@Abuu Twalha
@Abuu Twalha
  • 197
  • 81 130

วีดีโอ

UJUMBE DHIDI YA WANAWAKE WA KIISLAAMU
มุมมอง 3114 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Sheikh Abuu Khauwlah Mbwana Abdi|حفظه الله
HAWA NDIO WANAWAKE WA OVYO NA ATHARI ZA MALEZI JUU WATOTO WAO
มุมมอง 4914 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Sheikh Abuu Khawlah Mbwana Abdi|حفظه الله
HII NDIO MIPANGO YA WATU MAGHARIBI DHIDI YA JAMII ZA KIISLAAMU
มุมมอง 9914 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Sheikh Abuu Khawlah Mbwana Abdi|حفظه الله
YATAKAYOMPATA AMBAE ANAFICHA ELIMU KWASABABU YAMAMBO YA KIDUNIA!
มุมมอง 59หลายเดือนก่อน
Sheikh Abuu Ayman Al-shirazy| حفظه الله
AHLU -SUNNAH NDIO WANOBAINISHA HAKI NA KUWATAHADHARISHA WATU NA MAPOTE YA BID'A
มุมมอง 67หลายเดือนก่อน
Sheikh Abuu Ayman Al- shirazy|حفظه الله
RADD 07 KWA KIJANA WA KISUFI KUHUSU MAULID
มุมมอง 87หลายเดือนก่อน
Ustaadh Abuu Abdillah Fahad Hanneiyn|حفظه الله
RADD 06 KWA KIJANA WA KISUFI KUHUSU MAULID
มุมมอง 71หลายเดือนก่อน
Ustaadh Abuu Abdillah Fahad Hanneiyn|حفظه الله
RADD 05 KWA KIJANA WA KISUFI KUHUSU MAULID
มุมมอง 150หลายเดือนก่อน
Abuu Abdillah Fahad Hanneiyn|حفظه الله
RADD 04 KWA KIJANA WA KISUFI KUHUSU MAULID
มุมมอง 197หลายเดือนก่อน
Ustaadh Abuu Abdillah Fahad Hanneiyn|حفظه الله
RADD 03 KWA KIJANA WA KISUFI KUHUSU MAULID
มุมมอง 40หลายเดือนก่อน
Ustaadh Abuu Abdillah Fahad Hanneiyn|حفظه الله
RADD 02 KWA KIJANA WA KISUFI KUHUSU MAULID
มุมมอง 47หลายเดือนก่อน
Ustaadh Abuu Abdillah Fahad Hanneiyn|حفظه الله
RADD O1 KWA KIJANA WA KISUFI KUHUSU MAULID
มุมมอง 101หลายเดือนก่อน
Abuu Abdillah Fahad Hanneiyn|حفظه الله
HUU NDIO UMRI SAHIHI WA BIKHADIJA ALIPOOLEWA NA MTUME NA SIO MIAKA 40
มุมมอง 2.7Kหลายเดือนก่อน
Sheikh Abul Fadhil Qassim Mafuta |حفظه الله
LILE AMBALO HALIKUWA DINI KIPINDI KILE HALITAKUWA DINI KIPINDI HIKI
มุมมอง 542 หลายเดือนก่อน
Ustaadh Abuu Aqlaan Abdurrazzaq Qassim|حفظه الله
