wetu mtetezi wa wanyonge baba kaondoka rakini tunajua kaacha mtu mwenyeupendo na wananchi wake mama uishi miaka mia

  • @joyceraphael2586
    @joyceraphael2586 23 วันที่ผ่านมา +1

    Tumekuelewa sana Kwa maamuzi hayo kwn hiki kitendo ni kibaya sana

  • @RachelKinasha
    @RachelKinasha 23 วันที่ผ่านมา +1

    Mama samia simamia aki wanawake wengi wana zalilikasan mama uangu

  • @precioussao7065
    @precioussao7065 23 วันที่ผ่านมา +1

    Kaniudhi kupita maelezo aisee huyo anafaa kufutwa KAZI na kifungo cha miaka kazaa.ni mpuuzi sana