AY AFUNGUKA KUACHANA NA MKE WAKE/NIKIMJUA ALIETOA TAARIFA NAMFATA/KUMILIKI NYUMBA MAREKANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • #wasafi #refresh

ความคิดเห็น • 136

  • @anordperestalent8113
    @anordperestalent8113 4 ปีที่แล้ว +37

    Ay kama mzungu kasahau kiswahili 😁😁😁 Gonga like hapa na Subscribe channel yangu

    • @LeeUfudu
      @LeeUfudu 4 ปีที่แล้ว

      Hão tushawazoea hatariii

  • @augustinomwamasinga2200
    @augustinomwamasinga2200 4 ปีที่แล้ว +5

    Daaah huyu jamaa kama lugha ya taifa kaisahau namna hii luga yake ya kabila lake la kinyakyusa ataiweza hata robo kweli? Mimi nadhan hataweza kama nawe unamini gonga like hapa twende sawa.

  • @zuwenaalamini4158
    @zuwenaalamini4158 4 ปีที่แล้ว +7

    Ngonga like Kama umemsikia ay anaongea kichina et kiswahili kasahau😁😁😁🤭

  • @mbukumagiubukumagu406
    @mbukumagiubukumagu406 4 ปีที่แล้ว +5

    kwani kumiliki nyumba Marekani au Europe ndio big deal au ndio mafanikio hata ukipiga box unaweza kumiliki nyumba

  • @briantelulu2793
    @briantelulu2793 4 ปีที่แล้ว +30

    Kufanyia watu interview kwenye clubs unakuwa hivo yaani watu wanazungumza kama wanafokeana, kama askari kwenye mafunzo

  • @raphaelhitler6411
    @raphaelhitler6411 4 ปีที่แล้ว +10

    Respect AY wewe ni mfano wa kuigwa,,,.na Roma naye ndiye anayefata nyayo zako,,.Mwenyezi mungu awe nawe.

  • @quarantine325
    @quarantine325 4 ปีที่แล้ว +14

    Ukiwa na hela bwana raha sana hata ukijidai umekisahau kiswahil watu wanaelewa 😅😅

  • @kavishevicky1816
    @kavishevicky1816 4 ปีที่แล้ว +12

    Safi sana wafunge midomo hivyo yani chako ni chako na familia yako na sio mitandaoni ...big up sana

  • @omaral-mazruwy673
    @omaral-mazruwy673 4 ปีที่แล้ว +5

    Bravo Ay&Fa Hawa ndo wakuigwa cio watoboa pua

  • @madumamosses7768
    @madumamosses7768 4 ปีที่แล้ว +4

    Maana halisi ya kuwa msanii anaejitambua ndiyo hiyo

  • @sibiromallya5894
    @sibiromallya5894 4 ปีที่แล้ว +15

    Kutoka kwa AY 2020

  • @athumaniamirialbeloa6820
    @athumaniamirialbeloa6820 4 ปีที่แล้ว +24

    Mother language, Inapotea

    • @nururajab1281
      @nururajab1281 4 ปีที่แล้ว

      Kwel banaa, jamaa kabsaaaa kiswahili kinapoteaa daaah

    • @chrisbrezzy59
      @chrisbrezzy59 4 ปีที่แล้ว

      KWELI SEEMS KUTOKANA NA UNYAMWEZI MWINGI

  • @salimomarmkapa
    @salimomarmkapa 4 ปีที่แล้ว +2

    This is true legend always explain like a Legend. Big up AY

  • @mtakamaonline7748
    @mtakamaonline7748 4 ปีที่แล้ว

    Offer offer nunua au kopa solar ya watt 40,80,120,200 ikiwa pamoja na TV inch 21-43 na taa zake tukuletee hadi nyumbani pamoja na ufungaji ni bureeeeeeh wahi sasa offer hii ipo jirani kuisha.piga simu 0764325083/0654362426.

  • @fundimchizi5225
    @fundimchizi5225 4 ปีที่แล้ว +2

    Hivi huyu jamaaanakitangaza nia ubunge kwanini tusimpe mimi simuiti AY tena namuita mastermind

  • @jutonmbilinyi9469
    @jutonmbilinyi9469 4 ปีที่แล้ว +21

    Warwanda wazur tatzo kutulia kwenye ndoa

    • @letisiamakonda3873
      @letisiamakonda3873 4 ปีที่แล้ว +1

      Duuh

    • @MrNdanguza
      @MrNdanguza 4 ปีที่แล้ว +1

      Hahaha noma watoto zetu wa kinyarwanda kama wewe sio mnyarwanda kukupenda itakuwa vigumu.