CHUKUWA MAZINGATIO KATIKA JAMBO HILI EWE MWANAFUNZI
มุมมอง 2124 หลายเดือนก่อน
CHUKUWA MAZINGATIO KATIKA JAMBO HILI EWE MWANAFUNZI
MAJIBU YETU KWA TABLIGHI KHATIBU IMRAAN JUU YA SHUBHA YAKE!!
มุมมอง 7425 หลายเดือนก่อน
MAJIBU YETU KWA TABLIGHI KHATIBU IMRAAN JUU YA SHUBHA YAKE!!
May 17, 2024
มุมมอง 1135 หลายเดือนก่อน
May 17, 2024
MPAKA MFUMO WAO WA KUTOKA MATABLIGHI PIA NI BID'AA
มุมมอง 4335 หลายเดือนก่อน
MPAKA MFUMO WAO WA KUTOKA MATABLIGHI PIA NI BID'AA
ASIMAME TABLIGHI AWASEME HAWA KWAMBA SI MASUFI!!
มุมมอง 8065 หลายเดือนก่อน
ASIMAME TABLIGHI AWASEME HAWA KWAMBA SI MASUFI!!
JEE??? YAFAA KUCHUKUWA DINI KWA WATU WA BID'AA!!
มุมมอง 1315 หลายเดือนก่อน
JEE??? YAFAA KUCHUKUWA DINI KWA WATU WA BID'AA!!
MASWALI MAZITO DHIDI YA KUNDI LA MATABLIGHI!!?
มุมมอง 575 หลายเดือนก่อน
MASWALI MAZITO DHIDI YA KUNDI LA MATABLIGHI!!?
FAHAMU AMIRI WA KITABLIGHI NA WAFUASI WAKE WALIRITHI KAZI YAKE
มุมมอง 1155 หลายเดือนก่อน
FAHAMU AMIRI WA KITABLIGHI NA WAFUASI WAKE WALIRITHI KAZI YAKE
NI IPI TOFAUTI KATI YA MWENYE ELIMU NA MLINGANIZI??
มุมมอง 5665 หลายเดือนก่อน
NI IPI TOFAUTI KATI YA MWENYE ELIMU NA MLINGANIZI??
ETI MATABLIGH WAMECHAGUWA AMIRI WAO WA TANZANIA
มุมมอง 3715 หลายเดือนก่อน
ETI MATABLIGH WAMECHAGUWA AMIRI WAO WA TANZANIA
HAWA MATABLIGHI WAO NI FADHWAAILU AL-AMAAL TU SIO TAWAHIDI
มุมมอง 2155 หลายเดือนก่อน
HAWA MATABLIGHI WAO NI FADHWAAILU AL-AMAAL TU SIO TAWAHIDI
HIZI NDIO SIFA ZA ANAELINGANIA DINI YA ALLAH
มุมมอง 2175 หลายเดือนก่อน
HIZI NDIO SIFA ZA ANAELINGANIA DINI YA ALLAH
MATABLIGHI WANA TALBISI MPAKA WANATOWA MAKUNDI YA WANAWAKE
มุมมอง 3705 หลายเดือนก่อน
MATABLIGHI WANA TALBISI MPAKA WANATOWA MAKUNDI YA WANAWAKE
WATU AMBAO WANA KHIANA YA DINI PIA NI MATABLIGHI!!
มุมมอง 805 หลายเดือนก่อน
WATU AMBAO WANA KHIANA YA DINI PIA NI MATABLIGHI!!
WANAMZULIA KUJUZISHA MAULID SHEIKHUL ISLAAM IBNU TAYYIMIYYAH
มุมมอง 1056 หลายเดือนก่อน
WANAMZULIA KUJUZISHA MAULID SHEIKHUL ISLAAM IBNU TAYYIMIYYAH

