MAMA MKWE

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 117

  • @ernestjohnbosco2053
    @ernestjohnbosco2053 ปีที่แล้ว +15

    Wanaume wote tujifunze kwa huyu kaka amefanya jambo ambalo limenitoa machozi ameonesha uanaume wake na kuona ya kwamba mama ndo mwenye thamani kuliko chochote kile ❤❤❤

  • @bigfive8334
    @bigfive8334 ปีที่แล้ว +7

    ❤🎉 congratulations 👏 nimeona msimamo wa mtoto kwa mzazi na maamuzi ya hekma 🇧🇭🇰🇪

  • @rizikimohamed2449
    @rizikimohamed2449 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah kaka umefanya jambo la maana sana huyo mkeo 🤣🤣 hata rudia tena ujinga kama huo

  • @bintsuleman915
    @bintsuleman915 ปีที่แล้ว +4

    Safi san nimependa hii movies juu ya vijana wengi wamejisahau san kwa wazazi wao big up bujra

  • @ayshanani
    @ayshanani ปีที่แล้ว +2

    Mashallah mwanaume kama huyo hataki mchezo na mamake hongera kakangu kuwa shujaa

  • @SalamaNzalambi
    @SalamaNzalambi ปีที่แล้ว +1

    Kaka yangu umefauli mtihani wana me wengi wana shindwa kujuwa mama namkee mkubwa nimama mashaallah

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme ปีที่แล้ว +2

    Mimi nakubali sana maigizo nyenu zaidi ya icho kiswahili cha pwani aisee natamani siku moja nije nijitwalie mwali wakimombasa

  • @mwanamisimwangaro8001
    @mwanamisimwangaro8001 ปีที่แล้ว +5

    Haya ndio maamuzi ya sawa yanayotakiwa kwa wandoa....hongera sana hakuna kama mama

  • @SaFy-wh3gq
    @SaFy-wh3gq ปีที่แล้ว +1

    Wanawake sie jamani tukifnya mchezo pepo tutaiskia mbali wallah

  • @safetours4342
    @safetours4342 ปีที่แล้ว

    Nimaamuzi sahihi uliyachukuwa ndio vizuru kuwa jali wazee wanawake ni marafik wa muda mfupi kwet ahsante sana kijana Kwa maaaamuz sahihi

  • @khadijaumazi3308
    @khadijaumazi3308 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana broo ww ndo mwanaume sasa siyule wakusikiza mke

  • @muftisebe
    @muftisebe 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi safi ndugu 🎉

  • @sskondopoleani9616
    @sskondopoleani9616 ปีที่แล้ว

    Wallah Allah ampe pepo kijana huyu *ANAEJITAMBUA* na wengine jifunzeni toka kwakwe, lakini Kuna Wanaume wengi tu ambao hufanya hivyo kwa wazazi na ndugu wa wake zao ila wanawake wengi kwa kuogopa kuachwa hawaliweki *WAZI* Jambo hili, nasi wanawake *TUAMKE* Tusiogope wala kuona haya kwa hili.

  • @9miles254
    @9miles254 ปีที่แล้ว +2

    Safii sana mzeee wa busara wanawake wengi sahizi hawana heshima 🇧🇭🇧🇭

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 ปีที่แล้ว +5

    Kijana mwenye msimamo wengine hapo angeona mama Ake muongo anamsingizia Mkewe.