    • @LeeUfudu
      @LeeUfudu 4 ปีที่แล้ว

      Hão nawajua saana ukija hapa brussels ndio utawajua nomaaa

    • @ildephonsentahomvukiye5410
      @ildephonsentahomvukiye5410 4 ปีที่แล้ว

      @@MrNdanguza wanyarwandakazi niwazinzi wakupitiriza

    • @ildephonsentahomvukiye5410
      @ildephonsentahomvukiye5410 4 ปีที่แล้ว

      @@LeeUfudu wanyarwandakazi niwazinzi sana

  • @kyelaonlinetv2
    @kyelaonlinetv2 4 ปีที่แล้ว +11

    Mbona mm ime goma

  • @robsonwisdom2647
    @robsonwisdom2647 4 ปีที่แล้ว +4

    Napenda anavojibu AY haya ndomajibu nayopendaga

  • @organizertheworldwide8866
    @organizertheworldwide8866 4 ปีที่แล้ว +17

    Hata interview inaonyesha anaehojiwa ni Legend nimependa Sana huna haja ya kujitutumua Sana Kama kunavitu unamiliki sometimes sio poa kuwalingishia watu

  • @kapesekapese7167
    @kapesekapese7167 4 ปีที่แล้ว

    AY, STAMINA, BEKA FLAVOUR, BARNABA, NUHU , Taja wengine ambao Ndoa zimewazingua na Dizaini Kama wanatamani kurudia humo yaani.

  • @athumanisimbeye475
    @athumanisimbeye475 4 ปีที่แล้ว

    Video ni nzuri lakini AY amechemsha kidogo kwenye upigaji gitaa amaonesha wazi kwamba hajui kupiga gitaa

  • @kimutattoo4067
    @kimutattoo4067 4 ปีที่แล้ว +2

    Urafiki sio Urafiki mpaka Uchanganywe na KAZI....

  • @allymulala8851
    @allymulala8851 4 ปีที่แล้ว +1

    Dah jamn AY, mbona kama sio mtanzania vile 😁😁😁😁

  • @doreenlivingstome4468
    @doreenlivingstome4468 4 ปีที่แล้ว +7

    Nmeelewa boss

  • @mariamhassan1723
    @mariamhassan1723 4 ปีที่แล้ว +6

    Mrwanda akashindwa

  • @faridaadamu2776
    @faridaadamu2776 4 ปีที่แล้ว +5

    😍😍😍

  • @marysaituni4584
    @marysaituni4584 4 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabisa usiwape watu faida ya kuisikiliza historia ya familia yako ama maisha yako.. kuwa mjaja siku zote

  • @abelnzunda2723
    @abelnzunda2723 4 ปีที่แล้ว +5

    Kwahel kiswahili

  • @momonation1268
    @momonation1268 4 ปีที่แล้ว +9

    Daaaaa Kama mzungu vile Kiswahil hakiwez kbxa lafudhi ya kidhungu😁😁😁😁

  • @kavishevicky1816
    @kavishevicky1816 4 ปีที่แล้ว +5

    You no

  • @stanijrtv9068
    @stanijrtv9068 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamaaa anaongea km cyoo mtanzania bhn ilaa maisha hayaaaaa duuuuh

  • @alexlusaka1315
    @alexlusaka1315 4 ปีที่แล้ว +7

    Big up AY

  • @emmanuelmakindi4409
    @emmanuelmakindi4409 4 ปีที่แล้ว +1

    Kiswahili Cha AY sio Cha bongo kbs
    Anasahau Kiswahili jmn

  • @Swaga_boys
    @Swaga_boys 4 ปีที่แล้ว +1

    Tupeane satopi tusiwe wanafki ndugu zangu Subscribe basi kwenye You tube channel yangu 1k please

  • @josephajosephat6179
    @josephajosephat6179 4 ปีที่แล้ว +1

    Saf sana kaka A Y

  • @obbymathew2690
    @obbymathew2690 4 ปีที่แล้ว +3

    I like him kinyaks, sijui mnanielewa

  • @nayomi6498
    @nayomi6498 4 ปีที่แล้ว +10

    dakika 20😂

  • @safarikikaadrien108
    @safarikikaadrien108 4 ปีที่แล้ว +2

    Afu uyu jamaa anaongeaga kama mkenya vile 😆😆

    • @abdulcrim7804
      @abdulcrim7804 4 ปีที่แล้ว

      Fiston Amani eeebwana eee
      Lahaja yetu hio

  • @marysaituni4584
    @marysaituni4584 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu Kaka anajielewa sana

