Chama aende kwani yeye simba inaweza bila chama kikubwa tunawaomba viongozi wetu watuachie kocha wetu juma mgunda atutaki kocha mwingine naselemani matora nae apewe thank you alafu kocha wetu mgunda aletewe msaidizi mwingine
Jamn na aende hawa ndo waliotuhujumu kwenye zile tano. Tukiendelea kumng'ng'ania atazid kutufelisha .viongoz nawaomba watujengee tim bora chama nenda utakapo baba ila siyo simba please
nini chama kaondoka mtoto wetu mkude tena wa kumzaa sembuse uyo mtoto wa kambo mwache aende chama nani kaseja okwi ajibu amisi tambwe na wengitu mwache aende tena fasta
DAAAH KUNA POINT HAPO YA MAANA NIMEIKUBARI!!!!!!! AMBAYO NI----"WAANDISHI WANATUKOSEA HESHIMA SIMBA---" YAANI HY NI KWERI BILA CHENGA! waandishi wanatoa hoja za kijinga sana kuhusu SIMBA 😅😅
GSM hadhamini madunduka na bado mkapigwa goli 7....acheni makelele tengenezeni timu...Azam anadhamini ligi nzima ila bado Yanga bingwa acheni visingizio
Mna ukubwa gani hata nusu fainali CAF....baada ya chama kusepa mmekuja ni kwamba amejisafisha mwenyewe maana timu yenu ilikua inamchafua na matokeo mabaya
Yan wachambuzi wabongo ni hovyo sana nani alimju chama kabla yasimba kumleta tz achen propoganda kuangalia mnchokipewa simba walikuja wengi na wameondoka iwechama ss siokama wale waliochoma jezi ss niwaungwana sana chama aliitumikia simba namudawake umeisha tafuten mengine haya yachama yatawapotezea muda haswa ww baamed imetumwa ww sio mwandishi ww nichawa
Wewe una mtaja mama wetu ana husika na nn wacha upumbavu usa your brain sisi tunaogea mambo ya mpira Samia ame tokea wapi kama huna story shut up your mouth
Ooh Yanga hawana hela ya kumnunua chama sijuwi kibu haya kiko wapi?? Tajiri kavaa hadi taulo kama kipindi kile lakini wapi mpunga haujatosha...chama kashusha hadi dau lakini wapi. Tushajua sasa kumbe GSM ndiye tajiri wa ukweli...chama kawaweka madunduka na tajiri yao ooh sorry bilionea wao vikao 10 lakini wapi
Hongera Sana KISUGU tunawaomba viongozi wetu watuachie kocha wetu JUMA MGUNDA
Kisugu umeongea vzr sana tena sana,hongera,❤️❤️,wachane na hao wachambuzi hewa.
Aende tu Simba haiwez kuwa na chama milele,
Chama aende akibaki Simba ataendelea kusaliti team kwa kiburi chake chama huyo aende zake tu huko
Nendeni katengenezeni timu, watu wanamalizia kuijenga timu yao, mwaka wa nne unakuja.
Chama aende kwani yeye simba inaweza bila chama kikubwa tunawaomba viongozi wetu watuachie kocha wetu juma mgunda atutaki kocha mwingine naselemani matora nae apewe thank you alafu kocha wetu mgunda aletewe msaidizi mwingine
Waambie wengine wanatumiwa chukua mauwa yako🎉
Chamaa ameingia tamaa siyo desturi ya wazambia ameiga tabia za kiswahili sasa amepotea
Mbona mechi 50 goli moja bado yupo
Jiandaeni na vipondo tu --- hamna timu ninyi.
😅😅😅😅😂Team mnayo nyie ambao hamjawahi kosa ubingwa tangu utopolo ianze
Kila mwaka anasajiliwa yanga alafu kapewa mwaka mmoja why?
Wana SIMBA tupo pamoja sana na big boss MO na management yake yote💪💪💪#SIMBA nguvu moja
Bora chama aondoke tu, nitafurah mno akiondoka tunataka simba mpya hiyo ela anayo taka chama bora mkamchukue feisal.
