Their voices are soo deep down far away, but patanisho ya leo was very hilarious, 😂😂 ghost nimekusaidia kucheka, some men stop drinking too much and be responsible
Gidi na Ghost please his sio yakucheka tafuteni Steve simple boy kwa haraka.Akuje amwimbie wimbo wa vijana tuache miataradi plzz stivo simple boy kam hapa haraka .Mtu anataka kubadilishuwa
My best favourite radio station l like Gidi and Ghost then my main man in football Mr Fred Arocho na kocha wake what's kamala mbuyu kindly help me get this guy Arocho
Ghost aki puguza kicheko,, linet rudini home,, patanisho ya leo imetuma nicheke yagu yote,,, mwangi na linet mnapeda kabisa lakini wacha dom,, ama shas😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
Tusiende mbali Huyu anamanisha yeye akilewa uanguka adi analamba vumbi kukiwa kuminyesha anajipaka matombe adi akifika kwa Nyumba wawezi elewana ata kidongo
Gidy kwanini huyo jamaa ulie nae hapo pembeni anacheka Kama mwanamke Kama yuko Bar Kama siyo mwanaume mwambie ajiweke Kama mwanaume alie Soma siyo bwege
Gost grow up!! Unacheza kama mtoto aje. Man up. Akuna kitu ya maana unachekea.Usichekee shida ya mutu. GIDI is acting mature kukushinda aje. Ama ako kwa show na mtoto. Man up Gost pliz
I'm glad that now we as the audience have the visual aspect of the show..
Kuona akina Kamau, Njoroge, na Mwangi Patanisho ni ngumu lakini wakikuja, ni moto sana
Nani anacheka na patanisho Leo kama mm my favourite station❤
Mwangi wachana na pombe kabisa. Ukiambia bibi enda ataenda na umtafute. Heshimu ndoa mwangi muishi poa. Respect
Their voices are soo deep down far away, but patanisho ya leo was very hilarious, 😂😂 ghost nimekusaidia kucheka, some men stop drinking too much and be responsible
I just discovered Patanisho and i am hooked. Ghost and Gidi, big up guys.
I support hiyo kipindi ya patanisho sana hata naeza nkajelewa kuenda job lakin nwazikize kwanza hadi mkamalize hicho kipindi sana
aki kikuyu men hahajui kupebeleza mimi ni msapere nawajua sana but mwangi wewe ni comedian yaani uko na kufuli sana
Notification gang 💪💪aki vile tunangojeanga hii show
Gidi na Ghost please his sio yakucheka tafuteni Steve simple boy kwa haraka.Akuje amwimbie wimbo wa vijana tuache miataradi plzz stivo simple boy kam hapa haraka .Mtu anataka kubadilishuwa
Kabisa
Hahaha haha
@@mumblessed001 Au vipi acha kucheka
@@grahamjuma3937 Very true aukowe kizazi cha kesho
@@sweetmumwake9729 kabisa sweet mum
Mwangi ako very romantic, aki mungu si unipatie ka huyu Wa ndom, bora asiwe ananichapa.
Hahahahahah
@@stellahmiles2369 swrthrt kati ya Wa kukuchapa, na Mwangi utachagua nani???
@@roselineawinja6604 hahahahah akuna hata bora uhai
@@stellahmiles2369 👍👍
🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄
Kali sana
Hi sis
Ghost 😍😍😍😍🔥🔥🔥🔥😍😍🇰🇪
Waaaaaa patanisho ya leo hongera huyu jamaa yawa amechoma dom kweli kweli
Hii mambo haitaki asira aky ghost hio kicheko 😂 😂 😂 😂 noma Sana 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 ndoa iko na shinda. Raha kweli
Lynette run kabisa🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃
Akh ghosht ...hiyo kicheko imeweza
Patanisho live it's too beautiful. Hiyo kicheko yawah si ningepata mmoja kama hawa😘😘😍😍
Patanisho ya Leo vituko mtu wa kwanza kwa kupatanishua nakujiweza wazi anatumia ndomuuu🔥🔥🔥🔥🔥kwanza ile ya Ethiopia ndio anatumia nanikali sana amesema
Wakwanza leo
Agnes plzz nirudishie number yangu
Ndio kufika nikiwa hapa hamamu niko number 2 ..2 friends wamepata number 1 😅😂😁😀😁😅 .Mm one imenipita
🤣🤣
@@leilaadaza9858 Hahaha mambo✋✋✋
wakes poa unalegeza ukiwa hamamu ama matbakh
@@leilaadaza9858 Nilikuwa hamamu my dear
Waha shamba lol hii patanisho nitamu leo🤣🤣🤣🤣🤣
Hii patanisho inanimbamba nikiwa lebanon sana🤣🤣🤣ghost tucheke tuishi miaka momb
Loving the show
Jamani hii nayo noma wacha nisaidie ghost kucheka😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂waaaah.Baba njoronge uko na mambo.
