@@salimmalaka256 brother tumezungumzia mpira Vipi hapo unamtaka Mwenyezi Mungu ...Kwani Nani asiye juwa kuwa Mola mfalme wa wafalme...Lakini hivi sasa tunaongeleya mambo ya Michezo na Yanga wanavo mzalilisha Feisal na wema na fadhila alizo wafanyia nyingi na Leo wanavo mfanyiya...Tafadhali turejee kwenye mada yenyewe...
Mama Fei amepata unaarufu gafla ha ha ha dah kweli yanga kubwa
Dah mama fei atakuwa anajuta but nifundisho kwa wote kwamba kuwa makini sana na vyombo vya media kabla hujaongea nao jipange utakachokiongea
Watanganyika kwlie mitambooooo💯👌
Acha kututusi
Hahahahaha ugali na sukari mbona mtamu halafu bamboo utavunja heshima yako siku so nyingi kumsema mtu kababuka mdomo hapana acha hizo
Yanga mukifanya hivo munawatisha wachezaji kusaini mikataba mwingine..Fadhila haziozi...au wema hauwozi...Ingawa kukataliwa ni kubaya.
Hahahaha ugali sukari utopolo bana
Kweli bambo yaani ali kamwe hata miaka 2 hana
😂😂😂jamani bambo ushindwe kumuita jembe tegemezi mdomo kubabuka
Hahahhaha
Bambo hao ndiyo yanga dhihaka kwa kawaida
Kweli.yangu.kweli.wehu
😂😂😂 bamboo
Kanumbamoves
Mbona mama Feisal kaongea vzur tu ndio ujue utopolo akili awana Manara alisema utopolo wote akili awana kasoro kikwete na baba yake waliobaki amnazo
Ni hamnazo tupu
Sasa wewe unaona manara Yuko wapi Sasa hivi
Ww una Akili au miemko inakusmbua acha ushaki mandaz
hakuna mtu mpumbavu ambae amefeli mawazo kama wewe
Et sema huyu KoLo kafel si anaongelea kishabiki
Ugali kwa sukari dili..
Nimejaribu Ugali Na Sukar Mtamu Balaaa...
Hata wali kwa sukari ni mtamu .
Hata kande kwa sukari ni tamu.. .uji kwa sukari ndo pake kabisa
KANJIBAI WE MISS YOU
😆😁😄😄
😍
Acheni ujingoo hahaha
Hahaa
Jamani Yanga ni kubwa ...acheni ushabiki kumbukeni ubinaadamu na uungwana alio kufanyieni miaka yote....
MKUBWA M'MUNGU SIO YANGA
@@salimmalaka256 brother tumezungumzia mpira Vipi hapo unamtaka Mwenyezi Mungu ...Kwani Nani asiye juwa kuwa Mola mfalme wa wafalme...Lakini hivi sasa tunaongeleya mambo ya Michezo na Yanga wanavo mzalilisha Feisal na wema na fadhila alizo wafanyia nyingi na Leo wanavo mfanyiya...Tafadhali turejee kwenye mada yenyewe...
Brother soma vizuri nini tunacho ongeya Bila kuchanganya mambo kwani Nani aliye kwambia kuwa Mola sie mkubwa..?
@@saidmoussa909 KWA HILO SAWA ILE TIMU YA WASHENZI HAWANA USTARABU WANATAKA WAPEWE CHA PEMBENI WALA RUSHWA HAO.
@@saidmoussa909 HALAFU HATA KIMPIRA RATIBA YA CAF WAPO CHINI SANA MDOMO 2 MITANDAONI.
😂😂😂😂😂
😂😂
😂
😆😆😆