ความคิดเห็น

  • @TalibAbdallah-e6o
    @TalibAbdallah-e6o 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kasim mafuta hafai kuitwa shekh ni zayuni tu mshenz hyu

  • @ABUUALLYBARWANI
    @ABUUALLYBARWANI 7 วันที่ผ่านมา

    Ewee Allah tuepushe na fitna za ki hashwiyyah ( masalafi vinyagoo ) ewe Allah wadamirishe kama ulivyo wadamirishaa thamuud na aadi na firaaun 😢 ewe Allah hii dini yako hakuna wa kuinusuru ispokuwa wewe 😢hii dini ni yako basi ilinde na fitna za hawa masalafi fekii 😢

  • @Shaa2213
    @Shaa2213 7 วันที่ผ่านมา

    Sauti ni kali na ya ufasaha sana lkn hakuna hadithi iliyotolewa hapo nimabeno tu. Hata mimi naweza kusema Bi khadija ameolwa akiwa na miaka 30.

  • @HuseniChina
    @HuseniChina 8 วันที่ผ่านมา

    Amin

  • @HuseniChina
    @HuseniChina 8 วันที่ผ่านมา

    😂

  • @saidalhinai1131
    @saidalhinai1131 10 วันที่ผ่านมา

    Wewe unamaradhi ya moyo na hutopona na nimuongo mshenzi

    • @AbuuSiiriin
      @AbuuSiiriin 2 วันที่ผ่านมา

      Wewe umenyewa na kunguru

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 11 วันที่ผ่านมา

    Watu wanaomba hoja kwahili, kwenye mawlidi hawaombi hojaa hufanya tuuh,😂😂😂

  • @pillyzubery5031
    @pillyzubery5031 14 วันที่ผ่านมา

    Sheikh leo umenipatia mushkhel wa kutaka kujua tofauti ya Sunna na MubaahU Kwa nini kumuiga bwana Mtume ktk ndevu kuitwe Sunna na kumuiga kwenye nywele kusiitwe Sunna?

  • @SALUMUHABIBUKHAMISI
    @SALUMUHABIBUKHAMISI 21 วันที่ผ่านมา

    Hii raddi ya shekh yupi wa kiibadhi

  • @fadhilimusa9732
    @fadhilimusa9732 22 วันที่ผ่านมา

    Waajabu niwewe usiokua naheshima kichwa mafuta yataa.nilifkir unatoa hata hadith kumbe nimaneno ya porojo halafu unabeza kauli za wengine .unafaa kulamba makofi

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 11 วันที่ผ่านมา

      Sasa ww inakuuma nini kama ikiwa kauli sahihi miaka 28 kipi utapungukiwa nini mpk utukane watu kama hutaki kaaa kimya umri wa bi khadija ww utakupunguzia nini katika dini si upana wa ilmu tuuh, sasa mbona unatokwa na maneno kama yameguswa mawlidi😂😂😂

  • @awadhawadh5895
    @awadhawadh5895 27 วันที่ผ่านมา

    Nyie mnaojiita salafi ndo khawarij

    • @shadadiswalehe3997
      @shadadiswalehe3997 18 วันที่ผ่านมา

      Ninyi maibadhi makhawaariji mnakufurisha watenda madhambi makubwa kama zinaa wizi na mengineyo hali yakuwa shirki ndo inamtoa mtu ktk uwislaam na taarikuswalaa

    • @awadhawadh5895
      @awadhawadh5895 18 วันที่ผ่านมา

      @@shadadiswalehe3997 labda nyie masalafi ndio makafirir

    • @awadhawadh5895
      @awadhawadh5895 18 วันที่ผ่านมา

      Hayo mnayosema sio kweli ibadhi hakufurishi mtu. Mnaokufurisha watu ni nyinyi masalafi.

    • @mohamedsaid1804
      @mohamedsaid1804 12 วันที่ผ่านมา

      Kwa hiyo hivyo vitabu alovyosoma ni vya masalafi?

    • @BinMuru-y2p
      @BinMuru-y2p 5 วันที่ผ่านมา

      Kataeni hivo vitabu kua si vyenu

  • @awadhawadh5895
    @awadhawadh5895 27 วันที่ผ่านมา

    Uongo mtupu

  • @MwanaidiShabani-tr7dt
    @MwanaidiShabani-tr7dt 27 วันที่ผ่านมา

    Baarakallah fikum

  • @bashiromary4897
    @bashiromary4897 28 วันที่ผ่านมา

    Baarakallah fiika Kama wewe imekubainikia manhaji salafi ktk nafsi yako na ukaamua kushikamana nayo .upo ktk heri. Sema alhamdulillah

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 17 วันที่ผ่านมา

      Alhadulillah, kwan dalili ya shekh hapa ni ipi?