Interesting patanisho today.
My favorite station 😍😍😍😍
😝😝😝😝😝😝basssss hapo sawa ndio tuone vile Ghost huwa anapasua kicheko
Gidi god job jambo me Linet hahah, 100% wowi Nsaw 2
Patanisho bila ghost. Is notcomplete 😂😂😂😂😂😂😂
Mwanzo sound so romantic
Aki, gidi na ghost mungu anawaona... 😂 😂 😂.. Breaking my ribs... Aki
Hii patanisho nimeiishi kuitafuta
My best favourite radio station l like Gidi and Ghost then my main man in football Mr Fred Arocho na kocha wake what's kamala mbuyu kindly help me get this guy Arocho
Search for OMERA KENYAN COMEDIAN
Baridi mingi
Ghost yawa...hio kicheko iko juu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hii ya Leo imekua drama c patanisho baba njoro enda tu ukachukue wife inakaa baba njoro acha hio mihadarati plz
Bba njoroge perepere uache
Patanisho ya Leo ilikuwa poa sana nasikiza nikiwa Kuria kehancha
Leo mbavu za watu zinavujika nikiona tu
Ghost Leo nikaona vile huwa unacheka😂🤣🤣
Thanks sana now I know who's Gidi n Ghost
Waaass hahaha
Hii kuwatch live inanipendeza sana...inanipa raha kabisa...leo ghost nmekusaidia kucheka .
Hahahaaa kumbe Gidi huo anajeka tu ivo jini ya Maji!!!??😂😂😂
Kicheko cha ghost imeenda shule😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ni ana cheka sio 'anajeka',chini sio 'jini'
Nisharudi aasanteni😍😍😛
Leo ni wanjoroge 🤣🤣🤣
Hi dear habari za masiku
Alafu huyu waNjoroge ako fothe
@@carosmwongela7294 ww umepotelea wapi
@@roselineawinja6604 aki🤣🤣🤣🤣
@@agneswanjihia1383 niko mgojwa aki
Gidi na Ghost muliambia wangu mtamuita afanyiwe uchunguzi...hamukumuita ikasindikana nikajitoa sai 5yrs hatujaonana nlijitoa roho safi
thanks gidi good jobu
Ya leo nayo😂😂😂😂😂😂
Hapa kuna upendo wa dhati
Aki Ghost na kicheko ulibarikiwa
Oriena Yaya 🖐️😂😂Unafaa upewe zawadi umefika mapema leo😂😂😂😂
Inafaa iwekwe kwa ringtone
Gidi akicheka huwa anatingishika tingishika ,hataki kutoa sauti kama Ghost.😁20.09.19.
Huyo baba njoroge amekuja patanisho kama amekunywa chang'aaa😂😂😂😂
Sisi wenye tuko mbali tunategemeaga TH-cam upload we are not lucky since the conversation is not audible. Old version is the best Giddy it's audible
hizo vitu me husikia mkila studio pia muzieke live! hehe
Sound is not good but big up guys
Happy to c unguy
Gidi na Gost mko poa sana.
Ndoa ina 5 to 7 yrz watoto 3, 2 kids in boarding school how old is the fast born? sawa bt huyo jamaa leo amewakilisha wa kikuyu pia ku join patanisho
@GLORIA MREMA may b kuna mke wakwanza
Kkkk Gidi good job jambo me Linet No No 100% @
@GLORIA MREMA Maybe ni 17yrs haha si 7yrs
@@kemuntomk7739 sikliza 3:23 & 12:31
😝😝😝😝😝akii a mungu Gost unachekesha n hiyo kicheko
Hahahaha
Aki mimi sijaskia anything....
