USAFI WA VIFAA VYA JIKONI/Airfyer na Pressure Cooker / How to Clean

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 15

  • @salmaalnaamani2786
    @salmaalnaamani2786 2 ปีที่แล้ว

    Thanks for sharing 😁😘

  • @jeskamuhonge6577
    @jeskamuhonge6577 2 ปีที่แล้ว

    Msaada dada yangu Nina aina kama hiyohiyo yakwako na rangi shida yakwangu ikiwa inapika inatoa mvuke nje mpk naogopa kuwa italipulika nisaidie kama nimeharibu nifanyeje

  • @husnakoku2899
    @husnakoku2899 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana nilikuwa sijui kama huo mpira unatoka

  • @neemambise5753
    @neemambise5753 2 ปีที่แล้ว

    🌸🌸🌸

  • @jacquelinepalangyo412
    @jacquelinepalangyo412 2 ปีที่แล้ว

    Kwann ume base kwenye mapishi tu Ila?I think ungekua smtyms unacreate different contents,NI ushauri tu my dear,hongera sana kwa kazi nzuri na kwa kushare nac.

  • @nurumwangoka5909
    @nurumwangoka5909 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri Ika

    • @ikamalle
      @ikamalle  2 ปีที่แล้ว

      Asante dear

    • @jeskamuhonge6577
      @jeskamuhonge6577 2 ปีที่แล้ว

      Me yakwangu inatoa mvuke wakati inapika nimeharibu msaada jamani ipo kama hiyohiyo na rangi kabisa Kuna kitu au nimepoteza mnisaidie

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 ปีที่แล้ว

    🔥🔥

  • @lizzydiy4590
    @lizzydiy4590 2 ปีที่แล้ว

    Love you ika 😘😘😘

  • @mlionea
    @mlionea 2 ปีที่แล้ว

    Hello .ebu leta unga ugali na mafuta ya liquid (na Kiswahili inaitwaje) Hulu 1 ltr ni 20,000 tz shillings

  • @upendolyamuya5002
    @upendolyamuya5002 10 หลายเดือนก่อน

    Ni kwani nikibandika maharage inatoa pressure alafu baadaye inatoka pressure kubwa kama kibomu hapo mchuzi karibu wote unamwagiga ila mashine inakuwa imefungwa shida ni nii

  • @queentz8314
    @queentz8314 2 ปีที่แล้ว

    Asante kwa kutuonyesha. If you don't mind unaweza kuniambia video zako una edit na App gn? Please

    • @ikamalle
      @ikamalle  2 ปีที่แล้ว +1

      Hii “iMovie”

    • @queentz8314
      @queentz8314 2 ปีที่แล้ว

      @@ikamalle Asante