MC PETIT: CHAMA HAKUWA NA MCHANGO WOWOTE SIMBA/MASHINE TUNASHUSHA ZA MAANA SANA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ก.ค. 2024
  • Timu ya Simba SC Leo July 4,2024 imezindua mfumo utakaowawezesha mashabimi wa Simba SC kupata taarifa za klabu hiyo.
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 9

  • @DeborahSaitoti-oy7fm
    @DeborahSaitoti-oy7fm 2 วันที่ผ่านมา +1

    Safi sana waambie ukweli kaka

  • @SaidiKaniki-rn8yh
    @SaidiKaniki-rn8yh 2 วันที่ผ่านมา +1

    Ni kweli kabisa,!!!!!Waambie hao si malimbukeni,,,Wanalazimisha kujulikana hao utopwize.

  • @VitalessGalus
    @VitalessGalus 2 วันที่ผ่านมา +1

    watu msio jua mpila mnatakiwa mjue kuwa chama alimaza mkataba wake hakiwa ximba Ameondoka ximba akiwa uhuru sawa

  • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
    @SmilingBulldogPuppy-nb9ur 2 วันที่ผ่านมา +1

    Hahahhahahahahaa nimecheka hatari, mchezaji anaenda timu ambayo malipo ya mchezaji yanaenda kumaliziwa mahakamani

  • @januarysungura8119
    @januarysungura8119 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    💟💟💟

  • @mbarakasijaona7638
    @mbarakasijaona7638 2 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂

  • @LuqmanIddi-cb8me
    @LuqmanIddi-cb8me 2 วันที่ผ่านมา +2

    Mimi niwashauri waandishi wa habari sasa hivi msiwahoji mashabiki wa simba kuhusu chama wanaweza kulia.

    • @kassidpandu866
      @kassidpandu866 2 วันที่ผ่านมา +1

      wa yanga kuhusu feisal vp wahojiwe?

  • @barakamwamkinga4624
    @barakamwamkinga4624 2 วันที่ผ่านมา

    Mc umezingua chama kafanya mambo makubwa ndani ya simba yetu unayoongea ni siasa za mpira wa Tanzania kwa mfano ntibazokiza alipokuwa Yanga sisi tulisema mzee akaja kwetu kijana na wao chama wa simba mzee aliyeenda Yanga kijana ila chama analijua bili ila sijui kama atakuwa bora kama wa simba