SATIVA KUTEKWA, NEY WA MITEGO AMTUMIA RAIS SAMIA UJUMBE “TOKOMESHA UTEKAJI”

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 86

  • @danielndam5997
    @danielndam5997 3 หลายเดือนก่อน +26

    Ney wamitego ameongea kama rais wa nchi hii ninayuotoka mimi

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 3 หลายเดือนก่อน +14

    Well says Neyo wamitego,
    Tupaze sauti hii tabia ikome kabisa, yuko wapi Ben sanane,? Stop it imetosha

  • @AnithaThadeo-n2i
    @AnithaThadeo-n2i 3 หลายเดือนก่อน +10

    Bola aseme ney wengne tkisema tutakutwa kasanda yakina mwijaku🥲🥲

  • @jastinedaudi-qi9vr
    @jastinedaudi-qi9vr 3 หลายเดือนก่อน +12

    Nakubal rais we2 wa ktaa Nay

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 3 หลายเดือนก่อน +10

    Hivi kwanini mama Samia haliongeleagi hili swala la utekaji kwenye nchi yake hivi mamaa umeonae ni sw kweli?

    • @RoseKipimo
      @RoseKipimo 3 หลายเดือนก่อน

      Rais Ana Unga mkono mauwaji ndio mana wauwaji wote kawasaki vyeo kina kingai, Bashite na takataka zote yeye ndio anafanya ivyo ili awe Rais atakayeongea mabaya yake anauliwa ila ukimsifia unapewa cheo

    • @philomenastephen3364
      @philomenastephen3364 27 วันที่ผ่านมา +1

      DC WA LONGIDO AMESEMA ALIVYO HUSIKA PORINI. UNAFIKIRI KWANINI ALITEULIWA KUWA DC WA LONGIDO? KWASABABU HAOGOPI NI SHUJAA WA KULE PORINI. KATAMKA MWENYEWE.

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 3 หลายเดือนก่อน +4

    Washatekwa wengine wa2 juzi sijui kwanini vijana wanatekwahovyo. Tumekua na uwoga sasa hivi tz

  • @HolloJuma
    @HolloJuma 3 หลายเดือนก่อน +9

    Raisi was kitaa❤❤🤝🙏

  • @edsonmnego4030
    @edsonmnego4030 3 หลายเดือนก่อน +13

    Hawa ndo wawakilishi wetu sasa sio machawa kule bungeni

    • @jeffhard5773
      @jeffhard5773 3 หลายเดือนก่อน

      Sanaaaaaaa!

  • @Joh-p9f
    @Joh-p9f 3 หลายเดือนก่อน +8

    Ni kweli Raisi inatakiwa watafute watekaji sio kugharamia inakera kinoma yan

    • @RoseKipimo
      @RoseKipimo 3 หลายเดือนก่อน

      Statutes nani?bona eye ndio kipngozi was kibaka No moja ni Samia

  • @khadi-z4o
    @khadi-z4o 3 หลายเดือนก่อน +7

    UMEONGEYA POINT.,ZIBA UFA ILI USIJE UKAJENGA UKUTA

  • @mgungulem3187
    @mgungulem3187 3 หลายเดือนก่อน +6

    Ney anaakili Sana, akili kubwa hoja ya ukweli

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 3 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂 Millard Ayo nanyie ni wale wale tu report zenu mnazotoa inaonekana hamko huru katik Habari mmeshikwa na CCM

  • @RoseKipimo
    @RoseKipimo 3 หลายเดือนก่อน +4

    Wauwaji polish ping wamemfunga wamampeleka polish wamempiga wamemtupa ,halafu tuna ambiwa Rais anatibia mpigwa risasi huu ni uhuni.

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS 3 หลายเดือนก่อน +2

    SATIVA SI WAKWANZA JE WALIO TANGULIA HATUA GANI IMECHUKULIWA???

  • @SinemaZaChina
    @SinemaZaChina 3 หลายเดือนก่อน +3

    😢aloo ni hatari sana 😢

  • @HijaSaid-xd7fg
    @HijaSaid-xd7fg 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kwani nani alitengeneza hili tatizo, kwani hao watekaji wanatumwa na nani

  • @HopeMmbando-wb8ci
    @HopeMmbando-wb8ci 3 หลายเดือนก่อน +1

    Truth pointa toka huyu mtu atekwe amnaata diwan aliefungua mdom kuzungumzia hili

  • @DausonShensherwa
    @DausonShensherwa 3 หลายเดือนก่อน +2

    Namuhunga mko rais wa kitaa Nay wa mitego yuko sawa

  • @mgungulem3187
    @mgungulem3187 3 หลายเดือนก่อน +3

    Ney tuletee 🎶🔨 tupate elimu kuhusu ukimya wa viongozi

  • @mkanjimamkanjimamkanjima2043
    @mkanjimamkanjimamkanjima2043 3 หลายเดือนก่อน +3