  • @Kijosh854
    @Kijosh854 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri kaka mashallah dina na nzimo ino

  • @akibaali1450
    @akibaali1450 ปีที่แล้ว

    Mashallah movie nzuri yamafunzo mwajua tena mwajua sanaaaa

  • @FaizaSalim-y6v
    @FaizaSalim-y6v ปีที่แล้ว +2

    mfano wa maisha mazuri tunayotakiwa kuishi , na mafanikio baadae yatakuja tu ❤❤

  • @mwalisuleih1164
    @mwalisuleih1164 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤Tatizo shetani anapitia watu na haonekani kw kwel ibilisi unakaz kubwa xan dunia hii😂😂😂😂😂😂

  • @maryamathman8917
    @maryamathman8917 ปีที่แล้ว +3

    Eti mumezoea makanju😂😂😂😂

  • @AsiaOmari-g9w
    @AsiaOmari-g9w ปีที่แล้ว +2

    Safi sana kkngu bujra

  • @zulfahussein6784
    @zulfahussein6784 ปีที่แล้ว +4

    Nalaiti wanaume wangelikuwa na msimamo kama huyu majumba yetu yangelikuwa na amani

  • @najmaali3596
    @najmaali3596 ปีที่แล้ว

    Wallahi hii story imenitach big up mwanangu

  • @awadhisarai4331
    @awadhisarai4331 ปีที่แล้ว +1

    👏👏sawa mzee wa busara

  • @تتغتا-س6ش
    @تتغتا-س6ش 8 หลายเดือนก่อน

    Kweli yamo vijijini pole mama

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 ปีที่แล้ว

    Maa shaa Allah 😍😍😍 muendelezo😍😍

  • @ussiamini2868
    @ussiamini2868 ปีที่แล้ว +2

    Safisana uwondiwo msimamo wa mwana muumee siyo kuburuzwa

  • @Rockstar_002
    @Rockstar_002 ปีที่แล้ว +1

    Mama Mishi nakupenda 😊😊

  • @MkubwaKhamis-m4l
    @MkubwaKhamis-m4l 9 หลายเดือนก่อน

    Mafunzo mema.
    Hii ndio sanaa

  • @nahlahassan-fd6le
    @nahlahassan-fd6le ปีที่แล้ว

    Famasiaaala nn😂😂😂 talaka masihara nn maisha haya magumu😂😂😂

  • @HafsaShekigenda
    @HafsaShekigenda 3 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah kaka ukovizuri

  • @RehemaSalim-d3g
    @RehemaSalim-d3g 9 หลายเดือนก่อน

    Aky kz nzuri kka bujra

  • @hamisisina-o1j
    @hamisisina-o1j ปีที่แล้ว

    Mkaza mwana amegeuka fastaa😂😂😂

  • @kibibiabdalla1451
    @kibibiabdalla1451 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah...nimeipenda

  • @MunaKhamis-p9b
    @MunaKhamis-p9b 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi ndo wakwanza kulike

  • @victoriarwerengera4831
    @victoriarwerengera4831 ปีที่แล้ว

    SAFI kabisa...mama mkwe wamsemea hivyo

  • @zuleikhaissa684
    @zuleikhaissa684 ปีที่แล้ว +1

    Lkn maskin mama hana tena furaha km alokujanayo mwanzo wanawakd wengine wabaya jamani

  • @bahatikale
    @bahatikale 5 หลายเดือนก่อน

    Nice movie

  • @hamisisina-o1j
    @hamisisina-o1j ปีที่แล้ว

    Mkaza mwana amegeuka fastaa😂

  • @piuskusenge-jf2ob
    @piuskusenge-jf2ob ปีที่แล้ว

    Content is good, lakini sanaa haijajitoshereza.

