Instagram: / lawracakes_. . Instagram: lawra cakes vifaa Facebook: / lawracakesda. . lawracakes.com/ P.O Box 13772 Dar es Salaam Tanzania East Africa lawracakes@gmail.com
Wewe dada umebarikiwe zaidi na zaidi sijawahi ku comment kwenye page ya yoyote but mpaka nime comment ni kwa jinsi ya ufundishaji wako aisee ww ni hatari 🙏🏻Mungu akubariki dada zaidi na zaidi
Wewe dada umebarikiwe zaidi na zaidi sijawahi ku comment kwenye page ya yoyote but mpaka nime comment ni kwa jinsi ya ufundishaji wako aisee ww ni hatari 🙏🏻Mungu akubariki dada zaidi na zaidi
Mama we ni noma nimekuelewa unaelekeza vizur ubarikiwe
Amina, karibu sana
Naomba niunganishe na group best mana nmepend somo lako ili tuendelee kujifunza zaid
Ibarikiwe sana na mungu akikuze kipaji chako best
Mungu akubariki sana dada❤️
Nmeipenda sana asante Dada,ila naomba somo la kutengeneza fondant jaman mpendwa
Foundat inauzwa bei gan
HAhahahA Asnt sn Dada lkn cy kwA kuimba hukO Ajali kazini hAhahahA nmekupenda 😂😍😍😍
Asante sana...mungu akupe kila zuri...maana roho yako nzuri sana.
hongera sana,,somo limeeleweka dear
Asante Lawra kwa darasa zuri.Barikiwa
Amina na karibu
Jamani nzuri Sana nakushukuru Sana dada nishajua
Naomba uniunge kwenye group la WhatsApp la mapisji
La mapishi
nimeipenda aisee,nilikuwa nawaz itatokeaje
Ipo vizur na fasta
Nakupenda sana we dada tuletee na fondant jinsi ya kutengeneza
Asante sana, tuna kitabu kina recipe nzuri tu ya fondant, wasiliana nasi kwa 0765519445
Mariam Mbughi unafanya vizur Sana mrembo
I like it bt sijaelewa iyo foundant iyo unga gn
Duh, asante dada allah akupe kila la kher
Woooh!! Amaizing, nimependa sana, asante kwa darasa
my tapataje vifaa vya keki
tutumie list ya vitu unavyo hitaji Whatsap kwa namba hizi 0765519445,tuambie mahali ulipo,ndani au nje ya mkoa pote tutafanya delivery.Asante
Kweli zinapendeza sana
Asante Dada munguh akubriki
Nimeamka ndotoni thanks for this🙏😘
Karibu
good napenda sanaa
Habari ndugu. Mimi nataka nijifunze live kutemgeneza na kupamba. Je unafanya bei gani na upo wapi
Ubungo Dar, wasiliana nasi kwa namba zetu
Simply work I like it
Nahitaji kuelewa hivo vichapati ningano?
Maaaaaaa💞💞💞👊
Nimekupenda sana
Kazi yako nzur sana jaman huna group la WhatsApp
Dada Asante hukubania ujuzi we we ni mwalim.Fodant nini?na inatengenezwaje?majani sikujua yanatengenezwaje?Rose nitajaribu .
Hicho kifaa cha majani kinaitwa jeee
nzuri kabsa lakini naweza taka kujua jinsi ya kutengeneza fondant
Asante, muangalie richnessprecious cakes humu youtube, ana video ya jinsi ya kutengeneza fondant
Naomba namba yako dada
Tujiandikishe wapi?na mafunzo yatakuwa ukumbi gani?
Rangi zipi zinazotumika kupambia keki ya wanaume?
Asante sana
Karibu sana
Aunt unapatikana wapi?
Asante
Darasa linaanza tarehe gapi
3 - 16 December, Ubungo Riverside
Dada laura unafundisha kwa shngap?
@@nasrakabesselah3253 check insta kuna no za simu, tuwsiliane kwa hizo
naitaji kujifunza foundant
kuna kitabu cha recipe, utapata nahiyo ya fondant, tuwasiliane
Thank you
Karibu
Nkihutaji unifundshe kwa njia ya sm
llike it
Naomba unifundishe kufanya foundant
Da Raula naomba Risp ya fondant pls
nahitaji mafunzo najiandikisha wapi
Fuatilia pageyetuya insta, lawra cakes dar, kuna namba za simu
Hivoviua umetengeneza na nni?
Fondant
Hivyyo vimamaua umetengenezea na nini?
linaanza tarehe gapi naniwapi? dodoma tunakupataje?
Ubungo Riverside tarehe 3- 16 December
@@LawrasBakeshop my dia naomba contact,sina account insta
@@LawrasBakeshop asantee mmy mungu akubariki sana naomba yako plz nahitaji kujifunza zaidi yangu 0767353105
asante nimekuerewa
asante Dada love you
Karibu, love you
Naomba recipe ya foundant plz
th-cam.com/video/6nXVPAvfKmI/w-d-xo.html huyu dada kaonyesha jinsi ya kutengeneza fondant
Naomba niunge. Japo group la wasap la mapshi,
0778435240
Kama umeungwa kwenye hili group naomba niunge na mm
Nie
Samahan! Kama nataka mafunzo zaidi napataje?
Darasa litakuwa Ubungo Riverside, tarehe 3 - 16 December, 0765519445 kwa maelezo zaidi
Dada fontant ni nini?
Hongera sana naomba uniunge na mm dada yangu ili niendelee kujifunza 0758508076
Mafunzo tunaweza kupataje
0765519445, tutakuwa Ubungo Riverside tarehe 3 - 16 December
Nmeipenda sana asante Dada,ila naomba somo la kutengeneza fondant jaman mpendwa
hilo kwasasa hatuna ilakuna dada humuyoutube kaonyesha vizuri tu. Tafuta tu