Maa shaa Allah, jiko langu kubwa lkn lako kubwa zaid. Hongera dear mana mm mwenzio kazi hiyo siiezi. Ukiingia jikoni mwangu kweupe huoni kitu zaidi ya maua, coffee machine, spice rack na bakuli la matunda. Mana mpaka sponge na sabuni uniulize vpo wapi nikuonyeshe😂😂😂
Mashalla ukhuty ❤❤❤
Kila kitu kiko on point 😍😍
Shukran love🥰🥰😘
Waongea sanaa dada
Habibty ma shaa Allah mwanamke jiko na usafi wake 😘🥰❤️ hongera Rukia upo vzr ktk mambo yote😍👍🏻
Awwww asante sana mpenxi😘😘
Maa shaa Allah, jiko langu kubwa lkn lako kubwa zaid. Hongera dear mana mm mwenzio kazi hiyo siiezi. Ukiingia jikoni mwangu kweupe huoni kitu zaidi ya maua, coffee machine, spice rack na bakuli la matunda. Mana mpaka sponge na sabuni uniulize vpo wapi nikuonyeshe😂😂😂
Uko vizur mamy hongera sanaaa
Umebarikiwa sema Amina
Mashaallah tafuta cku uploaded full house cleaning ninashauku kuona hiyo video my
Uko vizuri mamaaaaa nimependaaaaaaa.hongeraa zako chukuaaa
Asante sanaa
Mashaallah usafi wa mwanamke ni jiko ..
Kabsa habibty 👌🏻
@@RukiaLaltia 👍😍
Uko vzur my dear.....hongera sana
Asante sana
Jiko kubwa mashallah
Woooow i like it😍😍😍 it looks stunningly mashaallah jazakillah khayr my sis ruky😚😗
Shukran habibty😘😘
MashaAllah...!very nice habibty...
Shukran habibty
Your kitchen is very beautiful
Thank u soo much love 😘😘🙏🏻
Hongera sanaaa
Mashallah 👍❤
Watching....♥️♥️
MashaaAllah mpz hapo ata nzi haudhurii👌
😂😂😂😂😂chezea dettol haji kabsaa
Ma sha Allah tabarakallah
Allah ibarik fii🙏🏽🙏🏽
Spotless Clean!
Thank u 🥰
Nice mashaALLAH
Asante sana
Mashaa allah
Nice vlog wowowo ilo 😂....latlia 😍😘
🙈🙈🙈🙈nakwambia yaani naedit naona wowowo balaa 💃🏽💃🏽🤦🏽♂️🤦🏽♂️
Da rukia unaishi wapi nije kutembea kwako nimekumiss
Very nice, Rukia. Good job! Hongera kwako dada. I wish I could give you 100 likes! Catch you later.
Masinki Yako ya jikoni unang'arisha na nini?
Jiko kubwa hadi raha
Iyo robot na mashene ya vombo vinapatikana wapi na bei yake shingapi
Angalia kwa Amazon online ziko kila brand kwa bei tafauti
Jamani mm kajiko kangu nikadogo mbaka bac had kupanga ni shida kabisa
😂😂😂😂😂😂
Wats funny 🤷😳
hivyo vyombo mbona visafi au showing of
🤣🤣🤣🤣🤣🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️ watu wengne bana ikiwa hujuwi kitu uliza mwanzo sio kurepuka maneno 😏😏😏
Ukieka vyombo nje inabidi uwe unafuta vumbi na kupolish ili ving'are ndio mana sipendi kueka vitu nje, Kila kitu naeka ndani ya makabati.
bimu wivu utakuua
Maashallah
Hongera sana jamani jiko kubwa hadi raha stay blessed