  • @winifridajohn7390
    @winifridajohn7390 ปีที่แล้ว +1

    nimejifunzA kitu katika maisha yangu. Asanten sana🙏

  • @TurkanCalender
    @TurkanCalender ปีที่แล้ว

    Wadi go Hao sijui waongea vizuri

  • @GraceMwakalinga-jg4hh
    @GraceMwakalinga-jg4hh ปีที่แล้ว

    Jaman ivi SI wanawake tunapoolewa atujui kama hawa wanaume wanawazazi😌

  • @Najmahnyangasi
    @Najmahnyangasi 7 หลายเดือนก่อน

    Mashallah tujifunze jaman

  • @zamzamhajj
    @zamzamhajj ปีที่แล้ว

    Nimecheka sanaa🤣😂😎🤣😂

  • @AbdilllahiAbdallah
    @AbdilllahiAbdallah ปีที่แล้ว

    Wanawake mtihani

  • @mwanalimasaid2368
    @mwanalimasaid2368 ปีที่แล้ว

    Makanju joined😂😂😂

  • @ZaytoonaKarama
    @ZaytoonaKarama 7 หลายเดือนก่อน

    Hakika hili n funzo kuna wanawake wengi wanipenda waumezao lkn hawathamini mama aliemzalia mume ambayo n makosa sn. Mama n pepo ya mwanawe wakiume na mume n pepo ya mke tambueni hilo. N zaytoon kutoka saudia

  • @FarhiaFarah-wg5qe
    @FarhiaFarah-wg5qe ปีที่แล้ว

    As, who, Familyyyy familiessss systems this the girl farhiasflower younger wife young women young madam on earthearthearth

  • @FatmaMohammedl
    @FatmaMohammedl ปีที่แล้ว

    Naomba kuigiza nami pia bujra

  • @zamzamhajj
    @zamzamhajj ปีที่แล้ว +1

    Mashallah.....

  • @fatumahassani690
    @fatumahassani690 ปีที่แล้ว

    Maasha Allah chozi limenitoka

  • @hamisisina-o1j
    @hamisisina-o1j ปีที่แล้ว

    Talaka bro.. huyo sie wife.

  • @omarabdallah2974
    @omarabdallah2974 ปีที่แล้ว +1

    Nani kama Mama katika hii Dunia tangu Enzi za Nabii Adam Mama ni mlezi wa jamii.. I love my mum also

  • @PRINCEDADY
    @PRINCEDADY ปีที่แล้ว +1

    Sio mchuzi 😅😅😅

  • @Saripa234-u7g
    @Saripa234-u7g ปีที่แล้ว +1

    MASHAHALLAH

  • @bintsuleman915
    @bintsuleman915 ปีที่แล้ว +1

    Mayo ni mshamba bujira

  • @michilita2959
    @michilita2959 ปีที่แล้ว

    Ela na nyie mamazenu tukiwaenzi twaishia machozi hawarudishi wema wanao fanyiwana wana wawenzao inlaws ishinao km majirani pitia km njia

  • @halphanhamisi8577
    @halphanhamisi8577 ปีที่แล้ว

    Astaghafiruallah..... mchetu kataki kungungi😭

  • @zahiribrahim8319
    @zahiribrahim8319 ปีที่แล้ว

    Hapa ndio mimi sielewi kabisaaaaa yaani Hebu jamani nifahamisheni vizuurrrri wanaume wenzangu mama na mke nani anauma sana? 😂😢😮😅 hahahaha 😆 😂 🤣 hawa ndio wanawake sasa uwe na pesa baba yako amefariki na mirathi kazuwia mama mzazi ? ❤❤❤

    • @mariammkubwa2112
      @mariammkubwa2112 ปีที่แล้ว

      Mama ndio kila kitu hakuna mama wa pili mama ni mmoja tu lakin mwanamke unapata mwingine

  • @ggvv9970
    @ggvv9970 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah ❤❤❤

  • @halimaomar1723
    @halimaomar1723 8 หลายเดือนก่อน

    Santha bujra😊❤😢

  • @safiahilali3352
    @safiahilali3352 ปีที่แล้ว

    Masha Allah mafunzo mazuri

  • @ussiamini2868
    @ussiamini2868 ปีที่แล้ว

    Huwondiwo msimamo wa mwanaumee

  • @Athuman-v1s
    @Athuman-v1s ปีที่แล้ว +1

    nduguzangu tujifunzeni kitu kupitia hii Video mama nikiungo muhimu kwenye maisha yetu