  • @AbdulkarimMuhamed-t5w
    @AbdulkarimMuhamed-t5w หลายเดือนก่อน

    Zakallahukhairn sisitunataka tusikie elimu swihihi hawawjuaji hawatakisisi amuche apa anekoseyanini nyinishidazenu munatkamu muyishinkatikagiza pekeyake

  • @mrpeace8419
    @mrpeace8419 หลายเดือนก่อน

    Mpaka hili la umri nalo litie watu kwenye firqa innaa lillahi wa innaa ilaihi rajiun Sheikh mche Allah ilhali watu wanafata qauli iliyokubalika na wanazuoni waache sote twafata qauli hata weye hakuna hadithi wala aya juu ya hili Mche Allah 📌📌📌📌📌📌📌

    • @MudhakirAbdul-x2j
      @MudhakirAbdul-x2j 21 วันที่ผ่านมา

      Sasa hapo furqa inakujaje ndugu acha chuki sikiliza maneno huwezi kufuata acha.

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 17 วันที่ผ่านมา

      ​@@MudhakirAbdul-x2jwalosema 40 wanasema kama alivosema huyu 28 Kwahyo tukiulizwa tujibu kasema shekh qasimu au dalili nini?

    • @hairuismail6456
      @hairuismail6456 16 วันที่ผ่านมา

      Unastahiki maneno magumu sana ebu sikilizia kwa makini. جمع رواة وخط كل بنان

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 16 วันที่ผ่านมา

      @@hairuismail6456 nimesikiza sijaona maegemeo,nipe tuone

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 16 วันที่ผ่านมา

      @@hairuismail6456 mimi sijaona hoja ya kubatlisha miaka 40 we umeipata?

  • @omarimamboleo2634
    @omarimamboleo2634 หลายเดือนก่อน

    Hiki.kijamaa hakina Adabu Baada ya kutuletea ushahidi anatutajia majina ya watu na porojo zake

    • @SuleimanAbdulla-b2g
      @SuleimanAbdulla-b2g 29 วันที่ผ่านมา

      Huna adabu mwenyew mbwa mweus wew shetani mkubwa

    • @fadhilimusa9732
      @fadhilimusa9732 22 วันที่ผ่านมา

      ​@@SuleimanAbdulla-b2gacha matusi shetani

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 11 วันที่ผ่านมา

      Sasa ww masuala ya ilmu katika dini ni mapana, sasa kejeli za nini kama kuzaliwa mtume tuuh, kuna tofauti sasa ww unasema hiki kijamaa unataka kulazimisha lazima iwe miaka 45 mtume kumuowa bi khadija? Ww utakupunguziwa nini utaongezewa nini kama kuna kauli inasema ilikuwa miaka 28 bi khadija aliolewa kwa umri huyo si masihala ya ilmu hayo na ilmu ni bahari kwenye hii dini unaweza kuvibeza vitu kisa ujawahi visikia kumbe ni sahihi vipo,, kwakuwa ww umezoea kuskia bi khadija aliolewa na mtume akiwa na miaka 40 na unalazimisha lazima iwe hivyo ulivyosikia ww hutaki kupokea tofauti za kiilmu mtihani sana waislamu wengi wapinzani unakuta dini hatujasoma hata kuswali mtu unakuta haswali, na hana mpango na swala ambayo ni mambo ya msingi kwake unakuta yakitokea masihala kama haya mtu anapinga ukute mtu hata juzu amma enyewe mtihani kusoma😂😂😂

  • @ShabanHlf
    @ShabanHlf หลายเดือนก่อน

    Mashalla

  • @SaidKombo-b3i
    @SaidKombo-b3i หลายเดือนก่อน

    Kasomeni kwanza , ww unyo dalili ,mpuuzi mkubwa wwee

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 17 วันที่ผ่านมา

      Ukiulizwa miaka 28 dalili ip utajibuje?