  • @julianabryson8914
    @julianabryson8914 4 ปีที่แล้ว

    Ongea kinyakyusa nkamu

  • @sportsmantv8397
    @sportsmantv8397 4 ปีที่แล้ว

    Hiyo Swahili so ya mtanzania

  • @bonifaceliwali2711
    @bonifaceliwali2711 4 ปีที่แล้ว

    Umbea umewaisha wataka habari za watu, tafuteni vyenu wekeni mtandaoni NY******

  • @praxedadominic9864
    @praxedadominic9864 4 ปีที่แล้ว +3

    😍😍😍😍

  • @mwanzashinyanga8060
    @mwanzashinyanga8060 4 ปีที่แล้ว

    wasanii wengine igeni mfano huu na sio kujimwambafai bdae mkiugua mnachangiwa fedha

  • @husnamuhogoro2179
    @husnamuhogoro2179 4 ปีที่แล้ว

    Naitakia simba ushindi mnono

  • @zuwenaalamini4158
    @zuwenaalamini4158 4 ปีที่แล้ว

    Bado anaropoka sauti Kama yote

  • @harunahussein6717
    @harunahussein6717 4 ปีที่แล้ว

    Kitwanga sasa Kina realized aeroplane

  • @husnamuhogoro2179
    @husnamuhogoro2179 4 ปีที่แล้ว

    Leah haule simba juu juju zaidi

  • @rebeccjackson1520
    @rebeccjackson1520 4 ปีที่แล้ว

    Anajibu vzr

  • @Cmsemelwa
    @Cmsemelwa 4 ปีที่แล้ว +2

    AY, kakaa sana India?
    Mbona anaongea kama Kanjibai? 😂😂😂😂😂
    Fanya Mazoezi baba

  • @vickyerick7326
    @vickyerick7326 4 ปีที่แล้ว +1

    Amepiga maji

  • @schoolboy1614
    @schoolboy1614 4 ปีที่แล้ว +1

    Ay

  • @erickjohansen3445
    @erickjohansen3445 4 ปีที่แล้ว +9

    At last 1st to comment

  • @dennisnovickrwabizi8877
    @dennisnovickrwabizi8877 4 ปีที่แล้ว +3

    Dah....kiswahili cha AY kimebadilika kabisa huh. kwel mbelembele tu

  • @ramadhangholoji5742
    @ramadhangholoji5742 4 ปีที่แล้ว +14

    Respect xana boss

    • @LeeUfudu
      @LeeUfudu 4 ปีที่แล้ว +1

      Anzungumza kiswahili kma Mkenya hivi kkkkkk

  • @shanatatrigger6537
    @shanatatrigger6537 4 ปีที่แล้ว +2

    Legend

  • @emmanuellaurent2234
    @emmanuellaurent2234 4 ปีที่แล้ว

    AY Anaakili Na Malezi Mazuri

  • @ben_son6950
    @ben_son6950 4 ปีที่แล้ว

    Muhindi

  • @josephkapinga652
    @josephkapinga652 4 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa brother wazibe mdomo

  • @ayubmakame9005
    @ayubmakame9005 4 ปีที่แล้ว

    Ay kaka nimekuelewa kW swali ,jb niafadhal kumuonesha MTU kwnye ugum kulko urahic .huo ndo uwanaume hujapewa koromeo bure unajua dhaman yk p1 abuu HP cfatilii mitandao burbr pwynt kama hii.p1 kaka

  • @stevensamwel4023
    @stevensamwel4023 4 ปีที่แล้ว

    jamaaa anajibu vizuri inavyotakiwa

  • @ngwaleseif8586
    @ngwaleseif8586 4 ปีที่แล้ว

    dah! sema hii sauti ya uyu dada kwenye tangazo la tigo ni kisanga

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 4 ปีที่แล้ว +2

    AY ni mastermind yani jamaa ana ela alaf sielewi ana pataje utajiri

    • @LeeUfudu
      @LeeUfudu 4 ปีที่แล้ว

      Kwani AY ni tajiri au anauwezo tu eeeeeeh acha kuogopa D kkkkkk

    • @ilynpayne7491
      @ilynpayne7491 4 ปีที่แล้ว

      @@LeeUfudu huyu jamaa tajiri aisee sema huwa hataki kujionesha account yake haikosi bilion 1 ya kitanzania kwa kibongo bongo ukiwa na bilion tajiri

