Nyie ni role modal wangu ktk industry ya kwaya Tanzania nilianza kuwasikiliza nikiwa mtoto mdogo, kwa kweli Mungu awabariki Mtangoo na timu nzima ya Tumaini kwaya
My choir wow......this song is so so anointed. Nimekuwa nikusikiza na sasa nimeona vyema nitoe maoni. Mungu awazidize katika kiwango nyingine. Mama yangu namuona pale na,wamana na ndugu zangu wengine. Hakika muna tiya moyo. Nitazidi kuomba nakumngojea Bwana. Yes you are a blessing . continue with the good work. I am proud of u Mtunzi wa nyimbo hongera, instrumentalists wote hongera. Walimu wa sauti hongera May all the glory go back to Jehovah.
Huu wimbo wote uko kichwani kwangu, unanikumbusha miaka ya 2001-2003 nikiwa primary, nilikua naupenda sana huu wimbo origin version yake, mzee alikua na cassette yake
Eeee!!! Hizi nyimbo zimekuwa bora zaidi..kwaya hii yenu nimeipenda sana tangu utotoni...utunzi wenu mzuri mno!!! Nawapenda sana..Elvis wa pwani ya Kenya
Hizi Nyimbo Zinanikumbusha Miaka Ya Zamani Kidogo Na Baba Yangu Jumapili Baada Ya Ibada Redio Ya SONY na Cassette zetu Hizi Ndo Nyimbo Asubuhi Hadi Jioni Nilizishika Mno Ahsanteni Kwa Kuzirudia Upya
Daaah, yani ulichoandika kama vile umecopy kwangu aisee, zilifanya mpaka leo zikipigwa kuna baadhi ya matukio nayakumbuka, baba angu alikua ananunua kila cassette itayotoka
My best Choir of All time, sichoki kuwasikiliza Tumaini Shangilieni kwaya, Mungu aendelee kuwabariki Mtangoo family, Mama yangu mama Rwezaula na wanakwaya wengine wote.
nimeanza kusikia nyimbo zenu nikiwa mdogo sana.....zilikuwa ni nyimbo pendwa na wazazi wetu...mpaka leo sijachoka kuwasikiliza....nyimbo zenu ni nzuri na zinabariki sana...huu wimbo nikiusikiliza nasikia uwepo wa Mungu....Mungu awabariki sana kwa kazi njema....
Wimbo huu,mara. Nyingi nikisikia kukata tamaa Bwn amekuwa akinisemesha kupitia wimbo huu na andiko hilo la thesalonike.unaniijia akilini mawazoni na mara nautafuta naupiga nakaa flesh
Huu wimbo huwa unaniliza ingawa unanitia nguvu sana😭😭😭kama hapo wanapoimba"Basi ndugu ukumbuke upigapo magoti,......halafu "mimi leo namngoja Bwana Yesu wokovu wangu kwake". yaaani😭😭😭😭😫
Huu wimbo unanipa nguvu sana...mara zote nikiwa down, i listen to this song and i feel uwepo wa Mungu, napata moyo wa kuendelea mbele.....Mungu awabariki sana
huu wimbo huwa unanifanya nalia kwa furaha nikiamini majibu ya maombi yangu yako karibu Nafarijika mno moyoni mwangu nikiyapuuza mateso ninayopitia sasa kuwa bado kitambo kidogo nitavuka kwa Ushindi. Karibuni Kongwa 2018
maria ezekieli jamani mimi hizi nyimbo siwezi kuzichoka kabisa ongereni waimbaji wa arusha st jamesi mnanibariki sana tangu mtoto mpaka sasa ila kunanyimbo nyingine mlizoimba mwanzo nimejaribu kutafuta bila mafanikio. Mwivi aji ila aibe
Aliyetunga wimbo huuu na kwa walio imba Yesu awakumbuke
Old vasion ni nzuri sana, naomba nayo muweke
Bwn yumo ktk kwaya hii.mnatusaidia wengi.aamen!!
2023 and still my favorite song. You have been a blessing since my high school days. May the Lord continue blessing and using you. Shalom.