  • @SaidKombo-b3i
    @SaidKombo-b3i หลายเดือนก่อน

    Kasomeni kwanza , ww unyo dalili ,mpuuzi mk wa ww ,

  • @SaidKombo-b3i
    @SaidKombo-b3i หลายเดือนก่อน

    Acha dharau , si ushaambiwa ww kuwa kauli raajih , asa ww unaongea nn ,

  • @DianaDesdery-o5t
    @DianaDesdery-o5t หลายเดือนก่อน

    Allah akuhifadhi Sheikh wetu Qassim

  • @AlihamadSaid
    @AlihamadSaid หลายเดือนก่อน

    Mbn mas haba hawakulisema jamb hilii

  • @AlihamadSaid
    @AlihamadSaid หลายเดือนก่อน

    Mie. Ntakupa tu ukweli ww ataukakasirika

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 11 วันที่ผ่านมา

      Sasa matusi ya nini ww ilmu ni pana unalazimisha lazima ulichokiona ww ilmu pana katika dini, kwani wametofautiana hata tareh na kauli za kuzaliwa mtume, sembuse tarehe ya umri wa bi khadija unatokwa na maneno unapandisha na kisukari hii dini ilmu ni pana zaidi, unaweza kuvibeza jambo ujawahi kuskia kumbe ni hakki lipo sasa, ww ikiwa ni ihitilafu ya kuolewa bi khadija mbona hamtoi hasira zenu kwa yule shekh alotafsili quruani kwa matamanio yake akusema mwenge umetajwa kwenye quruani, na alimuandika Allah uwongo ilo mlinyamaza la kusema kwa umri wa bikhadija kuolewa na mtume kuna kauli inasema miaka 28 ni kauli yenye nguvu ww la msingi usome utaelewa so kushambulia kitu usichokijuwa peleleza kwani kwenye vitabu kisha umrudi huyu shekh mbona ninetafuta hamna hiyo kauli sasa unajazba kama mtu anapandisha kisukari kwa kutukana yanini hiyo

  • @AlihamadSaid
    @AlihamadSaid หลายเดือนก่อน

    Kuna Hadith gan iliosema kua mtume kamuoa bikhadija kwamb alikua na miak 28au ulifungisha ww ndoa yao

    • @AsampiMpili
      @AsampiMpili หลายเดือนก่อน

      Tupe hadithi sahihi ya miaka40 sema waislam tuna shida sana usikute hujawahi hata kusoma Hilo andiko Bi Khadija kaolewa akiwa na miaka40 zaid ya kusikia2😅😅😅

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 17 วันที่ผ่านมา

      ​@@AsampiMpilimiaka 40 sina dalili vipi we 28 unayo? Au tuseme dalili ni shekh qasimu mafuta?

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 17 วันที่ผ่านมา

      Natumia akili zangu kwa kuwa shekh nae hajatoa dalili, MIAKA 28 Awe na watoto Awe na kampuni ya biashara Awe jasiri kumtaka mtume Awe anatembea kupeleka chkula pangoni 😢😢😢😢😢😢 Bila dalili shekh SIKUTOFAUTISH NA WASIMULIZ WENGINE Uzuri wa ilm ,itolewe kwa hojja ili mtu ajue shekh kansahihisha ufahamu wangu kwa dalili hiii, Si mipasho tuu

    • @hajimsellemabuuinaam3777
      @hajimsellemabuuinaam3777 15 วันที่ผ่านมา

      Lahaula walakuwata ila billah Tayar keshokupa shekh kasim mafuta Allah tabaraka wataala amuhifadh amekupa ubainifu ya kwamba usipokee maneno tu kwa kila mtu bali pokea kwa watu wa sawa sawa yaan watu wa haqi kupitia hadith za mtume Muhammad swala na salamu ziwe juu yake na ufahamu wa wema waliotangulia Kiufupi kua muelewa kijana inatakaiwa usikilize sauti ya shekh mpaka mwisho usikurupuke kutoa maneno pia namuomba Allah tabaraka wataala akuongoze wewe nasi wote amiiyyn

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 11 วันที่ผ่านมา

      ​@@hafidhwajina6718kama leo unataka hoja mbona kwenye maulidi amtakagi hoja kwa mashekh wenu wanawafunga funga tuuh wanashindwa kuthibitisha maulidi kwa hoja za quruani na sunnah unaomba hoja kwenye umri wa bi khadija 😂😂😂 daah,hoja ya mawlid uombi unafanya tuuh au sabu kuna pilau na masina ya vitumbua mnatembezeana

