Najua kwann umefanya hii movie iwe mwisho coz ilianza vizuri ila umeangushwa na kijana wako mmoja ila pia usijari mungu akuongoze baraka tele uzidi fanya kazi vizuri zaidi🎉🎉🎉❤
Sarah kampotezea dira ya hii move, clam kaonesha kama bado anaweza kuibadilisha stor lakini ameshindwa ili iwe bora kushinda stor ya mwanzo tuwe makin jaman usariti umejaa sana kwa binadam🎉
Wanao muamini mungu usijaribu kupita bila kuweka mauwa 🎉🎉🎉 ya MUNGU
Allah ❤
🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤
Dk 2 watu mshajaa dadeq🤣🤣 fanyeni mnipee na me like ata mbil tuu za kumalizia hii movie😗
😂😂😂😂😂😂😂
Good
Ukipata hyo like unanifaika na nn
Like unapelekawapi we kenge
😂😂😂😂
Kazi nzuri tumejifunza mengi uchawi hauna Friday yyte tumrudieni mumba wetu Dunia haiwezi kubadilika bila ya waliomo ndani yake kubadilika
Ni kwel uchawi haun Friday 😂
Ni faida siyo friday
Tunae muabudu na kumuombani Mungu pekee ambae hatujawai kumuona. In God we trust. Like hapa for love inshallah.
Movie nzuri yenye mafunzo mengi sana kaka Clam Mungu akubariki sana❤❤❤
Tufanyeni ibada ndugu zanguni tutengeneze kesho yetu mungu atupe mwisho mwema tufe tukiwa shahidi
Upo sahihi juu ya ukumbusho
Amiin 🤲🥺
Allahumma aamiin
Mashaallah
Upo sahihi sana ❤
Clam tunaongojea big Boss 🇨🇩🇨🇩
Yes hii movie ilikua na mafunzo mazuri sana kama ulikua unaelewa ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga tuu Big up child ♥️
Mwisho mzuri sana tuletee big boss clam vevo please
Haaaaaaa clam unazinguwa Sasa mbona mapema ivyo??umetwangusha kwakweli naitwa Grande PiQui kutoka Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿👏👏👏
hili Tamthiliya nilikua naion mbaya ila iikua inaonesha kama itakuja kua nzuri ila kumbe ni MBAYA🙌🙌🙌 #CLAM me ni shabiki ako sana sana✊
Daaah😂😂 anko nzala amemaliza mchezo kishua sanaaa yaan ameua sana big up kwa new generation anko nzala umefinish game ki bad man😅
Kazi nzur na imeish wote tuliiokua tunaifatlia hii tamthilia kila mmoj wetu mungu ambarik sana🙏
Ameey
Ameen❤
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo team vevo❤❤
Hongereni CAST nzima ya muvi hii. Asanteni sana mmeniburudisha sana
Kenya ya kwanza apa ninyimeni tena🇰🇪
Mwenyez mungu awatangulie ndugu zangu kwenye Mambo yenu
Amina kubwaa
Amen
Ameen
Ameen🙏🙏
Ime kuwa moment nzuri sana Hongela kaka Kwa kazi mzuri sana all team Big up❤❤❤
Clam huyo binti anaigiza kwa hisia yuko vizuri sana
Bjnt yupi sasa mn mabint wp wengi humu