SIJUI NISEME NINI HII KWAYA INANIBARIKI SANA MIMI SANA NAWAPENDA SANA
2024 march 20 nausikiliza tena siku nzima nautafakari
Huu ndo wimbo sio huo wa mavyombo ya kisasa hauvutii huu umeimbwa kwa hisia sana barikiwa
Yaan huu wimbo! unakufanya ujisikie upo karibu na Mungu wako. Meseji imenyooka yenye faraja kubwa, Mbarikiwe sana.
Naombeni sana kama inawezapatikana First Version ya huu wimbo uliokua kwenye albamu ya SILAHA YA USHINDI.
Hamjawahi kukosea. Mungu azidi kuwabariki
kila saa, kila wakati nabarikiwa na nyimbo zenu sanaaaa......... Mungu awabariki.
Nikiwa nasoma sekondari nakumbuka nilikuwa nikiupenda huu wimbo sana mmenikumbusha mbsli sana
Jamani yaani. Nyie. In. Sio. Out. Nawapenda. Mnoo
Tangu nikiwa mdogo huu wimbo unanibariki sana na ndo wimbo ambao huwa unanisogeza Moja Kwa moja Kwa Mungu. Mbarikiwe sana
Zungumza nae,mkumbushe,non'goneza kwa siri hata katikati ya watu yeye baba husikia 🙏
Nawakubali sana kazi yenu nzuri sana
Nyie ni role modal wangu ktk industry ya kwaya Tanzania nilianza kuwasikiliza nikiwa mtoto mdogo, kwa kweli Mungu awabariki Mtangoo na timu nzima ya Tumaini kwaya
Hakika namngoja BWANA YESU maana yeye kimbilio language,,mnanibariki sana Tumaini shangilieni
Mungu awabariki sana kwaya ya Tumaini,kazi yenu haitakuwa bure
The best kwaya nyimbo ZENU Zina nibariki sana hasa nikiwa kwenye shida Zina niifariji sana
Jamani kwaya yangu tumaini penda sana nyie kaka Elikana uko vizuri sana unagonga solo balaaaaaa
My choir wow......this song is so so anointed. Nimekuwa nikusikiza na sasa nimeona vyema nitoe maoni. Mungu awazidize katika kiwango nyingine. Mama yangu namuona pale na,wamana na ndugu zangu wengine. Hakika muna tiya moyo. Nitazidi kuomba nakumngojea Bwana. Yes you are a blessing . continue with the good work. I am proud of u Mtunzi wa nyimbo hongera, instrumentalists wote hongera. Walimu wa sauti hongera May all the glory go back to Jehovah.
Tumaini Shangilieni Choir
Mungu awabariki kwa kazi yenu nzuri hakika mnastahili pongezi. Naomba kujua ntapataje hii Dvd
Hakika huu wimbo unanibariki mno
Mbarikiwe sana Shangilieni choir
Nawapenda Sana waimbaji wetu, wakongwe hakika mko vizuri ,tunapata mahubiri na burudani ,mungu azidi kuwainua juu zaidi
Huu wimbo wote uko kichwani kwangu, unanikumbusha miaka ya 2001-2003 nikiwa primary, nilikua naupenda sana huu wimbo origin version yake, mzee alikua na cassette yake
Nabarikiwa sana duh na kwaya hii mungu azidi kuwainua aaameen
Jamani ninatafuta nyimbo zenu zaidi ya dhahabu. I love you so much guys. Mungu awabariki sana
Mtabaki kuwa juu siku zote,Mungu azidi kuwainua
huu wimbo hauchoshi kuusikiliza me mdau wenu wa nguvu
Mungu akipenda nikija Arusha nitawatembelea.
Kweli nimebarikiwa sana na waimbaji Hawa mungu awakumbuke sana
Amen 🙏
Nawapenda sana shangilieni
Ombi lako limeandikwa katika kitabu......hakika litajibiwa kwani baba mwaminifu.....zungumza naye mkumbushe nongoneza kwa siri🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
nisiposema chochote kwakweli sitawatendea haki... Mungu wa mbinguni muweza wa yote awabariki kwa kazi hii!!!
