Yesu nisaidie nilipe madeni kirahisi kwa jina lako nimeamini neno la mtumishi wako sita aibika wala sitaacha masomo yangu kisa madeni kwa jina la Yesu ninaamini.
Mtumishi mimi Nina madeni 2 ambayo unikoshe usingizi, naomba kwa Mungu wa mtumishi MWAPOSA mimi nilale na madeni haya yakose usingizi kwa jina la Yesu Christo. Amen !
Yes naomba kuanzia leo kesi ya madeni imekwisha katika jina la yesu
Amen yesu nisaidiye nimalize maden eee mngu nione mwanao nimeamin neno la mtumishi wako 🙏🙏
Nakataa roho za madeni kwa jina la Yesu🙏Namaliza madeni yote kwa jina la Yesu
I receive this pray in the name of jesus
Barikiwa mchungaji mwamposa na mie nimalize madeni yangu yote kwa jina la yesu
Amina baba madeni yanakosesha amani
Napokea kufunguliwa kwa madeni kwa jina la Yesu nakataa kwa jina la Yesu roho ya madeni natangaza kuinuliwa kiuchumi kwa jina la Yesu Amina
Amina naamini namaliza madeni kilahi asante mtumie bonofasi mungu akupe maisha malefu
Natuma madeni yote kwa jina la yesu nianze upya
Aminaa
Mimi upendo nataka mombis boss nilie mfanyia Kazi anilipe mshahara wangu ,,,hii week Amen
Amina 🙏🙏
Amen
Kwa Imani mungu yafutilie mbali hata madeni ameni napokea uponyaji wate wanao nidai wanisamehe Kwa Nina layesu
Namaliza den kirahis
Natua ma déni zote kwa jina la Yesu, yesu nisaidiye nisaidiye nisaidiye
Just what i needed God bless you 🇰🇪
Kuanzia leo nitalala namadeni yangu yote nimeyashinda kwajina la yesu
Axantee yesu nimepokea
Mungu naomba unisaidie nilipe madeni kiraisi
Kwa imani nitamaliza madeni yamenifirisi asante mtumishi
Na tua madeni kwa jina la Yesu Kristo
Natuwa madeni yote katika jina la yesu 🙏
Napokea namm upak asubuh hii
Aahahah, kafanyeni kaziiii ahahaha muujiza wa madeni,
Ameen
Be blessed a man of God
Yesu nimetua madeni yangu yote kwa jina la Yesu
Umefanyaje ndugu mm yameniandama sana naomba msaada
Natua madeni yangu kwa jina la yesu
Amina natoka kwenye hasala naenda kwenye faida kwa jina la yesu sitakuwa na maden tena natafuta yote
Wanalipe kilais
Kwajina la yesu nimeshinda madeni yote ktk jina la yesu,na nitapata usingiz na madeni yote nitayalipa kiurahisi kuanzia sasa
Yesu nisaidie
Natua madeni yote yanayonisumbua shida zote zinazonisumbua kwa jina la yesu
Yesu natua madeni yangu yote kwa jina la yesu
🥳🥳very simple,,,,amen
Huu mwaka 2024 natua madeni yote Kwa jina la yesu
Napokea kufunguliwa,kwa maden ya ngu
Kwa jina la Yesu madeni yanaisha
Kesi za maden namaliza kiurahisi
Ameeen napokea madeni kuinza kirshisi
Peço acabar cm minhas dividas ser perdoado meu marido é er emprego germano José eu Joaquina Viegas
Yesu nisaidie nilipe madeni kirahisi kwa jina lako nimeamini neno la mtumishi wako sita aibika wala sitaacha masomo yangu kisa madeni kwa jina la Yesu ninaamini.
Tufanye nini kutaondoa Madeni Mtumishi
⚘Heavenly Father please bless me with a supernatural financial breakthrough. Amen
Amen
Mungu mlipie mume wangu madeni maana yanamfanya akose amani hana furaha na familia yake ee mungu mfanyie wepes
Magret wewe ni mke mwema endelea hivyo
Napokea uponyaji wachango kwajina la yesu kristo
Ameni nakombolewa mzigo wangu wa maden
Natua madeni yangu yote kwa jina yesu
Natua madeni yangu yote Kwa jina la yesu
Natua maden .kwa jina la yesu
Mtumishi mimi Nina madeni 2 ambayo unikoshe usingizi, naomba kwa Mungu wa mtumishi MWAPOSA mimi nilale na madeni haya yakose usingizi kwa jina la Yesu Christo. Amen !
Ameeen
Ameeen napokea napokea
Ameeen kit u chochote kisinyime usingizi ijn
Ameeen
Ameeen
yesu nisaidie
Ameeeeeeen 🙏🏼❤️🙏🏼🙏🏼
Ameni
Natua madeni yangu yote kwajina la yesu
Amin
Quero acabar com minhas dividas peço oração para mim Joaquina Viegas
Mungu atosha
Amina
Napokea kufunguliwa kwa familia yangu
Ameni mtume
Mchungaji mm niombee ninamadeni sana Kila nikijitaidi kulipa nashindwa
Mwehu
niombee mtumishi ni utue mzigo wa madeni niwe huru
Nataka aidia ya kumaliza madeni kibabe kiraisi
Ameeen
Akili ya kuambiwa ongeza na akili yako
Natowa madeni kuchwani nimalize madeni yote
Niko pamoja na wewe
Yes
Yesu madeni ya ishe kwangu
Ninaowadaai wanilipe kilahiis kwajina la yesu
Maden kwisha
Ngoja nisikilize namna ya kutua madeni bila ya kufanya kazi
Kabisa yesu natuwa madeni kwa jina la yesu
Verem direito
Gosto muito desse igreja
Huo sasa ni uongo uliopitilia,Nitaona kama Tanzania hawatakuwa Masikini tena
Ok
Amen
Ameen
Natua madeni yangu kwa jina la yesu
Amina
Amen
Amen
Amen
Ameni natua mzigo wa maden kirahis kwa jina la yesu
Nashinda kwa Iman
Amen
Amen
Amen
Amen
Ameen