Na Mimi natamani chama aondoke simba maana ameiaumbua simba kwa mda mlefu na ndo chanzo cha kuuza ile mechi ya 5 _1 alihusika % 100
Kisugu nakupenda sana,ww ni msema ukweli na unajua mpira#SIMBA nguvu moja
Upo sahihi kisugu
Tarehe 8 SIMBA day MUNGU akipenda nitakuwepo TAIFA💪💪💪#SIMBA nguvu moja
Aende tu wanini Simba the big team
Max Lengo ni chama wanane
Boss ajitaindi aboreshe timu
😂😂😂😂😂 sw bro umezaminia🤗
Kwa midomo michafu kama wa kisugu msimu huu, tutashuhudia wanachama kwa viongozi wakiondoka Simba kwa mamia, ukianza na kisugu mwenyewe.
HUYO ATAKUA SIO MSHABIKI WA SIMBA 😂😂. AONDOKE TU
Waende tu wanatuharbia Tim yetu hawawachezaji tunao waabudu Hawa ndo wanatuharbia Tim yetu ya Simba
Exactly
Nakubaliiiiiiiiiiiiii
nakubaliiiiiiiiiiiiii mm Simba dam dam kaka kisugu
Waende tuu chama chama ni mungu sasa ameenda mbona hatujafa mbona
ninachosema chama msaliti aende safi nimefurahi sana mimi naamini hii simba itafika mbali sana inshaallah
Tawile
Waandishi hawa wanafiki sana kama makota vile
Aende aendako , sio kila siku yy tu. Who is he?
Asnte
Muacheni. Jamaani anaumia Na chama wake 😂😂😂😂😂 Tuna muweka bench chama. Wenu apati number pale ..😂😂😂 sema Tuna wakomoa.makolo..pumbavu zao 😅😅😅😅😂
CHAMA na INONGA ni miongoni mwa wasaliti,acha waende hatuwezi kuendelea kuwakumbatia wasaliti#SIMBA nguvu moja
Wambie hao na waandishi wengi hapa Tanzania cyo watu wa mpira
Chama yanga daima mbele nyuma mwiko
Aoondokeeeee tu
Eti namchukuru mwenyezi mungu
Yaani chama ni kama Imonga, utofauti ni kwamba, Inonga alikua ameihujumu Simba wazi wazi wakati Chama alikua anahujumu kichinichini na hadhareni.
Chama nimchezaji mzur anawez kwend time yoyote mpira ni biashara
Mtaumia Sana
Kisugu unaongea point kwer kwer
Simba tungefadhaika iwapo Chama angeondoka pasipo kuisaliti timu yetu
Jamn na aende hawa ndo waliotuhujumu kwenye zile tano. Tukiendelea kumng'ng'ania atazid kutufelisha .viongoz nawaomba watujengee tim bora chama nenda utakapo baba ila siyo simba please
Mbona unaongelea chama kabla hujaulizwa
Simba ipo tangu miaka kibai huyu chama ana miaka 5 tuu simba aende huko alikokuwa anapokea hongo. Huyu mwandishi pia boya tuu wakala wa utopolo
Chama ni Nan walikuwepo wachezaji wakubwa wamepita nae aende tuu
Medy kagere alipendwa sana Simva ila yuko wapi leo na huyo Chama ndo anaenda kuishaaaaa
Wewe nawe kazi kuandama wachezaji badala machawa viongozi ndani ya simba
Chama akweendee huko kwani yeye nani
Kawaida ya Simba kionesha wachezaji wa viwango ndo yanga anawapata hapa simba
Kwan dd umetumwa nn mbn umekua nausenge fulan hiv
Kwa kikosi cha kina Jobe hiki ndo urudishe vikombe
Dada anajua kuhoji
Mmmm mdomo unalipa kwakweli
Chama sio simba mwache atembee watauza jezi tu mafanikio zerooòooo
we kisugu unasema chama no msaliti ni uongo
Cha turisha achana nae
Hahahaha ime penya hiyooo tulieni tume waporaa
Mchezaji Yuko huru mkataba umekwisha,hujapora bado
Chama nani aende tu kashazeeka
TUNASHUKURU MMEONDOA WASALITI UCHWARA MMELETA WASALITI KWELI
nini chama kaondoka mtoto wetu mkude tena wa kumzaa sembuse uyo mtoto wa kambo mwache aende chama nani kaseja okwi ajibu amisi tambwe na wengitu mwache aende tena fasta
Walikuwa wasaliti kama yuleee wacha wamfate
Bravo kisugu wape ukweli hao chama chama uto washazoeya kula matapishi ya simba
Huyu mtangazaji ni bure kabisa
Maduka yabomolewe
DAAAH KUNA POINT HAPO YA MAANA NIMEIKUBARI!!!!!!!
