VIONGOZI YANGA WAMPOKEA MANARA LEO/ KARIBU NYUMBANI/ RASMI AMEKUA MWANA YANGA...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 69

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 3 ปีที่แล้ว +2

    Umeongea vzr kaka safi

  • @felixmagulu6142
    @felixmagulu6142 3 ปีที่แล้ว +3

    Hongera sana mwananchi umetiririka kisomi, Yanga ya msimu ujao ni ya moto usioshikika.

    • @mdimimdimi4282
      @mdimimdimi4282 3 ปีที่แล้ว +1

      Kila mwaka et yanga ya msimu ujao utopolo itakuwa ya moto,huo msimu haufikagi tuu hadi kiama?

    • @samuelshani7499
      @samuelshani7499 3 ปีที่แล้ว +1

      Wakat nawapiga tano manara alivaa jez namba ngapa

    • @edgebertmwandambila9156
      @edgebertmwandambila9156 3 ปีที่แล้ว

      Wananchi niwenye busara siku zote

  • @vascokasambala2159
    @vascokasambala2159 3 ปีที่แล้ว +2

    Mpeni kazi sasa

  • @cathelinemaurid898
    @cathelinemaurid898 3 ปีที่แล้ว

    Hamna la kusema yanga

  • @tattually9722
    @tattually9722 3 ปีที่แล้ว

    Manara Fanya kz yang we wacha waseme

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 3 ปีที่แล้ว

    Tunakubali kazi yake, lakini aende tu, simba ni kubwa kuliko Manara!!

  • @kyandoabba526
    @kyandoabba526 3 ปีที่แล้ว

    Umuhimu wa manara Upo, mskatae nyie Simba hatuwashangai kumkosa mnaumia

  • @amirimohamedi392
    @amirimohamedi392 3 ปีที่แล้ว

    Manala yanga damu

  • @sadikingonyani315
    @sadikingonyani315 3 ปีที่แล้ว

    Ni kweli amefanya kazi kubwa sana, lakini nidhamu kwenye kazi ni muhimu.

  • @seifmkima8321
    @seifmkima8321 3 ปีที่แล้ว +9

    Hii ya HAJI MANARA kujiunga na Yanga, uongozi unatakiwa kuwa makini inaweza kuwa ni janja ya Simba kuleta mamluki Kwa kuwapoteza mawazo kwa kutumia ugomvi wake na Babra Ili kuwaaminisha kuwa kweli ni wagomvi na anajiunga na Yanga Kwa moyo mkunjufu. la hasha. Fikirieni sana.

  • @michaelamos3164
    @michaelamos3164 3 ปีที่แล้ว

    Nyie tv mapimbi tu

  • @suzanaandreya1269
    @suzanaandreya1269 3 ปีที่แล้ว

    iyonisiyasa yababra nyinyi mtaingilika tukipumbavu wenzenu wana wacheza hakili

  • @mesijahaja5179
    @mesijahaja5179 3 ปีที่แล้ว +2

    Tuna mkalibisha yanga

  • @vascokasambala2159
    @vascokasambala2159 3 ปีที่แล้ว +2

    SAIZ MTAPIGWA BALAA MANA ALIE KUA ANAWAIBIA SIRI AMEFUKUZWA

  • @johndaniel1493
    @johndaniel1493 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi kama xhabiki wa Young Africa Ximtak Manara Ximtaki Manara ximtak huyo nimxalit atatuharibia tim yetu

  • @johnjoseph2778
    @johnjoseph2778 3 ปีที่แล้ว +5

    Ila haji manara ni msemaji mzuri Na mwenye mvuto sana ila basi tu hakuna namna

    • @binaljabirmshihirzanzibar8369
      @binaljabirmshihirzanzibar8369 3 ปีที่แล้ว +1

      Sana2 bro me mwenyewe soka la bongo nlikuwa clipendii me mzee wa ulaya tuu ila manara yupo juu

  • @johnmakubi190
    @johnmakubi190 3 ปีที่แล้ว

    Mmuajili nyinyi yanga

  • @masoudsalim143
    @masoudsalim143 3 ปีที่แล้ว

    Mpeni usemaji yeye nimsemaji mzuri ....utopolo

  • @deussanga2597
    @deussanga2597 3 ปีที่แล้ว +2

    Kiukweli kuondoka kwa manara tumepungukiwa kitu

    • @myovelayeronimocy2829
      @myovelayeronimocy2829 3 ปีที่แล้ว

      Mwandishi unakosa weredi unawezaje kumuuliza habari za ndani ya Simba kwa mfuasi wa yanga? Unadhsni utapata majibu au taarifa sahihi kweli!