  • @AlihamadSaid
    @AlihamadSaid หลายเดือนก่อน

    Umeupata wap ushahid huu achasifa unataka ujuulikane kua ni msomi kuliko watu wot

    • @YunusYassir
      @YunusYassir หลายเดือนก่อน

      Ndio yeye msomi na wew leta elimu Yako, acha chuki,

  • @OmaryJuma-zd2nq
    @OmaryJuma-zd2nq หลายเดือนก่อน

    Maashaa Allah, Allah akubaalik

  • @suleimandaudsuleiman
    @suleimandaudsuleiman หลายเดือนก่อน

    25 mtume 28 bi Khadija, kweli

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 หลายเดือนก่อน

    Uwe mkweli lakini kama kawaida yenu yakutaka kuonekana au kusikika basi muogope Allah kwani wanaosema kaolewa akiwa zaidi na miaka 40 nakuendelea wana dalili nzuri tu nanyie sie tunafahamu mmetumwa mkisaidiana na shetwani kuuvuruga uislam

    • @HashimSalim-qj7zn
      @HashimSalim-qj7zn หลายเดือนก่อน

      Pole sana kwa maradhi ulio nayo Allah akuafu

  • @MUHSINSALUM-cc4tg
    @MUHSINSALUM-cc4tg หลายเดือนก่อน

    Unautafiti gani wewe uliokuja kua sahihi kuzidi wa wenzio. Tuachie njaa zako we Bwana

    • @faridfrefre35
      @faridfrefre35 หลายเดือนก่อน

      Acha kuwa na mdomo mchafu ww

    • @babatidaawa6550
      @babatidaawa6550 หลายเดือนก่อน

      Kaa chini soma acha ujinga Sufi wewe

    • @MUHSINSALUM-cc4tg
      @MUHSINSALUM-cc4tg หลายเดือนก่อน

      @@babatidaawa6550 Samahani kwa lugha hii nitayoitumia: Lakini kiufupi. كاتب التاريخ ھو المنتصر. Una uhuru wa kusema kila ulilolipokea. Ila nikwamba hata huyo aliekukinaisha kua: Mtume kamuoa Bi Khadija ana miaka 28 nae pia katumia Dalili Dhwanni tu. Nahawa waliotufikishia kua ni 40, nao pia nijitihada tu. Watu hutofautiana Hata Taarehe ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad swallahu alayhi wasallama. Wako waliosema ni tarehe 8, wengine 9 wengine 12. Hivo shika utaposhika. Kingine unabidi ujifunze lugha ya KIELMU KUA: UNAPOKUA NA MAS'ALA KAMA HAYA YA RAI, Usishaddidie kua Tarehe hizo za Nyuma ni Mash'huri tu, eti uliyoipata wewe ndio Sahihi. تذكر ھذھ القاعدة: "صوابي يحتمل خطأ، و خطأ غيري يحتمل صوابا". و السلام عليكم يا أخي في اللھ.🖐

    • @HashimSalim-qj7zn
      @HashimSalim-qj7zn หลายเดือนก่อน

      Soma acha ujinga wa kuburutwa

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 11 วันที่ผ่านมา

      Ilmu ni uwanja mpana sasa huyu sufi anatokwa na maneno ya nini kutaja kauli yenye nguvu bikhadija kuolewa na miaka 28 ww utakupunguzia nini au kuongeza nini si masihala ya kiilmu mpk utukane unataka kulazimisha lazima iwe 40 ihtilafu zipo mbona hata kuzaliwa mtume watu wametofautiana tareh, na mwezi sasa huyu sufi anatokwa na maneno kama yameguswa maulidi vile, mana ukitaka kujuwa hasila za masufi, kaguse mawlid😂😂😂 watasimama na makoti koti yao kuvimba na mishipa kutetea lakini mtume na maswahaba zake wanatukanwa na mashia uwakuti, kutetea ni watu wa ajabu sana kwenye hii dini

