Ninyi maibadhi makhawaariji mnakufurisha watenda madhambi makubwa kama zinaa wizi na mengineyo hali yakuwa shirki ndo inamtoa mtu ktk uwislaam na taarikuswalaa
Acha uongo UIBADH naujua vizuri UIBADH na maibadhi hawampingi hata swahaba mmoja bali nyinyi ndio mko hivyo na mjue mnapata dhambi kuwasingizia watu hasa waislam jambo ambalo hawana
Hii raddi ya shekh yupi wa kiibadhi
Uongo mtupu
Wewe unamaradhi ya moyo na hutopona na nimuongo mshenzi
Wewe umenyewa na kunguru
Nyie mnaojiita salafi ndo khawarij
Ninyi maibadhi makhawaariji mnakufurisha watenda madhambi makubwa kama zinaa wizi na mengineyo hali yakuwa shirki ndo inamtoa mtu ktk uwislaam na taarikuswalaa
@@shadadiswalehe3997 labda nyie masalafi ndio makafirir
Hayo mnayosema sio kweli ibadhi hakufurishi mtu. Mnaokufurisha watu ni nyinyi masalafi.
Kwa hiyo hivyo vitabu alovyosoma ni vya masalafi?
Kataeni hivo vitabu kua si vyenu
Acha uongo UIBADH naujua vizuri UIBADH na maibadhi hawampingi hata swahaba mmoja bali nyinyi ndio mko hivyo na mjue mnapata dhambi kuwasingizia watu hasa waislam jambo ambalo hawana
كذبت وربي الكعبة
Kwa hivyo unakataa kuwa hivyo vitabu sio vya Makhawaarij wa KI IBADHWI...
Sasa hapo uongo ukowp pamesomwa vtbuvyao yenyewe kuhus itikadzao sasa thibitisha ukweli ulivyo kwa vtbu vyoa kama alivyothibisha mwamba uyoo
Kwaiyo ivyo wataka kutuambia vtbu cvyo ama kakosea kusoma em tubainishie uongowke upo wap hapo
Mana leo tumefikia pahala wakweli ndio waongo na waongo ndio wakweli