🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 48

  • @hasinaalrahbi6681
    @hasinaalrahbi6681 4 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani mungu ana njaa anatafuta matunda hiyo kali na kuyafata kumbe hakuna matunda.Huyo ni mungu kweli

  • @AristoteAmanimila-lv3ry
    @AristoteAmanimila-lv3ry 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ndacha god bless you forever, weye ni kiboko

  • @Fedrick-jb8xb
    @Fedrick-jb8xb 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ndacha mungu akubariki

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 4 หลายเดือนก่อน +2

    Namkubali Ndacha ni kiboko ya waislamu Mungu akulinde Ndacha uendelee kutupa elimu zaidi na kuwaelimisha waislamu

    • @MjunguJames-li6tz
      @MjunguJames-li6tz 4 หลายเดือนก่อน +1

      Acha ujinga ww unapotea

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 4 หลายเดือนก่อน

      @@MjunguJames-li6tz wewe ndio mjinga unaemuamini allah jiwe la makka ndio mungu wako tena unaamini allah asiye sikia lugha zingine anaskia kiarabu uislamu umeanzishwa na warabu ni dini inayo wahusu warabu ndomana nyie wajinga wajinga wengine ili muwe waislam ni lazima msomee lugha ya kiarabu kama sio u mamuma ninini

    • @zahraabdul9652
      @zahraabdul9652 4 หลายเดือนก่อน +1

      Acheni ujinga mlijichanganya Isa mwenyewe ni mwislamu mkubali mkatae pamoja na mamake Hadi na kuvaa sio uchi wakienda kanisani ALLAHU AKBAR.

    • @zahraabdul9652
      @zahraabdul9652 4 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@ramadhanmahongole9293kumbuka waarabu nao waenda madrasa kujifunza vile vile sisi twaenda madrasa sio sisi tuh waarabu pia lazima waende shuleni hayo yalio Kuwa kwenye kitabu kitukufu Qur'an hayafanani na lugha waarabu wanaongea ijapo Kuwa moja moja tuh sipo enda kusoma na kiujua pia wawezi soma . (Eleweni basi na Mungu awafunguwe mpate shahada inshallah 🤲) Siku ya mwisho ni siku nzito sana 😢😢😢.

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 4 หลายเดือนก่อน

      @@zahraabdul9652we nguruwe acha ujinga uislamu umeletwa na mhammad acheni kudanganywa na kuwa mamuma nyie manguruwe wa kiarabu

  • @jasonplayz4394
    @jasonplayz4394 3 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu baba wamtama amekubali kuwa Mungu atabaki kuwa mungu tu

  • @CHARLESMUGENDI-vn3gh
    @CHARLESMUGENDI-vn3gh 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ndacha uko sawa

  • @Fedrick-jb8xb
    @Fedrick-jb8xb 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ndacha ni mwalimu wa kimataifa

  • @dennisezakiel3380
    @dennisezakiel3380 4 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman mbona mnahangaika sana waislam Yesu anajiita yeye mtu sababu amevaa ubinadamu

  • @eliasmajambomwinyihaji1335
    @eliasmajambomwinyihaji1335 4 หลายเดือนก่อน +6

    Kusema ukweli bila kuficha sikizeni tu huu mdahalo ila ki uhalisia ikiwa yesu (isa)ni mungu je musa na daudi waitwe Nani ?ikiwa yesu ni mungu aliumba vipi Dunia wakati wa kuumbwa Dunia alikua hata hajulikani,kama yesu ni mungu asingezaliwa mamake Mariam (marry) je angelikua Dunia hayo ni maswali jiulizen wacheni kujifanya ,ikiwa yesu ni mungu musa na daudi walipataje vitabu na wakati huo yesu (issa)alikua hajazaliwa ?yesu (issa) ni mtume wa 28 na dini ilishaanzaga kutangazwa kitambo enzi za adamu na Hawa .yesu (issa) Kama ni mungu aliumbaje Pepo ?alimtegeza mda Gani adamu wakati yeye hayuko Dunian ?ikiwa ibilisi (shetan /jini mkubwa )ambae alikua kabla ya yesu (issa)je yesu alimkuza au kumlea vipi kipindi icho ibilisi ni mdogo Sana na Tena yesu (issa) hajulikani ,kwel yesu ni mungu kivipi akuwe na kitabu atangaze dini ?maswali hayo jiulize kisha sitaki jibu Baki nalo rohoni mwako.ukisema yesu ni mjumbe hapo Niko pamoja na wewe

    • @zahraabdul9652
      @zahraabdul9652 4 หลายเดือนก่อน

      Mashallah jazakum lakheri 🤝 Hawa watu ndugu zetu wajielewi mwanzo bible yenyewe huwa zifanani wakiwa kanisa moja huyu asome mwingine asome ni very different lakini wajielewi tuwaombee Allah mwenyewe anajuwa ni kwa nini haya yote yapo .(Allahu Akbar)😢😢

    • @dennisezakiel3380
      @dennisezakiel3380 4 หลายเดือนก่อน

      Ukisoma lugha ya kiingereza Yesu anaitwa princes,Uungu wa Yesu kama hamna roho wa Mungu hamuweze kuelewa

    • @umdtv2749
      @umdtv2749 4 หลายเดือนก่อน

      @@zahraabdul9652 kasome quran 2:97

    • @umdtv2749
      @umdtv2749 4 หลายเดือนก่อน

      @@dennisezakiel3380 kasome quran 2:97

    • @mystfog8769
      @mystfog8769 หลายเดือนก่อน

      Ubishi ni upumbavu....sasa kama mtu anasimama upande wa kuume wa Mungu na ndo atakae kujah siku ya mwisho...kwann umwamin mwahad alie binadamu anasubir kukufuliwa pia