    • @binaljabirmshihirzanzibar8369
      @binaljabirmshihirzanzibar8369 3 ปีที่แล้ว

      Sana2 bro zaid ya sana

  • @badenbensoni7516
    @badenbensoni7516 3 ปีที่แล้ว +3

    Simba wawe wakweli kumkosa Manara itawagharimu mno.

    • @fanuelsulle8144
      @fanuelsulle8144 3 ปีที่แล้ว

      Itatugharimu vibaya mno bro tutaona tu!

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 3 ปีที่แล้ว

      1993 Simba ilifika fainali za CAF , 1974 ilifika nusu fainali ya klabu bingwa Afrika Mara zote hizo Manara hakuwepo, ni kweli tunakubali Kazi yake lakini simba ni kubwa kuliko yeye, hivyo aende tu!

  • @ahmedmohamedshaksy9471
    @ahmedmohamedshaksy9471 3 ปีที่แล้ว +1

    Utopolo mahodari wa kuzungumza ndio maana munafungwa kama manara hodari sana mchukueni , kiwanjani wanacheza wachezaji si manara , kati ya watanzania 10 simba7 na yanga3 hiyo ni takwimu.

  • @makambakoonlinetv7971
    @makambakoonlinetv7971 3 ปีที่แล้ว

    Mchukueni

  • @saidmuasajamuhuri4641
    @saidmuasajamuhuri4641 3 ปีที่แล้ว +1

    Manara motto wetu karibu nyumban

  • @samwelmeckson133
    @samwelmeckson133 3 ปีที่แล้ว +1

    Manara atabak kua manara2 me naipenda simba ila kwa kumtoa manara ni 0+0=0

  • @eggysulle7988
    @eggysulle7988 3 ปีที่แล้ว +3

    Waongo tu nyie

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyo mzee Mpili mzee wa Ikwilili kaenda kumtoa Simba kwani si unajuwa huyo mzee kamtengenezea fulana ya Haji Manara nyekundu moja tu na imeandikwa sisi tuna watu basi ndio hao watu wamekuja sasa

  • @abdallahshariff6555
    @abdallahshariff6555 3 ปีที่แล้ว

    Kigoma hakuwepo manara na mmeoga

  • @dannykimoko9293
    @dannykimoko9293 3 ปีที่แล้ว +1

    Wewe ni mjinga hakuna cha manara Simba inaendelea sio sababu ya manara ni pesa?hebu jiulize wakati yanga ikipata mafanikio manara alikuwa yanga?? Timu ni pesa timu sio msemaji.

  • @ahmedmohamedshaksy9471
    @ahmedmohamedshaksy9471 3 ปีที่แล้ว +1

    Tumewazoea msimu uliopita walisema tunachukuwa kombe la VPL bado mechi 10 hao wamejaliwa na mdomo wa kuzungumza kama manara

  • @kennethngoleka517
    @kennethngoleka517 3 ปีที่แล้ว

    Manara kutoka simba siyo kusudio lake lkn ni ugomvi wake na babra tu ndio uliomtowa.

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 3 ปีที่แล้ว

    Kuondoka kwake manara kwenye club ya simba sc haiwez kunifany mi nihamie yanga hilo ni jambo ambo haliwezekan kama anaenda aende kivyake

  • @edwardmgaya3951
    @edwardmgaya3951 3 ปีที่แล้ว +1

    Mlimshangilia senzo Sasa manara kwani anacheza namba ngapi uwanjani?

  • @fanuelsulle8144
    @fanuelsulle8144 3 ปีที่แล้ว +1

    Utopolo wenyewe wamemkubali,pamoja na ubishi wao,wew kenge gani ubishe kuwa Manara hana umuhimu ndani ya Simba?

    • @hamiduamiry4952
      @hamiduamiry4952 3 ปีที่แล้ว

      Kwani uyo manala anacheza nambagani achaujinga ww simba kubwa sana zaidi ya manala falawe

  • @mohammedgulamali8849
    @mohammedgulamali8849 3 ปีที่แล้ว

    Yanga wana matatizo. Hawa pati wachezaji msemaji mpaka wapate toka Simba. Kweli aibu hiyo.