  • @MUHSINSALUM-cc4tg
    @MUHSINSALUM-cc4tg หลายเดือนก่อน

    Acha upuuzi we Kishoka boya mkubwa wewe

  • @AbuuDharry
    @AbuuDharry หลายเดือนก่อน

    جزاك الله خيرا

  • @NASSORMUYUGUMBI
    @NASSORMUYUGUMBI 2 หลายเดือนก่อน

    Hapo tatizo ni nini? Kuchqgua kiongozi, au kunyoosha mikono kama baia', masalafi mngekuwa mmenyooka msingefanyiana vurugu kwa kuitana majina ya hovyo hovyo, kuna mnachovuruga. USHAURI WANGU KWENU NI: EM FANYENI TATHMINI VIZURI JUU YA NAMNA MNAKWENDA, HUENDA MKAJA VYEMA ZAID

  • @athaum05
    @athaum05 2 หลายเดือนก่อน

    Poleni zenu kwa mateso myapatayo Sisi kimya kimya Tunasonga kwa uwezo wa Allah

  • @HoseniEliya
    @HoseniEliya 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallh

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 2 หลายเดือนก่อน

    Hadithi ya mtume haidanganyi kwa usomoji huu hakika masalafy ndio makhawaarij Mtume alitabiri usomaji wao wakisoma tutaona sisi ni takataka Jahili huyu anavyo soma huwezi kuwa kama ni nyamwezi mla ugali na mihogo

    • @HamisMhesa
      @HamisMhesa 2 หลายเดือนก่อน

      Ww kisomo kimetulia hicho acha chuki zako

    • @hamisiirunde8530
      @hamisiirunde8530 หลายเดือนก่อน

      Wewe Jahili kubwa sana huwezi kupata msomaji kama huyu Mashallah

    • @HassanJamada-pf4jt
      @HassanJamada-pf4jt หลายเดือนก่อน

      أعوذ بالله من الحقد والحسد، ومن شر حاسد إذا حسد

    • @arashi1488
      @arashi1488 21 วันที่ผ่านมา

      @@HassanJamada-pf4jtآميــــــن

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 10 วันที่ผ่านมา

      Mtoto wa kike halafu una husda.

  • @MohamedAlly-dq2rl
    @MohamedAlly-dq2rl 2 หลายเดือนก่อน

    Hatamimi najuta kuchelewa

  • @HassanHamad-rf9tq
    @HassanHamad-rf9tq 3 หลายเดือนก่อน

    Qassimu mafuta una usulubu mbaya Katika kuwakosoa watu unakosoa watu kwa kuwa kashifuu wewee na Abdallah dilele na huo sio usulubu mzur jirekebishe

  • @HassanHamad-rf9tq
    @HassanHamad-rf9tq 3 หลายเดือนก่อน

    Qassimu mafuta una usulubu mbaya Katika kuwakosoa watu unakosoa watu kwa kuwa kashifuu wewee na Abdallah dilele na huo sio usulubu mzur jirekebishe

  • @ABUUALLY-ch5jr
    @ABUUALLY-ch5jr 3 หลายเดือนก่อน

    Nyinyi ndio munowajadili waislamu wenzenu hamuna kazi ya kufanya kazi yenu fitna na ufisadi na kupandikiza chukii ndio kazi yenu hamuna jipyaaa

  • @FadhiliAlly-fy2tx
    @FadhiliAlly-fy2tx 3 หลายเดือนก่อน

    Mashekh achen kusemana na kujiona baadh yenu mko sawa kuliko wengine huo ni ushetan mbalike

  • @twalibsaid2614
    @twalibsaid2614 3 หลายเดือนก่อน

    Ikiwa kuswali karibu na kaburi ni makosa basi usiende kuhiji maka kwani alkaaba imezungukwa na makaburi ya mawalii na mitume .msikiti wa mtume maka ndani ni kaburii la mtume .na ukiswali huswalii kaburi . Tia akili