  • @karanjawanyoike7188
    @karanjawanyoike7188 2 หลายเดือนก่อน

    Basi kama neno lilikuwa tamko la mungu lilipofanyika kuwa mwili lilikua nani

  • @NsubiRaphael
    @NsubiRaphael หลายเดือนก่อน

    Wapinga kristo ohawawezi kumshinda kristo moyoni wanajua kuwa yesu ndiye bwana

  • @zahraabdul9652
    @zahraabdul9652 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ee Mungu muumba mbigu na ardhi ufananishwi na ulinganishwi na yeyote wala lolote wape maarifa ndugu zetu wapate ufahamu wasije wakapigwa na butwaa kuona siku isa ( yesu mwana wa Mariam)anarudi anarejea kitu cha kwanza ataswalisha watu msikitini hamna mahali paliandikwa ataenda kanisani na kuhubiri muwe tiati kwa hilo 😅 allahu Akbar Mungu hana mtoto hana mwanamke na wala sio mwanadamu .😢

  • @NsubiRaphael
    @NsubiRaphael หลายเดือนก่อน

    Sasa nyinyi mnabishana miujiza aliyo fantastic yesu mbona ni mingi kamfufua laparotomy mbona yako mengi

  • @zahraabdul9652
    @zahraabdul9652 4 หลายเดือนก่อน

    Eleweni kuwa kuna watu walipinga kuwa haman mungu baada ya hawa mitume woote Mungu akajidhihirisha kuwaonyesha kuwa Mungu yupo na wanastahili kujuwa hilo ujionwa yesu Mungu alitaka hao makafiri waone miujiza zake kuwa anaeza fanya lolote mtoto bila baba kulala na mama akazaliwa ndio maana mkaona isa ni yesu Asitahfirullah atusamehe Allah subhana wataala.😢😢 Eleweni basi .( Waislamu takbirii..)

    • @umdtv2749
      @umdtv2749 4 หลายเดือนก่อน

      kasome quran 2:97

  • @NoahMwankenja-ft4ql
    @NoahMwankenja-ft4ql 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ndacha kwenye ubora wake....

  • @haussenimussa
    @haussenimussa 18 วันที่ผ่านมา

    Sure wape v2

  • @abdillahabdalla
    @abdillahabdalla 27 วันที่ผ่านมา

    ikiwa yesu kazaliwa na akawa mungu basi wengine wanakuja😂

  • @andrenzaniye2858
    @andrenzaniye2858 หลายเดือนก่อน

    John 10:30.

  • @jacoblenginai1132
    @jacoblenginai1132 4 หลายเดือนก่อน

    Walimu wa mudahalo sauti yao ikonchini sana

  • @abasmwika3432
    @abasmwika3432 4 หลายเดือนก่อน +2

    Wakristo na maandiko ya kiujanja ujanja tu yani hakuna hoja yenye mashiko

    • @richardchimba3800
      @richardchimba3800 4 หลายเดือนก่อน

      Eti hakuna hoja yenye mashiko 😀Sule kachindwa kwa wazi kabisa

  • @BarakaAkech-r9q
    @BarakaAkech-r9q 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo sule ni muuni hatowi jibu sahii

  • @sultanalnaamani2156
    @sultanalnaamani2156 หลายเดือนก่อน

    Acheni kubabaisha jibuni kikweli

  • @Sharrif456
    @Sharrif456 4 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu pastor anawapoteza wengi sana alafu mi hushangaaa kwani kua mkristo ni kupungukiwa kwa akili??? Dacha maneno meeengi jibu hoja acha porojo

    • @richardchimba3800
      @richardchimba3800 4 หลายเดือนก่อน

      Sule ameshindwa na hakuna aliyevunja hoja za Ndacha

    • @umdtv2749
      @umdtv2749 4 หลายเดือนก่อน

      Kasome quran 2:97

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 4 หลายเดือนก่อน +2

    WAISLAMU KUANZIA SASA MMEELIMIKA MNAIAMINI BIBLIA

    • @hasinaalrahbi6681
      @hasinaalrahbi6681 4 หลายเดือนก่อน

      Abadan hatukubaliani na biblia

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 4 หลายเดือนก่อน

      @@hasinaalrahbi6681 hahahaa poleni sana wafuga majini

    • @umdtv2749
      @umdtv2749 4 หลายเดือนก่อน

      @@hasinaalrahbi6681 kasome quran 2:97

  • @ShabaniMtonga
    @ShabaniMtonga 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nadacha kachukue udhu

  • @ZainabuMsigwa
    @ZainabuMsigwa 4 หลายเดือนก่อน

    Acha kupotesa watu. hujui mandiko

  • @Sharrif456
    @Sharrif456 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sule ndo kiboko ya dacha 😂😂😂😂 amebaki ku haha hana hoja kabisaaaaa

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 4 หลายเดือนก่อน

      Sule hawezi mdahalo akipanda kwenye stage anaanza kutoa mawaidha kama yuko msikitini badala ya kujibu hoja kwa maandiko analeta vihoja

  • @jeanninemunezero6469
    @jeanninemunezero6469 4 หลายเดือนก่อน

    Kama ndacha anapoteza watu waislam warisha potea zamani nikilioyo