AMBAYO NI----"WAANDISHI WANATUKOSEA HESHIMA SIMBA---" YAANI HY NI KWERI BILA CHENGA! waandishi wanatoa hoja za kijinga sana kuhusu SIMBA 😅😅
Nbc ili tuchukue lazima TFF Wabadilishe sheria mdhamin wa team wasidhamin team zaid ya mbili.vinginevo kuna uhujum wa mechi.
GSM hadhamini madunduka na bado mkapigwa goli 7....acheni makelele tengenezeni timu...Azam anadhamini ligi nzima ila bado Yanga bingwa acheni visingizio
Mna ukubwa gani hata nusu fainali CAF....baada ya chama kusepa mmekuja ni kwamba amejisafisha mwenyewe maana timu yenu ilikua inamchafua na matokeo mabaya
Uongo
Hapo SSH amefanya nini kizuri? Hii nchi kila mtu ni chawa
Yan wachambuzi wabongo ni hovyo sana nani alimju chama kabla yasimba kumleta tz achen propoganda kuangalia mnchokipewa simba walikuja wengi na wameondoka iwechama ss siokama wale waliochoma jezi ss niwaungwana sana chama aliitumikia simba namudawake umeisha tafuten mengine haya yachama yatawapotezea muda haswa ww baamed imetumwa ww sio mwandishi ww nichawa
Kumng'ang'ania Chama ndani ya Simba SC ndio kumeibomoa klabu ya Simba SC.
Simba nguvu moja tu waende zao kuma ndegerez KISUGU i love your speech wape ukweli wao as we SIMBA IT'S BIG CLUB THAN EVERYONE IN EAST AFRICA
Tatizo Simba hatuna msemaj, semaji wetu anazidiwa na propaganda za Yanga achangamkeeeee
Wewe kisugu mwehu kwr wachezaji muhimu tegemezi mnatoa mnaleta wapya kuja wakaungane ni leo yani nyie
Hao walioungana wametufikisha wapi '
Simba nikúbwa kuliko mchezaji hizo pesa anazotaka chama akazifuate yanga tuu,Wacha bilionea aijene timuuu
Bilionea anashindwa kumpa bilioni chama ili abaki
Nikweli wanavunja vunja kuja kuunganika sio Leo!!! Kuunga tumu inachukua muda
Sio kitu Cha Siri inajulikana acha wapayuke
Chama ni Msumbufu pale ni bora kuanza upya
Achape mwendo
Kisugu wewe ni ndume lakini unapenda kumusiviya uyu mujiga anaitwa samiya
Wewe una mtaja mama wetu ana husika na nn wacha upumbavu usa your brain sisi tunaogea mambo ya mpira Samia ame tokea wapi kama huna story shut up your mouth
Sizitaki mbichi hizi MANENO ya sungura anapokosa jambo
Chama ni Nan walikuwepo wachezaji wakubwa wamepita nae aende tuu
Badala umtakie heri raisi wako wa heshima mo dewji unamtia nuksi mama etu na meno yako machafu yasiyojua mswaki na colgate
Ooh Yanga hawana hela ya kumnunua chama sijuwi kibu haya kiko wapi?? Tajiri kavaa hadi taulo kama kipindi kile lakini wapi mpunga haujatosha...chama kashusha hadi dau lakini wapi. Tushajua sasa kumbe GSM ndiye tajiri wa ukweli...chama kawaweka madunduka na tajiri yao ooh sorry bilionea wao vikao 10 lakini wapi
Wamesubiri mpaka amalize mkataba
@@user-gr9wc7bc2m kama timu aliyokuwa anachezea walivyosubilishwa hadi amalize mkataba
Kwa kikosi cha kina Jobe hiki ndo urudishe vikombe
Jobe Thank you inamuhusu
Naamini chama kama ataenda yanga hatocheza raund2 atagwa nakitu kixito naatapigwa nakitu kixito kama manara
We chupi tu
Nipo palee👉
Kabisaaa
Anaixumbua sana Simba naitakua yeye ndoanatoa xiri za Simba
Chama ni Nan walikuwepo wachezaji wakubwa wamepita nae aende tuu