  • @azizaj776
    @azizaj776 3 หลายเดือนก่อน

    Mafuta pumbavu unawadanganya sana watu - InshaAllah Jahanam muwe makazi yako MILELE - AMEEN WEWE BADALA YA KUHUBURI UMOJA AMBAYO NDIYO MSINGI WA UISLAMU WEWE UNAHUBIRI UTENGANO AH!!!!!!!’ LEO WEWE MOLA MTUKUFU AKUACHE SALAMA KWA UTENGANISHO WAKA HUOOOOO HAPANA JAHANAM INAKUJUSU AMEE.

  • @azizaj776
    @azizaj776 3 หลายเดือนก่อน

    Mbona ikikadi ya kiwahabi ni ya Jahanam moja kwa moja

  • @azizaj776
    @azizaj776 3 หลายเดือนก่อน

    Pumbavu Mafutaaaa unalazimisha utukanwe na nitakutukana kweli maana hujui unalazimisha unajuw PUMBAVU MWILI MZIMA

  • @azizaj776
    @azizaj776 3 หลายเดือนก่อน

    Nani akujadili ewe mnafiki

  • @azizaj776
    @azizaj776 3 หลายเดือนก่อน

    Mpumbavu , mjinga Mafuta bila kuitaja USHIA msenge Dawa yako haijakamilika MNAFIQ , MZANDIKI MKUBWA INSHAALLAH FINARI JAHANAM - AMEEN🤲🤲🤲🤲

    • @abuumuhammad8714
      @abuumuhammad8714 14 วันที่ผ่านมา

      Naona kisu kimegonga mfupa umeamua utukane

  • @ABUUALLY-ch5jr
    @ABUUALLY-ch5jr 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂kwanza rekebisheni akida zenu za kikafiri mulizo kuwa nazo za kusema mungu anamikono na anamiguu na hushuka kwenye Alqaaba 😂 halafu tena mukosoe maibadhi .unajitesa buree hakuna madhehebu yenye haki na dalili madhubuti kama madhehebu ya kiibadhi ilikuwepoo tangu enzi za maswahaba kamla huyoo imamu wenu wa hambal hajazaliwa 😂😂 na ndio maana huwakuti maibadhi wakakaa wakapigana raddi wala kukufurishana hii yote inaonesha wazi kwamba maibadhi ndio madhehebu bora ulimwenguni ,watu wa baatil hujiona katika hakii ndio maana hamuishi kugombana na kutoana kwenye usalafii 😂😂😂😂 yaani munafedgeheka sana na Allah atafichuwa unafiki wenuu mumejivesha vazi la usalafi lengo lenu kudanganya watu

    • @ABUUALLY-ch5jr
      @ABUUALLY-ch5jr 3 หลายเดือนก่อน

      Unataka kuyaleta mambo ya tokea enzi za maswahaba na wakati hawapo tena duniani !!😂😂 Kama sio kichaa basi unawazimu ! Jadili ya Sasa sio yalopita kama makosa ya kibinaadamu yamefanyika kipindi Cha maswahaba yote Yale yalotokezea munataka kuyarejesha tena katika zama zetu hizi waislamu kugombana na kuchukiana na ndio lengo lenu kugombanisha waislamu Leo 😢Cha kusikitisha utamkutia muislamu hasemi na muislamu mwenzake ety sababu ni madhehebu zao tofauti kama sio upumbavi kitu gani ?

  • @FatumaNuru-g9z
    @FatumaNuru-g9z 3 หลายเดือนก่อน

    I am salafi

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 หลายเดือนก่อน

      Salafi hawakijikweza na kejeli kama ninyi leo waliishi vzr ninyi bado jadida tuu mwendo wenu upo mbali na salafi bado sanaaa mnawasingizia masalafi swalehe na kuwaxhafulia jina

  • @AhmedAli-gh1lm
    @AhmedAli-gh1lm 4 หลายเดือนก่อน

    Allah awaangamize wote waliohusika katika kumuua mjukuu wa Mtume (saww)