  • @zephaniahkweka2392
    @zephaniahkweka2392 3 ปีที่แล้ว

    Huyo siyo mtu wa karba yetu tusiruhusu mnafki tu huyo

  • @suzanaandreya1269
    @suzanaandreya1269 3 ปีที่แล้ว

    tukome hatumtaki tenamtukome

  • @chumaramadhani.7581
    @chumaramadhani.7581 3 ปีที่แล้ว +5

    MANARA SHEMEJI YETU, ATALALA VIPI NA DADA YETU KITANDA KITANDA KIMOJA WAKATI YEYE YUPO UPANDE WA PILI. HONGERA DADA YETU JUHUDI KWA JUHUDI ZAKO AMBAZO ZIMEZAA MATUNDA CHANYA.

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 3 ปีที่แล้ว

    SIMBA JANJA JANJA NYINGI YAANI KWA NAMNA NYINGINE UTAPELI UTAPELI MWINGI😀😀😀😀😀😀😀😀😀

    • @samuelshani7499
      @samuelshani7499 3 ปีที่แล้ว

      Huyo kaka wayanga amelogwa nanani anaongea hata hajuikinajoendelea ngija nimtaftie mwakasege amuombee

    • @subirajohn728
      @subirajohn728 3 ปีที่แล้ว

      @@samuelshani7499 Simba janja janja jamani!

  • @makambakoonlinetv7971
    @makambakoonlinetv7971 3 ปีที่แล้ว +2

    Hizi ni mbwembwe za mfa maji. Ukilioga utalinywa

  • @salimsaid7200
    @salimsaid7200 3 ปีที่แล้ว +1

    KAMA MANARA KWENDA SIMBA ALIKOSEA BASI SIO YEYE ALIEKOSEA BABAKE SANDE ALIEKWENDA KUOWA UPANDE WA SIMBA KIJANA WACHA UFALA 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @vascokasambala2159
    @vascokasambala2159 3 ปีที่แล้ว +1

    ACHA UFARA SIMBA SIO MANARA MCHUKUENI ILI MSHINDE

  • @reubenismail3672
    @reubenismail3672 3 ปีที่แล้ว +3

    Mchukueni huyo ,sisi hatuitaji mtu msaliti!mlichukua CEO kwani tulipoteza Nini?mchukueni na huyo!elewa wewe Simba ni club kubwa!

    • @samuelshani7499
      @samuelshani7499 3 ปีที่แล้ว +1

      Anamapepo huyo simba nikubwa sio kiumri bali kimapato na mitazamo ya simba ni brand ya level ya juu baba jidanganye manara anaumuhimuwake ila haitikisiki

    • @bakarisadala1639
      @bakarisadala1639 3 ปีที่แล้ว +2

      Mpuuzz wewe

    • @amirimohamedi392
      @amirimohamedi392 3 ปีที่แล้ว

      Bado kes ya morisson mtajiju leo mmlipwa den b 20

    • @amirimohamedi392
      @amirimohamedi392 3 ปีที่แล้ว

      Wamikia nyie moo akiondok mnakufa nyie mikia unajua neno utoporo maana yake mume wangu

    • @amirimohamedi392
      @amirimohamedi392 3 ปีที่แล้ว

      Vizbo ndio maana mmemuzia moo smba wapumbavu smba ya ukoo mmeisha

  • @ludigoludigo3010
    @ludigoludigo3010 3 ปีที่แล้ว

    Mchukueni mtachukua kombe 😂😂😂😂😂pumbavu, hata hamjifunzi nyie kweli vyura, mulimchukua Senzo je mumepata Nini? Mumeishia kikombe Cha kahawa

  • @aminamsimbe4034
    @aminamsimbe4034 3 ปีที่แล้ว +1

    Baada ya senzo kuondoka Simba mkamuweka Barbara Sasa mmepata mtu wa kufitinisha atawanyoosha wote mtatimuana ngoja tuone shoo

    • @elinipadamas6647
      @elinipadamas6647 3 ปีที่แล้ว

      Kwahiyo manara akija yanga ndo atacheza mpira hata akiondoka manara Simba itakuwa poa

    • @mussamonakuungamkonotimpes6756
      @mussamonakuungamkonotimpes6756 3 ปีที่แล้ว

      We waache wajidanganye tu ukweli wata uona sii ndo Simba 😁