Eeee!!! Hizi nyimbo zimekuwa bora zaidi..kwaya hii yenu nimeipenda sana tangu utotoni...utunzi wenu mzuri mno!!! Nawapenda sana..Elvis wa pwani ya Kenya
Daaaah,nyimbo nzuri jamani, pia inabariki,hongereni Mungu azidi kuwainua na kuwatia nguvu
Hizi Nyimbo Zinanikumbusha Miaka Ya Zamani Kidogo Na Baba Yangu
Jumapili Baada Ya Ibada Redio Ya SONY na Cassette zetu Hizi Ndo Nyimbo Asubuhi Hadi Jioni
Nilizishika Mno
Ahsanteni Kwa Kuzirudia Upya
Daaah, yani ulichoandika kama vile umecopy kwangu aisee, zilifanya mpaka leo zikipigwa kuna baadhi ya matukio nayakumbuka, baba angu alikua ananunua kila cassette itayotoka
Nimebarikiwa sana na nyimbo zenu
Hakika mungu awa bariki
Mbarikiwe❤
My best Choir of All time, sichoki kuwasikiliza Tumaini Shangilieni kwaya, Mungu aendelee kuwabariki Mtangoo family, Mama yangu mama Rwezaula na wanakwaya wengine wote.
Amen Amen
Hongereni sana Team Tumaini.
Mungu aendelee kuwainua katika hii huduma ya uimbaji.
Wimbo mtamu kweli na wa kubariki moyo. Kweli Bwana Mungu ujibu maombi maana mimi ni mshuhuda wa haya. Bwana awabariki sana kwaya Tumaini St. James
Nimejikuta natokwa machozi umenigusa huu wimbo ,nimeomba muda mrefu sipati jibu kumbe ombi langu Mungu kaliaandika ,asanteni sana
NYIMBO HIZI NZUR SANA ZINANIKUMBUSHA NILIVYO NASIKILIZA KWENYE KASETI YA REDIO NIKIWA MDOGO HONGERENI SANA
jmn mama mercy rwezaura namkumbuka sana @ nawapenda sana tumaini shangilieni choir
Kazi nzuri sana Shangilieni Choir, Mungu awalinde na pia awatie nguvu muendelee kutuletea Injili kwa njia ya uimbaji, asante sana.
hongera sana kwa kurudia hiz nyimbo zinanikumbusha nilivo kuwa mdogo nzur sana
nimeanza kusikia nyimbo zenu nikiwa mdogo sana.....zilikuwa ni nyimbo pendwa na wazazi wetu...mpaka leo sijachoka kuwasikiliza....nyimbo zenu ni nzuri na zinabariki sana...huu wimbo nikiusikiliza nasikia uwepo wa Mungu....Mungu awabariki sana kwa kazi njema....
Mbarikiwe sanaaa huu wimbo umenibariki
Wimbo huu,mara. Nyingi nikisikia kukata tamaa Bwn amekuwa akinisemesha kupitia wimbo huu na andiko hilo la thesalonike.unaniijia akilini mawazoni na mara nautafuta naupiga nakaa flesh
Nani anasikiliza na mimi wimbo huu mzuri leo March 2024 tubarikiwe
Ujumbe mzuri Sana Tumaini choir
Huu wimbo huwa unaniliza ingawa unanitia nguvu sana😭😭😭kama hapo wanapoimba"Basi ndugu ukumbuke upigapo magoti,......halafu "mimi leo namngoja Bwana Yesu wokovu wangu kwake". yaaani😭😭😭😭😫
nafurahishwa na nyimbo zenu zinatia moyo mungu awabariki watumishi asanteni sana na wapenda sana tumaini Arusha
From glory to glory ..! Thank U Lord
Nawapenda sana Mnaniinua sana kiroho na kimwili Mbarikiwe sana Maana mnaponya wengi.
Mbarikiwe
naipenda kupiga kiasi kwaya ya Tumaini Shangilieni. namkumbuka rafiki yangu alikuwa akiziimba sana enzi za shule 2000. Mbarikiwe sana sana
Nyimbo zenu ni faraja kubwa sana kwangu!nawapenda mno kwaya ya shangilieni Arusha Mungu azidi kuwabariki.
