MKE WA KATIBU WA MASANJA AIBUA JIPYA ASEMA “NDOA YETU INA MIEZI MITATU”

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 23

  • @hildajoel5
    @hildajoel5 2 ปีที่แล้ว +2

    Hawez kupumzika kwa amani wakati kajinyonga, neno la Mungu unalijua vizur hamna aman hapo ni kuungua mwanzo mwisho. Mwenyez Mungu atupe mwisho mwema

  • @nantaembanusurupia5674
    @nantaembanusurupia5674 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole Mama wajane tupo wengi, ila wewe ni mdogo sana🥲

  • @ashurahaji4794
    @ashurahaji4794 2 ปีที่แล้ว +1

    Inamaana mkewe hakumpenda alimpenda mke wa mwenzie

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 2 ปีที่แล้ว +5

    Sio kweli bana atakuwa alinyongwa

    • @veroedward8822
      @veroedward8822 2 ปีที่แล้ว

      Aliona zile picha za ngono mbaya imevuja akaona bora aondoke kama mtu unaakili unaelewa

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 2 ปีที่แล้ว +2

    poa wacha aende mimi.ntamfata Naomi niwe nae

  • @gospelextramusic6734
    @gospelextramusic6734 2 ปีที่แล้ว

    Only God know..

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 ปีที่แล้ว

    Jmn😓🤦‍♀️pole sana

  • @joycefrances4516
    @joycefrances4516 2 ปีที่แล้ว

    Mme wa mtu amtake mke wa mtu Tena kwa nguvu na kusema anajinyonga,huyu Mme alikuwa mzinifu,biblia inasema mshahara wa dhambi ni mauti,angeeshimu ndoa yake,na mkewe,kumbe alikuwa anamzunguka masanja kwa uzinzi wake ndio mshahara huo,inaonekana alikuwa i muharibufu wa ndoa za watu Mungu akamuondoa,khaaa

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 ปีที่แล้ว +1

    😓

  • @ednajeremiah928
    @ednajeremiah928 2 ปีที่แล้ว

    Tumechoka na hii habari huyo mume alikuwa akupendi naomi

  • @expert5898
    @expert5898 2 ปีที่แล้ว

    Huenda aliuliwa

  • @tunajaribu
    @tunajaribu 2 ปีที่แล้ว

    Mungu amfanyie wepesi jamani, na wale walioboreka wapite kwangu tuchangamshane

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 ปีที่แล้ว

    Wadogo sana Masikini 😓

  • @petermwalongo7592
    @petermwalongo7592 2 ปีที่แล้ว

    Mmmmmmmmmh

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 2 ปีที่แล้ว

    Ka mume kake kalikuwa ka snitch, acha kafe tu