Congratulations 🎉🎉 MA-BROTHER KWA KAZI NZURII🎉🎉🎉 BADO TUPO NA WEWE KILA HATUA NA KILA DAKIKA 📌📌
Cheusi tiii 😂😂😂
🎉 cheusi media
Nzuri sana from Dodoma bungeni mapemaaaa sanaaaaaaa tupo pamoja
Mbon yule kimu haonyweshi
Uwakika jiji letu ilo❤
Alhamdulillah mwsho mwema, japo changamoto hazikosi ila kwa umbali huu tumshukuru Mola
Wa Kwanza Leo Naomba Liki Hata moja From Zanzibar
🎉🎉🎉
Waoo movie zako ni nzuri juuu Zina meisho❤
Movie safi, kwa wale tulianza pamoja na tumemaliza 🙌tuombee Clam atulete ingine 👍👍
Ongereni sana wapenz kwazi yen zuri sana mubarikiwe wote 😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤
Mko vzur bnh mnaeza bila kakoso chapeni kazi
Enjo asanti sana kwa kazi yako nzuri kabisa n'a kupenda sana tena sana kipaji yako Mungu akikuze
Mwenye uyo cheusi WA mwanya dada Ake Kim nampenda naomba naomba zake🙏🙏😭😭
tume jifunza mengi sana kwakweli mungu akubariki Kaka mungu akubariki sana akupe umri mrefu 🙏🙏🙏👍
Wapi like za clemvivo anafanya kazi nzuri kwa hakika hongera ndugu🎉
Uy dem ana madimpo paka laahaaaa❤
From Kenya 🇰🇪 hello tuko fainally na kutoka mwanzo sina hata like 😢
Khaaaaaaaaaa kumbe Leo nd ilikua mwisho eeeeeh haaaaa Ila si mbaya ❤❤❤❤ hongera kaka vevo na suda yanga kwa kazi nzr Masha Allah 🎉🎉🎉🎉🎉
Asante sana vevo season my daughter ilikuniwa ninzuri Sana na nitamu Sana mno tupe sasa big boss nao kaka
Asante sana kwa sana yenu ni nzuri sana nimeipenda sana ❤️🎉
Finally nipe like jamani sijawahi pata wakati mm ndy kindakindaki sijapenda😢
Wanaho subiri big boss season two weka like hapa ❤️
Aisee hii ni Bonge moja 😊 la Amazing Movie 🎥..... Sasa tusipoe sana nyingine lin clam vevo🎉🎉💯💯💯💯
Yaani huyo mlevi mchawi ananimbamba sana 🎉🎉🎉 🎉🎉 apokee 🎉🎉🎉yake
VEVO kajikaanga mwenyewe 😂😂😂adhabu ya maovu mwishowe aibu🎉🎉🎉kongole angle 🎉🎉🎉❤
Daaaah! Kwanini umeimaliza mapema wakati ndo movie imenoga nimeumia sanaaa CLAM 😭😭😭
waache mchezo
Toa kivuli chako nawewe kianze kusumbua ili movie iendelee 😂😂😂😂
Maninaaa😅😅@@gabonmaseru2686
@@gabonmaseru2686 😭😭😭😭😭
@@gabonmaseru2686😂😂😂
Mbona imeisha haraka ivyo kazi nzuri nafundiahp pia❤❤❤❤
Mwisho umekua mzuri sana aky
🎉🎉mungu yupo mahana tunaishi kwa uwepo wake kama unahamini sema Asante mungu kwavpumuzi unayo nipa
Good work mr. Clam Vevo nimefwatilia sana hadi dakika ya mwisho thanks for this big entertainment 😊
Duuuuu hii ngoma kali sana na inafunza jama tumcheni allah aiseee clam uko good
Vevo umepoteza sana, kipara,zumba Sandra and director kakoso so Fanya kitu.
