The law of sacrifice" aisee.. nimecheka😅😅mwenyewe wakati unaelezea hii maana hisia za ndani zinanishauli kuachana na miongoni mwa tabia ambazo zinafifisha ustawi wngu japo si tabia mbayaaa kama ulivyo kazia. Hata hivyo nikiri mazingira yanaleta upinzani wa leo unasimama vyema kesho unarudi tena nyuma. Tuombeane kwa Mungu
Somo zuri sana
I get this "in order to go up, you must give up"
Nice sana
Nimeipenda hii "the law of emotion bank deposit "
Tupo Pamoja Baba Nazidi Kujifunza Baba
Shukrani 👏🙌 Sana
Thanks
joel
AHSANTE
𝕥𝕦𝕟𝕒𝕚𝕤𝕦𝕓𝕚𝕝𝕚𝕒 𝕜𝕒𝕜𝕒
Maoni, kama kitabu kitapatikana kinachohusiana na topic hii naamini kitanisaidia sana.
Shukran

❤🎉
🙏🏼