Huu wimbo unanipa nguvu sana...mara zote nikiwa down, i listen to this song and i feel uwepo wa Mungu, napata moyo wa kuendelea mbele.....Mungu awabariki sana
yaan nabarikiwa sana. Kristo Yesu awabariki wapenz
Wimbo huu unanitoaga machozi nilinunuaga kaseti toka mwaka 2001 nilikuwa nauludiaga ludiaga mpaka nika ushika Mungu awabariki
Kwakweli nyimbo zenu zinanifuraisha sana, ususani iyo miondoko ya zuku aaahh.
Mi nabarikiwa mno na huu wimbo jamani ACHA tu
Mungu wa mbinguni Azid kukubariki
Ipo siku namimi Mungu atajibu Maombi yangu
Florida Willybati amina Mungu akafanye sawasawa na haja ya Moyo wako
Omba usichoke nakumbuka solo nzuri elkana safi
Majibu ya maombi.... moja kati ya nyimbo ninazo zipenda since first edition
ASANTE SANA WAPENDWA nyimbombo zenu zinanipa amani ktk maisha yangu imani
Wazee wa live mungu awabariki
ombi baba husikia choz langu siovbure
Mungu awabariki sana na awape nguvu ya kueneza neno duniani kote. Twawangoja Mombasa mwakaribishwa
tafadhali nipeni contacts so that i can try and do the connections
Nabarikiwa sana! Naomba kibali cha Mungu wetu juu yenyu nyote
huu wimbo huwa unanifanya nalia kwa furaha nikiamini majibu ya maombi yangu yako karibu
Nafarijika mno moyoni mwangu nikiyapuuza mateso ninayopitia sasa kuwa bado kitambo kidogo nitavuka kwa Ushindi. Karibuni Kongwa 2018
Huwa na barikiwa sana na huu wimbo
Mungu awabariki kwa nyimbo zenye upako
I play this song over and over again...very beautiful, reflective, nourishing song. Mbarikiwe wana kwaya ya St James Arusha.
UPO SAW NA MIM
Hii ni Tumaini kwaya
Nyimbo hizi hunibariki
Nina miss mambo mengi sana.....dah
Wimbo wa kuinua Imani kwa Yesu. Mbarikiwe sana.
+TUMAINI SHANGILIENI CHOIR ST. JAMES AC ARUSHA (SHANGILIENI) kwakweli mbarikiwe Sana nyimbo hizi za zamani nazipenda Sana CD nitaipataje??
Tumaini Shangilieni Choir, Cette Chanson me rejouis tellement le Coeur ! This Song rejoices me so much in my heart. Napata faraja sana moyoni
Hallelujah, sifa zirudiliye Mungu milele
asante nimepata ujumbe wenu waimba mungu awabariki jipangeni ktk maombi mungu ni mwaminifu
maria ezekieli jamani mimi hizi nyimbo siwezi kuzichoka kabisa ongereni waimbaji wa arusha st jamesi mnanibariki sana tangu mtoto mpaka sasa ila kunanyimbo nyingine mlizoimba mwanzo nimejaribu kutafuta bila mafanikio. Mwivi aji ila aibe
maria ezekieli ombi rako rimesikirizwa hata katikati baba husikia
asante sana
nimejikuta nikilia machozi. nilikua nimesahau hata kuomba miaka mingi sana lakini vile mnavyo imba mmenkumbusha kuomba
Aiseee mbarikiwe sana watu wa mungu
Naupenda huu wimbo sana,,,mbarikiwe waimbaji😘
Endeleeni kunyenyekea chini ya mkono wa Bwana naye atawakweza kwa wakati wake
Nyimbo nzuri sana
nazipenda sana nyimbo hizi
Na penda sana hii song , from 🇨🇩
nzuri sana jamani Mungu awabariki sana naweza kupata cd ya album nzima ya hii remix
Asanteni sana hakika ombi litajiibiwa Mungu ni Mwaminifu
umenigusa sana! wimb huuu, mungu awabark San
sasa nimeelewa sana huu wimbo Mungu awabariki na kuwainua sana
asante nimepata ujumbe wetu
Aksante sana kwa nyimbo
huduma yenu inanibariki sana
Nice Song be blessed all of u singers
My beloved Song
Can not stop listening to this very song... be blessed ya'll