Hongereni sana kwa kazi nzuri
Hongera. Clam kwa move yako nzur we waiting another
Dem wa clam wa mwisho mzur sana
Kazinzuri sana Mr clam vevo ✌ ✌ ✌
Mwisho mzuri ajabu ,asante sana clam
Mze zumali anasaut nzuri naipenda iyo voic yako
mpe utamu
Namm nakupenda
Clam fundii🎉unjua
Leo wakwanza jamani naombeni like zenu
Katam hongeleni sana kazi nzuri
Ni wangapi tunao angalia movie hii tukiwa tumelala na hii baridi😂😂😂nipitieni basi🎉❤
😂😂😂😂😂 mimi hapa
Weeee 😂😂😂 yachoma
@@Ema-p7z😂😂😂
@FadhilaMwalala😂😂😂
Upitiwe
Najua kwann umefanya hii movie iwe mwisho coz ilianza vizuri ila umeangushwa na kijana wako mmoja ila pia usijari mungu akuongoze baraka tele uzidi fanya kazi vizuri zaidi🎉🎉🎉❤
ANKO NZALA YOU ARE THE BEST UMECHEZA PADOGO ILA UMEUWA SANA T
Ili goma baraaah yan❤🎉
Kama unaamini mungu ni mwema kuliko kitu chochote naomba usispite bila kusema amen
Tunasubiri kazi nyengine inshallah
Uyu Uncle zumo njo Kiongozi wa Kijiji🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Safi sana mwisho wa ubaya ni aibu
Mungu akujaliye kwakazi zuri unayo ifa kaka clamu🎉🎉
Tunakusubili kwakazi yako nyingine nzuli mungu akujalie ubunifu zaidi🙏🙏♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Sarah kampotezea dira ya hii move, clam kaonesha kama bado anaweza kuibadilisha stor lakini ameshindwa ili iwe bora kushinda stor ya mwanzo tuwe makin jaman usariti umejaa sana kwa binadam🎉
Kweli munooooo
Inaonesha inatakiwa kuendelea ila ndo ishaisha masikini
kwani imekuaje sijaelew kwan clam na sara wapenzi kwel
🎉🎉🎉 movie nzur sana hongeren
Clam ndonini kuimaliz mpm iy movie movie ishaanz kunoga ndo umeimaliz basi toa nyengn zaidi yahii tunakukubali bro😘😘😘💞💞
🎉🎉🎉 kazi nzuri sana ❤
Najuwa humu kuna wachawi pia kaz kwenu😂😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂
Wap wa Kenya 🇰🇪 wenzangu naomben lik za john😊 mwaka huu wa2025 mungu awabariki❤
Jambo lamaana nikumutambuwa mungu n'a ujuwe iko sikuzote sema âme 🤲
wakwanza leo nipen like zangu from kenya
Hapa mumeitisha sanaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wakwanza Leo again bwane😮😂😂😂
Nzuriii sanaaa tumejifunza na kufurahi pua
"Nailew hiyo Mama".....Clam vevo mapema sana kuimaliza movie maua yako season kali sana🎉🎉..❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Jamani mi nampenda sauda mpaka sielewi
Kutoka Msumbiji pemba 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇹🇿 sucesso sempre
😂😂😂😂😂😂uwiiii enjoy kaamua kumuuwa baba ake dadekiii
Wakwanza Leo from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Nimejifunza kitu Asante sana @clam vevo ww ni genius 💥💥
Bongo move bwana wachawi wanakoka moto wachome nyama😅😅😅😅
Uyu demu wa clam anazo dimples nzur sana
Sana Dimpoz
ime isha vizuri kabisa ❤
Leo wakwanza kutokeya congo 🇨🇩🇨🇩 naombeni liké zenu jamani kama munamukubali Clam vevo
@@PrinceAmuri-hp3kb kwani congo mnaelewa kiswahili
Wenzio wako busy na vita ww unaraha gan mpka unaangalia move😂😂😂
@@MonicaMlacha-ce4fb sasa ulipenda mimi nika pigane iyo vita toka ao vita wewe njo uko napigana iyo vita
Safi sana enjo mpandaubani ura ubani mumeimariza vizuri hongereni saana🎉🎉🎉🇿🇦🤝
Mwamwisho🎉🎉🎉🎉 naombeni namimi t
Jamaica 🇯🇲 🇹🇿
Mungu Asanti ni Rehema zako ady kufikia hapa
Kazi safi clam
All the way from 🇰🇪 🇰🇪
Twagoja ingine sasa😊
Clam na crew yote nyie unajuaaaaaa sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Jaman nalikua bado na hitaman iendelee jaman ni nzur sana😂😂😂😂😂😂😂
Tulete nyengine jamani daa tume enjoi ❤❤
Mungu ni mwema 😁😁💪💪
Hongereni kwa kazi nzuri jamani imeisha vizuri sana🎉🎉
Mbona fupi snaa movie nzuri,,ila sawa tuuu
😮😮hiiih sterling kafa kabla muvi aija isha
Kwa mara ya kwanza kuona main actor akifa,Sio rahisi wao kufa😂
Kwan ye nd main jmn si ni mtot huon ata jina la igizo