    • @LeeUfudu
      @LeeUfudu 4 ปีที่แล้ว

      @@ilynpayne7491 ok B 1 sawa na dólar laki nne na hamsini elfu wakinga wanaoenda china kufunga Mali mbona pesa hiyo wanayo D sema kma unavyosema kwa bongo ni utajiri ujue kkkkk

    • @shayopaterini8678
      @shayopaterini8678 4 ปีที่แล้ว

      Wakinga unajuwa wanazipataje na mashart yake yapoje utwawonea huruma

    • @LeeUfudu
      @LeeUfudu 4 ปีที่แล้ว

      @@shayopaterini8678 kkkkk na wapemba na wachaga não wanazipataje pesa ? Kila pesa ni chungu mjomba mimi huwa nfanya kazi winter time Canadá hapa ukiniona utanionea huruma pia hatariii

  • @eliudwiston4206
    @eliudwiston4206 4 ปีที่แล้ว +6

    Nani mwingine Aliyemuona Sallam Don Mendezi?

    • @justinbieber8668
      @justinbieber8668 4 ปีที่แล้ว

      Eliud Wiston ana udoni gan uyo bwege?

    • @kiniyabh8646
      @kiniyabh8646 4 ปีที่แล้ว

      Justin bieber huyo unaye mwita bwege ndio maneger wake

  • @benomdaile7271
    @benomdaile7271 4 ปีที่แล้ว +1

    Kiswahili cha Ay kimekua kama cha yule mzungu bongo zozo!!

  • @dinamanka3307
    @dinamanka3307 4 ปีที่แล้ว

    Wow

  • @haryanyawu640
    @haryanyawu640 4 ปีที่แล้ว +3

    Big up sana

  • @fadhilimatandala7629
    @fadhilimatandala7629 4 ปีที่แล้ว +1

    He fell off from top rapper to just normal rapper still legend anyway

  • @georgesajiro1402
    @georgesajiro1402 4 ปีที่แล้ว

    Nani kasikia kingeleza cha off cozy... Gonga like twendesawa

  • @allymulala8851
    @allymulala8851 4 ปีที่แล้ว

    Dah jamn AY, mbona kama sio mtanzania vile 😁😁😁😁

  • @btsokotv1052
    @btsokotv1052 4 ปีที่แล้ว +5

    Kweli bongo hakuna kama diamond msanii pekee anayejiamini kuonesha mali zake ili watu waone matunda ya kumsupport sio kama wasanii wengine wanafichaficha sababu wanajua hawana kitu na hata kama wanacho hakiendani na muda walioko kwny game

    • @treyguydangote4034
      @treyguydangote4034 4 ปีที่แล้ว +5

      Anajiamini au ni ushamba na diamond hata awej hawez acha ushamba he is premitive man hawez badilika

    • @btsokotv1052
      @btsokotv1052 4 ปีที่แล้ว +2

      Trey guy Dangote Wabongo bhn 😂 kila kitu ushamba ila akina 50 cent Lil Wayne wanavoonesha majumba yao mnawaona wajanja kweli 😂🤐

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 4 ปีที่แล้ว

      Kuonyesha kitu mtandaoni nimfumo wa mtu alivyojijengea,pia siyo lazima.kila mtu anavyopenda kuishi

    • @antibiotic7238
      @antibiotic7238 4 ปีที่แล้ว

      @@treyguydangote4034 nadhani wewe ndio mshamba..enda marekani na nigeria uone wasanii wanavo swaga mali zao kwa umma..ebwana wewe ndio mshamba..alafu unasema hivo sababu huna kitu isopokuwa belt na chupi tu..tumeelewana?😂😂..heri ungeniambia ni kiburi kuliko ushamba..yani wajuwa ushamba ni nini wewe??hahahaha

    • @treyguydangote4034
      @treyguydangote4034 4 ปีที่แล้ว +2

      @@antibiotic7238 kwani ni uongo mondi mshamba. Kubali kataaa acha kutetea ufala ila sishangai mond na mashabik zake wt washamba mond ni mxhamba na nimshamba kweli awez badilika

  • @energeticmbn4596
    @energeticmbn4596 4 ปีที่แล้ว

    Refresh 😍 😍 😍 😍

  • @linnwambui3389
    @linnwambui3389 4 ปีที่แล้ว

    I always like Ay