PATANISHO : FLORA SI UNIPENDE ILI NIWEZE KULA UGALI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ย. 2024
- Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya #patanisho #gidinaghost
Subscribe to RadioJambo TH-cam - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220
Sinipate tu mtu wakunipendeko hivi 😂
Kuja tujaribu
Kam tujaribu
🤣🤣🤣
Here i am
😆😆😆@ Linet wa Harrier
Mandela bro. Plz jipende b4 upendeko mtu mwingineko
Ukioa bibi mwenye anakushinda na miaka ni tricky ."wengi" huwa wajuaji ama wakorofi in short huwa hawaambiliki...
Ukiachwa achika and move on
Mbona hii Sauti inakaa ya Nuru Nganga
Gidi na Gost mlipotea kwa mitambo since last year,pande za machakos masinga plz we miss you do something
Henry enda ukae kwao 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣
Si Mtu ajitole anipendeko tu hivi 😂😂😂😂
Kuja
Niokotwe kakamega 🤣🤣🤣🤣🤣
Aki mapenzi wewe nikikupata ntakunyoga 🙄🤣🤣🙌
🤣🤣🤣🤣 Henry amependa mpaka ameoza jumla khaa🙌🙌
Aki Boe chyld hey mungu usifanye mtoto wangu anje kuchoshwa hivi n
😂😂😂Flo toka kwa damu ya wenyewe
hii nayo ni hatari
😂😂😂Am already in 2024 I can't manage 2023 yawa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂mapenziii💃💃
🤣🤣🤣🤣🤣 mapenzi mapenzi mapenzi how many times have I called you?🤣🤣
Najitolea kufundusha kiswahil kwa watu wa Kenya ambao kinawapa shida
Mapenzi ndio inatupa shida...kiswahili ni kitu kidogo huku😅😅😅😅😅😅
mapenzi ni ngori
Hata natafuta mtu wa kunikufia hivyo niwe nimemwacha kiumri
,😁😁 aki mapenzi wewe☺️
🤣🤣🤣🤣🤣
Hi
🤣🤣
this dude is very dangerous. he may track down this lady and harm her.
Mtu mwenye amewachwa na hawachiki, huyo.. No no no
Henry nimekuhurumiako....haki ukuleko chakula kiendeko kwa tumboko...
🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣ashipeko
Hahaha mapenzi
Love is blind gidi
🤣🤣🤣
4yrs sio neno! Niliona Kwengine mvulana wa 25yrs ameoa ajuza wa 85yrs na wameishi Hadi ame adopt watoto 2.
Kwa hivyio Henry Osanko aka Nelson Mandela play your card well.
😀😃
🤣🤣🤣🤣🤣 kwani matusi ilikua dose?
Huyu jamaa🧟🧟🧟
🤣🤣🤣🤣🤣love is stupid
Henry ni simp😂😂😂💔
Uyo kijana hayuko criac na ndoa
Tafuta riKa lako kijana ama utafute sugar mama maana hutaki kulea
Weee ni kunoma aki anatamani akule ugali mluhya na ugali
😅😅😅😅😅😅
Gidi na Gost mlipotea kwa mitambo since last year,pande za machakos masinga plz we miss you do something