    Ney ni mtu wa mana sana

  • @jabirilitinji7894
    @jabirilitinji7894 3 หลายเดือนก่อน +8

    Una baya Mr ney

  • @noelnoel4916
    @noelnoel4916 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wanatesa kutia watu uoga

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 หลายเดือนก่อน

    Kwanza polisi wako wamteke halafu Raisi agaramie😢😢😢😢Mungu anaona

  • @ernestmlelwa3836
    @ernestmlelwa3836 3 หลายเดือนก่อน +1

    Watajitokezaje kukemea ili hali mipango hiyo hufanywa na wao wenyewe

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 วันที่ผ่านมา

    Kabisa hakuna sababu ya kugharamikia matibabu maana nachojua rais Samia akitaka watekaji wasiwepo anawenza lakini hakemei maana waliotekwa na hawajaonena hadi Leo ni wengi sana akina soka na group lake na wengineo Rais akisimamia Hilo wataacha ila ni kimya tuu picha hiyo Kwa watanzania itakuwa nyingine kabisa watajiulinza kwanini?

  • @RachelMligwa
    @RachelMligwa หลายเดือนก่อน

    Kwakweli baada ya kusikiliza ushuhuda wa Sativa sijalala siku 2

  • @AlexNjelekela-e6e
    @AlexNjelekela-e6e หลายเดือนก่อน

    Tafakarini kauli za hao maanko wawili Ney na zitto nani anastahili kuwa kiongozi

  • @ZINDUKAMUISILAMU30
    @ZINDUKAMUISILAMU30 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kiongozi mstaafu VP kwani kashactaafu

  • @UktyWardaoman
    @UktyWardaoman 3 หลายเดือนก่อน

    Raisi wa kitaa nakukubari sana ww kaka jaman maneno yako mazuri sana

  • @richkaja3317
    @richkaja3317 3 หลายเดือนก่อน

    Samia kashwindwa kila kitu kila siku matukio

  • @AnnoyedCatfish-bs3sy
    @AnnoyedCatfish-bs3sy 15 วันที่ผ่านมา

    # Nay wamitego ukwel

  • @directorabiero340
    @directorabiero340 3 หลายเดือนก่อน

    Ney ipo siku utakuwa kiongoz

  • @RoseKipimo
    @RoseKipimo 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ney yupo sahihi

  • @andrewemmanuel1861
    @andrewemmanuel1861 3 หลายเดือนก่อน

    Hajasema kwa ubaya bt Kuna wazo limeongezwa natumai rais atalifanyiaa kazi

  • @ThomasAlute
    @ThomasAlute 3 หลายเดือนก่อน

    Umeongea ukweli mtupu

  • @EnockEnock-f9v
    @EnockEnock-f9v 3 หลายเดือนก่อน +1

    wanang'ata wanapuliza😢😢

  • @JninjaH2R
    @JninjaH2R 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ney upo sawa

  • @JACKLINEPETER-t9p
    @JACKLINEPETER-t9p 3 หลายเดือนก่อน

    Tanzania nchi yetu woiiiiiii wanakupiga wenyewe, alafu wanakutibu wenyewe😂😂😂😂😂.ukifa juu yako na family yako wao woiiiiii wanakunywa,wanakula, wanafanya watakalo,nakulala hawana shida. Eee mwenyezi mungu wapige makombora na familia zao wanaonyanyasa watu wa chini

  • @Chrishenryson-beats
    @Chrishenryson-beats 3 หลายเดือนก่อน +1

    😢😢😢😢😢waache watuone mazwazwa

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 3 หลายเดือนก่อน

    Ney kam nima policy wamefany hivo atakimeaje naku wtto wawili wametekw kwni hamjasikia

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 3 หลายเดือนก่อน

    RAIS AKAE MBALI ILA AFANYE KAMA NEY ALIVYOONGEA MAANA UTAMTBIA HUYU NA WENGINE AMBAO HAWAONEKANI UTATUAMBIA NINI? WANGEPATIKANA WENYE NIA OVU NDO NINGEAMINI DHAMIRA YA 4R.

  • @EnockEnock-f9v
    @EnockEnock-f9v 3 หลายเดือนก่อน +2

    true boy💪

  • @mbembetyson05
    @mbembetyson05 3 หลายเดือนก่อน +1

    Yuko sahihi kabisa

  • @eliaskasala9523
    @eliaskasala9523 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sawa kabisa

  • @zuenahamoud1532
    @zuenahamoud1532 3 หลายเดือนก่อน

    Singida waiu walitekwa mbona hawa wanasiasa hatukuwaona

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 3 หลายเดือนก่อน

    Ney una taka na ww ....
    ?