  • @saummwakumbo.4926
    @saummwakumbo.4926 ปีที่แล้ว

    😭😭😭maskin maa 💔

  • @peteswalehe236
    @peteswalehe236 ปีที่แล้ว +1

    Great work 🙏❤️

  • @yusufngare3438
    @yusufngare3438 9 หลายเดือนก่อน

    Very emotional clip

  • @missindependent1893
    @missindependent1893 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😅😅😅😊😊😊

  • @halimahbwelele694
    @halimahbwelele694 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah ❤

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj ปีที่แล้ว

    Ma sha Allah 💕😍😍

  • @w4058
    @w4058 ปีที่แล้ว

    Ni elimu kwa wanawake wenye roho mbaya

  • @antoniadudus7917
    @antoniadudus7917 ปีที่แล้ว

    Woooooow ❤❤

  • @Sheba4651
    @Sheba4651 ปีที่แล้ว

    Shida hapo hao wake wa kuomba samahani, ndio hukosekana.

  • @SharifaAbdul-s3h
    @SharifaAbdul-s3h ปีที่แล้ว

    😮

  • @onnoj9111
    @onnoj9111 ปีที่แล้ว

    Munafiki san mwamke ww eti mama unannn nyoo

  • @w4058
    @w4058 ปีที่แล้ว

    Wanawake wengine tamaa na kupenda jamaa zao

  • @zulekhamkungu5677
    @zulekhamkungu5677 ปีที่แล้ว

    Mashallahu ❤❤❤❤

  • @faizamohamed6993
    @faizamohamed6993 ปีที่แล้ว

    Nice one ❤❤❤

  • @AsiaOmari-g9w
    @AsiaOmari-g9w ปีที่แล้ว

    Masha allah mmng uko sw

  • @maryd1538
    @maryd1538 ปีที่แล้ว

    Mashallah❤❤

  • @ChidyShidozi
    @ChidyShidozi ปีที่แล้ว

    Manshallah

  • @habibamura5255
    @habibamura5255 ปีที่แล้ว

    😢😢❤

  • @aminamuhamed8286
    @aminamuhamed8286 ปีที่แล้ว

    Mashallah 🥰🥰🥰

  • @binthkhamis8042
    @binthkhamis8042 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂a❤❤❤❤❤

    • @Kalssambabo-gv6uh
      @Kalssambabo-gv6uh ปีที่แล้ว

      😅😅😅😅😅😅😅😅 mama anashangaa nyumba mkwe kichambo😅😅😅 eti kunauzima kweli hapa

    • @binthkhamis8042
      @binthkhamis8042 ปีที่แล้ว

      @@Kalssambabo-gv6uh 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @Kalssambabo-gv6uh
      @Kalssambabo-gv6uh ปีที่แล้ว

      @@binthkhamis8042 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @leilasaid3623
    @leilasaid3623 7 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @harusi6391
    @harusi6391 ปีที่แล้ว

    Subhanallaj

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 ปีที่แล้ว

    Nzuri

  • @OmanOman-ky2oo
    @OmanOman-ky2oo ปีที่แล้ว

    Mashallah ❤

  • @RizikiDaffa
    @RizikiDaffa ปีที่แล้ว

    Muendelezo uko. Wapi

  • @bakarihassan851
    @bakarihassan851 ปีที่แล้ว

    Hawa watu c lblis mbona wasifanyie wa2 wa kwao. Vitimbi vyawafika watu wa kwa mume tu

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 ปีที่แล้ว

    Masha ALLAH

  • @najmaomar8897
    @najmaomar8897 ปีที่แล้ว

    Mashaallah ❤🎉🎉🎉

  • @rukiagambere8050
    @rukiagambere8050 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣

  • @aishamwabasi3292
    @aishamwabasi3292 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @alifatema682
    @alifatema682 ปีที่แล้ว

    😃😃😃😃😃

  • @alghareebjim2075
    @alghareebjim2075 ปีที่แล้ว

    Swafi

  • @helenshella6809
    @helenshella6809 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂

  • @umaima1178
    @umaima1178 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