Wallaahi kwa Aya hizo,nawafikiria sana Wasaudia/Wakuu wa Saudia na ule upenzi walio nao kwa Marekani,dah!!nawaonea huruma mno, Maana wameikumbatia dunia KULIKO akhera,hembu angalia wanavyowashambulia ndugu zao huko Yemeni na kwingineko,wakijipendekeza kwa Muamerika (Kafiri)Trampo ndo rafiki yao.HawaWasaudia //Watawala,na mawahabi wote ni wanaafiqi wa Motoni.
A\alykum warahmatullah wabarakatuh.. waislam wenzangu naipenda sana hyo dua ilio anza kabla ya tafsir ya quran tafadhali nisaidien kwa njia yeyote niweze kuipata na Allah atakulipa juu ya hilo inshaallah..
Allah akupe salama, subila na uvumilivu ln Sha Allah 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻❤️❤️❤️❤️
MashAllah Allah hakupe umri.
Allah akulipe kheri hapa duniani na akhera akakulipe pepo ya firdausi
Mungu akulipe mema na wote wale mulozulumiwa pamoja ziki muzipatazo iwe ndio ufunguo wa pepo insha allah
Asalaam alekum sheh wetu mola akulinde naakupe umri mrefu uzidi kutupa elimu ya allah
Yaa Allah (s.w) mfanyie wepesi huyu shekhe wetu na wenzake...na uwabashirie mema.
Allahumma amiin
Wallaahi kwa Aya hizo,nawafikiria sana Wasaudia/Wakuu wa Saudia na ule upenzi walio nao kwa Marekani,dah!!nawaonea huruma mno, Maana wameikumbatia dunia KULIKO akhera,hembu angalia wanavyowashambulia ndugu zao huko Yemeni na kwingineko,wakijipendekeza kwa Muamerika (Kafiri)Trampo ndo rafiki yao.HawaWasaudia //Watawala,na mawahabi wote ni wanaafiqi wa Motoni.
The
Mashaallah Allah awape subra masheikh wetu na awajaalie watoke kizuizini walipo amiin amiin thuma amiin
mwenyezimngu mjaalie kheri sheh wetu uko alipo,inshaallaah umma amiin
Mashaallah
innallah maaswabalinah...Allah awajaze subira mashekh wetu hakika yeye muweza na mshindi hakuna anayeweza zaidi yake yataisha tu
Amiiin
Asalam Aleikum.Ma Shaa Allah.Sawasawa wasiofuata wamepotea na wameangamia sadaqta.
Utakuwa mfalme peponi insha ALLAH
ALLAAH akufanyie wepesi inshaallaah
jazzakhalahu khairn Allah akupe siha tele
mungu atakulinda shekhe
Allah akulinde na kila Shari
allah akufanyie wepesi huko ulipo inshllah
Amiin
A\alykum warahmatullah wabarakatuh.. waislam wenzangu naipenda sana hyo dua ilio anza kabla ya tafsir ya quran tafadhali nisaidien kwa njia yeyote niweze kuipata na Allah atakulipa juu ya hilo inshaallah..
allah akulinde umepitia mitihan ya masahaba allah kakupenda utayakuta pepon jnshallaa
Tumefahamu Laila Haila Allah Akbar Allah Akbar Allah Akbar.
Alhall atakusameheni
Allah akujaalie subra ushinde mitihan iliyo mbele yako
amiin amiin kwa mawaidha mazur,
mungu mulinde na mabaya shehe wetu maana katika mashehe tz huyu ndo shehe si wengi wao wababaishaji maana hawatusomei aya kama hizi,mungu atamunusuru
Sheikh mselem Allah akupe wepsi huko ulipo
Mungu akufanyie wepes kwenye magum unayo pitia sheikh
Uamsho,mashehe,wakubwa,kuriko,wabakwata,mungu,warinde,uko,jera
Mola awafanyie wepesi nauliza bado hawajatoka mashekhe wetu?
Bado
Makafir WA nchi hii mnawaweka jela masheikh wetu bila kosa kisa tu ni wana misimAmo ya dini sahihi lkn makafir nyie mtakuwa kuni za jehanamu
Abuu Mansur kabisa all akhee lakini uwetu kumbu kumbu kua hawa hayahud namakafiri hawa allaah asema hawatokuaradhi mpakasisi tufate milazao
hawa makafiri wametufichia watu muhimu kwetu ira uzuri wenyewe wote tunakufa tutakutana kwa arie tuumba
Tunaitaj kuzidanlwod lkn.zinakataa