  • @DewGroupTech
    @DewGroupTech 3 หลายเดือนก่อน

    TUNAOMBA TAARIFA ZA MABADILIKO YA MANUNUZI YA LUKU

  • @saivellybrutally2994
    @saivellybrutally2994 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂 aisee Tanganyika kweli tuna nyika ndio tuna amani ya kutosha kabisa.

  • @fetychina3969
    @fetychina3969 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa hapo amemtusi kitugani??

  • @jkifutu7936
    @jkifutu7936 3 หลายเดือนก่อน

    Polisi wana bota mama anatibia patamu hapo

  • @PanchoValentino-wh7wt
    @PanchoValentino-wh7wt 3 หลายเดือนก่อน

    Nei Wamitego Pamoj saana 🔥💯⭐

  • @6.1.9music5
    @6.1.9music5 3 หลายเดือนก่อน +1

    Very true

  • @SinarahaNtaraha
    @SinarahaNtaraha 3 หลายเดือนก่อน

    Yaan ney kweli ww ni rais wa kitaa

  • @RoanCorporation
    @RoanCorporation 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi na amini Mama Samia atafanya mzuri

  • @fxmeddy9567
    @fxmeddy9567 3 หลายเดือนก่อน

    Duuh! Rais hatuna

  • @ReginaPantaleo-rq3oq
    @ReginaPantaleo-rq3oq 3 หลายเดือนก่อน

    Br uko sahihi

  • @rewardyesse7314
    @rewardyesse7314 3 หลายเดือนก่อน

    Ney ni kiongozi

  • @DavalsonMarlony
    @DavalsonMarlony 3 หลายเดือนก่อน

    rais wa ktaa big up sana 🦾 point big

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 3 หลายเดือนก่อน

    Uko sawa rais wa kitaa❤

  • @TellaaxisTz
    @TellaaxisTz 3 หลายเดือนก่อน

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 3 หลายเดือนก่อน

    👏🏽👏🏽👏🏽🥰

  • @RamadhanAthuman-d4c
    @RamadhanAthuman-d4c 3 หลายเดือนก่อน

    #Wakitaa

  • @Alfredmusa24
    @Alfredmusa24 3 หลายเดือนก่อน

    Lord have mercy 😢

  • @jastinhozza9727
    @jastinhozza9727 3 หลายเดือนก่อน

    Iko Waz

  • @yahyahamisi2038
    @yahyahamisi2038 3 หลายเดือนก่อน

    CCM hoyeeee 😂😂

  • @TellaaxisTz
    @TellaaxisTz 3 หลายเดือนก่อน

  • @ChireGriffin
    @ChireGriffin 3 หลายเดือนก่อน

    One day yes

  • @Trumomedia
    @Trumomedia 3 หลายเดือนก่อน

    😢

  • @MfalancaMomade
    @MfalancaMomade 3 หลายเดือนก่อน

    Namuomba mama atusaidie yanga wa memuiba mchezaji wetu 2:02 2:02

    • @elvisoscar9912
      @elvisoscar9912 3 หลายเดือนก่อน +1

      Cheki ili nalo we unaitaji elimu aujielew kabisa

    • @GibsonNtamamilo
      @GibsonNtamamilo 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @godfreymbwambo4460
    @godfreymbwambo4460 3 หลายเดือนก่อน +1

    ZITTO NA WAHUNI WENZAKE WALIMSINGIZIA JPM SANA. UKWELI UMEJULIKANA BAADA YA JPM KULALAL. RIP JPM!!

  • @jastinhozza9727
    @jastinhozza9727 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ivi ney si apewe ata ubunge

    • @AnithaThadeo-n2i
      @AnithaThadeo-n2i 3 หลายเดือนก่อน +1

      Labda aombee Kenya atapata siyo Tanzania 🇹🇿 yangu

  • @ibrahimomari2458
    @ibrahimomari2458 3 หลายเดือนก่อน

    Maneno mazuri sana...ila ney amesahau kuwakumbusha wananchi kuwa wasichanganye maneno haya KUJITOA MHANGA na KUJITOA KAFARA...waliowengi wamejikuta wakijitoa kafara kwa dhana wakiamini kuwa wanatetea wananchi ambao hawako tayar kusaidia harakat za kutetewa kwao...
    Ishi utakavyo ishi ila...anza kwanza na maslah ya familia yako kwanza....

    • @AlexNjelekela-e6e
      @AlexNjelekela-e6e หลายเดือนก่อน

      Nahisi hata we2 ni mkolo mweusi.Tambua babu zetu wlijitoa kafara tukapata ukombozi acha uzwazwa

    • @ibrahimomari2458
      @ibrahimomari2458 หลายเดือนก่อน

      @@AlexNjelekela-e6e @babu zenu walijitoa muhanga ndio maana tukawa huru...

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 3 หลายเดือนก่อน

    Chekanao tu mama watakuvua nguo hao mzee alikuwa anamaliza