Radio jambo mnafanya kazi nzuri ntawa'sherekelea kama hero station on 20 October
Haki Gidi n ghost mungu anawaona
Mwangi anabambisha xhow
Udaku siku hizi nitamu!!!!!
Sauti iko down jo
😃😃😃😃 nomaa
Chali madom anajielewa woishe Linet rudi home
Jamani Leo hawa watu ni born Tao Kiswalili yaho ..Gidi na Ghost wanakufa kicheko jooo
good job..
Hatukuskia chochote leo
Hakuna kitu nimeskia lakini nitacheka tu juu ghost na gidi wanacheka 🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂🤣😅😅😅🤣😂🤣🤣🤣👏👏👏👏😅😅🤣😂😂🤣
Huyu mwanaum mwangi ni comendian, Gidi na ghost wacheni kucheka, Haki nyinyi mnaeza Fanya mtu alie,
Sauti za wenye kupatanishwa ziko chini saana pliz 🙏 Gidi na Ghost c mrekebishe hapo.
😂😂😂😂 mbingi siku hio haikutoa mbegu 😂😂😂😜😜
mapenzi yanarun ndunia
Ya leo kwangu sio patanisho ni comedy
muiruri wanjira 😂😂😂😂😂
😂😂
Ghost aki puguza kicheko,, linet rudini home,, patanisho ya leo imetuma nicheke yagu yote,,, mwangi na linet mnapeda kabisa lakini wacha dom,, ama shas😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
mgeacha ile format ya kitambo - kweli saa hii tunawatch lakini sauti ni mbaya
kimutai ruto nikweli nakuunga mkono
Huyu mwanaume anabishana Kama my bae ataki kushindwa mnafaa kununuliwa bra na kilemba
Waaoow
Sauti hakuna kwa mwangi.tafadhali tengenezeni hiyo microphone
Tusiende mbali Huyu anamanisha yeye akilewa uanguka adi analamba vumbi kukiwa kuminyesha anajipaka matombe adi akifika kwa Nyumba wawezi elewana ata kidongo
Sauti ya fone calls iko chini sana
why are you forcing hii patanisho hata hatusikii uhondo!
Sound of callers very poor!
nikondani
Enyewe gidi SHASH nae upeleka mtu teke yawa,, usilaumu baba njoro, ata mm natumia
Kevin shash ni nini aki
@@serahkibunja6221 bangi
@@maynatwofivefour6042 ohhhhh sawa sawa
Anakula mt kenya
Ghost uko na umama sana hyo kucheka yko inabo😏😏😫
Gidy kwanini huyo jamaa ulie nae hapo pembeni anacheka Kama mwanamke Kama yuko Bar Kama siyo mwanaume mwambie ajiweke Kama mwanaume alie Soma siyo bwege
Acha ujinga we like him that way
Leo patanisho niya kina nani nangoja jibu
Wasapare, Mwangi na linet
Wasapere sorry
@@roselineawinja6604 ata mwangi wanapatikana kwa patanisho
@@RoroRoserororo darling ni kila mahali, usidhani ni western pekee😀😁😂
@@roselineawinja6604 ckuna msamba mwingine uanasema patanisho niya niya waluhya
😂 😂 😂 😂 😂 😂
Gidi 😂😂😂😂966
Nko ndani 974🤣🤣🤣
Gost grow up!! Unacheza kama mtoto aje. Man up. Akuna kitu ya maana unachekea.Usichekee shida ya mutu. GIDI is acting mature kukushinda aje. Ama ako kwa show na mtoto. Man up Gost pliz
Ghost always wait on something funny....ndio acheke yake yote....
Kicheko ya ghost ndio unasikia pekee
Njoro ,mwangi na kamau pia wanapatanishwa Mimi hudhani wafula na wanyama coz ya ugali kwani muthokoi imefanya wololo!! Gaimwathani:
Ukabila pia iko ppande hii
Ghost wacha kucheka hivyo
Lakini ghost we ni mbaya kweli hivo nikucheka tu